January 15, 2014

MASTAA KUTOKA NIGERIA WAKIWA NA WAPENZI WAO WAONE HAPA .. WAMETOKELEZEA

Let’s check out the Nigerian celebrity couples we absolutely love, and why you love them too. thumbnail 1 summary


Let’s check out the Nigerian celebrity couples we absolutely love, and why you love them too.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MFAHAMU MUIGIZAJI BRIAN DEACON ALIYEIGIZA KAMA "YESU" NA ANACHOKIFANYA KWA SASA KATIKA MAISHA ... NI NOMA

Brian Deacon ndio jina lake mwigizaji huyo ambaye ni mwingereza aliyezaliwa mnamo tarehe 13/02/1949 huko Oxford nchini Uingereza akiwa... thumbnail 1 summary
Brian Deacon ndio jina lake mwigizaji huyo ambaye ni mwingereza aliyezaliwa mnamo tarehe 13/02/1949 huko Oxford nchini Uingereza akiwa ni mtoto wa pili katika familia yao baba yake akiwa fundi makenika na mama yake akiwa ni nesi. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CRAZY GK "EASTCOAST IMERUDI SASA TUTATUMIA ELIMU ZETU KUFANYA MZIKI WENYE LADHA" .. SOMA HAPA

Rapper, Gwamaka Kaihula aka King Crazy GK amewataka wapenzi wa East Coast Team kukaa mkao wa burudani baada ya members wa zamani wa kundi... thumbnail 1 summary
Rapper, Gwamaka Kaihula aka King Crazy GK amewataka wapenzi wa East Coast Team kukaa mkao wa burudani baada ya members wa zamani wa kundi hilo AY na Mwana FA kumpa shavu kwenye kadhaa zake kadhaa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WANAFUNZI WANGU WA KIKE WANANICHANGANYA SANA SIJUI NIFANYAJE ... TOA USHAURI

Habari zenu wadau naomba ufiche jina langu.  mimi ni mvulana miaka 20, nafanya kazi. Tatizo ambalo nakabiliwa nalo ni kuwapend... thumbnail 1 summary


Habari zenu wadau naomba ufiche jina langu.
 mimi ni mvulana miaka 20, nafanya kazi. Tatizo ambalo nakabiliwa nalo ni kuwapenda wasichana ambao ni wanafunzi. Nasema hili ni tatizo kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SABABU 10 ZINAZOMFANYA MPENZI WAKO ASIONGELEE MAMBO YA KUOANA... JIFAHAMU HAPA

Still waiting for you man to pop the big question to you?  Wondering why it is taking him so long?.... Here’s a list of ten pos... thumbnail 1 summary


Still waiting for you man to pop the big question to you? 
Wondering why it is taking him so long?....
Here’s a list of ten possible reasons why your significant other hasn’t asked you to marry him yet.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UJIO MPYA WA JENNIFER LOPEZ ...... TAZAMA VIDEO HII

Kama wewe ni shabiki wa Jennifer Lopez basi utakua umezimiss sana kazi zake kwenye muziki. Same girl ndio wimbo mpya kutoka kwa JLo am... thumbnail 1 summary

jlo
Kama wewe ni shabiki wa Jennifer Lopez basi utakua umezimiss sana kazi zake kwenye muziki.
Same girl ndio wimbo mpya kutoka kwa JLo ambao umeandikwa na Chris Brown.
J Lopez ametumia muda wake akiwa studio na Future, Big Sean

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAKUBWAA...!!! SHOGA ALIYEMRUDIA MUNGU...SASA AAMUA KUMVISHA PETE MCHUMBA WAKE..JIONEE MWENYEWE HAPA

Stori: Imelda Mtema na Shani Ramadhani KATIKA tukio linalochukuliwa kama ni la kihistoria kuwahi kutokea katika mia... thumbnail 1 summary


Stori: Imelda Mtema na Shani Ramadhani
KATIKA tukio linalochukuliwa kama ni la kihistoria kuwahi kutokea katika miaka ya karibuni, shoga wa Jijini Dar es Salaam, Amos Hamis, maarufu kama Anti Asu, aliyeokoka Agosti mwaka jana, ametangaza nia ya kutaka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UFATAKI WA MUME WANGU UMENICHOSHA ,,NATAMANI KUACHANA NAE ,,,!!!USHAURI JAMANI NIFANYEJE???

Habari za humu jamani mimi ni mwanamke nimeolewa miaka 5 imepita hatujafunga ndoa mume wangu ni mt... thumbnail 1 summary

Habari za humu jamani
mimi ni mwanamke nimeolewa miaka 5 imepita hatujafunga ndoa mume wangu ni mtu mzima kidogo ana miaka kama 49 na mm 26 bas nlishawahi kuomba ushauri meing humu na mkanisaidia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RIHANNA APIGA PICHA YA MAGAZINE BRAZIL NA KIVAZI NUSU UCHI ... TAZAMA HAPA PICHA

Rihanna showed off her banging body as she posed topless, but for the paper covering her nipples, in a beach photo shoot for ... thumbnail 1 summary


Rihanna showed off her banging body as she posed topless, but for the paper covering her nipples, in a beach photo shoot for Vogue Brazil, which was shot last week on the Brazilian Island of Angra dos Reis.See more pics after the cut...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hadithi .... The Holly Sin - 09

ILIPOISHIA: AKAWAAMBIA wazazi wake jinsi alivyopewa juisi za kwenye makopo na mzee Kenan na jinsi alivyoleweshwa na juisi hizo. “Baada y... thumbnail 1 summary

ILIPOISHIA:
AKAWAAMBIA wazazi wake jinsi alivyopewa juisi za kwenye makopo na mzee Kenan na jinsi alivyoleweshwa na juisi hizo.
“Baada ya hapo nini kiliendelea?”
“Sikumbuki baba, nilijihisi mwili wote ukiishiwa nguvu na sikuelewa tena kilichoendelea mpaka nilipozinduka na kujikuta nimelala chumbani kwangu.”
SASA ENDELEA…

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: