March 31, 2016

Tetesi: Kikwete Kumrith Ban Ki-Moon Umoja wa Mataifa

Dr. Jakaya Mrisho Kikwete Rais mstaafu wa Tanzania kwa awamu ya nne (2005 – 2015) ni miongoni mwa wanadiplomasia wakubwa duniani wenye us... thumbnail 1 summary
Dr. Jakaya Mrisho Kikwete Rais mstaafu wa Tanzania kwa awamu ya nne (2005 – 2015) ni miongoni mwa wanadiplomasia wakubwa duniani wenye ushawishi na uwezo wa utatuzi wa matatizo mbalimbali duniani, sio tu kwa sababu viongozi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mabeste na Lisa Kufunga Ndoa Mwezi wa Nane.

Rapper Mabeste amesema anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni na mchumba wake wa siku nyingi, Lisa aliyezaa naye mtoto mmoja aitwaye Kendric... thumbnail 1 summary
Rapper Mabeste amesema anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni na mchumba wake wa siku nyingi, Lisa aliyezaa naye mtoto mmoja aitwaye Kendrick.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zari, Diamond Kimenuka Ulaya, Mapenzi Ndio Chanzo !

Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa Sweeden na familia yake. Hakuna furaha isiyo na karaha, Ndiyo kauli inayoweza kutum... thumbnail 1 summary
Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa Sweeden na familia yake.
Hakuna furaha isiyo na karaha, Ndiyo kauli inayoweza kutumika kwenye habari ya ziara ya Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Familia ya Wasafi Classic Baby (WCB)

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Maumivu Wakati wa Kufanya Mapenzi Kwa Mwanamke

Maumivu wakati wa kufanya mapenzi ni hali inayojitokeza hasa kwa wanawake. Hujulikana kwa kitaalamu kama. thumbnail 1 summary
Maumivu wakati wa kufanya mapenzi ni hali inayojitokeza hasa kwa wanawake. Hujulikana kwa kitaalamu kama.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Akina Dada Msipende Kuwadharau Vijana Mnaofanya nao Kazi Maofisini...

Akina dada nipende kuwashauri kitu kimoja. Msipende kuwadharau vijana mnaofanyanao kazi ofisi moja na kuwaona wa thamani kubwa watu msi... thumbnail 1 summary
Akina dada nipende kuwashauri kitu kimoja.
Msipende kuwadharau vijana mnaofanyanao kazi ofisi moja na kuwaona wa thamani kubwa watu msiowajua hasa wa kwenye mitandao mkidhani kuwa hao ndio wana maisha bora.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwimbaji Rose Mhando Ashtakiwa Kwa Waziri Nape Juu ya Utapeli Anaofanya.....

Msanii wa nyimbo za injili nchini, Rose Mhando, ameshtakiwa kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye, kwa kitendo... thumbnail 1 summary
Msanii wa nyimbo za injili nchini, Rose Mhando, ameshtakiwa kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye, kwa kitendo cha utapeli na kushindwa kutekeleza mkataba wa kuhudhuria na kutumbuiza kwenye Tamasha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwanamke Mbaroni kwa Kukutwa na Meno ya Tembo Morogoro....

Jeshi la polisi mkoani Morogoro linamshikilia mwanamke mmoja Magreth Mosha mkazi wa Kibaha mkoani Pwani kwa tuhuma ya kupatikana na vipan... thumbnail 1 summary
Jeshi la polisi mkoani Morogoro linamshikilia mwanamke mmoja Magreth Mosha mkazi wa Kibaha mkoani Pwani kwa tuhuma ya kupatikana na vipande saba vya meno ya tembo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tanzania yapokea Msaada wa Shilingi Bilioni 116.4 kutoka Japan.

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini hati mbili za makubaliano na Serikali ya Japan itakayoiwezesha Tanzania kupata kiasi... thumbnail 1 summary
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini hati mbili za makubaliano na Serikali ya Japan itakayoiwezesha Tanzania kupata kiasi Yen Bilioni 6 ambazo ni sawa na Sh. Bilioni 116.4 za Kitanzania.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zijue Record Label 6 Ambazo Wasanii Wake Wanafanya Vizuri

Record label ni kampuni inayosimamia wasanii ama brand, kuratibu utengenezaji wa nyimbo, video, usambazaji, masoko, promotion na mamb... thumbnail 1 summary


Record label ni kampuni inayosimamia wasanii ama brand, kuratibu utengenezaji wa nyimbo, video, usambazaji, masoko, promotion na mambo mengine. Record label pia hutafuta wasanii wapya kwa nia ya kuendeleza vipaji vyao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Vigogo Wawili Maliasili Waliotoa Vibali vya Kusafirisha Tumbili Watiwa Mbaroni

Kikosi kazi maalumu cha kuchunguza makosa makubwa ya kihalifu kimewatia mbaroni vigogo wawili wa Wizara ya Maliasili na Utalii, wakihusis... thumbnail 1 summary
Kikosi kazi maalumu cha kuchunguza makosa makubwa ya kihalifu kimewatia mbaroni vigogo wawili wa Wizara ya Maliasili na Utalii, wakihusishwa na utoaji wa kibali cha kusafirisha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rais Magufuli Akabidhiwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)

Rais John Magufuli, ambaye amejipa kazi ya “kutumbua majipu”, sasa anaweza kufanya kazi yake vizuri zaidi baada ya kukabidhiwa ripoti tan... thumbnail 1 summary
Rais John Magufuli, ambaye amejipa kazi ya “kutumbua majipu”, sasa anaweza kufanya kazi yake vizuri zaidi baada ya kukabidhiwa ripoti tano na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwimbaji Vanessa Mdee Amfungukia Laivu Jack Patrick Aliyoko Jela....

Baada ya kumkwapua Juma Mussa Mpolopoto ‘Jux’ aliyekuwa mpenzi wa modo Jacqueline Fitzpatrick ‘Jack Cliff’ kisha modo huyo kufungwa kwa msa... thumbnail 1 summary
Baada ya kumkwapua Juma Mussa Mpolopoto ‘Jux’ aliyekuwa mpenzi wa modo Jacqueline Fitzpatrick ‘Jack Cliff’ kisha modo huyo kufungwa kwa msala wa madawa ya kulevya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hizi ndizo Sifa za Wanaume Katika Mahusiano na Mapenzi Kutokana na Majina yao

Majina ya wanaume na Sifa zao katika mahusiano yao na mapenzi thumbnail 1 summary
Majina ya wanaume na Sifa zao katika mahusiano yao na mapenzi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mbunge Sugu Awachana Wasanii Kufanya Show Ulaya....Adai Sio Kigezo Kwa Music Wetu Kukua

\ Kwenye stori tatu ya Planet Bongo ya East Africa Radio, Sugu amesema huwezi kutumia kigezo cha wasanii kufanya show nje ya Afrika yaani... thumbnail 1 summary
\
Kwenye stori tatu ya Planet Bongo ya East Africa Radio, Sugu amesema huwezi kutumia kigezo cha wasanii kufanya show nje ya Afrika yaani Ulaya, America na kwengineko kama kigezo kuwa game

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zitto Kabwe: Tanzania Kunyimwa Fedha ni Matokeo ya Ubabe wa CCM

Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, amesema MCC kuinyima fedha Tanzania ni kwa sababu ya ubabe wa CCM na kwamba, sasa watu wasivikwe kot... thumbnail 1 summary
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, amesema MCC kuinyima fedha Tanzania ni kwa sababu ya ubabe wa CCM na kwamba, sasa watu wasivikwe koti la uzalendo kwa jambo hilo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond: Sina Tatizo na Msanii yoyote Hata Ukija Ofisini Kwangu Utakuta Nimebandika Picha ya Alikiba na Mr.blue

Diamond amesema hataki kuulizwa tena kama ana bifu na msanii mwingine, amedai hana tatizo na msanii yoyote na ndio maana hata ukienda ofisi... thumbnail 1 summary
Diamond amesema hataki kuulizwa tena kama ana bifu na msanii mwingine, amedai hana tatizo na msanii yoyote na ndio maana hata ukienda ofisini kwake utakuta ameweka picha za wasanii

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ishu ya Madawa ya Kulevya, Mrembo Tunda Amkingia Kifua Young D...Asema Haya

MUUZA nyago kwenye video za Bongo Fleva, Tunda Sebastian amejikuta akimkingia kifua mwandani wake, David Genzi ‘Young D’ kutokana na kuhusi... thumbnail 1 summary
MUUZA nyago kwenye video za Bongo Fleva, Tunda Sebastian amejikuta akimkingia kifua mwandani wake, David Genzi ‘Young D’ kutokana na kuhusishwa na matumizi ya madawa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Imenifikia list ya viwanja 9 vya ndege hatari duniani (+Video)

Najua na watu wangu wa nguvu ambao shughuli na kazi zao huwalazimu kusafiri kwa kutumia usafiri wa anga, kama wewe ni mmoja kati ya... thumbnail 1 summary

Najua na watu wangu wa nguvu ambao shughuli na kazi zao huwalazimu kusafiri kwa kutumia usafiri wa anga, kama wewe ni mmoja kati ya wale watu wanaosafiri sana na ndege kutoka Tanzania kwenda nchi mbalimbali duniani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Samatta anacheza soka Ubelgiji, hivi ni viwango vya mishahara vya wachezaji wa Ligi hiyo

Najua unatamani kujua maisha ya wanasoka wa Ubelgiji hususani katika kipindi hiki anachocheza soka mtanzania Mbwana Samatta nchini humo, ... thumbnail 1 summary
Najua unatamani kujua maisha ya wanasoka wa Ubelgiji hususani katika kipindi hiki anachocheza soka mtanzania Mbwana Samatta nchini humo, kiukweli mshahara waSamatta

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wafanyabiashara Wachina Kortini Kwa Kutorosha Noti za 500

Wafanyabiashara wawili raia wa China, Su Ning (39) na Feng Guang Quan (51) wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu ma... thumbnail 1 summary
Wafanyabiashara wawili raia wa China, Su Ning (39) na Feng Guang Quan (51) wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka matatu ya kusafirisha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: