August 21, 2014

MAPENZI: UKIONA DALILI HIZI JUA HUYU MWANAMKE KAZIMIKA NA WEWE KINOMA

1. Atakutega kupata attention yako. Hufanya mambo ambayo yatamfanya kuona kama   unampenda au lah! Mf wa mambo hayo ni kujifanya... thumbnail 1 summary




unampenda au lah! Mf wa mambo hayo ni kujifanya anaumwa na kuangalia respond yako kwake ni kiasi gani unamjali na kiasi gani utahangaika kwa ajili yake au    

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kutana na nyumba ya maajabu Tanga ambayo watu wameshindwa kuishi ndani yake

Ni wakati tuu tukiisubiria Serengeti Fiesta 2014 Jumamosi hii kwenye uwanja wa Mkwakwani Tanga na tukikutanishwa na wakali wa bongofleva ... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-08-21 at 2.48.22 PMNi wakati tuu tukiisubiria Serengeti Fiesta 2014 Jumamosi hii kwenye uwanja wa Mkwakwani Tanga na tukikutanishwa na wakali wa bongofleva tunaowakubali kama Ali Kiba, Ommy Dimpoz, Nay wa Mitego, Young Killer, Stamina, Vanessa Mdee, Linah, Roma na wengine, tunaendelea

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIII SASA NI KUFURU. P SQURE WAMUA KUWEKA MASOFA YA DHAHABU NDANI YA MJENGO WAO MPYA.

‘We Talking Money You Talking Nonsense’ huenda ikawa kauli nzuri kuelezea hiki walichokifanya P- Square kwa sasa. Hakuna ubishi kuwa,... thumbnail 1 summary
‘We Talking Money You Talking Nonsense’ huenda
ikawa kauli nzuri kuelezea hiki walichokifanya P-
Square kwa sasa.
Hakuna ubishi kuwa, kwa hiki walichokifanya sasa,
na kama macho yetu hayatudanganyi kwa hiki
yanayokiona, mapacha hawa wamefanya kufuru.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUMBE PAMOJA NA MBWEMBWE ZOTE ZILE KUMBE MASOGANGE ANAUZA BAR SOUTH AFRICA, HUU HAPA USHAIDI WOTE

Noma sana uaambia kumbe masogange anauza bar mwenzie hamisa mobeto amempiga thumbnail 1 summary


Noma sana uaambia kumbe masogange anauza bar mwenzie hamisa mobeto amempiga

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

T.I.D mezani kwa Soudy Brown, ni kuhusu Tatoo yake ya jina la kike kifuani

Stori ambazo zimezungumzika sana ambazo zinahusu Tatoo zilikua ni kuhusu Nuh Mziwanda kujichora tatoo yenye jina la mpenzi wake Shilole a... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-08-21 at 11.14.11 AMStori ambazo zimezungumzika sana ambazo zinahusu Tatoo zilikua ni kuhusu Nuh Mziwanda kujichora tatoo yenye jina la mpenzi wake Shilole ambayo iliandikwa Shishi Baby lakini time hii

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tumesoma sana ya Magazeti, sasa tuisikilize sauti ya Okwi mwenyewe kuhusu kuondoka Yanga.

Mganda Emmanuel Okwi harudi tena Yanga na sasa ameweka wazi kwamba anashughulikia mipango yake kwenda kucheza soka la Ulaya  >>>... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-08-20 at 8.28.55 PMMganda Emmanuel Okwi harudi tena Yanga na sasa ameweka wazi kwamba anashughulikia mipango yake kwenda kucheza soka la Ulaya >>> Okwi aachana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA ZA MADENTI WA SHULE YA MSINGI MANZESE WALIOANGUKA NA KUJIBAMIZA OVYO KWENYE MITI KUTOKANA NA IMANI ZA NGUVU ZA GIZA

Wanafunzi wa shule ya secondari manzese zaidi ya 30 Walikua wanaanguka hovyo na kusema maneno yasiyoeleweka kutokana na kinachohisiwa k... thumbnail 1 summary

Wanafunzi wa shule ya secondari manzese zaidi ya 30 Walikua wanaanguka hovyo na kusema maneno yasiyoeleweka kutokana na kinachohisiwa kuna nguvu za Giza zimetanda shuleni hapo huku wakijibamiza kwenye miti

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA ZA WEMA AKIPOZI KIMAHABA NA PREZZO ZAZUA GUMZO MITANDAONI!!! TAZAMA HAPA

Hivi karbuni wema na dangote wamekua hawaelewani katika mapenzi yao, na sasa kuna uvumi mwingi mitaani hizi ni baadhi ya picha za wema ak... thumbnail 1 summary
Hivi karbuni wema na dangote wamekua hawaelewani katika mapenzi yao, na sasa kuna uvumi mwingi mitaani hizi ni baadhi ya picha za wema akiwa na prezzoo wa kenya zilizowashtua wengi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha za nyumba mpya ya Justin Bieber yenye night club,gym na movie theater.

Hivi sasa Justin Bieber anaweza kujiachia kwenye club bila kupigwa picha na mapaparazi kwa sababu nyumba yake mpya ina night club na bar ... thumbnail 1 summary
00Hivi sasa Justin Bieber anaweza kujiachia kwenye club bila kupigwa picha na mapaparazi kwa sababu nyumba yake mpya ina night club na bar tatu ndani yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MADAWA YA KULEVYA: DIAMOND KIMENUKA

NIkweli kimenuka! Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ yupo kikaangoni, habari zinadai kwamba kila anaponyanyua miguu, kikosi cha... thumbnail 1 summary
NIkweli kimenuka! Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ yupo kikaangoni, habari zinadai kwamba kila anaponyanyua miguu, kikosi cha kupambana na kuzuia madawa ya kulevya nchini chini ya kamishna wake,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Chris Brown anafikiria kumuoa girlfriend wake Karrueche Tran

Chris Brown na girlfriend wake Karrueche wapo kwenye uhusiano mzuri hivi sasa tofauti na watu wengi walivyokuwa wanafikiria wiki chache... thumbnail 1 summary
zuma1
Chris Brown na girlfriend wake Karrueche wapo kwenye uhusiano mzuri hivi sasa tofauti na watu wengi walivyokuwa wanafikiria wiki chache zilizopita.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

IDADI YA WALIOKUFA KWA EBOLA YAFIKIA 1,350

Mgonjwa wa Ebola akipelekwa eneo maalum kwa matibabu nchini Sierra Leone. Idadi ya watu waliopoteza maisha kwa ugonjwa wa E... thumbnail 1 summary

Mgonjwa wa Ebola akipelekwa eneo maalum kwa matibabu nchini Sierra Leone.
Idadi ya watu waliopoteza maisha kwa ugonjwa wa Ebola huko Afrika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DAH NDOA YA JIDE NA GADNER SI SHWARI, JIDE AAMUA KUAMIA HOTELINI SASA

NYOTA  wa muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ ambaye hivi karibuni ndoa yake iliripotiwa kuwa katika sintofahamu na kuvunj... thumbnail 1 summary

NYOTA wa muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ ambaye hivi karibuni ndoa yake iliripotiwa kuwa katika sintofahamu na kuvunjika, anadaiwa kuhamia katika hoteli moja yenye hadhi ya nyota tatu iliyopo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BIFU LA WEMA NA KAJALA SASA LAZIKWA RASMI KWA MARA YA PILI

STAA  wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja, ameibuka na kudai kuwa ameweka vitu vyote vya kitoto pembeni likiwemo suala la malumbano na ... thumbnail 1 summary

STAA wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja, ameibuka na kudai kuwa ameweka vitu vyote vya kitoto pembeni likiwemo suala la malumbano na kujikita katika suala la ujasiriamali.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SABABU ZA MSANII JACK WOLPER KUBADILIBADILI NAMBA ZA SIMU MWENYEWE AFUNGUKA

KUNA  nini kwani? Staa wa sinema za Bongo, Jacqueline Wolper anatajwa kuongoza wasanii wenzake kwa kubadili namba za simu za mkononi huk... thumbnail 1 summary

KUNA nini kwani? Staa wa sinema za Bongo, Jacqueline Wolper anatajwa kuongoza wasanii wenzake kwa kubadili namba za simu za mkononi huku baadhi ya mashoga zake wakijiuliza kulikoni?

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DEREVA BODABODA MBARONI KWA KUMNG’ATA MWENZAKE MDOMO NA KUONDOKA NAO

DEREVA  wa bodaboda, Adinan Adam, mkazi wa Kata ya Olorieni, mkoani Arusha ametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumng’ata... thumbnail 1 summary


DEREVA wa bodaboda, Adinan Adam, mkazi wa Kata ya Olorieni, mkoani Arusha ametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumng’ata mdomo Shabani Temba na kuondoka nao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PAPA FRANCIS: NITAKUFA BAADA YA MIAKA MIWILI AU MITATU SOMA HAPA ZAIDI

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis kwa mara ya kwanza ametabiri hatima ya maisha yake duniani akisema kuwa anaamini Mun... thumbnail 1 summary


Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis kwa mara ya kwanza ametabiri hatima ya maisha yake duniani akisema kuwa anaamini Mungu anaweza kumpa muda wa miaka miwili au mitatu ya kuishi. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: