November 09, 2014

VYAKULA VINAVYOFAA KWA WAJAWAZITO

Kumbuka kwamba vyakula vyote vinaweza kuwa ni muhimu mwilini lakini huzidiana kulingana na mahitaji na hali ya mtu kwa wakati maalumu. thumbnail 1 summary
Kumbuka kwamba vyakula vyote vinaweza kuwa ni muhimu mwilini lakini huzidiana kulingana na mahitaji na hali ya mtu kwa wakati maalumu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FAIDA YA KUNYWA MAJI MENGI KWA AFYA YA FIGO.

Wataalamu wa afya wanashauri kunywa maji mengi ili kuhakikisha walahu unatoa mkojo kiasi cha lita mbili kwa siku kwa ajili ya kuzuia ugonj... thumbnail 1 summary

Wataalamu wa afya wanashauri kunywa maji mengi ili kuhakikisha walahu unatoa mkojo kiasi cha lita mbili kwa siku kwa ajili ya kuzuia ugonjwa wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHERIA ILIYOMRUHUSU MWANAMKE KUJIUA.

Euthanasia law ni sheria iliyomruhusu Brittany Maynard mwenye umri wa miaka 29 raia wa Marekani kujiua siku ya jumamosi kw kutumia dawa ... thumbnail 1 summary

Euthanasia law ni sheria iliyomruhusu Brittany Maynard mwenye umri wa miaka 29 raia wa Marekani kujiua siku ya jumamosi kw kutumia dawa hatari kutokana na kusumbuliwa na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UWEZO WA PILI PILI KATIKA KULINDA AFYA YA MOYO.

Pili pili hutumika kama kiungo kwenye mboga na chakula katika kuongeza ladha. Mwilini pili pili husaidia kurekebisha mapigo ya moyo na ... thumbnail 1 summary
Pili pili hutumika kama kiungo kwenye mboga na chakula katika kuongeza ladha. Mwilini pili pili husaidia kurekebisha mapigo ya moyo na mzunguko wa damu sambamba na kugandisha damu pale

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UGONJWA MWINGINE TISHIO BAADA YA EBOLA.

Ugonjwa wa homa ya Lassa Afrika Magharibi unaelezwa kusahaulika kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola na Wahudumu wa afya wamesem... thumbnail 1 summary
Ugonjwa wa homa ya Lassa Afrika
Magharibi unaelezwa kusahaulika
kutokana na mlipuko wa ugonjwa
wa Ebola na Wahudumu wa afya
wamesema huenda wakakosa
rasilimali kukabiliana na ugonjwa
huo iwapo utakithiri.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA MPYA ZENYE UTATA ZA DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI THE BOSS LADY WAKIWA NDANI YA JIJI LA DAR.

Diamond Platnumz na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zari the Boss Lady hawakuishia kusafiri tu kwenye ndege na siti moja ku... thumbnail 1 summary

Diamond Platnumz na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zari the Boss Lady hawakuishia kusafiri tu kwenye ndege na siti moja kutoka Afrika Kusini. Ukweli ni kuwa walikuwa wamepanga kukutana.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SENTENS KALI TANO WALIZOIBUKA NAZO CHASO UDSM JUU YA VURUGU ZA MDAHALO WA WARIOBA

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam kutoka chama cha democrasia na maendeleo CHADEMA leo wameibuka na sentensi tano juu ya ... thumbnail 1 summary


Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam kutoka chama cha democrasia na maendeleo CHADEMA leo wameibuka na sentensi tano juu ya sakata la vurugu zilizoibuka wiki iliyopita wakati wa mdahalo uliokuwa unaendeshwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WANAFUNZI WALIOKOSA MIKOPO WACHARAKUA,SERIKALI YAPEWA SIKU SABA KUWAPA CHAO

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania Mussa Leonard Mdee akizungumza na wanahabari muda mfupi ulio... thumbnail 1 summary


Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania Mussa Leonard Mdee akizungumza na wanahabari muda mfupi uliopita jijini Dar es salaam mapema leo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AMIGOLAS WA TWANGA PEPETA AFARIKI DUNIA

Mwimbaji wa zamani wa Twanga Pepeta, Hamis Kayumbu 'Amigolas' enzi za uhai wake. MWANAMUZIKI wa  zamani wa Bendi ya African Sta... thumbnail 1 summary
Mwimbaji wa zamani wa Twanga Pepeta, Hamis Kayumbu 'Amigolas' enzi za uhai wake.
MWANAMUZIKI wa  zamani wa Bendi ya African Stars International ‘Twanga Pepeta’, Khamis Kayumbu ‘Amigolas’  amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kulazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa siku kadhaa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UKIMYA WA DIVA WA CLOUDS FM WAZUA MASWALI MENGI MITAANI, JE NI KWELI KAHAMIA EFM ?

Diva Loveness Love Maarafu Kama Divathebawse Ni Presenter Kipenzi cha wengi sana hapa Bongo Na Nje, Kutokana na Show yake ya Mambo thumbnail 1 summary

Diva Loveness Love Maarafu Kama Divathebawse Ni Presenter Kipenzi cha wengi sana hapa Bongo Na Nje, Kutokana na Show yake ya Mambo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

OMMY DIMPOZ AITWA MSHAMBA WA KIGOMA SOMA HAPA

“WANANIITA mshamba wa Kimanyema ila poa tu!”Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amesema baadhi ya mashabiki wa... thumbnail 1 summary
“WANANIITA mshamba wa Kimanyema ila poa tu!”Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amesema baadhi ya mashabiki wake wanamuita mshamba wa Kimanyema, lakini hilo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LIGI KUU ENGLAND MAN UTD YAICHAA CRYSTAL PALACE

+20 Juan Mata strikes from the edge of the box with a shot that was deflected past Julian Speroni to give Manchester Un... thumbnail 1 summary


Juan Mata strikes from the edge of the box with a shot that was deflected past Julian Speroni to give Manchester United all three points

Juan Mata strikes from the edge of the box with a shot that was deflected past Julian Speroni to give Manchester United all three points

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Umesikia alichosema boss wa Facebook baada ya kuulizwa kwanini anavaa Tshirt hii moja tu kila siku?

Hapa nyumbani Tanzania nimeshawahi kusikia kuhusu matajiri wachache wanaofanya biashara ambao huwa hawabadili nguo zao au huwa kuna vitu ... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-11-08 at 11.49.40 PMHapa nyumbani Tanzania nimeshawahi kusikia kuhusu matajiri wachache wanaofanya biashara ambao huwa hawabadili nguo zao au huwa kuna vitu wanafanya vinavyopelekea hisia za watu kuamini kwamba utajiri wao ni wa uchawi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Exclusive:Wema na Penny wamaliza tofauti zao

Good news iliyonifikia usiku huu kuwa Mtangazaji wa TV Penny Mungila aka VJ Penny na staa wa Bongo Movie Wema Sepetu wamemaliza tofauti... thumbnail 1 summary
.
Good news iliyonifikia usiku huu kuwa Mtangazaji wa TV Penny Mungila aka VJ Penny na staa wa Bongo Movie Wema Sepetu wamemaliza tofauti zao baada ya kutoelewana takribani miezi kadhaa iliyopita.Upatanisho huo umefanywa na Junaitha ambaye aliandaa chakula cha usiku

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: