August 20, 2014

Kagame Cup: Matokeo ya Azam vs El Merreikh

Hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la Kagame Cup imeanza leo kwa wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano hiyo Azam FC kukupiga n... thumbnail 1 summary

IMG_6551.JPG

Hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la Kagame Cup imeanza leo kwa wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano hiyo Azam FC kukupiga na El Merreikh ya Sudan.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SOMA HAPA KUJUA KUHUSU ALI KIBA KITU AMBACHO KILIMCHUKIZA KUHUSU DIAMOND (MR NGOLOLO)

Mwanamuziki wa Bongo Flava, Ali Kiba amefunguka kuhusu mambo yaliyomkwaza kutoka kwa Diamond miaka michache iliyopita baada ya mkali h... thumbnail 1 summary


Mwanamuziki wa Bongo Flava, Ali Kiba amefunguka kuhusu mambo yaliyomkwaza kutoka kwa Diamond miaka michache iliyopita baada ya mkali huyo kutoka na wimbo wa ‘Kamwambie’ uliogeuka kuwa wimbo wa taifa wa Bongo Flava kwa muda. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TUKIO BAYA ZAIDI KUWAHI KUTOKEA DUNIANI !!TAZAMA BINTI HUYU ALICHOFANYWA NA CHATU DAKIKA CHACHE KABLA YA KUANZA KUOGA PICHA NA HABARI ZIPO HAPA

Ni matukio ambayo ni adimu na ni nadra sana kutokea hii imetokea katia eneo moja la kisiwa ambapo inasadikika kuwa binti huyu alikwenda k... thumbnail 1 summary

Ni matukio ambayo ni adimu na ni nadra sana kutokea hii imetokea katia eneo moja la kisiwa ambapo inasadikika kuwa binti huyu alikwenda kwaajila ya koga baada ya kuwa maetumia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII NDIO TOP TEN YA WANASOKA ULIMWENGUNI WNYE MITINDO YA NYWELE YA AJABU KULIKO WOTE, RONALDO NAYE YUMO TARIBO WEST AONGOZA

Mwanasoka amnbaye kwa sasa ni Pasta, Taribo West ameshika namba moja katika orodha ya wanasoka waliokuwa na staili za nywele za ajabu ku... thumbnail 1 summary


Mwanasoka amnbaye kwa sasa ni Pasta, Taribo West ameshika namba moja katika orodha ya wanasoka waliokuwa na staili za nywele za ajabu kuliko wote Duniani, World Soccer

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MTOTO WA JACKIE CHAN AKAMATWA NA BANGI

Mwanawe muigazaji nyota wa Hollywood Jackie Chan amekamatwa kwa madai alitumia mihadarati. Jaycee Chan, 31, ambaye mwenyewe ni msanii p... thumbnail 1 summary

Mwanawe muigazaji nyota wa Hollywood Jackie Chan amekamatwa kwa madai alitumia mihadarati.
Jaycee Chan, 31, ambaye mwenyewe ni msanii pamoja na muigizaji kutoka Taiwanese

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NEW UPDATES: BILIONEA LAKE OIL AJISALIMISHA POLISI

Aliyekuwa mfanyakazi wa Bilionea Lake Oil, Ally Edna Awadh aliyejeruhiwa na boss wake. BILIONEA  mmiliki wa kampuni ya usafirishaji na ... thumbnail 1 summary
Aliyekuwa mfanyakazi wa Bilionea Lake Oil, Ally Edna Awadh aliyejeruhiwa na boss wake.
BILIONEA mmiliki wa kampuni ya usafirishaji na usambazaji wa mafuta Lake Oil, Ally Edna Awadh,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LIVE! MSANII WA BONGO FLEVA ANASWA NA MACHANGU

WAKATI  wasanii wakitakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuenzi maadili mema kwa jamii ya Kitanzania, mambo yamekuwa kinyume, baada ya nyot... thumbnail 1 summary
WAKATI wasanii wakitakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuenzi maadili mema kwa jamii ya Kitanzania, mambo yamekuwa kinyume, baada ya nyota wa muziki wa kizazi kipya, Ramadhan Shaban 'Wabibi' kukutwa live, akipatana bei na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAYA SASA PENZI LA MASOGANGE LIMEKWIVA KWA MSAUZI... UNAAMBIWA AMPATIA PASIPOTI YA SAUZI, YADAIWA NDIYE ANAPIGA NAYE KAZI

Habari ya mjini kwenye ulimwengu wa mastaa Bongo ni taarifa kuwa video queen maarufu, Agness Gerald ‘Masogange’ amepatiwa passport (pasipot... thumbnail 1 summary

Habari ya mjini kwenye ulimwengu wa mastaa Bongo ni taarifa kuwa video queen maarufu, Agness Gerald ‘Masogange’ amepatiwa passport (pasipoti) ya kuishi nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’ na mwanaume anayedaiwa kuwa ni mfanyabiashara raia wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WATOA POLE KWENYE MSIBA WA MAREHEMU JAJI MAKAME

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweha saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti w... thumbnail 1 summary

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweha saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu, Mheshimiwa Lewis Makame

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANAMITINDO ALIYEPOTEA MAREKANI AKUTWA HOSPITALINI

Mwanamitindo raia wa Sudan aishie Marekani, Ataui Deng. Mwanamitindo raia wa Sudan aishie Marekani, Ataui Deng aliyepotea kwa mu... thumbnail 1 summary

Mwanamitindo raia wa Sudan aishie Marekani, Ataui Deng.
Mwanamitindo raia wa Sudan aishie Marekani, Ataui Deng aliyepotea kwa muda wa wiki mbili huku akitafutwa na polisi amekutwa akiwa hai katika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWENYEKITI WA CCM RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA DODOMA

Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba Mhe Samwel Sitta, alipow... thumbnail 1 summary

Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba Mhe Samwel Sitta, alipowasili kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwenye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ROJO ATUA MAN UNITED KUKAMILISHA USAJILI

Marcos Rojo akiwa na wafanyakazi wa Man Utd katika Hospitali ya Bridgewater baada ya kutua tayari kufanyiwa vipimo. thumbnail 1 summary

Marcos Rojo akiwa na wafanyakazi wa Man Utd katika Hospitali ya Bridgewater baada ya kutua tayari kufanyiwa vipimo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AY WAKALA WA GODFATHER EAST AFRICA

Mwanamuziki Ambwene Yesaya 'AY'. MKALI wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Ambwene Yesaya 'AY' anayetamba kwa kiba... thumbnail 1 summary

Mwanamuziki Ambwene Yesaya 'AY'.
MKALI wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Ambwene Yesaya 'AY' anayetamba kwa kibao chake cha ‘Asante’ ndiye wakala wa muongozaji video, Godfather

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Unaambiwa Man United wamekamilisha usajili mwingine wa huyu Muargentina.

Baada ya usajili wa Ander Herrera na Luke Shaw, Manchester United wamekamilisha usajili wa mchezaji mwingine ambae ni Marcos Rojo, beki w... thumbnail 1 summary
IMG_6524.JPGBaada ya usajili wa Ander Herrera na Luke Shaw, Manchester United wamekamilisha usajili wa mchezaji mwingine ambae ni Marcos Rojo, beki wa kiargentina aliyekuwa anakipiga kwenye klabu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

News kutoka bodi ya mikopo Tanzania kwenda kwa Wanafunzi elimu ya juu.

Bodi ya mikopo ya Wanafunzi wa elimu ya juu Tanzania imeanzisha mpango mpya kwa ajili ya kupambana na uhaba wa Walimu wa masomo ya Sayans... thumbnail 1 summary

Screen Shot 2014-08-20 at 8.11.41 AMBodi ya mikopo ya Wanafunzi wa elimu ya juu Tanzania imeanzisha mpango mpya kwa ajili ya kupambana na uhaba wa Walimu wa masomo ya Sayansi na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wewe ni shabiki wa Nicki Minaj? video yake mpya ya Anaconda ndio hii imetoka

Onika Tanya Maraj a.k.a Nicki Minaj ni staa aliezaliwa miaka 31 iliyopita kutoka kwa mama mwimbaji wa nyimbo za injili aitwae Carol na Ba... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-08-20 at 9.14.21 AMOnika Tanya Maraj a.k.a Nicki Minaj ni staa aliezaliwa miaka 31 iliyopita kutoka kwa mama mwimbaji wa nyimbo za injili aitwae Carol na Baba Robert Maraj,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UWIII, UNAAMBIWA SIKU HIZI MADEMU WANA VITAMBI KULIKO WANAUME, SOMA HAPA KUJUA SABABU

Miaka ya 90 kurudi nyuma ilikuwa nadra sana kukuta mwanamke ana kitambi. Ukimkuta mwanamke anatumbo kubwa wakati huo, lazima atakuwa ana ... thumbnail 1 summary

Miaka ya 90 kurudi nyuma ilikuwa nadra sana kukuta mwanamke ana kitambi. Ukimkuta mwanamke anatumbo kubwa wakati huo, lazima atakuwa ana mimba. Hali sasa inatisha. Wanawake wengi wana vitambi kiasi kwamba ni vigumu kutofautisha wenye mimba na wasio

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: