February 20, 2014

MAUTUNDU: MAMBO YA KUMFANYIA MSICHANA ILI UWEZE KUMTEKA ASIKUACHE HATA KAMA HUJAMTONGOZA .. YAJUE HAPA

      Habari yako ndugu msomaji? Natumaini u mzima na mwenye afya njema.   thumbnail 1 summary


     


Habari yako ndugu msomaji? Natumaini u mzima na mwenye afya njema. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TEKNOLOJIA NDANI YA AFYA : KCMC YAZINDUA HUDUMA MPYA YA UPASUAJI KUTUMIA DARAUBIN ... JIONEE UJANJA HUO HAPA

Teknolojia mpya ya upasuaji kwa njia ya Darubini katika Hospitali ya KCMC, Teknolojia hiyo inadaiwa kuokoa muda na gharama za upasuaji ... thumbnail 1 summary


Teknolojia mpya ya upasuaji kwa njia ya Darubini katika Hospitali ya KCMC, Teknolojia hiyo inadaiwa kuokoa muda na gharama za upasuaji pamoja na kupunguza vifo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO YA DULLY SYKES "KIBINTI SPECIAL" YAFUNGIWA KWA KUKOSA MAADILI, DULLY MWENYEWE AFUNGUKA JUU YA SAKATA HILO... SOMA HAPA

Msanii mkongwe wa muziki nchini, Dully Sykes amesema miongoni mwasababu zilizofanya BASATA ifungie video yake ya ‘Kabinti Special’ thumbnail 1 summary


Msanii mkongwe wa muziki nchini, Dully Sykes amesema miongoni mwasababu zilizofanya BASATA ifungie video yake ya ‘Kabinti Special’

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BALAA: MZIMU WA POSHO WALITESA BUNGE LA KATIBU..WAKATAA POSHO YA SH LAKI TATU KWA SIKU ... SOMA HAPA

Siku mbili baada ya kuanza kwa Bunge hilo, baadhi ya wajumbe wametaka waongewe posho kwa maelez... thumbnail 1 summary





















Siku mbili baada ya kuanza kwa Bunge hilo, baadhi ya wajumbe wametaka waongewe posho kwa maelezo kuwa kiasi wanachopewa sasa cha Sh300,000

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WATOTO WALIO ZALIWA WAMEUNGANA WAREJEA DAR BAADA YA KUTENGENISHWA .. SOMA TAHARIFA ZAIDI

Watoto pacha, Elikana na Eliud waliokuwa wameungana wamerejea nchini jana wakitokea India walipokuwa kwa ajili ya kutenganishwa, tayari... thumbnail 1 summary

Watoto pacha, Elikana na Eliud waliokuwa wameungana wamerejea nchini jana wakitokea India walipokuwa kwa ajili ya kutenganishwa, tayari kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HILI BUNGE LA KATIBA LIMEJAA WAHUNI NA WASHENZI SIJAWAHI KUONA TOKA TUPATE UHURU.. SOMA HAPA KUJUA

Mchungaji Mtikila leo huyu jamaa amekandia bunge lote la katiba na kusema anasikitka soon atalicha bunge hilo mana limechaguliwa kihuni. thumbnail 1 summary


Mchungaji Mtikila leo huyu jamaa amekandia bunge lote la katiba na kusema anasikitka soon atalicha bunge hilo mana limechaguliwa kihuni.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MUME NA MKE WAZUA BALAA BUNGE LA KATIBA .. HABARI KAMILI SOMAHAPA

Chama cha National League for Democracy (NLD) Zanzibar kimemtaka, Rais Jakaya Kikwete kufuta uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Kati... thumbnail 1 summary


Chama cha National League for Democracy (NLD) Zanzibar kimemtaka, Rais Jakaya Kikwete kufuta uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kupitia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ALIYEZAA NA SHILOLE AIBUKA ... SIRI SIO SIRI TENA WALA RAHA YA DUNIA

Denis Mtima, aliyekuwa Igunga, Tabora KWA mara ya kwanza, mzazi mwenza na msanii wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilol... thumbnail 1 summary


Denis Mtima, aliyekuwa Igunga, Tabora
KWA mara ya kwanza, mzazi mwenza na msanii wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Elias Makala ameibuka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWAKIFWAMBA AWAINGIZA CHAKA BONGO MUVI ... BALAA PATA HABARI KAMILI HAPA

Hamida Hassan na Gladness Mallya WASANII wa sinema wanaounda Kundi la Bongo Muvi, wamemshutumu Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzan... thumbnail 1 summary


Hamida Hassan na Gladness Mallya
WASANII wa sinema wanaounda Kundi la Bongo Muvi, wamemshutumu Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Simon Mwakifwamba

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAKUBWA! MAMA WEMA AKESHA AKIOMBA DIAMOND AFUMANIWE ... MAKUBWA SOMA HAPA KUJUA KISA HICHO

Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani MAMA wa Miss Tanzania 2006 aliye pia staa wa muvi za Bongo, Wema Sepetu, Mariam Sepetu amesema ... thumbnail 1 summary


Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani
MAMA wa Miss Tanzania 2006 aliye pia staa wa muvi za Bongo, Wema Sepetu, Mariam Sepetu amesema anamwomba

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ARSENAL HOI KWA BAYERN WACHEZEA KICHAPO ... TAZAMA HAPA

Wojciech Szczesny akijaribu kumzuia  Arjen Robben  bila mafanikio. Kipa wa Arsenal,  Wojciech Szczesny  akimchezea rafu Robben... thumbnail 1 summary


Wojciech Szczesny akijaribu kumzuia Arjen Robben bila mafanikio.
Kipa wa Arsenal, Wojciech Szczesny akimchezea rafu Robben kupelekea penalti na kadi nyekundu.
... Szczesny akizawadiwa kadi nyekundu.
David Alaba wa Bayern Munich akikosa penalti.
Kiungo wa Arsenal, Mesut Ozil naye akikosa mkwaju wa penalti kipindi cha kwanza.
Wachezaji wa Bayern Munich wakishangilia bao lao la kwanza.
Hekaheka wakati wa mtanange huo.
TIMU ya Arsenal FC imepokea kipigo cha bao 2-0 kutoka kwa Bayern Munich katika  mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya iliyochezwa Uwanja wa Emirates, London hivi punde.
Arsenal waliokuwa nyumbani katika Uwanja wao wa Emirates wamemaliza mchezo wakiwa 10  baada ya kipa wao Wojciech Szczesny kumchezea rafu wimba wa Bayern Munich, Arjen Robben aliyekuwa anaelekea kufunga bao.
Baada ya rafu hiyo, Szczesny alizawadiwa kadi nyekundu na kuamriwa ipigwe penalti langoni mwa Arsenal japo David Alaba  aliikosa.
Mechi ya leo imeshuhudia timu zote mbili zikikosa penalti ambapo ya Arsenal imekoswa na Mesut Ozil na ya Munich ikikoswa na David Alaba.
Wafungaji mabao ya Munich walikuwa Toni Kroos na Tomas Muller.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DRAKE ATOKA NA MWANADADA MCHEZA ,PIRA WA KIKAPU ...PATA KUMTAZAMA HAPA

Anaitwa Skylar Diggins mchezaji wa mpira wa kikapu nchini marekani thumbnail 1 summary


https://scontent-a-lhr.xx.fbcdn.net/hphotos-ash3/t1/1900159_719160051449599_636481281_n.jpgAnaitwa Skylar Diggins mchezaji wa mpira wa kikapu nchini marekani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: