April 09, 2016

AMITABH BACHCHAN AKANA KUHUSIKA NA UKWEPAJI WA KODI.

Mkali wa filamu za kihindi Bollywood nchini India, Amitabh Bachchan, amekana kuhusishwa na kampuni zozote za kigeni anazotumia kukwepa ku... thumbnail 1 summary
Mkali wa filamu za kihindi Bollywood nchini India, Amitabh Bachchan, amekana kuhusishwa na kampuni zozote za kigeni anazotumia kukwepa kulipa ushuru.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AC MILAN KUMREJESHA SUPER MARIO BALOTELLI

Mshambuliaji kutoka nchini Italia, Super Mario Barwuah Balotelli huenda akarejeshwa kwenye klabu yake ya Liverpool mwishoni mwa msimu huu... thumbnail 1 summary
Mshambuliaji kutoka nchini Italia, Super Mario Barwuah Balotelli huenda akarejeshwa kwenye klabu yake ya Liverpool mwishoni mwa msimu huu, kufuatia kushindwa kufikia lengo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KRC Genk ya Samatta imeibuka na ushindi wa 4-0 dhidi ya KV Oostende, hili ndio goli la Samatta (+Video)

Headlines za mshambuliaji wa kimataifa wa  Tanzania  ambaye pia ni nahodha wa  Taifa Stars   Mbwana Samatta  kuzidi kufanya vizuri ... thumbnail 1 summary
Headlines za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania ambaye pia ni nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta kuzidi kufanya vizuri zinazidi kuongezeka kila kukicha ndani ya Ligi Kuu Ubelgiji akiichezea klabu ya KRC Genk.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KANYE WEST AZINDUA BIBLIA YAKE

Kanye West Hujulikana sana kwa maringo yake,lakini kwa kweli Kanye West asingekufuru na kujitambulisha kama mungu katika biblia hiyo. K... thumbnail 1 summary
Kanye West
Hujulikana sana kwa maringo yake,lakini kwa kweli Kanye West asingekufuru na kujitambulisha kama mungu katika biblia hiyo.
Kitabu hicho kitukufu kimebadilishwa na kuwa Biblia ya sasa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Gadner G Habash " Najuta Kuachana na Mke Wangu wa Kwanza "

\ Mtangazaji wa Clouds FM, Gardiner G Habash amesema miongoni mwa vitu anavyojutia katika maisha yake ni kuachana na mke wa kwanza aliyez... thumbnail 1 summary
\
Mtangazaji wa Clouds FM, Gardiner G Habash amesema miongoni mwa vitu anavyojutia katika maisha yake ni kuachana na mke wa kwanza aliyezaa naye mtoto wa kike, Karen, ambaye kwa sasa yupo mwaka wa pili chuoni.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kilevi Aina Ya Viroba Chapigwa "STOP" Mkoa Wa Arusha....

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda amepiga marufuku uuzwaji wa kilevi aina ya kiroba katika mkoa huo. thumbnail 1 summary
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda amepiga marufuku uuzwaji wa kilevi aina ya kiroba katika mkoa huo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: