January 16, 2015

Habari nzuri nyingine 2015, Vanessa Mdee kwenye hii deal na Kampuni ya Samsung…

Huu unaweza kuwa mwaka wa mafanikio zaidi kwa mastaa wengi Tz, tumeona  Jokate akisign deal ya kufanya biashara kubwa chini ya lebo ya thumbnail 1 summary
DSC_0575Huu unaweza kuwa mwaka wa mafanikio zaidi kwa mastaa wengi Tz, tumeona Jokateakisign deal ya kufanya biashara kubwa chini ya lebo ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WOLPER AFUNGUKA MAZITO>>>AMECHOSHWA KUTUMIKISHWA NA WAHINDI BONGO MUVIES, SASA NI FUNDI CHEREHANI

Kumekuepo na makundi natetesi za kutopendana kati ya wasanii wa Bongo Movie, mara nyingi tumeona wakirushiana maneno na hata mabifu yao kua... thumbnail 1 summary

Kumekuepo na makundi natetesi za kutopendana kati ya wasanii wa Bongo Movie, mara nyingi tumeona wakirushiana maneno na hata mabifu yao kuandikwa na magazeti mbalimbali. Leo kupitia akaunti yake ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

IRENE PAUL AWABWATUKIA WANAOMPONDA KUFANANA AGELINA JOLIE!!!!

“Insta weka picha maneno WAACHIE WAO halafu kuweni na hoja maana tofauti na hapo zikiwa shangwe au kuzomewa zote KELELE haya halafu u... thumbnail 1 summary


“Insta weka picha maneno WAACHIE WAO halafu kuweni na hoja maana tofauti na hapo zikiwa shangwe au kuzomewa zote KELELE haya halafu uzuri mmoja jamani Mungu si baba yetu wote?kwa hiyo nikijichagulia DADANGU kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAPENZI WA JINSIA MOJA WAGOMA KUTIBIWA!!!

Pameibuka hasira kali miongoni mwa jamii ya Wagoa nchini India,wakati ambapo serikali ilipoamua kuweka bayana kuwa kutakuwa na vituo ... thumbnail 1 summary

Pameibuka hasira kali miongoni mwa jamii ya Wagoa nchini India,wakati ambapo serikali ilipoamua kuweka bayana kuwa kutakuwa na vituo vya kuwaponya wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsi moja. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FAHAMU RATIBA ZA MUVI CINEMA CENTER ZOTE DAR .... USIKOSE MUVI MPYA ZOTE 2015

. Mtu wangu hizi hapa ndiyo  movies  zitakazoonyeshwa leo kwenye theater mbalimbali pia unaweza kuchagua muda wako,movie yako na wapi... thumbnail 1 summary
.
.
Mtu wangu hizi hapa ndiyo movies zitakazoonyeshwa leo kwenye theater mbalimbali pia unaweza kuchagua muda wako,movie yako na wapi pa kwenda kuangalia.kama upo Dar es Salaam

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hawa ni watoto wanaofanana na mastaa wakubwa duniani, cheki pichaz

Kuna msemo usemao duniani wawili wawili, hivi uliwahi kuambiwa kuna mtu unafanana naye au kukutana na mtu ambaye anafanana au anafanana  ... thumbnail 1 summary
82649628e614374168ab92fb4a08b035Kuna msemo usemao duniani wawili wawili, hivi uliwahi kuambiwa kuna mtu unafanana naye au kukutana na mtu ambaye anafanana au anafanana  na mtu unayemjua?

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WATUHUMIWA WATATU WA SAKATA LA ESCROW KIZIMBAN

WATUHUMIWA watatu wa sakata la akaunti ya Tegeta Escrow wasomewa mashitaka leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es thumbnail 1 summary

WATUHUMIWA watatu wa sakata la akaunti ya Tegeta Escrow wasomewa mashitaka leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ALI KIBA NA DIAMOND KUKANYAGA JUKWAA MOJA TAREHE 24 MWEZI HUU

Kampuni ya simu ya mkononi ya Tigo imetangaza kuandaa tamasha kubwa kabisa la muziki la aina yake lijulikanalo kama “Kiboko Yao” litak... thumbnail 1 summary


diamond
Kampuni ya simu ya mkononi ya Tigo imetangaza kuandaa tamasha kubwa kabisa la muziki la aina yake lijulikanalo kama “Kiboko Yao” litakalofanyika Januari 24, mwaka huu Jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Leaders Club Kinondoni.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA WEMA, PENNY SASA ZARI NAE APATA NAFASI YA KULALA NYUMBANI KWA MAMA DIAMOND KWA SIKU 2.

Stori: Mwandishi Wa/ Amani IMEFICHUKA! Mrembo wa Uganda ambaye kwa sasa ndiye ‘usingizi’ wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul thumbnail 1 summary


diamond na zari
Stori: Mwandishi Wa/ Amani
IMEFICHUKA! Mrembo wa Uganda ambaye kwa sasa ndiye ‘usingizi’ wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANAUME MWENYE ‘HIPS’ NA SHEPU LA KIDADA...HATAREE...!!!!

Kijana Micah ambaye ni msanii wa R&B anayechipukia mwenye miaka 20 kutoka Chicago, Marekani, amechukua nafasi katika mitandao mbalimb... thumbnail 1 summary

Kijana Micah ambaye ni msanii wa R&B anayechipukia mwenye miaka 20 kutoka Chicago, Marekani, amechukua nafasi katika mitandao mbalimbali ya kijamii kutokana na umbo lake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UZEE MWISHO CHALINZE>>>STARA THOMAS AMKATIKIA MAUNO MZEE CHILLO, JIONEE HAPA

  MWANAMUZIKI Stara Thomas juzikati aliwaacha watu hoi kwa kicheko pale alipoamua kumkatikia mauno Mzee Chillo walipokuwa wakicheza muziki. thumbnail 1 summary


 
MWANAMUZIKI Stara Thomas juzikati aliwaacha watu hoi kwa kicheko pale alipoamua kumkatikia mauno Mzee Chillo walipokuwa wakicheza muziki.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LICHA YA KASHFA YA KUONGOPA UMRI>>>SITTI MTEMVU APOKELEWA KIFALME MOROGORO

  MSHIRIKI wa Shindano la Miss Tanzania mwaka 2014, aliyeshinda taji hilo katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam na baadaye k... thumbnail 1 summary


 
MSHIRIKI wa Shindano la Miss Tanzania mwaka 2014, aliyeshinda taji hilo katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam na baadaye kuthibitika kuwa alighushi umri na hivyo kulitema na kusababisha kufungiwa kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAZITO YAIBUKA>>>DIAMOND PLATNUMZ AKATAA MILIONI MIA TANO ZA LOWASSA

DUUH HAYO SIO MANENO YANGU JAMANI , GAZETI LA VISA thumbnail 1 summary


DUUH HAYO SIO MANENO YANGU JAMANI , GAZETI LA VISA

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AJALI MBAYA YAKUSIKITISHA YATOKEA MAENEO YA MKATA, IKIHUSISHA BASI LA MERIDIAN

 Gari ndogo ikiwa imeharibika vibaya baada ya kugongana na Basi la Meridian thumbnail 1 summary
 Gari ndogo ikiwa imeharibika vibaya baada ya kugongana na Basi la Meridian

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAZIRI MKUU WA SERIKALI YA WANAFUNZI UDOM ATIMULIWA CHUO NA RAIS WAKE KUSIMAMISHWA KWA MUDA USIOJULIKANA

Taarifa rasmi zinasema uongozi wa chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) umeazimia kumfukuza chuo moja kwa moja waziri mkuu wa serikali ya thumbnail 1 summary
Taarifa rasmi zinasema uongozi wa chuo kikuu
cha Dodoma (UDOM) umeazimia kumfukuza
chuo moja kwa moja waziri mkuu wa serikali ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

REAL MADRID YATOKA SARE NA ATHELETICO FERNANDO TORRES ARUDI

Kocha wa Atletico Madrid Diego Simeone amesema Fernando Torres amerejea kuwa ''mwanaume'' ndivyo alivyomuita hivyo baad... thumbnail 1 summary

Fernando Torres celebrates opening the scoring for Atletico Madrid after just 49 seconds at the Bernabeu

Kocha wa Atletico Madrid Diego Simeone amesema Fernando Torres amerejea kuwa ''mwanaume'' ndivyo alivyomuita hivyo baada ya mshambuliaji huyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MBUNGE WA GAIRO MH SHABIBY AOKOA MAISHA YA MWANAFUNZI WA UDOM BAADA KUPATA DHORUBA KUTOKANA NA MGOMO ULIOTOKEA CHUONI HAPO

  Kijana ambaye ni mwanafunzi wa Udom anayefahamika kwa jina la Iddy aliyepata masaibu baada ya kuvunjika mguu katika vurugu za mgomo uli... thumbnail 1 summary

 
Kijana ambaye ni mwanafunzi wa Udom anayefahamika kwa jina la Iddy aliyepata masaibu baada ya kuvunjika mguu katika vurugu za mgomo uliyofanywa na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TUNDA MAN ABADILISHA MUZIKI WAKE NA KUANZA KUPIGA BAND

Tunda Man amekuwa akipiga sana project zake binafsi hali ambayo baadhi ya mashabiki wa kundi la Tip Top kuhisi labda kajitoa kwenye kundi h... thumbnail 1 summary

Tunda Man amekuwa akipiga sana project zake binafsi hali ambayo baadhi ya mashabiki wa kundi la Tip Top kuhisi labda kajitoa kwenye kundi hilo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Jay Z na Beyonce kila mmoja macho kwenye simu ya mwenzake! Pichaz hapa…

Mara nyingi tumeshuhudia ugomvi kati ya wapenzi, simu za mkononi ni moja ya sababu kubwa ambayo imekuwa ikitajwa kama sababu ya ugomvi ... thumbnail 1 summary
JayBey Phone III
Mara nyingi tumeshuhudia ugomvi kati ya wapenzi, simu za mkononi ni moja ya sababu kubwa ambayo imekuwa ikitajwa kama sababu ya ugomvi siku hizi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ni Floyd Mayweather vs Manny Pacquaio, swali bado ni nani zaidi?

Pambano la masumbwi linalosubiriwa na ulimwengu mzima kati ya mabondia wawili bora katika miaka ya hivi karibuni linakaribia kutokea ba... thumbnail 1 summary
SAMSUNG
Pambano la masumbwi linalosubiriwa na ulimwengu mzima kati ya mabondia wawili bora katika miaka ya hivi karibuni linakaribia kutokea baada ya uthibitisho wa mazungumzo ya pande mbili zinazowakilisha mabondia hao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Majeruhi ya wachezaji hawa yanawaweka kwenye wakati mgumu Arsenal kwa sasa…

Klabu ya  Arsenal  imekumbwa na janga lingine la majeruhi baada ya ripoti kuhusu wachezaji wake wawili muhimu kuwa nje ya uwanja kwa mu... thumbnail 1 summary
Mikel Arteta
Klabu ya Arsenal imekumbwa na janga lingine la majeruhi baada ya ripoti kuhusu wachezaji wake wawili muhimu kuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi mitatu wakiuguza majeraha tofauti.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: