Fasten your seat belts bitches -- TMZ is taking you inside Kim Kardashian and Kanye West's blowout European wedding extravaganza this weekend ...
May 24, 2014
FACE OFF:WHO LOOKS BETTER IN THIS DRESS BETWEEN VERA SIDIKA AND CORAZON KWAMBOKA?
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
BREAKIN NEWZZ:- HARUSI YA MBUNGE MAARUFU WA VITI MAALUM CCM VICKIE KAMATA YAHAIRISHWA BAADA YA KUUGUA GAFLA.
BREAKIN NEWZZ:- HARUSI YA MBUNGE MAARUFU WA VITI MAALUM CCM VICKIE KAMATA YAHAIRISHWA BAADA YA KUUGUA GAFLA.
Mbunge Vicky Kamata akiwa amelazwa Hospitali ya Tabata General, Dar es Salaam jana 20:59
Mbunge Vicky Kamata akiwa amelazwa Hospitali ya Tabata General, Dar es Salaam jana
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Update: Harusi ya KANYE WEST, KIM KARDASHIAN kufuru….!!
Update: Harusi ya KANYE WEST, KIM KARDASHIAN kufuru….!!
Kim na Kanye wakijiandaa kuelekea kwenye gari tayari kwa kufika uwanja wa ndege na kusafiri kwenda kufunga ndoa. 20:57SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
U-FAKE WA MASTAA WA BONGO KWENYE MITANDAO YA KIJAMII: HII YA BATULI NI FUNGA MWAKA
U-FAKE WA MASTAA WA BONGO KWENYE MITANDAO YA KIJAMII: HII YA BATULI NI FUNGA MWAKA
Nikitu cha kawaida kwa mastaa wetu wa hapa bongo ku -FAKE maisha yao ya kwaida na kuonyesha vitu/mambo mazuri mazuri kama....anakula... 20:49SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
DIVA: KWANI MTU AKIWA MALAYA ANAJIUZA KUNA SHERIA YA KUMFUKUZA CHUO?!
DIVA: KWANI MTU AKIWA MALAYA ANAJIUZA KUNA SHERIA YA KUMFUKUZA CHUO?!
Diva Baada ya yule mwanafunzi wa chuo kujirekodi akisema shule imemshinda bora tu aolewe bure 20:47SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Hata watoto nao wana Fashion - Tazama jinsi walivyo tokelezea
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
JB, STEVE NYERERE WAZICHAPA NGUMI LAIVU..JB AUMIZWA VIBAYA, SOMA HAPA
Msanii Jb
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
LEO NDIO LEO!! HARUSI YA KANYE NA KIM KADARSHIAN..TAZAMA MAANDALIZI HAPA
LEO NDIO LEO!! HARUSI YA KANYE NA KIM KADARSHIAN..TAZAMA MAANDALIZI HAPA
IKIWA LEO NDIO SIKU YA WAILI HAWA, KANYE (36) NA KIM (33) KUFUNGANDOA HUKO MJINI PARIS...HII NI REPORT MAALUMU KUHUSIANA 13:10SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
WATU WAWILI WENYE NGUVU ZA AJABU DUNIANI WALIPOAMUA KUTEMBEA KWA MGUU MTAANI
WATU WAWILI WENYE NGUVU ZA AJABU DUNIANI WALIPOAMUA KUTEMBEA KWA MGUU MTAANI
President Barack Obama, with John Podesta, Counselor to the President, passes visitors to Washington, D.C., as they walk from the White... 13:09SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
JINSI YA KUEPUKA MAAMBUKIZI KATIKA NJIA YA MKOJO (U.T.I)
JINSI YA KUEPUKA MAAMBUKIZI KATIKA NJIA YA MKOJO (U.T.I)
Ugonjwa katika njia ya mkojo (U.T.I) ni ugonjwa unaoshambulia njia za mkojo na husipotibiwa au kuchukuliwa tahadhari mapeme huweza pia k... 13:07SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Hatimae Rihanna ajiondoa kwenye Mtandao wa Instagram.
Hatimae Rihanna ajiondoa kwenye Mtandao wa Instagram.
Rihanna Hatimae Rihanna ameamua kuifuta account yake ya Instagram baada ya Uongozi wa mtandao huo wa Instagram kumzuia kuweka picha z... 12:57Rihanna |
Hatimae Rihanna ameamua kuifuta account yake ya Instagram baada ya Uongozi wa mtandao huo wa Instagram kumzuia kuweka picha zisizokuwa na maadili ikiwa ni ukiukwaji wa
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
DULLY SYKES KUFUNGUA STUDIO MPYA SOMA ZAIDI HAPA
DULLY SYKES KUFUNGUA STUDIO MPYA SOMA ZAIDI HAPA
Hitmaker wa nyimbo kama Salome,Julieta, Nyambizi na zingine nyingi, Dully Sykes ambaye wiki hii ametimiza miaka 15 tangu aingie kwenye ... 12:55SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Huyu ndio Kiongozi pekee wa kiafrika kubebwa na Wazungu.......
Huyu ndio Kiongozi pekee wa kiafrika kubebwa na Wazungu.......
Dikteta Field Marshal Amiri Jeshi Mkuu Idi Amini Dadaa akiwa amebebwa na wazungu 08:53SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
WEMA SEPETU UTAMWONA NA MASTAR WOOOOTE LAKINI KAMWE HUWEZI KUMWONA MEZA MOJA NA HUYU STAR
WEMA SEPETU UTAMWONA NA MASTAR WOOOOTE LAKINI KAMWE HUWEZI KUMWONA MEZA MOJA NA HUYU STAR
Wanasema kua kikulacho ki nguoni mwako, msemo huo kwa Wema utakua unamgusa sana. Kitambo hicho Wema na Penny ( X wa Diamond ) walikua 08:52
Wanasema kua kikulacho ki nguoni mwako, msemo huo kwa Wema utakua unamgusa sana. Kitambo hicho Wema na Penny ( X wa Diamond ) walikua
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
JAMANI TUPUNGUZE MABIFU: WEMA, MTITU WAKWIDANA BILA KUJALA KUNA MSIBA
JAMANI TUPUNGUZE MABIFU: WEMA, MTITU WAKWIDANA BILA KUJALA KUNA MSIBA
KIMENUKA! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu na Mkurugenzi wa Kampuni ya Five Effects, William Mtitu wamekwinda ‘live’ ndani ya gari, ... 08:46
KIMENUKA! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu na Mkurugenzi wa Kampuni ya Five Effects, William Mtitu wamekwinda ‘live’ ndani ya gari, Risasi Jumamosi
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
NDOA SASA ISHAMSHINDA: AUNT EZEKIEL AWABWATUKIA NDUGU WA MUMEWE
NDOA SASA ISHAMSHINDA: AUNT EZEKIEL AWABWATUKIA NDUGU WA MUMEWE
STAA wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson Jujuman ameonesha upande wake wa pili baada ya kuwabwatukia wakwe zake aliposikia kuwa w... 08:44
STAA wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson Jujuman ameonesha upande wake wa pili baada ya kuwabwatukia wakwe zake aliposikia kuwa wana
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
LOOOH: LULU AKACHA MSIBA WA KUAMBIANA BAADA YA KUBANWA KWANINI HAKUHUDHULIA
LOOOH: LULU AKACHA MSIBA WA KUAMBIANA BAADA YA KUBANWA KWANINI HAKUHUDHULIA
STAA wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amedaiwa kuukacha msiba wa aliyekuwa nguli wa filamu za Kibongo, Adam Philip Kuambia... 08:43
STAA wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amedaiwa kuukacha msiba wa aliyekuwa nguli wa filamu za Kibongo, Adam Philip Kuambiana na
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
SNURA WA MAJANGA AFUNGUKA "SIWEZI KUNG'ATUKA KWA HILI PENZI LA DJ NG'OOOOO" SOMA ZAIDI HAPA
SNURA WA MAJANGA AFUNGUKA "SIWEZI KUNG'ATUKA KWA HILI PENZI LA DJ NG'OOOOO" SOMA ZAIDI HAPA
MAMAA Majanga, Snura Mushi amekiri kutoka katika uvungu wa moyo wake kuwa amedhibitiwa vilivyo na penzi la jamaa anayetoka naye kwa sasa 08:41
MAMAA Majanga, Snura Mushi amekiri kutoka katika uvungu wa moyo wake kuwa amedhibitiwa vilivyo na penzi la jamaa anayetoka naye kwa sasa
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
UVUMILIVU UMESHINDIKANA: KANISA KATOLIKI WATAKA MAPADRI WAANZE KUOA SASA
UVUMILIVU UMESHINDIKANA: KANISA KATOLIKI WATAKA MAPADRI WAANZE KUOA SASA
LILE vuguvugu la kutaka mapadri wa Kanisa Katoliki duniani waoe limezidi kukua kufuatia baadhi ya waumini wa kanisa hilo nao kupendekeza... 08:40
LILE vuguvugu la kutaka mapadri wa Kanisa Katoliki duniani waoe limezidi kukua kufuatia baadhi ya waumini wa kanisa hilo nao kupendekeza watumishi hao waoe kama wanaume wengine.Waumini hao walisema mara nyingi wamekuwa wakisikia baadhi ya mapadri wamezaa au wana mademu, kwa hiyo hawaoni sababu ya kuendelea kuwazuia kuoa.
Papa francisco
“Kama padri ana demu au amemjaza mwanamke mimba hadi amezaa, sasa kwa nini wasiruhusiwe kuoa kuliko kutenda dhambi? Waoe tu,” alisema muumini mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Simon Andrew, mkazi wa Mwenge jijini Dar.
Hilo limekuja kufuatia hivi karibuni kanisa hilo kuandikiwa barua ya kutaka
waruhusu mapadri waoe.
waruhusu mapadri waoe.
Barua hiyo inadaiwa kutoka katika kundi moja la wanawake 26 kutoka nchini Italia walio na hamasa za mapenzi na mapadri wa kanisa hilo kubwa duniani.
Barua hiyo ilidaiwa kutumwa kwa Papa Francis ambaye ndiye kiongozi mkuu wa kanisa hilo ulimwenguni.
Barua hiyo ilidaiwa kutumwa kwa Papa Francis ambaye ndiye kiongozi mkuu wa kanisa hilo ulimwenguni.
Katika barua hiyo, wanawake hao walisema wamekuwa wakitaka kushiriki katika
uhusiano wa kimapenzi na mapadri
hao lakini kikwazo ni sheria hiyo.
uhusiano wa kimapenzi na mapadri
hao lakini kikwazo ni sheria hiyo.
Juzi, mwandishi wetu alikwenda Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam na
kukutana na Katibu wa Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo, Denis Aminias na kuzungumza naye kuhusu watu kutaka mapadri waoe ambapo alisema:
kukutana na Katibu wa Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo, Denis Aminias na kuzungumza naye kuhusu watu kutaka mapadri waoe ambapo alisema:
“Kwanza wale wanawake (wa Italia) walikosea kupeleka malalamiko kule (kwa Papa). Suala la matamanio lipo katika maisha yetu ya ubinadamu.
“Sisi kama kanisa tutaendelea kusimamia katika misingi ileile ya kutooa.”
“Sisi kama kanisa tutaendelea kusimamia katika misingi ileile ya kutooa.”
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
USHIRIKIANO KATIKA SHIDA NA RAHA: BONGO MUVI YATUMIA MAMILIONI MSIBA WA KUAMBIANA
USHIRIKIANO KATIKA SHIDA NA RAHA: BONGO MUVI YATUMIA MAMILIONI MSIBA WA KUAMBIANA
Memba wa Klabu ya Bongo Movie Unity wamepambana vilivyo na kufanikiwa kuchangishana Sh. milioni 7 zilizofanikisha shughuli za msiba wa al... 08:39
Memba wa Klabu ya Bongo Movie Unity wamepambana vilivyo na kufanikiwa kuchangishana Sh. milioni 7 zilizofanikisha shughuli za msiba wa aliyekuwa
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
ROSE NDAUKA AELEZEA KWANINI KATULIA NA MALIKI BAADA YA KUMWAGANA NA WANAUME WOTE
ROSE NDAUKA AELEZEA KWANINI KATULIA NA MALIKI BAADA YA KUMWAGANA NA WANAUME WOTE
KAMA kawa, leo katika Exclusive Interview tunaye mwigizaji Rose Ndauka ambaye anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni.Kwenye maisha yake y... 08:37
KAMA kawa, leo katika Exclusive Interview tunaye mwigizaji Rose Ndauka ambaye anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni.Kwenye maisha yake ya sanaa,
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
IRENE ATESWA NA BIFU ALILOKUWA NALO NA MAREHEMU KUAMBIANA
IRENE ATESWA NA BIFU ALILOKUWA NALO NA MAREHEMU KUAMBIANA
MKALI wa filamu za Bongo, Irene Paul ameweka wazi kuwa anateswa na bifu lake na marehemu Adam Kuambiana kwani amefariki dunia wakiwa 08:34
MKALI wa filamu za Bongo, Irene Paul ameweka wazi kuwa anateswa na bifu lake na marehemu Adam Kuambiana kwani amefariki dunia wakiwa
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
MSANII GABO APATA AJALI
MSANII GABO APATA AJALI
MWIGIZAJI wa Bongo Movies, Salim Ahmed ‘Gabo’ amepata ajali mbaya ya gari maeneo ya Kiwalani jijini Dar.Kwa mujibu wa chanzo makini, Gabo 08:33
MWIGIZAJI wa Bongo Movies, Salim Ahmed ‘Gabo’ amepata ajali mbaya ya gari maeneo ya Kiwalani jijini Dar.Kwa mujibu wa chanzo makini, Gabo
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
TUPA MBALI TUZO ZA BET, KORA NA MTV , ZIFAHAMU TUZO Kubwa Zaidi Afrika Ambazo Kaingia Katika Vipengere Vitano
TUPA MBALI TUZO ZA BET, KORA NA MTV , ZIFAHAMU TUZO Kubwa Zaidi Afrika Ambazo Kaingia Katika Vipengere Vitano
Tuzo za AFRiMMA (Afrika Muzik Magazine Awards ) zilizokuwa zikiendelea na ziala sehemu tofauti barani Afrika kuhamashisha watu kush... 05:38SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
CHEKA NA MASANJA MKANDAMIZAJI AKITOA TAFSIRI YA MANENO
CHEKA NA MASANJA MKANDAMIZAJI AKITOA TAFSIRI YA MANENO
Pipoooo! Tuache kuwaita watu majina ambayo sio sahihi. Tuwaite kwa majina yao ya kitaalamu kutokana na ujuzi na kazi zao! 05:23
Pipoooo! Tuache kuwaita watu majina ambayo sio sahihi. Tuwaite kwa majina yao ya kitaalamu kutokana na ujuzi na kazi zao!
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
PICHAZ: K-LYN AKIWA NA WATOTO WAKE MAPACHA ALOZAA NA REGINALD MENGI
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Wataalam Wa Wa Mambo Wanakwambia Wema Sepetu Hata Atembee Peku Posta Nzima Hawezi Kumfikia Vanessa Mdee Kwa Hili Hapa..!!
Wataalam Wa Wa Mambo Wanakwambia Wema Sepetu Hata Atembee Peku Posta Nzima Hawezi Kumfikia Vanessa Mdee Kwa Hili Hapa..!!
Ukiongelea watu maarufu hapa town, ni wazi kwamba Wema ndiye maarufu zaidi kuliko celebrity yeyote yule wa kike hapa bongo, cause kila r... 05:18
Ukiongelea watu maarufu hapa town, ni wazi kwamba Wema ndiye maarufu zaidi kuliko celebrity yeyote yule wa kike hapa bongo, cause kila rika linamjua Wema
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Subscribe to:
Posts (Atom)