May 11, 2015

Ubunifu mwingine kwenye majeneza tazama hapa zaidi

Sio kitu cha kawaida eti mtu kujichagulia jeneza ambalo litatumika kwa ajili ya mazishi yake akifariki.. lakini kuna stori ambazo zimekuw... thumbnail 1 summary
Sio kitu cha kawaida eti mtu kujichagulia jeneza ambalo litatumika kwa ajili ya mazishi yake akifariki.. lakini kuna stori ambazo zimekuwa zikiandikwa kuhusu baadhi ya watu kujichagulia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Bow Wow kaamua kuaga rasmi YMCMB?? nini sababu.. anaenda wapi??

Stori nyingi sio nzuri kuhusu hali ya kwenye kundi la YMCMB headlines nyingi zilikuwa zinahusu mgogoro wa kimaslahi kwenye kundi ikiwemo ... thumbnail 1 summary
Stori nyingi sio nzuri kuhusu hali ya kwenye kundi la YMCMB headlines nyingi zilikuwa zinahusu mgogoro wa kimaslahi kwenye kundi ikiwemo ishu ya Lil Wayne kupanga kulishtaki kundi hilo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mashabiki wa Manchester City hawakuwa nyuma kwenye siku hii muhimu kwa Yaya Toure…

Jana kiungo wa Manchester City alitimiza umri wa miaka 31 wakati akiwa ndani ya kikosi chake hicho kilichokuwa kikicheza na QPR kwenye ... thumbnail 1 summary

Jana kiungo wa Manchester City alitimiza umri wa miaka 31 wakati akiwa ndani ya kikosi chake hicho kilichokuwa kikicheza na QPR kwenye uwanja wa Etihad.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

After Europe and Tanzania, HUDDAH MONROE in Nigeria…. See Her Salivating for a Waiter

Huddah Monroe seems to have turned into an international tourist if her many trips abroad and in Africa are anything to go by. After her ... thumbnail 1 summary
Huddah Monroe seems to have turned into an international tourist if her many trips abroad and in Africa are anything to go by. After her Europe escapade, Huddah headed to Tanzania where she got too

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PHOTOs!! DIAMOND Flies to Dubai to Shop For His Unborn Princess

Diamond seems to be getting ready for the birth of his baby girl in style. He recently flew to Dubai to shop for his unborn baby and he p... thumbnail 1 summary
Diamond seems to be getting ready for the birth of his baby girl in style. He recently flew to Dubai to shop for his unborn baby and he proved that he has a good eye for beautiful girlish stuff.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SABABU 10 ZINAZOWEZA KUSABABISHA MAPENZI KUPUNGUA/KUISHA;

Mapenzi ni kitu Fulani tofauti sana kwenye hii dunia na hata nje ya hii sayari. Mapenzi kwa kiasi kikubwa sana yanasababisha hata mam... thumbnail 1 summary


Mapenzi ni kitu Fulani tofauti sana kwenye hii dunia na hata nje ya hii sayari. Mapenzi kwa kiasi kikubwa sana yanasababisha hata mambo mengine kwenye hii dunia yaende sawa au yaende tofauti hata kama hayahusiani na mahusiano ya mapenzi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JIFUNZE KITU HAPA: Maisha ndio yalionifanya nizae mapema Simulizi-soma hapa

Nilipomaliza elimu yangu ya msingi sikuwa na uelekeo tena kwani mama alishindwa kunipeleka sekondari kutokana na kipato chake duni. Nimelele... thumbnail 1 summary



Nilipomaliza elimu yangu ya msingi sikuwa na
uelekeo tena kwani mama alishindwa kunipeleka
sekondari kutokana na kipato chake duni. Nimelelewa
na mama tu kwani baba alishakufa kitambo, ndugu wa
baba hawakuwa na msaada wowote kwetu. Mimi ndio

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WIMBO WA VANESSA MDEE ‘NO BODY BUT ME’ UKO NAMBA 1 KWENYE TOP TEN YA RADIO YA NIGERIA

Baada ya Kichupa cha wimbo mpya wa Vanessa Mdee ‘No Body But Me’ aliomshirikisha rapper wa Afrika Kusini ‘K.O’ kuingia kwenye chati za vi... thumbnail 1 summary
Baada ya Kichupa cha wimbo mpya wa Vanessa Mdee ‘No Body But Me’ aliomshirikisha rapper wa Afrika Kusini ‘K.O’ kuingia kwenye chati za vituo vya runinga vya kimataifa kama MTV

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAYWEATHER AFANYA BALAA KWENYE ‘BETHDEI’ YA CHRIS BROWN

Floyd Mayweather akiwa kwenye bethidei ya Chris Brown. NEW YORK, Marekani NI jeuri ya mkwanja! Ndivyo bondia Floyd Mayweather alivyoa... thumbnail 1 summary
Floyd Mayweather akiwa kwenye bethidei ya Chris Brown.
NEW YORK, Marekani
NI jeuri ya mkwanja! Ndivyo bondia Floyd Mayweather alivyoanza makeke ya kutumia mkwanja wake baada ya hivi karibuni kufanya balaa la maana kwenye siku ya kuzaliwa ya mwimbaji,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Msuva Mambo Safi Afrika Kusini, Yanga Waletewa Ofa Rasmi ya Kumuuza

MFUNGAJI bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simon Msuva anarejea jioni ya leo Dar es Salaam na tabasamu ‘kuubwa’ baada ya kufaulu... thumbnail 1 summary
MFUNGAJI bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simon Msuva anarejea jioni ya leo Dar es Salaam na tabasamu ‘kuubwa’ baada ya kufaulu majaribio ya kucheza soka ya kulipwa Afrika Kusini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ukistaajabu Ile Tattoo ‘Shishi baby’ kwa Mziwanda Jionee Hii ya ‘Irene Uwoya’ kwa Vjaymapenzi!

Katika hali ya kuonyesha hisia zake kwa staa wa bongo movies, Irene Uwoya kijana anayejiita Vjaymapenzi amejichora tattoo yenye jina la sta... thumbnail 1 summary
Katika hali ya kuonyesha hisia zake kwa staa wa bongo movies, Irene Uwoya kijana anayejiita Vjaymapenzi amejichora tattoo yenye jina la staa huyo mkononi na kufunguka haya mtandaoni.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Siwema Wa Nay Wa Mitego Atiwa Mbaroni.....Kisa Ni Kumpiga Picha Za Uchi Kigogo Wa Serikali

Mzazi mwenzake staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson (27) ametiwa mbaroni na kusota rumande kwa siku kadh... thumbnail 1 summary
Mzazi mwenzake staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson (27) ametiwa mbaroni na kusota rumande kwa siku kadhaa akidaiwa kujipatia mali kwa njia ya vitisho kutoka kwa kigogo mmoja serikalini (jina linahifadhiwa kwa sasa).

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LULU AANIKA SIRI YA ‘KU-DATE’ NA WALIOMZIDI UMRI

Funguka! Sexy lady kunako sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa anapenda kuminya ‘ku-date’ na wanaume wanaomzidi... thumbnail 1 summary
Funguka! Sexy lady kunako sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa anapenda kuminya ‘ku-date’ na wanaume wanaomzidi umri kwa sababu wanakuwa na nafasi nyingi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUMBE! ZARI, MADAM RITA NI NDUGU

Kumbe! Machoni pa wengi maswali yaliibuka miongoni mwa mashabiki wa mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan... thumbnail 1 summary
Kumbe! Machoni pa wengi maswali yaliibuka miongoni mwa mashabiki wa mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘The Boss Lady’ baada ya kumuona akiwa ‘klozi’ na Bosi wa Bongo Stars Search (BSS),

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DAVINA AIPA LIKIZO NDOA YAKE

Mapumziko! Staa wa sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ amefunguka kuwa baadhi ya watu wanafikiria hatarudi kwenye ndoa yake lakini kwa ... thumbnail 1 summary
Mapumziko! Staa wa sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ amefunguka kuwa baadhi ya watu wanafikiria hatarudi kwenye ndoa yake lakini kwa upande wake anaamini kuwa anakula likizo fupi kisha atarejea kuendelea na maisha ya ndoa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAMA WEMA SEPETU AFURAHIA UJAUZITO WA ZARI..AFUNGUKA MAZITO!

SIKU chache baada ya kuvuja kwa picha zinazomuonesha mpenzi wa sasa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ akiwa... thumbnail 1 summary

SIKU chache baada ya kuvuja kwa picha zinazomuonesha mpenzi wa sasa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ akiwa na kitumbo kinachoashiria kukua kwa ujauzito, mama mzazi wa zilipendwa wa Diamond, Wema Sepetu ‘Madam’, Mariam Sepetu amefunguka kuwa amefurahia tukio hilo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UMRI UMEENDA SASA:RAIS MSTAAFU ALHAJI HASSAN MWINYI ATIMIZA MIAKA.....

Rais mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi maarufu kwa jina la ‘Mzee Ruksa’ leo Jumapili anatimiza miaka 90. Bado ana nguvu, mchangamfu, mche... thumbnail 1 summary

Rais mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi maarufu kwa jina la ‘Mzee Ruksa’ leo Jumapili anatimiza miaka 90. Bado ana nguvu, mchangamfu, mcheshi na anapopata fursa, anawafundisha Watanzania matumizi ya Kiswahili Sanifu na kutoa ushauri juu ya umuhimu wa elimu na kuishi kwa amani na ushirikiano bila ubaguzi kwa misingi ya dini na ukabila.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAKAVU LIVE: MKUBWA FELLA AFUNGUKA KUHUSU ZENGWE LA TUZO ZA KILI!

Asante singida wadau tumethamini mapokezi yenu kwa wanetu ya moto. Kunawatu marafiki wamebisha kwenye academic ya TUZO kwamba vijana a... thumbnail 1 summary

Asante singida wadau tumethamini mapokezi yenu kwa wanetu ya moto. Kunawatu marafiki wamebisha kwenye academic ya TUZO kwamba vijana awapigi live sijui live wanatumia vyombo gani sijui ila MUNGU akisema time NI time ila kwenye dunia ukipewa mamuzi kuwa fear kwa chochote tusijifanye MUNGU watu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SOMA STORY FUPI YA MAPENZI YA KUHUZUNISHA YENYE MAFUNZO KWENU HASA HASA WAKINA DADA. NI STORY YA KWELI KABISA

"Nilipoingia katika mahusiano naye nilimuamini, nikampa kila kitu nilichoweza. Nakumbuka enzi zile nyumbani tulikuwa tuna ng’omb... thumbnail 1 summary


"Nilipoingia katika mahusiano naye nilimuamini, nikampa kila kitu nilichoweza. Nakumbuka enzi zile nyumbani tulikuwa tuna ng’ombe, niliiba maziwa kila siku na kumpelekea kwao. Akanenepa!! Penzi letu likawa huru alipoanza maisha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UFAHAMU MZUNGUKO WA HEDHI NA SIKU HATARI KWA NWA

Kwa mwanamke mwenye mzunguko wa kawaida wa siku 28. Yai la mwanamke hupevuka (ovulation) siku ya 14 baada ya bleed na likikutana mbeg... thumbnail 1 summary


Kwa mwanamke mwenye mzunguko wa kawaida wa siku 28. Yai la mwanamke hupevuka (ovulation) siku ya 14 baada ya bleed na likikutana mbegu ya kiume siku hiyo hutunga mimba(nyege huwa kali na uteute kuwa mzitounaovutika).Pia kunauwezekano

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUNA WANAOISHI KWA RAHA NA VIMADA KULIKO NDANI YA NDOA

Nisiku nyingine tena tunakutana katika jungu kuu lisilokosa ukoko, katika uchambuzi mzuri na wenye mashiko kuhusu maisha na mapenzi.Kwa u... thumbnail 1 summary
Nisiku nyingine tena tunakutana katika jungu kuu lisilokosa ukoko, katika uchambuzi mzuri na wenye mashiko kuhusu maisha na mapenzi.Kwa uchunguzi mdogo nilioufanya kwa kuzungumza na wanaume kadhaa walio kwenye mahusiano, (hasa wana ndoa) nimegundua baadhi ya wanaume wamejikuta wakijiingiza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wema Sepetu na Aliyekuwa Mume wa Zarii Kunanii? Wapanga Kuwaumiza Diamond na Zari Kwa Kumsapoti Ali Kiba Kill Music Awards

Week end hii iliyopita Wema Sepetu na Aliyekuwa Mume wa Zari Ivan wamekuwa busy sana kumspoti Ali Kiba na Kumpromote kwenye page zao za I... thumbnail 1 summary
Week end hii iliyopita Wema Sepetu na Aliyekuwa Mume wa Zari Ivan wamekuwa busy sana kumspoti Ali Kiba na Kumpromote kwenye page zao za Instagram kitu ambacho si cha kawaida na kimechukuliwa kuwa wawili hao wamepanga kufanya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: