June 11, 2014

Kama Hupendi Udaku Usisome Hii.....Life la K-LYINN huko SAUZI [VIDEO]

Daah kama unavyojua tena kwenye BLOG hii itikadi yetu nikukuletea Mastori ya WAREMBO tu..yaani watoto wenye Maumbo Mazuri Mazuri aka MIZ... thumbnail 1 summary
Daah kama unavyojua tena kwenye BLOG hii itikadi yetu nikukuletea Mastori ya WAREMBO tu..yaani watoto wenye Maumbo Mazuri Mazuri aka MIZIGO...hehhe namkumbuka Sheikh wangu mmoja mzee wa MIZIGO...maarufu kama KIPOOZEO (nadhani wengi tunamfahamu...kamtafute YUTYUBU)

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

#TRENDING PHOTOS: Penny Vs Lulu Huko INSTAGRAM!!!

IN THE NAME OF INSTAGRAM: Naomba niwalete kwenu wadada WAREMBO hawa wawili... Penny  na  Lulu ...Kiukweli  wawili hawa ndio waliotokel... thumbnail 1 summary

IN THE NAME OF INSTAGRAM: Naomba niwalete kwenu wadada WAREMBO hawa wawili...Penny na Lulu...Kiukweli  wawili hawa ndio waliotokelezea huko kwenye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

REVEALED!!! Jamaa Aliemkamata Masogange huko SAUZI....Huyu Hapa!!

Story nzima inatokana na uchunguzi  kufuatilia TRENDs za Agnes Masogange kwenye mtandao wa INSTAGRAM. Kama mnavyojua dada yetu MA... thumbnail 1 summary

Story nzima inatokana na uchunguzi  kufuatilia TRENDs za Agnes Masogange kwenye mtandao wa INSTAGRAM.

Kama mnavyojua dada yetu MASOGANGE  kwa muda sasa yupo nchini SAUZI na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

"Nikifa Sitaki Kusifiwa" - Riyama Ali,Akerwa na Tabia ya Wasanii Kuleta Maigizo Kwenye Misiba

RIYAMA Ali mwigizaji wa kike asiye na kashifakatika tasnia ya filamu Bongo, amefunguka kwa kusema kuwa kama kuna msanii mwenzake au mt... thumbnail 1 summary


RIYAMA Ali mwigizaji wa kike asiye na kashifakatika tasnia ya filamu
Bongo, amefunguka kwa kusema kuwa kama kuna msanii mwenzake au mtu
mwenye mapenzi naye angependa kama ana sifa kuhusu yeye katika umahiri
wa kuigiza na mengineyo basi atumienafasi hiyo akiwa hai, haitaji

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Malawi Wameanza Chokochoko Ndege yao Yaonekana Ikifanya Doria Ileje, Wananchi Wataaruki

MBUNGE wa Ileje, Aliko Kibona (CCM) ameomba Serikali ieleze juu ya ndege kutoka Malawi, ambayo imekuwa ikitia hofu wananchi wa Ileje, ... thumbnail 1 summary


MBUNGE wa Ileje, Aliko Kibona (CCM) ameomba Serikali ieleze juu ya
ndege kutoka Malawi, ambayo imekuwa ikitia hofu wananchi wa Ileje, kwa
kuzunguka angani kilamara.Mbunge huyo alisimama kutoa hoja hiyo baada
ya kipindi cha maswali na majibu na kuomba mwongozo wa Spika, Anne

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UKIACHWA NA MPENZI JIULIZE UNA KASORO GANI? KISHA JIPANGE UPYA UCHUKUE HATUA.

Kusema ukweli nitakuwa mchoyo wa shukrani kama sitachukua nafasi hii kumshukuru Mungu kwa mema ambayo amekuwa akinitendea katika kila ... thumbnail 1 summary
Kusema ukweli nitakuwa mchoyo wa shukrani kama sitachukua nafasi hii kumshukuru Mungu kwa mema ambayo amekuwa akinitendea katika kila siku ya maisha yangu. Hakika Mungu ni mwema na nitaendelea kumtukuza katika siku zote za maisha yangu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WATU WATATU WAPOTEZA MAISHA NA WENGINE KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA MAGARI MAWILI

Watu watatu wamefariki Dunia baada ya Magari mawili yenye tela kila moja kuacha njia na kupinduka na kufasabisha vifo vya watu hao na... thumbnail 1 summary


Watu watatu wamefariki Dunia baada ya Magari mawili yenye tela kila moja kuacha njia na kupinduka na kufasabisha vifo vya watu hao na kujeruhi wengine wawili katika ajali iliyotokea Jana Huko Tarafa ya Rondo wilaya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MACHINGA NA POLISI WAPAMBANA MKOANI MWANZA,POLISI WALAZIMIKA KUTUMIA MABOMU KUWATAWANYA

JESHI la Polisi mkoani Mwanza, limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafanyabiashara ndogo (wamachinga) waliokuwa w... thumbnail 1 summary


JESHI la Polisi mkoani Mwanza, limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafanyabiashara ndogo (wamachinga) waliokuwa wanapinga kuondolewa katika eneo la Kempu na eneo la soko la Makoroboi jijini humo.Aidha, hatua hiyo imesababisha vurugu na kusimamishwa kwa shughuli mbalimbali za

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA PICHA 6 JNSI MSANII NEY WA MITEGO ALIVYOSHEHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

Msanii wa muziki Jitaman (kulia) akilishwa keki na rafiki yake Nay wa Mitego. thumbnail 1 summary

Msanii wa muziki Jitaman (kulia) akilishwa keki na rafiki yake Nay wa Mitego.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RATIBA YA MECHI ZOTE ZA KOMBE LA DUNIA KWA MASAA YA EAST AFRICA

     Hapa ni kwa masaa ya kawaida nyumbani east Africa....fahamu muda gani timu uipendayo itashuka dimbani thumbnail 1 summary



     Hapa ni kwa masaa ya kawaida nyumbani east Africa....fahamu muda gani timu uipendayo itashuka dimbani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUHUSU ZITTO KABWE KUULIPIA WIMBO WA LINEX ZAIDI YA MILIONI 10 NA UJUMBE WA WIMBO HUO.. SOMA ZAIDI HAPA

Linex amepewa sapoti kubwa na mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe ili aachie audio na video ya wimbo wake unaoitwa Wema kwa... thumbnail 1 summary


Linex amepewa sapoti kubwa na mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe ili aachie audio na video ya wimbo wake unaoitwa Wema kwa Ubaya.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

EXCLUSIVE VIDEO: KUTOKA KWA FLORA MBASHA AKIMUELEZEA MUME WAKE ALIVYOBAKA,

Taarifa kuhusu tuhuma za mume wa mwimbaji wa injili Flora Mbasha kumbaka binti mwenye umri wa miaka 17 ziliwashitua wengi na kuacha ma... thumbnail 1 summary

Taarifa kuhusu tuhuma za mume wa mwimbaji wa injili Flora Mbasha kumbaka binti mwenye umri wa miaka 17 ziliwashitua wengi na kuacha maswali ya nini kilitokea na nini kilipelekea.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA TATA ZA WEMA NA DIAMOND ZAZUA UTATA BUNGENI, MTONYO WOOTE UKO HAPA

Staa Nasibu Abdul ‘Diamond’ akiwa kwenye pozi lenye utata. Sakata la mastaa wakiwemo Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond’ kupiga pich... thumbnail 1 summary
Staa Nasibu Abdul ‘Diamond’ akiwa kwenye pozi lenye utata.
Sakata la mastaa wakiwemo Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond’ kupiga picha chafu kisha kuzitundika mitandaoni limetinga bungeni baada ya juzikati baadhi ya wabunge

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KWELI DIVA WA CLOUDS NI KIPIRA, AHAMISHIA MAPENZI KWA DAVIDO..GK KAPIGWA CHINI

Diva ambaye ni mtangazaji wa clouds fm amefunguka kupitia akaunt yake ya instagram kuwa anampenda Davido mpaka kufa. wadau waliamua kum... thumbnail 1 summary

Diva ambaye ni mtangazaji wa clouds fm amefunguka kupitia akaunt yake ya instagram kuwa anampenda Davido mpaka kufa. wadau waliamua kumuiliza Gk kashamwagwa??

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII HAPA VIDEO NYINGINE AMBAYO HUENDA NAYO IKAFUNGIWA NCHINI KENYA....

Wiki kadhaa zilizopita, Kundi la muziki la Sauti Sol la Kenya liliachia video yake ya Nishike ambayo baadae ilifungiwa kuchezwa kweny... thumbnail 1 summary

Wiki kadhaa zilizopita, Kundi la muziki la Sauti Sol la Kenya liliachia video yake ya Nishike ambayo baadae ilifungiwa kuchezwa kwenye vituo vya Televisheni kutokana na madai ya kutokuwa na maadili, Lakini sasa nae mwanadada Sanaipei Tande ameachia Video ya wimbo wake unaotamba kwenye vituo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA DIAMOND KURUDI MTUPU, HIVI NDIVYO ALI KIBA ATAKAVYO WASAHAULISHA WABONGO MACHUNGU YA MTV MAMA

Ali Kiba pamoja na mdogo wake, Abdu Kiba hivi karibuni wanatarajiwa kuwasahaulisha wabongo na story zote za mtv mama, na kuhusu yote ... thumbnail 1 summary


DSCN0027



Ali Kiba pamoja na mdogo wake, Abdu Kiba hivi karibuni wanatarajiwa kuwasahaulisha wabongo na story zote za mtv mama, na kuhusu yote yaliyojiri kwa kuwaletea bonge la show litakalofanyika pale new maisha club jumapili hii.Huu ni ujio mpya wa Alikiba baada ya kukaa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AUNTY EZEKIEL ACHAMBWA ISTAGRAM BAADA YA KUDAI TALAKA KISA MUMEWE KAFUGWA...ETI KAZI YAKE KUPUYANGA TU

Team Ukweli watalamu wakurekebisha tabia za Mastaa wetu wa bongo wanaofanya wajuaji na mambo ya kipuzi... Team hii kazi yao ni kuwachan... thumbnail 1 summary


Team Ukweli watalamu wakurekebisha tabia za Mastaa wetu wa bongo wanaofanya wajuaji na mambo ya kipuzi... Team hii kazi yao ni kuwachana tu mastaa... hii hapa ya leo wameamka na Anty Ezekiel na kuanza kumchambua kuwa baada ya Mumewe kufungwa sasa Anadai talaka ili apuyange vizuri.. Sitaki nikumalizie uhondo fwatilia mwenyewe hapo vizuri

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIVA WA CLOUDS NA RAY C WAJUTA BAADA YA KUMPONDA DIAMOND'' GK AHUSISHWA ''ETI KOFIA KAMA GANDA LA CHUNGWA

BALAA JINGINE LAMWANGUKIA DIVA WA CLOUDS NA RAY C HUKO INSTAGRAM BAADA YA KUMPONDA CHIBU (DIAMOND) KWA KUKOSA TUZO ZA MTV MAMA thumbnail 1 summary

BALAA JINGINE LAMWANGUKIA DIVA WA CLOUDS NA RAY C HUKO INSTAGRAM BAADA YA KUMPONDA CHIBU (DIAMOND) KWA KUKOSA TUZO ZA MTV MAMA

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Jinsi ya kumtambua mpenzi aliyekusaliti muda mfupi uliopita cheki hapa maujanja

Kuna baadhi ya watu wanayatendea haki mapenzi; wapo makini kwa kila kitu katika uhusiano wao na hivyo kuwa kama wanaishi kwenye paradiso... thumbnail 1 summary

Kuna baadhi ya watu wanayatendea haki mapenzi; wapo makini kwa kila
kitu katika uhusiano wao na hivyo kuwa kama wanaishi kwenye paradiso
ya pekee. Pia, wapo wengineambao wanayaona mapenzi machungu,
wanayachukia na kwa hakika wanalaani kukutana na wenzi walionao.Kwa
nini? Kwa sababu kila siku ni ugomvi, hawana amani. Hawapati muda wa
kukaa na kupanga mambo yao, kila wakikutana ni ugomvi. Kunyang'anyana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Aina 10 ya wanawake wanaopendwa na wanaume

lWENYE MSIMAMOWanawake daraja la kwanza wanaopendwa zaidi na wanaume ni wale wenye msimamo, uelewa mkubwa wa mambo na maamuzi sahihi, wa... thumbnail 1 summary

lWENYE MSIMAMOWanawake daraja la kwanza wanaopendwa zaidi na wanaume
ni wale wenye msimamo, uelewa mkubwa wa mambo na maamuzi sahihi, wako
makini kwenye matendo yao na siku zote hufanya vitu kwa ajili ya
kupata mafanikio.WAPENDA USAWAAina ya pili inayohitajika katika katika
ulimwengu wa kimapenzi ni wanawake wanaoheshimu usawa wa jinsia, walio
tayari kubeba majukumu ya kifamilia kwa ulinganifu sawa na wanaume,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAYA NDIYO MAMBO YANAYOWEZA KUKUVUNJIA HESHIMA

HAKUNA kitu kibaya maishani kamakuonekana upo katika daraja la chini na mtu wa kudharaulika kwenye jamii unayoishi. Kisaikolojiakuna ... thumbnail 1 summary

HAKUNA kitu kibaya maishani kamakuonekana upo katika daraja la chini
na mtu wa kudharaulika kwenye jamii unayoishi. Kisaikolojiakuna
madhara makubwa.Ni imani yangu kuwa kila mwanadamu timamu anapenda
kuheshimiwa lakini wengi wetu tunashindwa kupata heshima tunayoitaka
kwa sababu hatufahamu jinsi ya kuishi mbele ya wenzetu.Kitaalamu,
hakuna jambo ambalo hutokea maishani bila sababu maalumu hivyo hata
kudharauliwa kwako au kwetu ndani ya jamii tunayoishi kunatokana na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: