April 20, 2016

Jicho Lenye Uwezo wa Kuona Gizani Lavumbuliwa

Mfumo wa jicho la samaki. WASHINGTON: Wanasayansi nchini Marekani wamevumbua jicho la kitaalam lenye uwezo wa kuona hata kama ni gizani (... thumbnail 1 summary
Mfumo wa jicho la samaki.
WASHINGTON: Wanasayansi nchini Marekani wamevumbua jicho la kitaalam lenye uwezo wa kuona hata kama ni gizani (sehemu ambayo hakuna mwanga). Wamefanikiwa hilo baada ya kuunganisha vipande vya jicho la samaki aina ya kambamti,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Jaguar: Nilijaribu Kumsaidia Chidi Benz, Tatizo Hupoteza Matumaini Mapema

Staa wa Kenya, Jaguar amedai kuwa amewahi kujaribu kumsaidia Chidi Benz aondokane na matumizi ya madawa ya kulevya lakini ilikuwa ngumu kwa... thumbnail 1 summary
Staa wa Kenya, Jaguar amedai kuwa amewahi kujaribu kumsaidia Chidi Benz aondokane na matumizi ya madawa ya kulevya lakini ilikuwa ngumu kwasababu rapper huyo hupoteza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Siku 27 za rapper Chid Benz ndani ya Sober House Bagamoyo

Headlines za msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka Ilala, Rashid Makwilo aka Chid Benz zilichukua ukurasa kwenye mitandao mbalimbali za kuj... thumbnail 1 summary
Headlines za msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka Ilala, Rashid Makwilo aka Chid Benz zilichukua ukurasa kwenye mitandao mbalimbali za kujihusisha na madawa ya kulevya.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rais Magufuli Ampaisha Dr. Ramadhani Dau wa NSSF.....Ammwagia Sifa kwa Kazi Nzuri, Azima Ndoto za Wabaya wake

"Kabla sijaanza kuhutubia, naomba nimkaribishe mtu muhimu sana aliyefanikisha ujenzi wa Daraja hili. Dkt Dau tafadhali karibu usalimie... thumbnail 1 summary
"Kabla sijaanza kuhutubia, naomba nimkaribishe mtu muhimu sana aliyefanikisha ujenzi wa Daraja hili. Dkt Dau tafadhali karibu usalimie kidogo’’. Ndivyo alivyoanza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli jana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya Kutumbuliwa Jipu Laivu Darajani na Magufuli..Mkurugenzi wa Jiji La Dar es Salaam Wilsoni Kabwe Asema Haya...

Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe amesema uchunguzi wa tuhuma zilizomfanya Rais John Magufuli kumsimamisha kazi jana utabai... thumbnail 1 summary
Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe amesema uchunguzi wa tuhuma zilizomfanya Rais John Magufuli kumsimamisha kazi jana utabainisha ukweli huku

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mbaroni Kwa Kutuhuma za Kumbaka Mwanafunzi wa Miaka Kumi na Mbili..

Jeshi la Polisi mkoani Pwani linamshikilia mmoja wa maofisa wa Tarafa wa Kibiti kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa kike mwenye miaka 12 ... thumbnail 1 summary
Jeshi la Polisi mkoani Pwani linamshikilia mmoja wa maofisa wa Tarafa wa Kibiti kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa kike mwenye miaka 12 mkazi wa kitongoji cha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ni Kweli Kanye West Alilazimishwa Kupiga Picha na Diamond?

Ni takribani mwezi mmoja sasa tangu Diamond na Kanye West walipokutana kwenye uwanja wa ndege, Los Angeles nchini Marekani na kupiga pich... thumbnail 1 summary
Ni takribani mwezi mmoja sasa tangu Diamond na Kanye West walipokutana kwenye uwanja wa ndege, Los Angeles nchini Marekani na kupiga picha ya pamoja.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Azam FC wameshindwa kuendelea na michuano ya CAF, baada ya kipigo hiki

April 19 2016 wawakilishi wa  Tanzania  katika michuano ya Kombe la Shirikisho barani Africa  (CAF)  klabu ya  Azam FC  ilishuka mj... thumbnail 1 summary

April 19 2016 wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho barani Africa (CAF) klabu ya Azam FC ilishuka mjini Rades Tunisia kucheza mchezo wake wa marudiano wa Kombe la shirikishoa barani Afrika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Cristiano Ronaldo anahamia PSG? kuna haya mapya yameandikwa leo April 19 2016

Headlines za staa wa soka wa kimataifa wa Ureno anayeichezea Real Madrid yaHispania Cristiano Ronaldo kuhusishwa kutaka kuhama Real Mad... thumbnail 1 summary

Headlines za staa wa soka wa kimataifa wa Ureno anayeichezea Real Madrid yaHispania Cristiano Ronaldo kuhusishwa kutaka kuhama Real Madrid na kutaka kujiunga na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Utafiti: Wadada Wengi Wako Radhi Kutafutiwa Wenzi wa Kimapenzi na Marafiki zao

Kwa takwimu nilizozikusanya inaonekana wadada wengi wako radhi kutafutiwa wapenzi na marafiki zao wa karibu au na marafiki zao wa kiume amb... thumbnail 1 summary
Kwa takwimu nilizozikusanya inaonekana wadada wengi wako radhi kutafutiwa wapenzi na marafiki zao wa karibu au na marafiki zao wa kiume ambao wanaonekana kuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Serikali yakamata Mzigo wa Maana wa Tanzanite Ukitoroshwa nje

] Serikali imefanikiwa kuyakamatwa madini ya Tanzanite yenye thamani ya Sh2.5 bilioni yaliyokuwa njiani kusafirishwa nje ya nchi bila ku... thumbnail 1 summary
]
Serikali imefanikiwa kuyakamatwa madini ya Tanzanite yenye thamani ya Sh2.5 bilioni yaliyokuwa njiani kusafirishwa nje ya nchi bila kulipiwa vibali kipindi cha Januari

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwanamuziki Baraka da Prince Ashutumiwa Kuazima Magari Nakutamba Nayo Mtaani..Mwenyewe Asema Haya

eNewz imenasa udaku kutoka mitaani kuwa msanii wa Bongo Fleva Baraka da Prince anaongoza kwa kuazima magari ya watu na kuvimba nayo mitaani thumbnail 1 summary
eNewz imenasa udaku kutoka mitaani kuwa msanii wa Bongo Fleva Baraka da Prince anaongoza kwa kuazima magari ya watu na kuvimba nayo mitaani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mi Mzungu, Namchukulia Ney Kama Mwehu -Gigy Money

Mrembo anayefanya poa kwenye video za wasanii wa Bongo kama video model Gigy Money, amempa za uso msanii Ney wa Mitego na kumuita mpumbavu a... thumbnail 1 summary
Mrembo anayefanya poa kwenye video za wasanii wa Bongo kama video model Gigy Money, amempa za uso msanii Ney wa Mitego na kumuita mpumbavu asiyejitambua ni nani,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sikumjua Nay wa Mitego ni mtu wa Aina Gani ila Baada ya Kutoka Naye Kimapenzi Nikajua - Shamsa Ford

Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford amefunguka na kusema kuwa moja ya sababu yeye kuachana na mpenzi wake Nay wa Mitego ni kutokana na uk... thumbnail 1 summary
Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford amefunguka na kusema kuwa moja ya sababu yeye kuachana na mpenzi wake Nay wa Mitego ni kutokana na ukweli kwamba yeye hakutambua toka mwanzo kuwa msanii huyo ni mtu wa namna gani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: