December 18, 2013

MSANII WA NIGERIA APIGA PICHA CHAFU KWA AJILI YA CHRISTMAS...... TAZAMA HAPA

Msanii wa Nigeria aitwaye Maheeda anafahamika kwa tabia yake ya kupost picha za nusu utupu kwenye mitandao ya kijamii. Kat... thumbnail 1 summary
 BONYEZA HAPA KUIONA PICHA YA MAHIDA
Msanii wa Nigeria aitwaye Maheeda anafahamika kwa tabia yake ya kupost picha za nusu utupu kwenye mitandao ya kijamii. Katika kusherehekea sikukuu ya Christmas, mrembo huyo ameamua kutoka kitofauti kwa kufanya kile akipendacho akiwa na mavazi yenye alama za sikukuu hiyo kubwa ya mwaka.


SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MSANII BRENDA WA UGANDA AMWAGA RADHI JUKWAANI KWA KUVAA KINGUO KIFUPI

Msanii wa kutoka uganda Brenda aacha sehemu zake nyeti wazi baada ya kupanda jukwaani na nguo fupi sana ambayo ilikuwa inaonyesha vyombo ... thumbnail 1 summary

Msanii wa kutoka uganda Brenda aacha sehemu zake nyeti wazi baada ya kupanda jukwaani na nguo fupi sana ambayo ilikuwa inaonyesha vyombo vyake kwa mashabiki waliokuwa hapo. Msanii huyo pamoja

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA LINAH KUFUNGUKA ANATAKA MTOTO, SASA NI ZAMU YA OMMY DIMPOZ..!! SOMA ALICHOKIANDIKA HAPA.

Wiki kadhaa zilizopita msanii Linah alifunguka na kudai kuwa anatamani kuitwa mama kwani umri umeshaenda, matamanio h... thumbnail 1 summary



Wiki kadhaa zilizopita msanii Linah alifunguka na kudai kuwa anatamani kuitwa mama kwani umri umeshaenda, matamanio hayo hayajampata Linah pekeyake kwani msanii wa pili kupokea mkwanja mwingi kwenye show Tz

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA ZA TUKIO ZIMA LA UPASUAJI WA MTANZANIA ALIYEKUFA AKIWA AMEMEZA KETE ZA MADAWA YA KULEVYA...ANGALIA PICHA ZA KUTISHA SANA

Picha inajieleza yenyewe tuungane kuyapiga vita kwa pamoja mimi wewe na yule. Hivi ndio huwa mambo yanavyokuwa kwa wabebaji wa madaw... thumbnail 1 summary





Picha inajieleza yenyewe tuungane kuyapiga vita kwa pamoja mimi wewe na yule. Hivi ndio huwa mambo yanavyokuwa kwa wabebaji wa madawa ya kulevya(maarufu kwa jina la Punda) ni hatari sana kwa afya ya Binadamu, kijana tuungane kwa pamoja kupinga biashara hii haramu na hatari sana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAZITO YAIBUKA KIFO CHA KIGOGO CCM..MWANASIASA AHUSISHWA KWENYE MAUAJI

MAMBO mazito yameibuka baada ya kifo cha kigogo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Diwani wa Kata  ya Kisesa, Clement Mabina jijini Mwanza  ... thumbnail 1 summary

MAMBO mazito yameibuka baada ya kifo cha kigogo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Diwani wa Kata  ya Kisesa, Clement Mabina jijini Mwanza  kwa mwanasiasa mmoja kutajwa kuhusika na mauaji hayo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA SEPETU CHALI KIFEDHA ALIYEKUWA AKIMTEGEMEA NAE CHALII.....

Wema Isaac Sepetu. NI kweli hakuna marefu yasiyokuwa na ncha? Kama ni kweli, basi ile jeuri ya fedha y... thumbnail 1 summary


Wema Isaac Sepetu.

NI kweli hakuna marefu yasiyokuwa na ncha? Kama ni kweli, basi ile jeuri ya fedha ya Miss Tanzania mwaka 2006 ambaye pia hufanya vyema kwenye gemu la

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ALICHOSEMA MISS TANZANIA 2012 BAADA YA KUAMBIWA HAJUI KUONGEA KISWAHILI

Miss Tanzania 2012 -2013 “Brigitte Alfred alijaribu kujitetea baada ya kulalamikiwa na mbunge Bi. Rukia kwa madai eti hafai kutuwaki... thumbnail 1 summary


ALICHOSEMA MISS TANZANIA 2012 BAADA YA KUAMBIWA ETI HAJUI KUONGEA KISWAHILI Miss Tanzania 2012 -2013 “Brigitte Alfred alijaribu kujitetea baada ya kulalamikiwa na mbunge Bi. Rukia kwa madai eti hafai kutuwakilisha Watanzania kisa Miss huyo kuongea kiswahili hawezi.
Maneno hayo hayakumfurahisha Miss Brigitte Alfred na kuamua kwenda kwenye mtandao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Jinsi mkutano wa Dk. Slaa ulivyokua Mkoani Tabora hapo Jana..!!

                             ( Picha na Joseph Senga ).   Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod... thumbnail 1 summary




                             (Picha na Joseph Senga).
 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa mji wa Tabora leo tarehe 16/12/2013, katika mkutano  wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari Uyui jana, ikiwa ni mfululizo wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MBUNGE AMPONDA MISS TANZANIA KWA KUTOKUJUA KUONGEA KISWAHILI

Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred hajui Kiswahili? Well, tuliowahi kukaa naye kidogo tunaweza kumtetea kuwa anakijua hasw... thumbnail 1 summary


Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred hajui Kiswahili? Well, tuliowahi kukaa naye kidogo tunaweza kumtetea kuwa anakijua haswaa, sema hupendelea zaidi kuongea kimombo. Pengine ndio maana mbunge wa viti maalum

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: