July 31, 2014

Messi, Neymar, Suarez watashindwa kushiriki kwenye La Liga ikiwa jambo hili la kisiasa litatokea….

Siasa ni jambo ambalo limeshikilia hatma ya vitu vingi sana duniani ikiwemo mchezo wa soka ambao una ufuasi mkubwa ulimwenguni kote. thumbnail 1 summary
1277281-27538268-2560-1440Siasa ni jambo ambalo limeshikilia hatma ya vitu vingi sana duniani ikiwemo mchezo wa soka ambao una ufuasi mkubwa ulimwenguni kote.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SOMA HAPA UJUMBE WA DIAMOND KWENDA KWA MASHABIKI WAKE INAKUHUSU SANA HII

Japokuwa nina show Canada tareh 2 lakini ilinibidi kwanza nilete Mzigo thumbnail 1 summary

Japokuwa nina show Canada tareh 2 lakini ilinibidi kwanza nilete Mzigo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIONGOZI WA UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI (UKAWA)WATOA TAMKO LAO KUHUSU WITO ULIOTOLEWA NA VIONGOZI WA DINI KUWATAKA WAREJEE BUNGENI

Viongozi wakuu wa Umija wa katiba ya wananchi (UKAWA) wakishikana mikono kuashiria umoja mara baada ya kuongea na wandishi wa habari kuto... thumbnail 1 summary
Viongozi wakuu wa Umija wa katiba ya wananchi (UKAWA) wakishikana mikono kuashiria umoja mara baada ya kuongea na wandishi wa habari kutoa Tamko la Ukawa kuhusu Wito wa Viongozi wa Dini wa kurudi Bungeni kutoka kulia ni profesa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HATIMAYE NEYMAR AANIKA SIKU YA KURUDI UWANJANI

NEYMAR ameweka wazi kuwa atarudi uwanjani agosti 18 mwaka huu kuitumikia Barcelona katika mechi ya maandalizi ya kabla ya msimu ya kom... thumbnail 1 summary
Neymar reveals return date

NEYMAR ameweka wazi kuwa atarudi uwanjani agosti 18 mwaka huu kuitumikia Barcelona katika mechi ya maandalizi ya kabla ya msimu ya kombe la Joan Gamper dhidi ya Leon.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

“Arsenal haikuwa na hadhi ya kumsajili Suarez.” – mtambue aliyesema kauli hii

Wakati wa dirisha la usajili msimu uliopita mchezaji Luis Suarez alitingisha vichwa vya habri vya vyombo vya habari zote kutokana na ku... thumbnail 1 summary
BPKfv3-CMAAcsY9.jpg-large
Wakati wa dirisha la usajili msimu uliopita mchezaji Luis Suarez alitingisha vichwa vya habri vya vyombo vya habari zote kutokana na kuwania na vilabu vingi vikitaka kumsajili kutoka Liverpool.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASKINI ROSE MUHANDO..WAHUNI WAMFANYIA KITU MBAYA MPAKA ANAJUTA SASA

MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili, Rose Muhando amelalamika kuwa albamu yake ya Kamata Pindo la Yesu Albamu anayotarajia kuizindua Ju... thumbnail 1 summary


MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili, Rose Muhando amelalamika kuwa albamu yake ya Kamata Pindo la Yesu Albamu anayotarajia kuizindua Jumapili wiki hii imeingizwa mtaani na wezi wa kazi za wasanii, hivyo kuonya wananchi wawe makini kwani albamu yake halisi itatoka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANAMKE AULIA NA MCHUMBA WAKE KWA KUCHOMWACHOMWA VISU WAKATI WA SIKUKUUU

SIKU mbili kabla ya Sikukuu ya Eid el Fitr, binti aliyefahamika kwa jina la Salma Khamis (21) (pichani), amekumbwa na mauti kufuatia kuc... thumbnail 1 summary
SIKU mbili kabla ya Sikukuu ya Eid el Fitr, binti aliyefahamika kwa jina la Salma Khamis (21) (pichani), amekumbwa na mauti kufuatia kuchomwa visu mwilini na mchumba wake aliyetajwa kwa jina la Omary Idd. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAPICHA YA KUUZUNISHA:MUME AMPIGA MKEWE AKISWALI

TUHUMA nzito ya aina yake ambayo haijawahi kutokea ambapo mkazi mmoja wa Tandale – Kwatumbo wilayani Kinondoni jijini, Idd Mpenda anadaiw... thumbnail 1 summary
TUHUMA nzito ya aina yake ambayo haijawahi kutokea ambapo mkazi mmoja wa Tandale – Kwatumbo wilayani Kinondoni jijini, Idd Mpenda anadaiwa kumshambulia na kumjeruhi hadi kuzimia mkewe, Nasra Dafa (30) wakati

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAJANGA! MISUKULE YA GWAJIMA YATINGA POLISI…NDUGU KUITWA ILI KUTHIBITISHA VIFO VYAO

Baada  ya  hivi  karibuni  kutoa  waraka  mzito  unaowalenga  watumishi  wa  mungu  kwa  kile  alichodai  kuwa  ni  ukiukwaji  wa  sheri... thumbnail 1 summary
msukule1
Baada  ya  hivi  karibuni  kutoa  waraka  mzito  unaowalenga  watumishi  wa  mungu  kwa  kile  alichodai  kuwa  ni  ukiukwaji  wa  sheria  za  mungu, Nabii Hosea  Chamungu  ametangaza  rasmi  kuiwasilisha  ripoti  ya  misukule  feki 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LIVERPOOL YAITANDIKA MAN CITY 3-1 MAREKANI...YAYA TOURE AKOSA PENALTI

LIVERPOOL imaifunga kwa penalti 3-1 Manchester City kufuatia sare ya 2-2 ndani ya dakika 90 katika mchezo wa Kombe la Kimataifa kujianda... thumbnail 1 summary
LIVERPOOL imaifunga kwa penalti 3-1 Manchester City kufuatia sare ya 2-2 ndani ya dakika 90 katika mchezo wa Kombe la Kimataifa kujiandaa na msimu mpya Uwanja wa Yankee, Marekani. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KISA CHETI CHA UKIMWI:NDOA YA RUTH KOMBA NA MZUNGU WAKE YAINGIA KWENYE MIZENGWE..SOMA ZAIDI

HUKU  akiwa kwenye vikao vya maandalizi ya harusi na Mzungu, staa wa filamu Bongo, Lucy Francis Komba (pichani na mchumba wake), amejikuta thumbnail 1 summary
HUKU akiwa kwenye vikao vya maandalizi ya harusi na Mzungu, staa wa filamu Bongo, Lucy Francis Komba (pichani na mchumba wake), amejikuta

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LOWASA AKANA KUKIFADHILI CHAMA KIPYA CHA SIASA NCHINI CHA ACT-TANZANIA

Katika gazeti la Tanzania Daima toleo na.3536 la tarehe 30 Julai, kuna habari inayosema Lowassa aibukia ACT na kumuhusisha na Mbunge wa ... thumbnail 1 summary
LOWASA
Katika gazeti la Tanzania Daima toleo na.3536 la tarehe 30 Julai, kuna habari inayosema Lowassa aibukia ACT na kumuhusisha na Mbunge wa Kigoma

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAMA KILA MDAU AMETIMIZA WAJIBU WAKE KWA ASILIMIA 100, TAIFA STARS ITAITOA MSUMBUJI

Mbwana Ally Samatta (kushoto) ni miongoni mwa silaha za Taifa Stars nchini Msumbiji TAIFA Stars imeondoka jana kwa ndege ya Air Tanzania... thumbnail 1 summary

Mbwana Ally Samatta (kushoto) ni miongoni mwa silaha za Taifa Stars nchini MsumbijiTAIFA Stars imeondoka jana kwa ndege ya Air Tanzania kuelekea

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA NDANI YA BIFU ZITO NA MAMA YAKE, MWENYEWE AFUNGUKA HIVI, SOMA HAPA KUJUA ZAIDI

STAA   wa filamu Bongo, Wema Sepetu ametaja sababu zinazomfanya aingie katika mgogoro na mama yake mzazi, Miriam Sepetu kuwa ni suala... thumbnail 1 summary

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MR NICE AFUNGUKA CHANZO CHA YEYE KUFIRISIKA, ATOA SOMO KWA DIAMOND

MKONGWE  wa muziki wa kizazi kipya, Lucas Mkenda ‘Mr Nice’ ameibuka na kufunguka kuwa siri ya kufilisika kwake ni kupenda kwake sifa kuto... thumbnail 1 summary


MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya, Lucas Mkenda ‘Mr Nice’ ameibuka na kufunguka kuwa siri ya kufilisika kwake ni kupenda kwake sifa kutoka kwa wapambe na matumizi mabaya ya fedha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu ajali iliyotokea asubuhi ya leo Dodoma.

July 30 imesambaa Taarifa ya ajali ambayo imetokea mapema leo na Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma ajali iliyosababisha vifo vya watu 17 kat... thumbnail 1 summary
Capture5July 30 imesambaa Taarifa ya ajali ambayo imetokea mapema leo na Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma ajali iliyosababisha vifo vya watu 17 kati yao wanaume 12, wanawake 5 na majeruhi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

July 30, 2014

WANAUME FAHAMU FAIDA ZA PARACHICHI NA MATUMIZI YAKE

Nadhani wote mnalielewa PARACHICHI likoje na lina kazi gan katika mwili wa binadamu.  Ila mimi binafsi nawaletea utundu wangu hasa kwa ... thumbnail 1 summary
Nadhani wote mnalielewa PARACHICHI likoje na lina kazi gan katika mwili wa binadamu. Ila mimi binafsi nawaletea utundu wangu hasa kwa wanaume maana parachichi ukilitumia kisawa sawa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JOEL CAMPBELL AANZA JALAMBA NA ASERNAL, WENGER AMTAZAMA KWA JICHO LA TATU

+10 Anaonekana kuvutia: Mshambuliaji, Joel Campbell amejiunga na wachezaji wenzake wa Arsenal katika kambi ya  Austria. thumbnail 1 summary

Looking to impress: Striker Joel Campbell has joined his Arsenal team mates at their training camp in Austria
Anaonekana kuvutia: Mshambuliaji, Joel Campbell amejiunga na wachezaji wenzake wa Arsenal katika kambi ya  Austria.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TETESI ZA USAJILI ULAYA: BAYERN YAKANUSHA KUTAKA KUMSAJILI SAMI KHEDIRA

Bayern Munich   imekanusha taarifa za kutaka kumsajili nyota wa Real Madrid, Sami Khedira. thumbnail 1 summary
Bayern deny Khedira interest
Bayern Munich  imekanusha taarifa za kutaka kumsajili nyota wa Real Madrid, Sami Khedira.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Inasemekana Future ameshamuacha Ciara yupo na mwanamke huyu sasa

Kwenye ishu ya mahusiano msanii wa Hiphop Future ana sifa ya kuwa na watoto wanne hivi sasa na wote wana mama tofauti. Kabla na uhusiano ... thumbnail 1 summary
3Kwenye ishu ya mahusiano msanii wa Hiphop Future ana sifa ya kuwa na watoto wanne hivi sasa na wote wana mama tofauti. Kabla na uhusiano na Ciara alikuwa tayari na watoto watatu lakini

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JE UNAMJUA BONGO MOVIE MWENYE TABASAM MATATA KULIKO WOTE, MJUE LEO HAPA HAPA

Shamsa kama anavyoonekana hapo juu na babyd wake ni mschana mwenye furaha mno na huyo mwanaume wake, wasanii wengi hawana furaha namn... thumbnail 1 summary

Shamsa kama anavyoonekana hapo juu na babyd wake ni mschana mwenye furaha mno na huyo mwanaume wake, wasanii wengi hawana furaha namna hii na wanaume zao, wengi ni ukiwaona leo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LOUIS VAN GAAL AENDELEZA WIMBI LA USHINDI MAN UNITED, AITANDIKA INTER MILAN PENALTI 5-3

+24 Kazi inaendelea: Shinji Kagawa, Darren Fletcher na Tom Cleverley, wafungaji wanne wa penati za United, wakishangilia ush... thumbnail 1 summary

Spot on: Shinji Kagawa, Darren Fletcher and Tom Cleverley, three of United's penalty scorer, celebrate after the 5-3 shoot-out success against Inter Milan
Kazi inaendelea: Shinji Kagawa, Darren Fletcher na Tom Cleverley, wafungaji wanne wa penati za United, wakishangilia ushindi wao wa penalti 5-3 dhidi ya Inter Milan.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CRISTIANO RONALDO `HAFAI` KABISA! ATENGENEZA BIASHARA YA VIATU VYEMYE NEMBO YAKE..NI HATARI....

Cristiano Ronaldo ambaye anawaona watu wanavalia jezi za Real Madrid na Ureno zenye jina lake, sasa nyota huyo mwenye miaka 29 ameingia ... thumbnail 1 summary
New business venture: Cristiano Ronaldo has unveiled a premium range of footwear, to be released in February

Cristiano Ronaldo ambaye anawaona watu wanavalia jezi za Real Madrid na Ureno zenye jina lake, sasa nyota huyo mwenye miaka 29 ameingia kwenye biashara mpya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Jinsi Ronaldo alivyokua akitengeneza tangazo lake jipya la TV

Ronaldo ambae mwaka huu ametajwa kuwa mwanamichezo namba moja kwenye kushawishi makampuni makubwa ya kibiashara kufanya nae kazi ya kutan... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-07-30 at 5.20.30 AMRonaldo ambae mwaka huu ametajwa kuwa mwanamichezo namba moja kwenye kushawishi makampuni makubwa ya kibiashara kufanya nae kazi ya kutangaza bidhaa zao, ndio anamiliki hii

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASKINI DUDE, HALI TETE SASA BAADA YA KUHUSISHWA NA NJAMA ZA UJAMBAZI NA USHAHIDI HUU HAPA

GARI  la muigizaji maarufu wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ limekamatwa na Polisi jijini Dar es Salaam likihusishwa na tukio la ujam... thumbnail 1 summary

GARI la muigizaji maarufu wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ limekamatwa na Polisi jijini Dar es Salaam likihusishwa na tukio la ujambazi linalodaiwa kutokea Kijitonyama Mpakani usiku wa saa 5.15 Julai 21 mwaka huu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JAHAZI WAFUNIKA DAR LIVE, SHABIKI APANDA JUKWAANI NA KUIKALIA CHUPA YA BIA NA KUIKATIKIA

Mpenzi huyu wa taarab uvumilivu ulimshinda na kuamua kupanda stejini. thumbnail 1 summary
Mpenzi huyu wa taarab uvumilivu ulimshinda na kuamua kupanda stejini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

IJUE JUMLA YA IDADI YA TUZO ALIZOZIPATA LADY JAYDEE MPAKA SASA__TEAM UKWANZA SOMA HAPA

Mwanadada Lady Jaydee alimaharufu kama Binti Machozi wa TEAM ANACONDA, leo ameweka wazi kua tangu alipo anza mziki mpaka sasa baada ya ... thumbnail 1 summary

Mwanadada Lady Jaydee alimaharufu kama Binti Machozi wa TEAM ANACONDA, leo ameweka wazi kua tangu alipo anza mziki mpaka sasa baada ya kupata tuzo ya mwanamziki bora wa kike wa Afrika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MSANII MWINGINE ANASWA NA MADAWA CHINA, JUX NA PETIT MAN NAO WAWEKWA KITI MOTO

HUKU  modo maarufu Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’, akisota jela nchini China kwa skendo ya kukamatwa na madawa ya k... thumbnail 1 summary
HUKU modo maarufu Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’, akisota jela nchini China kwa skendo ya kukamatwa na madawa ya kulevya (unga), mrembo mwingine ambaye aliwahi kujaribu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA ZAIDI ZA SEND OFF YA AUNTY EZEKIEL PAMOJA NA SHEREHE YAKE YA BIRTHDAY...!

  Bi Harusi(Aunt) akiwa ndio anawasili ndani ya ukumbi huo kwa mbwembwe kubwa sana. Chezea mke wa Sunday aka Bongo celebrity!!! thumbnail 1 summary
 Bi Harusi(Aunt) akiwa ndio anawasili ndani ya ukumbi huo kwa mbwembwe kubwa sana. Chezea mke wa Sunday aka Bongo celebrity!!!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BABA AWACHARAZA VIBOKO WALIMU WAWILI WA SHULE YA MSINGI HUKO MKOANI TABORA..

Vitendo vya baadhi ya wazazi, kudhalilisha walimu vinaendelea, ambapo mzazi mmoja Selemani Juma, amewashambulia walimu wawili kwa viboko. thumbnail 1 summary
Vitendo vya baadhi ya wazazi, kudhalilisha walimu vinaendelea, ambapo mzazi mmoja Selemani Juma, amewashambulia walimu wawili kwa viboko.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

July 29, 2014

Ushahidi mpya wa Chris Brown kuwa bado ana mapenzi kwa Rihanna

Kila mtu ana story yake ya uhusiano wake na mpenzi wake lakini hii story ya Chris Brown na Rihanna inachukua attention ya watu wengi ku... thumbnail 1 summary
rihan3
Kila mtu ana story yake ya uhusiano wake na mpenzi wake lakini hii story ya Chris Brown na Rihanna inachukua attention ya watu wengi kutokana na mambo yanayoendelea kati yao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Shakira ni mjamzito tena? Hiki alichokisema Gerard Pique

Kwa mara nyingine tena familia ya mwanamuziki maarufu duniani Shakira na mchumba wake mwanasoka, Gerard Pique  - imeingia kwenye ‘headlin... thumbnail 1 summary
10489743_10152593312094596_2669401762394977952_nKwa mara nyingine tena familia ya mwanamuziki maarufu duniani Shakira na mchumba wake mwanasoka, Gerard Pique  - imeingia kwenye ‘headlines’ za vyombo vya haari ulimwenguni.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA HAPA HOT S3X PHOTO ZA MWANADADA MTANGAZAJI WA CLOUD FM (DIVA)

Habari za weekend wadau, pamoja  na mipasho ya habari  mbalimbali  za kisiasa  na matukio ya hapa  na  pale, si mbaya pia  tukianga... thumbnail 1 summary

diva4

Habari za weekend wadau, pamoja  na mipasho ya habari  mbalimbali  za kisiasa  na matukio ya hapa  na  pale, si mbaya pia  tukiangalia  na  upande  wa pili wa shilingi, nikiwa  na  maana  ya  udaku  na  burudani…. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA PICHA LINAH ATOA MISAADA KWA WAJANE, VIKONGWE YOMBO JIJINI DAR

Gari lililombeba Linah likiwasili Yombo-Kilakala. thumbnail 1 summary


Gari lililombeba Linah likiwasili Yombo-Kilakala.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BIFU LA CHRIS BROWN NA DRAKE LAFIKIA TAMATI SASA. SOMA NA KUTAZAMA PICHA HAPA

Didn’t think we’d see this day come, but it looks like  Drake  and  Chris Brown  have let bygones be bygones. thumbnail 1 summary

chris-brown-drake-reunitedDidn’t think we’d see this day come, but it looks like Drake and Chris Brown have let bygones be bygones.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWENYEKITI JUKWAA LA KATIBA ATISHIWA KUUAWA

MWENYEKITI  wa Jukwaa la Katiba Tanzania, Deus Kibamba amejikuta akishikilia roho mkononi baada ya kupewa vitisho na mtu asiyejulikana ku... thumbnail 1 summary
MWENYEKITI wa Jukwaa la Katiba Tanzania, Deus Kibamba amejikuta akishikilia roho mkononi baada ya kupewa vitisho na mtu asiyejulikana kuwa atamuua bila kumueleza sababu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAMISA MOBETO SASA KUPIGWA NDOA NA SHAROBARO WA FACEBOOK

Wanasema kimya kingi kina mshondo baada ya kudaiwa, hapo mwanzo ilidaiwa kua    Hamisa Mobeto alikua akichepuka na Bwana Almas aka D... thumbnail 1 summary



Wanasema kimya kingi kina mshondo baada ya kudaiwa, hapo mwanzo ilidaiwa kua  Hamisa Mobeto alikua akichepuka na Bwana Almas aka Dangote aka Diamond au Chibu kama

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ni long time hujawaona P Square wamepewa kolabo? tazama hii

Labda inawezekana ni utaratibu waliojiwekea P Square ambao pamoja na kwamba huonekana mara chache wakiwa wameshirikishwa kwenye nyimbo na... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-07-29 at 4.58.20 AMLabda inawezekana ni utaratibu waliojiwekea P Square ambao pamoja na kwamba huonekana mara chache wakiwa wameshirikishwa kwenye nyimbo na Wasanii wengine wachache wa Afrika, huwa inatokea mara chache sana.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MKE WA H BABA ADAIWA KUWA KOBE, MWENYEWE AFUNGUKA SABABU

FUNGUKA!  Staa wa filamu za Kibongo, Flora Mvungi ambaye ni mke wa ndoa wa msanii wa muziki wa Kizazi Kipya, Hamis Ramadhan ‘H. Baba’ a... thumbnail 1 summary


FUNGUKA! Staa wa filamu za Kibongo, Flora Mvungi ambaye ni mke wa ndoa wa msanii wa muziki wa Kizazi Kipya, Hamis Ramadhan ‘H. Baba’ amefunguka kwamba mwaka huu ameshindwa kufunga

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

YATIMA AOTA NYAMA YA AJABU ANA UMRI WA MIAKA 16 KILA ANAYEMLEA HUFARIKI DUNIA

Kwa kweli duniani kuna mateso, lakini ya mtoto huyu yatima ni makali na maisha yake yapo hatarini kama hatawahi kupata matibabu. Fuatilia... thumbnail 1 summary

Kwa kweli duniani kuna mateso, lakini ya mtoto huyu yatima ni makali na maisha yake yapo hatarini kama hatawahi kupata matibabu. Fuatilia mkasa wake hapa chini ambao naamini utakuhuzunisha.
Kijana Twaha Sultan (16) ambaye ni yatima mkazi wa Kipawa Karakata, Wilaya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DAIVA AYAANIKA TENA MAUNGO YAKE NYETI, NI FUUL UTAMU, TAZAMA HAPA

Mtangazaji wa kipindi cha mahaba kiitwacho Ala za Roho kupitia Radio Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Diva’ hivi karibuni alilazimika kuyaan... thumbnail 1 summary

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MTOTO ALIYETESWA SIKU 730 ATOROSHWA

YULE  binti Melina (15) aliyeandikwa kwenye Gazeti la Uwazi toleo la Juni 17, mwaka huu kwa kichwa cha habari kisemacho; MTOTO ATESWA SIK... thumbnail 1 summary
YULE binti Melina (15) aliyeandikwa kwenye Gazeti la Uwazi toleo la Juni 17, mwaka huu kwa kichwa cha habari kisemacho; MTOTO ATESWA SIKU 730 amedaiwa kutoroshwa na kupelekwa kusikojulikana.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

July 28, 2014

Staa mwingine wa Man Utd aliefunga ndoa, mwimbaji PSY, Evra, Guus Hiddink wahudhuria

Baada ya Jonny Evans kuuaga ubachela mapema mwaka huu, leo hii zimetoka taarifa za staa mwingine wa zamani wa Manchester United ametoka k... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-07-28 at 9.32.05 PMBaada ya Jonny Evans kuuaga ubachela mapema mwaka huu, leo hii zimetoka taarifa za staa mwingine wa zamani wa Manchester United ametoka kwenye chama cha mabachela baada ya kufunga ndoa na mpenzi wa siku nyingi katika harusi iliyohudhuriwa na mastaa wengine kibao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MALIKIA HUYU ANATAFUTA MCHUMBA ILA VIGEZO VYAKE NOMA SANAAAA! BOFYA UVIOUNE

"Mimi ni Mariamu Masalalo, mkazi wa Mbezi Beach, Dar es salaam, Tanzania. Nina umri wa miaka 21 na nina elimu ya kidato cha Sit... thumbnail 1 summary


"Mimi ni Mariamu Masalalo, mkazi wa Mbezi Beach, Dar es salaam, Tanzania. Nina umri wa miaka 21 na nina elimu ya kidato cha Sita. Kwa sasa hivi ninasimamia biashara za baba yangu zilizopo maeneo ya Sinza  na Kariako, Dar

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SERENGETI BOYS YAPAA LEO KUELEKEA SOUTH AFRICA

Msafara wa watu 25 wa kikosi cha timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) umeondoka le (Julai 28 mwaka huu) ... thumbnail 1 summary

Msafara wa watu 25 wa kikosi cha timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) umeondoka le (Julai 28 mwaka huu) kwenda Afrika Kusini kwa ajili ya mechi dhidi ya Afrika Kusini (Amajimbos).

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Alichojibu Ronaldo baada ya kuripotiwa kusainiwa na Lil Wayne

Baada ya Jay Z kufungua kampuni ya kusimamia wanamichezo na kuanza kupata mafanikio kupitia biashara hiyo, mwanamuziki mwingine nguli wa ... thumbnail 1 summary
Cristiano-Ronaldo-_2029539aBaada ya Jay Z kufungua kampuni ya kusimamia wanamichezo na kuanza kupata mafanikio kupitia biashara hiyo, mwanamuziki mwingine nguli wa hip hop kutoka nchini Marekani, Lil Wayne ameripotiwa kufungua kampuni ya usimamizi wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: