September 05, 2014

NISHA AZUA TAFRANI HEKALU LA FREEMASON, WATU WAJAZANA KSHUHUDIA

STAA  wa sinema za Kibongo, Salma Jabu 'Nisha', Jumanne iliyopita alijikuta akizua taharuki kufuatia kuegesha gari lake nje ya H... thumbnail 1 summary
STAA wa sinema za Kibongo, Salma Jabu 'Nisha', Jumanne iliyopita alijikuta akizua taharuki kufuatia kuegesha gari lake nje ya Hekalu la Freemason lililopo nyuma ya Hyatt Regency Dar es Salaam The Kilimanjaro Hotel jijini

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAMA ADAIWA KUMSULUBISHA MTOTO, WANANCHI WALIPIZA KWA KUMPA KICHAPO

HII ni too much! Jalada namba KW/RB/7565/2014-SHAMBULIO LA KUDHURU MWILI lililopo kwenye Kituo cha Polisi cha Kawe, Dar, linamhusu mama thumbnail 1 summary
HII ni too much! Jalada namba KW/RB/7565/2014-SHAMBULIO LA KUDHURU MWILI lililopo kwenye Kituo cha Polisi cha Kawe, Dar, linamhusu mama

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DOKII AMZAWADIA KIWANJA LUCY KOMBA

Msanii wa filamu na muziki, Ummy Wenceslaus ‘Dokii’ ambaye pesa imemtembelea ameonyesha kuwa na ushoga uliopitiliza na msanii mwenzake thumbnail 1 summary
Msanii wa filamu na muziki, Ummy Wenceslaus ‘Dokii’ ambaye pesa imemtembelea ameonyesha kuwa na ushoga uliopitiliza na msanii mwenzake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA KUSIKIA KAJALA ANA PESA CHAFU, MUMEWE AMBYE YUKO JELA AFUNGUKA HIVI

ANA hoja?  Siku chache baada ya gazeti pacha la hili, Ijumaa Wikienda, toleo la Jumatatu iliyopita kuripoti juu ya utajiri mkubwa wa staa... thumbnail 1 summary
ANA hoja? Siku chache baada ya gazeti pacha la hili, Ijumaa Wikienda, toleo la Jumatatu iliyopita kuripoti juu ya utajiri mkubwa wa staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’, mumewe Faraji Agustino amempigia saluti na kumuomba

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: