December 09, 2016

HATIMAE AFANDE SELE AFUNGUKA KILICHOMFELISHA 20 PERCENT, CHEKI VIDEO HII HAPA

Huwezi kuacha kumzungumzia msanii 20 Percent kama utaitaja list ya wasanii ambao wamefanya makubwa na kuishangaza jamii katika historia y... thumbnail 1 summary
Huwezi kuacha kumzungumzia msanii 20 Percent kama utaitaja list ya wasanii ambao wamefanya makubwa na kuishangaza jamii katika historia ya muziki wa Bongo Fleva.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAMPUNI YA KITANZANIA KUUNDA GARI LA KWANZA DESEMBA 2016

KAMPUNI ya Simba Motors imesema ina mpango wa kujenga kiwanda cha kuunganisha magari aina ya pick-up ambacho kitaanza kuzalisha magar... thumbnail 1 summary


KAMPUNI ya Simba Motors imesema ina mpango wa kujenga kiwanda cha kuunganisha magari aina ya pick-up ambacho kitaanza kuzalisha magari kabla ya Desemba 30, mwaka huu.
Ahadi hiyo imetolewa leo mchana (Jumatatu, Oktoba 10, 2016) na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Bw. Jitesh Ladwa mbele ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika mazungumzo yaliyofanyika ofisini kwake Magogoni, jijini Dar es Salaam.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AKUTWA AMEKUFA KWA KUFAKAMIA POMBE KALI BILA KULA CHAKULA..!!!

MKAZI wa mtaa wa Mgombani katika mji mdogo wa Tunduma wilayani Mbozi mkoani Songwe, amekutwa amefariki dunia kutokana na unywaji pom... thumbnail 1 summary


MKAZI wa mtaa wa Mgombani katika mji mdogo wa Tunduma wilayani Mbozi mkoani Songwe, amekutwa amefariki dunia kutokana na unywaji pombe kali kupita kiasi bila kula chakula.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SERIKALI KUAJIRI WATU ZAIDI YA 70,000 KATIKA SEKTA MBALIMBALI..!!!

BAADA ya kusitisha ajira za umma kwa takribani miezi tisa, Serikali imesema katika mwaka huu wa bajeti itaajiri watu 71,496 kweny... thumbnail 1 summary




BAADA ya kusitisha ajira za umma kwa takribani miezi tisa, Serikali imesema katika mwaka huu wa bajeti itaajiri watu 71,496 kwenye sekta mbalimbali ikiwamo elimu, afya na viwanda.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FAHAMU WATU 10 MASHUHURI DUNIANI WALIOJIBADILI JINSIA YA KIKE NA KUWA WANAUME..!!!

  KATIKA orodha ya watu maarufu duniani ukiachilia mbali wacheza sinema, wanasiasa na wanamuziki, wapo wanaume ambao walipozaliwa mpaka... thumbnail 1 summary
 
KATIKA orodha ya watu maarufu duniani ukiachilia mbali wacheza sinema, wanasiasa na wanamuziki, wapo wanaume ambao walipozaliwa mpaka miaka yao ya mwanzo ya maisha, walikuwa wakijitambulisha kama wanawake kutokana na utata wa kimaumbile, hatimaye wakaamua na kujitambulisha kama wanaume.



Alizaliwa mwaka 1980 na kutambuliwa kama mwanamke na alipewa jina la kike la Yvonne Buschbaum. Alikuwa akishiriki michuano mbalimbali ya kimataifa ya kuruka kwa upondo na nchini kwake Ujerumani alikuwa ni mrukaji bora wa pili wa upondo miongoni mwa wanawake wanaoruka kwa upondo.

Mwaka 1987 alijiuzulu uchezaji wa mchezo huo. Wakati akiwa ameachana na mchezo huo, ndipo alipoamua kujibadilisha rasmi jinsia yake kwa kutumia madawa ya kuongeza vinasaba vya kiume, na hivyo kusaidia kumwelekeza kwenye jinsia ya kiume. 


Mwaka 2008, alibadili rasmi jina lake la kike na kuchukua jina la kiume, sambamba na hilo alifanyiwa upasuaji na kuwa mwanamume kamili.











Huyu ni mtengeneza sinema za kiutu uzima anayechukuliwa kama alama ya uwakilishi wa wasagaji na mashoga. Mwaka 2007, Buck alikuwa mshindi wa kanda za video za kiutu uzima wa mwaka (Adult Video News Award "Transsexual Performer of the Year"). 




Hivi sasa anafanya kazi kama mwanasheria, muelimishaji, mhadhiri na mwandishi anayemiliki kampuni yake ya utengenezaji wa sinema.







Loren Cameron











Loren Rex Cameron ni mpiga picha, mtunzi na mwanaharakati wa watu wanaoishi na jinsia mbili. Ni mtu maarufu miongoni mwa wanaharakati wa jinsia na anazo kazi nyingi alizofanya zenye lengo la kuipatia elimu jamii kuhusiana na masuala ya jinsia ikiwemo wale wenye jinsia mbili.







Ian Harvie






Mmarekani Ian Harvie ni muigizaji wa vichekesho, anayetumia maumbile yake ya jinsia kama chombo kwenye maigizo yake. Ameigiza na waigizaji maarufu akiwemo Margaret Cho na wengineo wengi.




Lucas Silveira












Alizaliwa nchini Canada mwaka 1979, Lucas Silveira aliweka historia kwa kuwa mwanamuziki wa kwanza wa muziki wa rock kujitangaza hadharani kwamba ana jinsia mbili ingawa anajitambulisha kama mwanaume. 




Amekuwa mwanamuziki wa kwanza kupata mkataba wa kurekodi na kampuni kubwa ya kutengeneza muziki. Silveira ni mwimbaji, mpiga gitaa na mtunzi wa nyimbo wa kundi la The Cliks







Katastrophe












Rocco Kayiatos anafahamika kama Katastrophe, ni mwamuziki na mtayarishaji wa muziki wa hiphop nchini Marekani. 




Kayiatos anatajwa kama mwanamuziki wa kwanza wa HipHop kujitangaza hadharani kwamba ana jinsia mbili mongoni mwa wanamuziki wa hip-hop.







Thomas Beatie












Thomas Beatie alijipatia umaarufu duniani kama mwanaume wa kwanza aliyebeba mimba. Akiwa amezaliwa mwanamke, Beatie aliishi maisha yake kama mwanamke mpaka alipofikia umri wa miaka 20. 




Alianza kutumia madawa maalum ya kumwongezea vinasaba vya kiume mwilini mwake, lakini akaamua kuendelea kubaki na sehemu zake za jinsia za kike ili yeye na mkewe ambaye hana uwezo wa kubeba mimba waweze kupata watoto kwa kutumia mbegu za kiume za watu wanaojitolea. 




Beatie tayari amepata watoto watatu na amerudia kutumia madawa ya kumwongezea vinasaba vya kiume.







Ryan Sallans












Jina la kike alilokuwa akilitumia ni Kimberly Ann Sallans, na hivi sasa ni mmoja wa wanaharakati kwa miaka kadhaa na kumalizia zoezi lake hilo mwaka 2005. 




Sallans amewahi kuonekana kwenye kipindi cha "Larry King Live!" na kituo cha televisheni cha LOGO channel, sambamba na kwenye majarida mengine na machapisho kadhaa.




Andreas Krieger











Andreas Krieger alikuwa mrusha tufe aliyekuwa akiwakilisha timu ya taifa ya mchezo Ujerumani Mashariki. Tangu akiwa mtoto wa chini ya miaka kumi alikuwa akipewa vidonge vya kuongeza nguvu (anabolic steroids) bila ya yeye kujua anapewa vidonge hivyo kwa sababu gani, lakini jambo hilo lilimsaidia kuwa mtu mwenye misuli ilyojengeka katika muonekano na tabia. 




Krieger alijiuzulu kutoka kwenye michezo mwaka 1990 na kufanyiwa upasuaji wa kubadili jinsia yake mwaka 1997. Amekuwa akisema hadharani kwamba anatamani asingeingizwa kwenye matumizi ya dawa hizi ili aweze kutambua hali yake hii mwenyewe na kuamua mwenyewe badala ya kulazimishwa kwa madawa.







Chaz Bono











Ni binti wa wanamuziki maarufu na tajiri sana nchini Marekani na duniani, Cher na Sonny Bono na kupewa jina la kike la Chastity Bono.




Akiwa amekulia kwenye familia yenye umaarufu mkubwa, alijitangaza kwamba yeye ni msagaji akiwa na umri wa miaka 25.




Kabla ya kugundua kwamba alikuwa na jinsia ya pili, jinsia ya kiume yenye shinikizo zaidi ndani ya nafsi yake. Chaz alifanyiwa upasuaji wa kubadili jinsia uliochukua miaka miwili, na hivi sasa anaishi kwa furaha akiwa ni mwanaume.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DK MAGUFULI KUWEKA HISTORIA MPYA LEO UWANJA WA UHURU..!!!

RAIS John Magufuli leo anatarajiwa kuongoza Watanzania katika kilele cha maadhimisho ya Miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara, yatakayofan... thumbnail 1 summary

RAIS John Magufuli leo anatarajiwa kuongoza Watanzania katika kilele cha maadhimisho ya Miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara, yatakayofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, ikiwa ni mara yake ya kwanza kushiriki sherehe hizo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NEC - MIKUTANO YA KISIASA RUKSA ZANZIBAR..!!!

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema mikutano ya kisiasa itaruhusiwa wakati wa kampeni za uchaguzi katika Jimbo la Dimani Zanzibar n... thumbnail 1 summary

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema mikutano ya kisiasa itaruhusiwa wakati wa kampeni za uchaguzi katika Jimbo la Dimani Zanzibar na kata 22 ambazo zitafanya uchaguzi wa madiwani na mikutano hiyo inatakiwa kufanyika katika maeneo husika tu,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Cassper Nyovest apata shavu kutokea kwenye cover la Forbes Africa Life

Kupitia mtandao wa Twitter wa jarida hilo, wameandika, “@CassperNyovest started performing in front of a few people at school, 20 years... thumbnail 1 summary

Kupitia mtandao wa Twitter wa jarida hilo, wameandika, “@CassperNyovest started performing in front of a few people at school, 20 years later he’s filling up stadiums – @forbesafrica out NOW!.”

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wema Sepetu: Nina mpango wa kuhamia Kenya

Pengine Wema Sepetu amechoshwa na maisha ya skendo akiwa Bongo na sasa ameanza kufikiria kuanzisha maisha katika nchi nyingine – mbali ki... thumbnail 1 summary
Pengine Wema Sepetu amechoshwa na maisha ya skendo akiwa Bongo na sasa ameanza kufikiria kuanzisha maisha katika nchi nyingine – mbali kidogo na nyumbani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mungu mwenyewe atakuja kuinusuru tasnia ya filamu sio sisi – Gabo Zigamba

Msanii wa filamu Salim Ahmed aka Gabo Zigamba amedai hakuna msanii wa filamu ambaye ataweza kuinusuru tasnia ya filamu kutokana na wasani... thumbnail 1 summary
Msanii wa filamu Salim Ahmed aka Gabo Zigamba amedai hakuna msanii wa filamu ambaye ataweza kuinusuru tasnia ya filamu kutokana na wasanii wa filamu kukosa umoja.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mohammed Dewji recognized as ‘Entrepreneur of the Year’ for Africa

Tanzanian businessman, Mohammed Dewji was announced as the winner of the ‘Entrepreneur of the Year – Business Africa’ Award on Wednesday ... thumbnail 1 summary
Tanzanian businessman, Mohammed Dewji was announced as the winner of the ‘Entrepreneur of the Year – Business Africa’ Award on Wednesday evening in Paris.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kanye West aonekana kwa mara ya kwanza tangu atoke hospitali

Baada ya takriban wiki mbili kutokuwa machoni mwa watu, Kanye West ameonekana kwa mara ya kwanza. thumbnail 1 summary
Baada ya takriban wiki mbili kutokuwa machoni mwa watu, Kanye West ameonekana kwa mara ya kwanza.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Audio: Tekno - Rara

Kama ni ngoma ambazo huenda zikawa ni funga mwaka ni hii ya mzee wa Pana Tekno kuja na 'Rara'nyimbo ambayo mikato yake haijapisha... thumbnail 1 summary
Kama ni ngoma ambazo huenda zikawa ni funga mwaka ni hii ya mzee wa Pana Tekno kuja na 'Rara'nyimbo ambayo mikato yake haijapishana sana na Diana, kibao anachotamba nacho kwa sasa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: