February 11, 2016

Utani wa Soudy Brown kuhusu Ray Kigosi ‘kujipodoa’…(U heard+Audio)

Leo kwenye U heard ya Clouds fm Soudy Brown kaamua kuingizia utani kupitia moja ya mstari kwenye mdundo wa  Nay wa Mitego ‘Shika ad... thumbnail 1 summary

Leo kwenye U heard ya Clouds fm Soudy Brown kaamua kuingizia utani kupitia moja ya mstari kwenye mdundo wa  Nay wa Mitego ‘Shika adabu yako , eti Msanii Ray

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

USIKOSE WEEKEND HIII HAWAII LOUNGE MAENEO YA TEGETA UNUNIO WAKIAMBATANA NA CLOUDS FM

KWA MARA NYINGINE TENA HAWAII LOUNGE NA CLOUDS FM WANAKULETEA WEEKEND YA KUSAGA MENO. YAAANI NYAMA CHOMA KWA KWENDA MBELE  thumbnail 1 summary


KWA MARA NYINGINE TENA HAWAII LOUNGE NA CLOUDS FM WANAKULETEA WEEKEND YA KUSAGA MENO. YAAANI NYAMA CHOMA KWA KWENDA MBELE 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Photos:Kylie Jenner steps out in sexy Lace bodysuit

Kylie Jenner stepped out in this lovely lace bodysuit with her friends. More photos thumbnail 1 summary
Kylie Jenner stepped out in this lovely lace bodysuit with her friends. More photos

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond Platnumz kuachia video mpya wiki hii, kaa mkao wa kula !

Mkali wa muziki Tanzania Diamond Platnumz anatarajia kuachia video ya wimbo wake mpya siku yoyote ndani ya wiki hii. Ametangaza habari hi... thumbnail 1 summary
Mkali wa muziki Tanzania Diamond Platnumz anatarajia kuachia video ya wimbo wake mpya siku yoyote ndani ya wiki hii.
Ametangaza habari hiyo kupitia mtandao wa Twitter.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Young D Atembelea Maduka Ya Tigo na Kugawa Zawadi Mbalimbali Kwa Wateja na Mashabiki Zake.

Msanii wa kizazi kipya Young Dee akikabidhi zawadi ya tisheti kwa mmoja wa wateja wa Tigo wa tawi la Makumbusho mapema leo alipofanya zi... thumbnail 1 summary
Msanii wa kizazi kipya Young Dee akikabidhi zawadi ya tisheti kwa mmoja wa wateja wa Tigo wa tawi la Makumbusho mapema leo alipofanya ziara ya kutembelea maduka matatu ya Tigo ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya kuachana na Shilole…Nuh Mziwanda adaiwa kufulia.

Zikiwa zimepita siku chache tangu wasanii waliokuwa wapenzi, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na Naftar Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kuachana, imedaiwa k... thumbnail 1 summary
Zikiwa zimepita siku chache tangu wasanii waliokuwa wapenzi, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na Naftar Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kuachana, imedaiwa kuwa mwanaume huyo amefulia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Salomon Kalou: Nafikiria kuachana na soka la kimataifa.

Mchezaji Salomon Kalou mshambuliaji wa kimataifa wa Ivory Coast amesema anaona kuna umuhimu wa kuachana na soka la ngazi ya kimataifa. thumbnail 1 summary
Mchezaji Salomon Kalou mshambuliaji wa kimataifa wa Ivory Coast amesema anaona kuna umuhimu wa kuachana na soka la ngazi ya kimataifa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hii Ndio Idadi Kamili ya Vyama vya Siasa Vilivyogomea Uchaguzi wa Marudio Zanzibar Mpaka Sasa

Vyama tisa vya siasa kati ya 14 vilivyoshiriki Uchaguzi Mkuu Zanzibar mwaka jana vimeungana na CUF kutoshiriki uchaguzi wa marudio uliopang... thumbnail 1 summary
Vyama tisa vya siasa kati ya 14 vilivyoshiriki Uchaguzi Mkuu Zanzibar mwaka jana vimeungana na CUF kutoshiriki uchaguzi wa marudio uliopangwa kufanyika Machi 20, hadi utakapopatikana mwafaka wa kumaliza mgogoro wa kisiasa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RAIS MAGUFULI AIBUKA WODI YA WAZAZI MUHIMBILI KWA KUSHTUKIZA,AKUTANA NA MADUDU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametembelea kwa ghafla wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Taifa Muhimb... thumbnail 1 summary

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametembelea kwa ghafla wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam, na kujionea hali ya msongamano mkubwa wa wazazi uliosababishwa na uhaba

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sio Dimpoz tu, Wema, Shetta, Choka, Ray, Shilole, BASATA nao ni wahanga wa ngoma mpya ya Nay wa Mitego

Nay wa Mitego amechafua hali ya hewa tayari. Wimbo wake mpya Shika Adabu Yako umejaa controversy kibao. Ommy Dimpoz amejibu tayari kw... thumbnail 1 summary
Nay wa Mitego amechafua hali ya hewa tayari.
Wimbo wake mpya Shika Adabu Yako umejaa controversy kibao.
Ommy Dimpoz amejibu tayari kwa kile alichoambiwa. Soma hapa.
Lakini kuna wahanga zaidi ya Ommy. Wapo pia Wema Sepetu,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Masogange: Mnapoteza muda kunijadili

Video Queen maarufu Bongo, Agness Jerald ‘Masogange’ amewataka watu kufanya kazi na kuacha kumjadili kwani kwa kufanya hivyo wanapoteza... thumbnail 1 summary

Video Queen maarufu Bongo, Agness Jerald ‘Masogange’ amewataka watu kufanya kazi na kuacha kumjadili kwani kwa kufanya hivyo wanapoteza bure muda wao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: