November 23, 2014

KAJALA KUZAA TENA!

MWIGIZAJI   Kajala Masanja amefunguka kuwa anatamani kuongeza mtoto wa pili kwani tayari aliyenaye ameshakua vya kutosha. thumbnail 1 summary

MWIGIZAJI Kajala Masanja amefunguka kuwa anatamani kuongeza mtoto wa pili kwani tayari aliyenaye ameshakua vya kutosha.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JOKATE ATAJA SABABU ZA KUWA KARIBU NA WANAUME WENGI

MWANAMITINDO  na mtangazaji kiwango Bongo, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa sababu kubwa inayomfanya awe karibu zaidi na wanaume ni mara... thumbnail 1 summary

MWANAMITINDO na mtangazaji kiwango Bongo, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa sababu kubwa inayomfanya awe karibu zaidi na wanaume ni marafiki zake wa kike kuwa nje ya nchi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UWOYA AVUNJA UKIMYA JUU YA DIAMOND...HABARI KAMILI HAPA

Msanii wa filamu nchini Irene Uwoya amefunguka leo katika blog hii... na kusema kuwa yeye hajaachana na mumeo wa ndoa na wala msanii Diam... thumbnail 1 summary

Msanii wa filamu nchini Irene Uwoya amefunguka leo katika blog hii... na kusema kuwa yeye hajaachana na mumeo wa ndoa na wala msanii Diamond Platnum

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hii hapa ni rekodi nyingine kubwa aliyoivunja Lionel Messi

Akiwa na miaka 27, Lionel Messi bado ana miaka zaidi ya mitatu ya kucheza soka katika kiwango cha juu, na kila siku anavunja na kuweka ... thumbnail 1 summary

IMG_8980.JPG

Akiwa na miaka 27, Lionel Messi bado ana miaka zaidi ya mitatu ya kucheza soka katika kiwango cha juu, na kila siku anavunja na kuweka rekodi mpya katika medani za soka.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wayne Rooney aipa Man U ushindi na aweka rekodi hii mpya

Manchester United leo imepata ushindi wa kwanza ugenini kwenye ligi kuu ya England msimu huu baada ya kuifunga Arsenal 2-1 kwenye uwanj... thumbnail 1 summary
IMG_8981.JPG
Manchester United leo imepata ushindi wa kwanza ugenini kwenye ligi kuu ya England msimu huu baada ya kuifunga Arsenal 2-1 kwenye uwanja wao wa Emirates, jijini

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

La Liga: Full Time ya Real Madrid vs Eibar… matokeo na wafungaji

Wakiwa wanaongoza ligi kuu ya Hispania, mabingwa wa ulaya klabu ya Real Madrid November 22 2014 ilitupa karata yake ya 14 katika mchezo d... thumbnail 1 summary
IMG_8984.PNGWakiwa wanaongoza ligi kuu ya Hispania, mabingwa wa ulaya klabu ya Real Madrid November 22 2014 ilitupa karata yake ya 14 katika mchezo dhidi ya Eibar.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nicki Minaj na video zake…. hizi picha ni za mpya inayofata!

Ni video ambayo ndani yake wataonekana mastaa kama Lil Wyne na Drake ambapo hizi picha zilitoka wakati wa utengenezwaji wa video hii ya O... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-11-23 at 1.22.36 AMNi video ambayo ndani yake wataonekana mastaa kama Lil Wyne na Drake ambapo hizi picha zilitoka wakati wa utengenezwaji wa video hii ya Onika Maraj a.k.a Nicki Minaj

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: