September 12, 2014

MKUU WA SHULE ALIYOSOMA NICK MINAJ AMKATALIA KUONGEA NA WANAFUNZI KISA ANACONDA

Nicki Minaj amekutana na kikwazo kikubwa katika mpango wake wa kuzungumza na wanafunzi wa shule aliyosoma.  thumbnail 1 summary

Nicki Minaj amekutana na kikwazo kikubwa katika mpango wake wa kuzungumza na wanafunzi wa shule aliyosoma. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANAFUNZI WA DARASA LA SABA ABAKWA AINGIA CHUMBA CHA MTIHANI AKIWA HOI ...KIGOMA

Na Magreth Magosso, Kigoma. MWANAFUNZI mmoja anayesoma Darasa la saba shule ya msingi Bukuba    (14)      wilaya ya Buhigwe Mkoa w... thumbnail 1 summary

Na Magreth Magosso, Kigoma.


MWANAFUNZI mmoja anayesoma Darasa la saba shule ya msingi Bukuba  (14)   wilaya ya Buhigwe Mkoa wa Kigoma ahofiwa kufeli mtihani wake wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAMA ULIKOSA PICHA JINSI KIBONDE NA GADNER WALIVYOPANDISHWA KIZIMBANI, ZOTE ZIKO HAPA

Watangazaji Ephraim Kibonde (wa pili kushoto) na mwenzake Gardner Habash (wa tatu kul i a) wakielekea kizimbani katika Mahakama ya Wilay... thumbnail 1 summary

Watangazaji Ephraim Kibonde (wa pili kushoto) na mwenzake Gardner Habash (wa tatu kulia) wakielekea kizimbani katika Mahakama ya Wilaya Kinondoni jijini Dar. (Picha na Maktaba)

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

QUEEN DARLIN AKANUSHA TETESI ZA KUWA YEYE ANAMTAFTIA MADEM DIAMOND

Queen Darleen amekanusha tuhuma kuwa ana mtindo wa kumtafutia mademu kaka yake Diamond Platnumz.  thumbnail 1 summary

Queen Darleen amekanusha tuhuma kuwa ana mtindo wa kumtafutia mademu kaka yake Diamond Platnumz. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UMEZIONA PICHA ZA KIWANJA KIPYA CHA NDEGE KUTOKA DUBAI ZIKO HAPA ZOTE LIVE BILA CHENGA

Mtawala wa Dubai,(UAE) Al-Maktoum kujenga uwanja mpya wa ndege utakaokuwa mkubwa kulivyo viwanja vyote duniani na kuuita jina lake. thumbnail 1 summary

Mtawala wa Dubai,(UAE) Al-Maktoum kujenga uwanja mpya wa ndege utakaokuwa mkubwa kulivyo viwanja vyote duniani na kuuita jina lake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MFANYABIASHARA MAARUFU NCHINI AFARIKI DUNIA BAADA YA KUBAKWA NA WAKE ZAKE WATANO. SOMA HAPA

MFANYABIASHARA maarufu nchini Nigeria amefariki dunia mara baada ya kubakwa na wake zake watano kati ya sita anaowamiliki. Hiyo ni kwam... thumbnail 1 summary

MFANYABIASHARA maarufu nchini Nigeria amefariki dunia mara baada ya kubakwa na wake zake watano kati ya sita anaowamiliki. Hiyo ni kwamujibu wa gazeti la Dail Mail.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KWELI WATU WANA VITUKO..HEBU CHEKI HAWA JAMAA WALICHO KIFANYA HUSIPOCHEKA BASI WEWE WAUMWA AISEE

Jamaaa yupo kiabiashara zaidi na new style ya surual "DOUBLE BELT" thumbnail 1 summary
Jamaaa yupo kiabiashara zaidi na new style ya surual "DOUBLE BELT"

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: DIAMOND AKIHOJIWA ALIPOKUWA NA COKE STUDIO , YANI FULL KUONGEA KIZUNGU

Join Diamond Platnumz who makes a return to Coke Studio Africa Season II and Yemi Alade as they answer questions from the fans online an... thumbnail 1 summary
Join Diamond Platnumz who makes a return to Coke Studio Africa Season II and Yemi Alade as they answer questions from the fans online and tell

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MSIKITI WA MTAMBANI KINONDONI WAUNGUA TENA

(Msikiti wa Mtambani ukiungua kwa moto. Picha na Maktaba yetu) Habari zilizotufikia ni kwamba Msikiti wa Mtambani uliyopo Kinondoni jij... thumbnail 1 summary
(Msikiti wa Mtambani ukiungua kwa moto. Picha na Maktaba yetu)
Habari zilizotufikia ni kwamba Msikiti wa Mtambani uliyopo Kinondoni jijini Dar es

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UZINDUZI WA COKE STUDIO AFRICA WAFAANA DAR

Mwanamitindo Rio Paul (kulia) akiwa na rafiki zake muda mfupi baada ya uzinduzi wa msimu wa pili wa  Coke studio Africa, Hyatt Hotel, jijin... thumbnail 1 summary
Mwanamitindo Rio Paul (kulia) akiwa na rafiki zake muda mfupi baada ya uzinduzi wa msimu wa pili wa  Coke studio Africa, Hyatt Hotel, jijini dar es Salaam.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUYU NDIYE ANAYEDAIWA KUIBA PESA MSIBA WA GURUMO, MWENYEWE AWAKA

Rais wa zamani wa shirikisho la muziki/muziki wa injili  nchini, Eddo  November amepanga kuwaburuza mahakamani mwanamuziki Stara Thoma ... thumbnail 1 summary

Addo kuwashitaki Stara Thomas na Francis Kaswahili baada ya kumtuhumu kuiba fedha za msiba wa Gurumo

Rais wa zamani wa shirikisho la muziki/muziki wa injili  nchini, Eddo  November amepanga kuwaburuza mahakamani mwanamuziki Stara Thoma na Francis Kaswahili baada ya kumtuhumu kuiba fedha za

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JAMANI JAMANI HATA KAMA NDO MEKAPU HII DIAMOND UMEZIDISHA , TAZAMA BI MDADA ANAVYOSHANGA

  nimekutana ni hii picha, kama sijaielewa hiviiii, is this true???????????, sitaelewa labda uniambie ulikua unatania,  au ulitaka ku... thumbnail 1 summary
 

nimekutana ni hii picha, kama sijaielewa hiviiii, is this true???????????, sitaelewa labda uniambie ulikua unatania,  au ulitaka ku make

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MJUE KWA UNDANI JAJI ANAYETOA HUKUMU YA OSCAR ISTORIUS

JAJI Thokozile Matilda Masipa mwenye umri wa miaka 66, alizaliwa Oktoba 15, 1947 Soweto nchini Afrika Kusini na wakati mmoja aliajiriwa k... thumbnail 1 summary
JAJI Thokozile Matilda Masipa mwenye umri wa miaka 66, alizaliwa Oktoba 15, 1947 Soweto nchini Afrika Kusini na wakati mmoja aliajiriwa kama karani na mpishi wa chai.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

"STEVE NYERERE HANA SIFA ZA KUWA KIONGOZI WA WASANII"... IRENE PAUL AFUNGUKA...

UWEZI kuamini! Staa na mtayarishaji wa filamu za Kibongo, Irene Paul amejitoa mhanga na kuanika uozo wa Kundi la Bongo Movie thumbnail 1 summary

UWEZI kuamini! Staa na mtayarishaji wa filamu za Kibongo, Irene Paul amejitoa mhanga na kuanika uozo wa Kundi la Bongo Movie

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JE WAJUA SIRI YA WEMA SEPETU KUVAA MAWIGI..?? MWENYEWE AFUNGUKA HAPA

WEMA Sepetu ‘Beatiful Onyinye’ au Madam nyota katika tasnia ya filamu Bongo ametoa siri yake kuwa ni mteja mzuri wa mawigi badala thumbnail 1 summary

WEMA Sepetu ‘Beatiful Onyinye’ au Madam nyota katika tasnia ya filamu Bongo ametoa siri yake kuwa ni mteja mzuri wa mawigi badala

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

"NIMEACHA PODA NA SIJAROGWA NA DIAMOND , NAMKUBALI SANAA PLATNUM" Q-CHILLAH AFUNGUKA

  Msanii wa Bongo fleva aliyetamba na hits Song kibao Q chillah amefunguka na kusema kuwa ameacha kweli kutumia madawa ya kulevya na kam... thumbnail 1 summary

 

Msanii wa Bongo fleva aliyetamba na hits Song kibao Q chillah amefunguka na kusema kuwa ameacha kweli kutumia madawa ya kulevya na kamwe hawezi kurudia tena maana madawa hayo yalimfanya kuwa na maisha ya ajabu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Uliikosa picha aliyoiweka Rais Kikwete twitter baada ya kukutana na Wapinzani na alichoandika?

Baada ya kukutana na viongozi wa vyamba mbalimbali vya upinzani Tanzania na kuzungumzia ishu ya bunge la katiba, iliamuliwa kwamba thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-09-12 at 2.02.33 AMBaada ya kukutana na viongozi wa vyamba mbalimbali vya upinzani Tanzania na kuzungumzia ishu ya bunge la katiba, iliamuliwa kwamba

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mabibi na Mabwana… hawa ndio mastaa wengine wa Marekani walioitembelea Tanzania.

Siku hizi stori za mastaa wa dunia kuja kuitembelea Tanzania sio moja wala mbili manake wamekua wakija wengi tu na hawaachi kuipa nchi thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-09-12 at 1.56.17 AMSiku hizi stori za mastaa wa dunia kuja kuitembelea Tanzania sio moja wala mbili manake wamekua wakija wengi tu na hawaachi kuipa nchi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAJALA, HIVI HUKUJIFUNZA KITU KWA WEMA?

KAMA  mwandishi, sijawahi kukutana na Kajala Masanja na kufanya mazungumzo naye, lakini kama mdau nimeona kazi kadhaa za muigizaji huyu mwe... thumbnail 1 summary
KAMA mwandishi, sijawahi kukutana na Kajala Masanja na kufanya mazungumzo naye, lakini kama mdau nimeona kazi kadhaa za muigizaji huyu mwenye jina kubwa katika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAINDA NA UGUMU WA KUACHA MKOROGO

STAA  wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amefunguka kuwa miongoni mwa vitu vilivyokuwa vimeuteka ujana wake ni pamoja na matumizi ya mkoro... thumbnail 1 summary
STAA wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amefunguka kuwa miongoni mwa vitu vilivyokuwa vimeuteka ujana wake ni pamoja na matumizi ya mkorogo ambapo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA, DIAMOND, AUNT WANATAJWA KWENYE MICHEPUKO HATARI!

Ni tamaa ya ngono au ni nini? Hivyo ndivyo unavyoweza kujiuliza baada ya kubainika kwamba mastaa watatu Bongo, Wema Isaac Sepetu, mpenzi wa... thumbnail 1 summary
Ni tamaa ya ngono au ni nini? Hivyo ndivyo unavyoweza kujiuliza baada ya kubainika kwamba mastaa watatu Bongo, Wema Isaac Sepetu, mpenzi wake Nasibu Abdul

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: