August 29, 2014

NUH MZIWANDA WA SHILOLE ALIKOPI KWA NICK CANNON NA MARIAH CAREY KUWEKA TATTOO? AMEPATA MFANO!

Mwimbaji wa Bongo Flava, Nuh Mziwanda aliwashitua wengi baada ya kujichora tattoo yenye jina la mpenzi wake ‘Shilole’, tattoo ambay... thumbnail 1 summary


Mwimbaji wa Bongo Flava, Nuh Mziwanda aliwashitua wengi baada ya kujichora tattoo yenye jina la mpenzi wake ‘Shilole’, tattoo ambayo haifutiki daima. Kitu ambacho kiliwashitua wengi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ILE VIDEO YA NEY INAYOHUSISHWA NA FREEMASON KWA PICHA ZAKE ZA AJABU, IMETOKA. ICHEKI HAPA

Video Mpya ya Nay wa Mitego iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kutoka na Picha za Ajabu zilizotoka wakati wa uchukuaji wa Video hiyo, Itazam... thumbnail 1 summary
Video Mpya ya Nay wa Mitego iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kutoka na Picha za Ajabu zilizotoka wakati wa uchukuaji wa Video hiyo, Itazame hapa Chini alafu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Boss wa TBS aliyehukumiwa kwenda jela miaka mitatu.

Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu Dar es Salaam August 28 2014 imetoa hukumu kwa aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Viwango Tanzani... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-08-29 at 8.32.31 AMMahakama ya Hakimu mkazi Kisutu Dar es Salaam August 28 2014 imetoa hukumu kwa aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Viwango Tanzania (TBS) Charles Ekerege kifungo cha miaka 3 jela.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Good news!! baada ya Abu Dhabi sasa Clouds media International imeingia Jamaica

Kwanza shukrani zikufikie popote ulipo ewe mtu wa nguvu ambae siku zote umekua ukiisupport na kuwa karibu na Clouds Media. thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-08-29 at 9.03.39 AMKwanza shukrani zikufikie popote ulipo ewe mtu wa nguvu ambae siku zote umekua ukiisupport na kuwa karibu na Clouds Media.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHUJI ASAKWA MCHANGANI BAADA YA KUTOROKA NA SH 60000...NJAA KALI KWELI

ALIYEKUWA kiungo wa Yanga , Athuman Idd ‘ Chuji ’ inaelezwa kuwa ameingia mitini na fedha kiasi cha shilingi 60 ,000 za timu ya Mazom... thumbnail 1 summary
ALIYEKUWA kiungo wa Yanga , Athuman Idd
‘ Chuji ’ inaelezwa kuwa ameingia mitini na
fedha kiasi cha shilingi 60 ,000 za timu ya
Mazombi FC ya Gongo la Mboto ambazo
alipewa kwa ajili ya kuichezea katika nusu
fainali ya Kombe la Ng’ ombe .

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

POLISI AMGONGA MTOTO, ATOKA NDUKI, ATELEKEZA GARI

POLISI  mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja, aliyekuwa akiendesha gari kwa mwendo wa kasi, Jumapili iliyopita alimgonga mtoto w... thumbnail 1 summary
POLISI mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja, aliyekuwa akiendesha gari kwa mwendo wa kasi, Jumapili iliyopita alimgonga mtoto wa kike, Zahara Almeda katika barabara ya Mji Mpya.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHEMEJI WA WEMA ATANGAZA NDOA NA DADA WA DIAMOND

MAPENZI bwana!  Baada ya kuogelea kwa muda mrefu katika penzi la muigizaji Kajala Masanja, hatimaye shemeji wa aliyekuwa rafiki wa mwigiz... thumbnail 1 summary
MAPENZI bwana! Baada ya kuogelea kwa muda mrefu katika penzi la muigizaji Kajala Masanja, hatimaye shemeji wa aliyekuwa rafiki wa mwigizaji huyo, Wema Sepetu, Ahmed Hashimu ‘Petit Man’ ametangaza ndoa na dada wa Mbongo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SABBY: RUSHWA YA NGONO BONGO MUVI IMENITESA

Msanii wa filamu, Salma Omary ‘Sabby’ ameamua kufunguka kuwa ameteswa sana na rushwa ya ngono aliyokuwa akikutana nayo pindi alipokuwa thumbnail 1 summary
Msanii wa filamu, Salma Omary ‘Sabby’ ameamua kufunguka kuwa ameteswa sana na rushwa ya ngono aliyokuwa akikutana nayo pindi alipokuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MUME WA MTU: SIMUACHI NG’O AUNT

Mcheza shoo wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond,’ Moses Iyobo amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kuenea uvumi wa kutoka kimapenzi na... thumbnail 1 summary
Mcheza shoo wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond,’ Moses Iyobo amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kuenea uvumi wa kutoka kimapenzi na mcheza filamu mahiri Bongo, Aunt Ezekiel kuwa hawezi kumuacha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

‘NIMEBEBESHWA ‘UNGA’ HADI NIMECHOKA’

Usilolijua litakusumbua! Msichana aliyejitambulisha kwa jina moja la Mary (23), mkazi wa Dar ambaye ni mwenyeji wa Nyegezi, Mwanza, amean... thumbnail 1 summary
Usilolijua litakusumbua! Msichana aliyejitambulisha kwa jina moja la Mary (23), mkazi wa Dar ambaye ni mwenyeji wa Nyegezi, Mwanza, ameangua kilio na kusema; ‘nabebeshwa madawa ya kulevya (unga), nalipwa kiduchu hadi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nani kati ya Ronaldo, Neur au Ribery kachukua tuzo ya mchezaji bora wa Ulaya? jibu liko hapa

Katika upangaji wa makundi na ratiba ya ligi ya mabingwa ulaya pia amechaguliwa mshindi wa tuzo ya mwanasoka bora wa ulaya ambapo Cristia... thumbnail 1 summary
IMG_6818.JPGKatika upangaji wa makundi na ratiba ya ligi ya mabingwa ulaya pia amechaguliwa mshindi wa tuzo ya mwanasoka bora wa ulaya ambapo Cristiano Ronaldo, Manuel Neur na Arjen Robben

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DUDE ASHINDWA KUJIUNGA BONGO MOVIE

KUTOKANA  na mgogoro unaoendelea ndani ya Klabu ya Bongo Movie Unity, msanii wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amefunguka kwamba amek... thumbnail 1 summary
KUTOKANA na mgogoro unaoendelea ndani ya Klabu ya Bongo Movie Unity, msanii wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amefunguka kwamba amekwama kujiunga na klabu hiyo japo alikuwa kwenye utaratibu huo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAMBO KUMI HUSIYOYAFAHAMU KUHUSU MR PRESIDENT JAKAYA KIKWETE

1. Amezaliwa Tarehe 7 Oktoba Pamoja na viongozi mashuhuri Vladmir putin wa Urusi, na Askofu Desmond Tutu.   thumbnail 1 summary

1. Amezaliwa Tarehe 7 Oktoba Pamoja na viongozi mashuhuri Vladmir putin wa Urusi, na Askofu Desmond Tutu.
 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNAMJUA MPENZI WA KWELIKWELI WA JOKATE, AMNA UTANI SASA, HUYU HAPA

MWANAMITINDO daraja la kwanza  Bongo , Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amemwanika mwanaume mpya mtandaoni huku wakiwa wamepozi katika staili ... thumbnail 1 summary

MWANAMITINDO daraja la kwanza Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amemwanika mwanaume mpya mtandaoni huku wakiwa wamepozi katika staili ya wapendanao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KALAMA ‘AMNYOA’ NYWELE BELA

MWANADADA  anayeunda Kundi la Scorpion Girls,Isabela Mpanda ‘Bela’ amejikuta akinyoa nywele baada ya mpenzi wake wa siku nyingi, Luteni... thumbnail 1 summary

MWANADADA anayeunda Kundi la Scorpion Girls,Isabela Mpanda ‘Bela’ amejikuta akinyoa nywele baada ya mpenzi wake wa siku nyingi, Luteni Karama kumtaka afanye hivyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: