June 24, 2014

NISHA KUACHIA WIMBO ‘GUMZO’ ALIYOMSHIRIKISHA MZEE MAJUTO

Nisha ameiambia bongo5 kuwa ameamua kuachia wimbo huo ili kuwaridhisha mashabiki wake baada ya kumtaka hautoe wimbo huo.  “Kuna kip... thumbnail 1 summary

Nisha ameiambia bongo5 kuwa ameamua kuachia wimbo huo ili kuwaridhisha mashabiki wake baada ya kumtaka hautoe wimbo huo. 

“Kuna kipande cha wimbo nilikiimba kwenye filamu yangu ya Gumzo, sasa mashabiki

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ANGALIA WADADA HAWA WANAVYOUMIA KWA KUJIDUNGA SINADANO ZENYE CREAM YA KUBADILI NGOZI ZAO

Kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni..! wadada hawa wamekubali kupata maumivu makali ili kudungwa sindano zenye cream za kulain... thumbnail 1 summary
Kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni..! wadada hawa wamekubali kupata maumivu makali ili kudungwa sindano zenye cream za kulainisha ngozi na kuwafanya wawe na rangi ya kuvutia kwa mabwana zao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kitale Akanusha Kuwa na Mahusiano na Vj Penny

Msanii wa filamu za vichekesho, Kitale, ambae kwa sasa anatambulika zaidi kwa jina la 'Mkude Simba' amekanusha kuwa hajawai ku... thumbnail 1 summary

Msanii wa filamu za vichekesho, Kitale,
ambae kwa sasa anatambulika zaidi kwa
jina la 'Mkude Simba' amekanusha kuwa
hajawai kuwa na mahusiano ya kimapenzi
na Vj Penny ambae aliwai kuwa mpenzi wa
zamani wa Diamond.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lulu akana kushirikishwa na Mapacha, ‘I swear sina idea na huku kushirikishwa’

Kundi la Mapacha jana (June 23) wametambulisha ngoma yao mpya baada ya ukimya wao wa muda mrefu, wimbo ambao wamedai wamemshirikisha ... thumbnail 1 summary

Kundi la Mapacha jana (June 23)
wametambulisha ngoma yao mpya baada
ya ukimya wao wa muda mrefu, wimbo
ambao wamedai wamemshirikisha
muigizaji wa Bongo Movie Elizabeth Michael
aka Lulu. Lakini Lulu leo amekana
kushirikishwa katika wimbo huo kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JE NINI UNAFANYA DAIMOND KUCHUKUA MADEM AMBAO TAYARI BLUE KASHAWAMEGA, NAJ, WEMA NA WENGINE

  Vitu vingine ni vigumu kuvifikiria kirahisi mpaka uwe makini sana kwa mfano hili la blue na diamond, ni kweli hawa jamaa wanafanya viz... thumbnail 1 summary
 
Vitu vingine ni vigumu kuvifikiria kirahisi mpaka uwe makini sana kwa mfano hili la blue na diamond, ni kweli hawa jamaa wanafanya vizuri katika mzic wa bongoflava na wameweza kumantain kuwa kwenye chat kwa mda mrefu sana bila kuchuja, lakini utafiti umeonyesha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WABONGO BANA, TAZAMA AKAUNTI KIBAO ZA LULU NA ZINAPOST PICHA ZA UTUPU, LULU AWEKA WAZI UKWELI

Msanii wa filamu Elizabeth Michael ‘Lulu’.   Msanii wa filamu Elizabeth Michael ‘Lulu’.amesikitishwa na watu wanaotumia akaunti fa... thumbnail 1 summary



Msanii wa filamu Elizabeth Michael ‘Lulu’. 
Msanii wa filamu Elizabeth Michael ‘Lulu’.amesikitishwa na watu wanaotumia akaunti fake za mitandao
 ya kijamii yenye jina lake na kuchangisha michango kwaajili ya mfuko wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hizi ni picha za birthday party ya mtoto wa Kim Kardashian na Kanye West.

Kanye West na Kim Kardashian hawakutumia gharama kubwa kuandaa party ya mtoto wao akitimiza mwaka mmoja tangu azaliwe. Party hiyo ilifany... thumbnail 1 summary
1Kanye West na Kim Kardashian hawakutumia gharama kubwa kuandaa party ya mtoto wao akitimiza mwaka mmoja tangu azaliwe. Party hiyo ilifanyika kwenye sehemu ya nyuma ya nyumba ya Kourtney Kardashian na kuhudhuriwa na marafiki kama Ciara,Blac Chyna,Lala

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha 11 za Mzee Majuto, Timoth Conrad na wengine kwenye movie mpya Kenya.

Sabby Angel na Mzee Majuto. Director Timoth Conrad ambae ujuzi wake umetumika kwenye movie kadhaa za Tanzania ikiwemo ‘Mdudiko’ ameh... thumbnail 1 summary
5
Sabby Angel na Mzee Majuto.
Director Timoth Conrad ambae ujuzi wake umetumika kwenye movie kadhaa za Tanzania ikiwemo ‘Mdudiko’ amehusika tena kuidirect movie mpya inayofanywa Mombasa na kuwashirikisha waigizaji mbalimbali akiwemo mchekeshaji Mzee Majuto.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Bow Wow abadilisha jina tena…lijue jina na sababu ya kubadilisha.

Mwaka 1993 alipewa jina la Lil Bow Wow na Snoop Dogg, ikafika mwaka 2002 akabadilisha jina kujiita Bow Wow kwa sababu aliyosema amek... thumbnail 1 summary


bow
Mwaka 1993 alipewa jina la Lil Bow Wow na Snoop Dogg, ikafika mwaka 2002 akabadilisha jina kujiita Bow Wow kwa sababu aliyosema amekuwa mkubwa na sio Lil tena.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIKI NDICHO MSANII DULLY SYKES ALICHOKITANGAZA LEO KWA MASHABIKI

Prince Dully Sykes ni msanii ambaye siku zote anapewa heshima ya kukaa kwenye game kwa muda mrefu bila kuchuja akiwa na hits kibao. thumbnail 1 summary

Prince Dully Sykes ni msanii ambaye siku zote anapewa heshima ya kukaa kwenye game kwa muda mrefu bila kuchuja akiwa na hits kibao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MARAFIKI WA JAY Z, RIHANNA NA CHRIS MARTIN WAINGIWA WASIWASI NAYE TANGU NDOA YAKE NA BEYONCE IPATE SHIDA

Rihanna na muimbaji wa kundi la Coldplay, Chris Martin wamekutana hivi karibuni kupata chakula cha jioni pamoja na kuzungumza mwenendo wa... thumbnail 1 summary
Rihanna na muimbaji wa kundi la Coldplay, Chris Martin wamekutana hivi karibuni kupata chakula cha jioni pamoja na kuzungumza mwenendo wa Jay Z aliyejitenga na marafiki zake tangu kuwepo tetesi kuwa ndoa yake na Beyonce ipo kwenye mawe na kwamba Hov si mwaminifu kwa mke wake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MTANGAZAJI MAARUFU ACHAFUA HALI YA HEWA HUKO INSATAGRAM HUU NI ULIMBUKENI NA NI AIBU JAMANI

Mitandao ya kijamii naweza kukili kuwa ndio sababu ya kwanza ambayo inasababisha kumomonyoka kwa maadili hasa kwa nchi za bara la afrika ... thumbnail 1 summary
Mitandao ya kijamii naweza kukili kuwa ndio sababu ya kwanza ambayo inasababisha kumomonyoka kwa maadili hasa kwa nchi za bara la afrika watu maarufu na wasio maarufu wamekuwa wakiweka picha kwenye mitandao ya kijamii lakini picha hizi hazina maadili 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TUKIO JINGINE LA KUSIKITISHA JAMBAZI ALIYETOKA JELA KWA MSAMAHA WA RAIS AFANYA TENA MAUAJI KWA KUNYONGA!

Mtu mmoja anayedhaniwa kuwa ni jambazi anatafutwa na jeshi la polisi kwa madai ya kufanya matukio mbalimbali ya kiharifu likiwemo tukio... thumbnail 1 summary


Mtu mmoja anayedhaniwa kuwa ni jambazi anatafutwa na jeshi la polisi kwa madai ya kufanya matukio mbalimbali ya kiharifu likiwemo tukio la hivi karibu kumnyonga hadi kufa dada mmoja aliyetajwa kwa jina la Bahati Husein mkazi wa Ulongoni A Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

EXCLUSIVE; NICKI MINAJ AONESHA MAPENZI KWA DRAKE, 'THAT'S MY BABY'

Nicki Minaj ameonesha upendo wake kwa member mwenzake wa YMCMB, Drake wakati anafanya mahojiano na Kojo na Jade wa kituo cha Capital X... thumbnail 1 summary


Nicki Minaj ameonesha upendo wake kwa member mwenzake wa YMCMB, Drake wakati anafanya mahojiano na Kojo na Jade wa kituo cha Capital Xtra, Jana.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAISHA YA MSICHANA HUYU MUNGU PEKEE NDIE ANAJUA ANAOMBA MSAADA WAKO

MSICHANA Selitian Nata (25) mkazi wa Kijiji cha Kisogo kata ya Vigwaza Wilayani Bagamoyo mkoani Pwani yuko kwenye hali mbaya ya kia... thumbnail 1 summary

MSICHANA Selitian Nata (25) mkazi wa Kijiji cha Kisogo kata ya Vigwaza Wilayani Bagamoyo mkoani Pwani yuko kwenye hali mbaya ya kiafya baada ya kuvimba mguu na kuwa kwenye maumivu makali.Ugonjwa huo uvimbe huo ulianza kama

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNAFAHAMU KINACHOENDELEA KATI YA JOKATE NA CRISTIANO RONALDO JOKATE AAMUA KUWEKA MAMBO HADHARANI

Michuano ya kombe la dunia imeendelea kuonyesha ukubwa wake kwa kuteka kila habari kuu kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii,... thumbnail 1 summary


Michuano ya kombe la dunia imeendelea kuonyesha ukubwa wake kwa kuteka kila habari kuu kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, mabilioni ya watu duniani kote wakiwemo mastaa wakubwa wa kitaifa na kimataifa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA ZA MTOTO WA KIUME WA MSANII BONGO MOVIE IRENE UWOYA,

Ama kweli watoto hawachelewi kabisa kukua, huyu ni motto wa superstaa wa bongo movie Irene Uwoya, motto huyu anaitwa krish inapendeza... thumbnail 1 summary



Ama kweli watoto hawachelewi kabisa kukua, huyu ni motto wa superstaa wa bongo movie Irene Uwoya, motto huyu anaitwa krish inapendeza sana toto la

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUYU NDIE MTANGAZAJI WA TV AMBAE NI HOT ZAIDI HAPA EAST AFRICA........JIONEE PICHA ZAKE!!!!

She is well known for her charming beauty, linguistic prowess and sexy curves. The sexy anchor works at Uganda’s NBS Tv and she ... thumbnail 1 summary



She is well known for her charming beauty, linguistic prowess and sexy curves. The sexy anchor works at Uganda’s NBS Tv and she keeps viewers glued to their screens 
 Ulalaa see some of her pics……HOT or NOT?







SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mikutano ya Nape Nnauye yapigwa Marufuku Mtwara.......Alalamika na kusema huko ni kubaka demokrasia

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye ameonja chungu ya uamuzi wa Serikali wa kusitisha mikutano ya hadhara katika mikoa y... thumbnail 1 summary

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape
Nnauye ameonja chungu ya uamuzi wa
Serikali wa kusitisha mikutano ya hadhara
katika mikoa ya Lindi na Mtwara baada ya
kushindwa kufungua mashina ya chama
hicho mjini Mtwara.
Nape ambaye alikuwa mkoani Mtwara kwa
ziara ya siku moja, alijikuta akiishia
kuwakabidhi bendera za chama hicho

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

YULE MWANADADA CORAZONI AMETOA TENA PICHA MPYA AKIWA NA BINIKI (only men)

Huyu ni SOCIALITE kutoka KENYA, Nimsomi mwenye shahada ya SHERIA...Anaitwa CORAZON KWAMBOKA......Jana kupitia mitandao ya kijamii thumbnail 1 summary

Huyu ni SOCIALITE kutoka KENYA, Nimsomi mwenye shahada ya SHERIA...Anaitwa CORAZON KWAMBOKA......Jana kupitia mitandao ya kijamii

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAKUBWA TU: MAMBO AMBAYO WANAUME HAWAPENDI KUFANYIWA NA WENZI WAO...!

Haya niliyapata kutoka kwa mshauri wa masuala ya mahusiano, ndoa na vijana Frederick Kyara. Hizi ni baadhi tu nakuwekea hapa japo kuna ... thumbnail 1 summary

Haya niliyapata kutoka kwa mshauri wa masuala ya mahusiano, ndoa na vijana Frederick Kyara. Hizi ni baadhi tu nakuwekea hapa japo kuna vitu pia wanawake hawavipendi kutoka kwa wenzi wao wanaume. Nayo ni haya hapa, ungana nami

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Yule mwanamke wa Sudan aliyehukumiwa kifo kwa kukana dini yake,ameachiwa huru.

Kwa mujibu wa BBC, Mwanamke wa Sudan aliyehukumiwa kifo kwa kosa la kuikana imani ya dini yake na kuolewa na mwanaume anayempenda w... thumbnail 1 summary
Meriam Yehya Ibrahim Ishag aliadhibiwa kwa makosa mawili, zinaa na kuasi dini

Kwa mujibu wa BBC, Mwanamke wa Sudan aliyehukumiwa kifo kwa kosa la kuikana imani ya dini yake na kuolewa na mwanaume anayempenda wa kikristu amechiwa kutoka gerezani.Shirika la

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

G.I. Joe 3: The Rock Returns, But Who's Next?.........hatariiiiiiii bonge la movie hili.

With  G.I. Joe: Retaliation  emptying pockets to the tune of $375 million worldwide, I don't think it's outrageously surprising th... thumbnail 1 summary

With G.I. Joe: Retaliation emptying pockets to the tune of $375 million worldwide, I don't think it's outrageously surprising that we'd be getting another adventure from the band of All American Heroes
According to a report over at ColliderTransformers and G.I. Joe producer Lorenzo di Bonaventura has confirmed G.I. Joe 3 will begin production early next year. Bonaventura explained:

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mbowe avitaka Vyama Vinavyounda UKAWA Vijiimarishe Kivyake pasipo kutegemea nguvu ya chama kingine

Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vikiwa na matumaini ya kuunganisha nguvu katika uchaguzi mkuu ujao, vimeambiwa k... thumbnail 1 summary

Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya
Wananchi (Ukawa) vikiwa na matumaini ya
kuunganisha nguvu katika uchaguzi mkuu
ujao, vimeambiwa kila kimoja kijiimarishe
kivyake katika mapambano ya kisiasa.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe,
amesema vyama hivyo, visitegemee nguvu
ya umoja huo badala yake, vijiimarishe
kuleta ushindani katika harakati zao za
kisiasa wanazoendelea kuzifanya.
Mbowe ambaye chama chake ni miongoni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAUAJI: MAMA AMUUA MWANAE KISA KAKOJOA KITANDANI

WAKATI  wanaharakati wanaendelea kupiga kelele kuhusu kushamiri kwa vitendo vya unyanyasaji kwa watoto duniani kote,  mwanamke aliyetajw... thumbnail 1 summary
WAKATI wanaharakati wanaendelea kupiga kelele kuhusu kushamiri kwa vitendo vya unyanyasaji kwa watoto duniani kote,  mwanamke aliyetajwa kwa jina la Amina Hamis, mkazi wa Kata ya Kwembe, Malamba Mawili

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MCHUNGAJI ADAIWA KUMTOROSHA MWANAMKE

MCHUNGAJI  mmoja wa kanisa la kiroho la Biblical lililopo Kinondoni jijini Dar es Salaam (jina tunalo), anadaiwa kumtorosha mwanamke aitway... thumbnail 1 summary
MCHUNGAJI mmoja wa kanisa la kiroho la Biblical lililopo Kinondoni jijini Dar es Salaam (jina tunalo), anadaiwa kumtorosha mwanamke aitwaye Catherine Paul (28) ambaye ni mfanyabiashara wa duka Tegeta jijini Dar.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SANGOMA AINYWESHA FAMILIA DAWA

MGANGA  mmoja wa jadi, hivi karibuni alikusanya umati mkubwa wa watu baada ya kuinyeshwa dawa familia nzima ya mwanamke aliyemleta kwa le... thumbnail 1 summary
MGANGA mmoja wa jadi, hivi karibuni alikusanya umati mkubwa wa watu baada ya kuinyeshwa dawa familia nzima ya mwanamke aliyemleta kwa lengo la kumfanyia uganga ili kumrejesha mtoto wake aliyepotea katika mazingira ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

INADAIWA ILI KUMALIZA MGOGORO WA MBASHA NA FLORA SH. MIL 60 ZINATAKIWA MKASA MZIMA SOMA HAPA

HABARI  zilizotua kwenye meza ya Uwazi juzi zinadai kuwa familia mbili, ya Emmanuel na Flora Mbasha zimeweka kikao kwa siku tatu mfululiz... thumbnail 1 summary
HABARI zilizotua kwenye meza ya Uwazi juzi zinadai kuwa familia mbili, ya Emmanuel na Flora Mbasha zimeweka kikao kwa siku tatu mfululizo kutaka kuinusuru ndoa ya wawili hao lakini imeshindikana huku pembeni ikidaiwa kwamba ili mambo yakae sawa lazima Mbasha alipe shilingi milioni 60.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAWA NDIO WASANII WA KIKE WANAOLIWA URODA NA SERENGETI BOY

Mara nyingi tunaishia kusikia rumors tu, kuwa msanii fulani amemzidi umri mpenzi wake na mara nyingi mwisho wa siku rumors zinaba... thumbnail 1 summary

Mara nyingi tunaishia kusikia rumors tu, kuwa msanii fulani amemzidi umri mpenzi wake na mara nyingi mwisho wa siku rumors zinabaki rumors tu, hadi pale wawili watakapofunguka wenyewe juu ya suala hilo, basi hii ni list ya wasanii wachache tu maarufu na wenye majina hapa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WATOTO KUANZIA UMRI WA MIAKA 10 WATAANZA KUPEWA KONDOMU BURE NA DAWA ZA KUPANGA UZAZI

Kuna sheria mpya inatarajiwa kuwasilishwa katika Bunge la Senet ambayo sheria hiyo itawaruhusu watoto kuanzia miaka 10 kupewa mipi... thumbnail 1 summary

Kuna sheria mpya inatarajiwa kuwasilishwa katika Bunge la Senet ambayo sheria hiyo itawaruhusu watoto kuanzia miaka 10 kupewa mipira ya kondomu na dawa za kupanga uzazi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAJETI ILIYOSUKWA KUSOMWA LEO BUNGENI LEO Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salumu, anatarajiwa kujibu hoja za wabunge kuhusu makadirio ya... thumbnail 1 summary

BAJETI ILIYOSUKWA KUSOMWA LEO BUNGENI

LEO Waziri wa Fedha, Saada Mkuya
Salumu, anatarajiwa kujibu hoja za
wabunge kuhusu makadirio ya bajeti ya
Serikali ya Sh trilioni 19.8.
Tofauti na utaratibu wa kawaida wa
Waziri kujibu hoja hizo kwa kusaidiana
na Naibu mawaziri wake na mawaziri
wengine, leo Mwenyekiti wa Kamati ya
Bajeti, Andrew Chenge, atatoa taarifa ya
mabadiliko ya makadirio ya Bajeti ya
Serikali.
Mabadiliko hayo, yanatarajiwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PHOTOS: FASHENI HIZI JAMANI...MDADA TONI BRAXTON AUMBUKA JUKWAANI...!

  Msamalia ajitokeza kumvalisha koti   thumbnail 1 summary

 Msamalia ajitokeza kumvalisha koti 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Umemuona mtoto wa Nakaaya? picha na alichomuimbia viko hapa

Kwenye picha za watoto na mama zao hii ni moja ya zilizonivutia! katoto kazuri sana. Ni longtime kidogo ulikua hujamsikia Nakaaya na... thumbnail 1 summary
Nakaaya 1
Kwenye picha za watoto na mama zao hii ni moja ya zilizonivutia! katoto kazuri sana.
Ni longtime kidogo ulikua hujamsikia Nakaaya na hii ni kwa sababu alikua na break ya uzazi akiwa ndio amejifungua mtoto wake wa kwanza nyumbani kwao Arusha.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Full time ya Brazil vs Cameroon – Mexico vs Croatia, wafungaji na matokeo

Timu za taifa za Brazil na Mexico zimefanikiwa kufuzu kwenda kucheza hatua ya 16 ya michuano ya kombe la dunia. thumbnail 1 summary

20140624-021416-8056851.jpg


Timu za taifa za Brazil na Mexico zimefanikiwa kufuzu kwenda kucheza hatua ya 16 ya michuano ya kombe la dunia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HISPANIA WAONA MWEZI KOMBE LA DUNIA, WAICHAPA AUSTRALIA 3-0, LAKINI WAMETOLEWA

WALIOKUWA mabingwa watetezi wa kombe la dunia, Hispania wamekamilisha ratiba ya kundi lao la B kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Aust... thumbnail 1 summary

WALIOKUWA mabingwa watetezi
wa kombe la dunia, Hispania
wamekamilisha ratiba ya kundi lao
la B kwa ushindi wa mabao 3-0
dhidi ya Australia.
Mabao ya Hispania yamefungwa
na David Villa, Fernando Torres na
Juan Mata.
Ushindi huo angalau umewafariji
Hispania ambao sasa wanaondoka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UHOLANZI HAWANA MCHEZO KOMBE LA DUNIA WAICHAKAZA CHILE KWA SHIDA

LOUIS van Gaal ameiongoza Uholanzi kupata ushindi wa asilimia 100 katika kundi B baada ya Leroy Fer na Memphis Depay wakitokea benchi... thumbnail 1 summary

LOUIS van Gaal ameiongoza
Uholanzi kupata ushindi wa
asilimia 100 katika kundi B baada
ya Leroy Fer na Memphis Depay
wakitokea benchi kufunga mabao
mawili dhidi ya Chile usiku huu.
Kiungo wa Norwich City , Fer
alifunga bao lake katika dakika ya
77 ikiwa ni dakika mbili tu tangu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: