July 25, 2015

Video ya staa wa Bongo Fleva namba moja kwenye countdown ya Nigeria!!

Muziki wa  Tanzania  unazidi kufanya vizuri kwenye nchi za Kiafrika mtu wangu.  Tumeona Vanessa Mdee  na  Diamond Platnumz  wakiiwaki... thumbnail 1 summary
ooop
Muziki wa Tanzania unazidi kufanya vizuri kwenye nchi za Kiafrika mtu wangu. TumeonaVanessa Mdee na Diamond Platnumz wakiiwakilisha Tanzania vizuri kwenye chati mbali mbali za redioni na Tv Africa, wakachaguliwa kwenye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ronaldo anarudi Man United? Vipi Benitez anaweza kuwa chanzo cha tofauti zao?

Zaidi ya saa 48 zimepita toka habari kuhusu uhusiano mbaya kati ya mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayeichezea Real Madrid ya Hispa... thumbnail 1 summary

Zaidi ya saa 48 zimepita toka habari kuhusu uhusiano mbaya kati ya mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayeichezea Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo na kocha wa Real Madrid Rafael Benitez zianze kuchukua headlines, na kuna ishu ambayo imekuwa ikiandikwa pia kwamba Ronaldo hana furaha Madrid

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hatimaye Chris Brown karuhusiwa kuondoka Ufilipino… amesema haya kuhusu kuzuiliwa kwake!

Baada ya kuzuiliwa kutoka nchini Ufilipino kwa siku mbili hatimaye Chris Brownkaachiwa huru na kuondoka salama kabisa… msanii huyo amba... thumbnail 1 summary

Baada ya kuzuiliwa kutoka nchini Ufilipino kwa siku mbili hatimaye Chris Brownkaachiwa huru na kuondoka salama kabisa… msanii huyo ambaye alikuwa mjini Manilakwa ajili ya show alizuiliwa kuondoka siku ya Jumatano kutokana na madai

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Pichaz za Rais Obama wakati anatua Uwanja wa Ndege Nairobi Kenya…

July 24 2015 Rais wa Marekani Barack Obama hatimae tayari ametua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta muda mfupi uliopita, map... thumbnail 1 summary

July 24 2015 Rais wa Marekani Barack Obama hatimae tayari ametua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta muda mfupi uliopita, mapokezi yote yalioneshwa LIVE kwenye TV ya K24 ya Kenya.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nkurunziza karudi madarakani Burundi? Haya ndio matokeo ya Uchaguzi..

Uchaguzi Mkuu wa Rais Burundi umefanyika tayari japo kulikuwa na mvutano mkubwa sana kutokana na ishu ya kuonekana Rais Pierre Nkurunzi... thumbnail 1 summary

Uchaguzi Mkuu wa Rais Burundi umefanyika tayari japo kulikuwa na mvutano mkubwa sana kutokana na ishu ya kuonekana Rais Pierre Nkurunziza kugombea kwa mara ya tatu ilikuwa ni kwenda kinyume na kanuni za nchi hiyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ilikuwa Man City VS Real Madrid July 24 2015 matokeo ni 4-1, pichaz na video za magoli yote hizi hapa..

International Champions Cup bado inaendelea Australia kwa timu tatu kushiriki ambazo ni Manchester City kutokea Uingereza, Real Madrid ... thumbnail 1 summary

International Champions Cup bado inaendelea Australia kwa timu tatu kushiriki ambazo ni Manchester City kutokea Uingereza, Real Madrid ya Hispania na AS Romaya Italia… Michuano imeandaliwa na kampuni ya Audi, ambapo July 21 2015 Man Cityilicheza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DUH NOMA SANA! SHILOLE NA MZIWANDA WAMEKOSA JIPYA,WATUDANGANYA,KUMBE NI KIKI YA WIMBO WAO MPYA WA GANDA LA NDIZI

BAADA mikasa na vituko kibao vya kidume kuchezea kichapo na kuvumilia kitambo huku thamani ya uume ikidhalilishwa front, kijana Nuhu Mzi... thumbnail 1 summary
BAADA mikasa na vituko kibao vya kidume kuchezea kichapo na kuvumilia kitambo huku thamani ya uume ikidhalilishwa front, kijana Nuhu Mziwanda kabwaga mazima, ni Couple iliyounganishwa na yeye na mwanadada mwenye kesi kwa Pilato Basata kwa kumwaga radhi Ughaibu Shilole.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SOMA HAPA ALICHOKIANDIKA MR BLUE KUHUSU MKE WATU, MASHABIKI WABIKI MIDOMO WAZI WAKISHANGAA!!!!!

Diamond Platnumz hana maneno ya kuwaeleza walimwengu ili wajue ni kwa kiasi gani anampenda mchumba wake, Zari the Bosslady. Lakini inaonesh... thumbnail 1 summary
Diamond Platnumz hana maneno ya kuwaeleza walimwengu ili wajue ni kwa kiasi gani anampenda mchumba wake, Zari the Bosslady. Lakini inaonesha kuwa siku za hivi karibuni wanawake wamekuwa na mchango mkubwa zaidi katika ustawi wa maisha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LOWASSA AMTIA HOFU WEMA....ATAMANI KUACHA SIASA! SOMA HAPA KILICHOMSIBU=>

DU! Kazi kwelikweli! Habari ya mjini kwa sasa ni mtoto mzuri Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ kuwania Ubunge wa Viti Maalum Mkoa w... thumbnail 1 summary
DU! Kazi kwelikweli! Habari ya mjini kwa sasa ni mtoto mzuri Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ kuwania Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), lakini nyuma yake kuna habari zinazodai kuwa mrembo huyo ameingiwa na hofu ya kukatwa jina

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AINA 10 YA VYAKULA VINAVYOOGEZA UWEZO KATIKA TENDO LA NDOA, SOMA HAPA KUVIJUA=>

Tatizo la uwezo wa kufanya tendo la ndoa linazidi kukua miongoni wa wanandoa na wapenzi wengi. Takwimu za kitafiti zinaonyesha kuwa... thumbnail 1 summary



Tatizo la uwezo wa kufanya tendo la ndoa linazidi kukua miongoni wa wanandoa na wapenzi wengi. Takwimu za kitafiti zinaonyesha kuwa karibu ndoa 4 kati ya 10 zenye umri wa miaka 3 na kuendelea zinakabiliana na tatizo hili. Aidha wanaume 6 kati ya 10

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Easta Bulaya ni Moto wa Kuoteka Mbali........Apata mapokezi ya kishindo Bunda, Amchamba na Kumlipua Wassira

ALIYEKUWA Mbunge wa Viti Maalumu mkoani Mara kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi.Esta Bulaya ambaye juzi alitangaza kujiunga na Cha... thumbnail 1 summary
ALIYEKUWA Mbunge wa Viti Maalumu mkoani Mara kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi.Esta Bulaya ambaye juzi alitangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amepata mapokezi makubwa Mjini Bunda

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Shinikizo la Lowassa Kuhamia CHADEMA Lazidi Kupamba Moto......Mkewe Ampigia Magoti Akimsihi Asihame!!

Shinikizo dhidi ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, la kumtaka akihame Chama Cha Mapinduzi (CCM) linazidi kuongezeka na kat... thumbnail 1 summary




Shinikizo dhidi ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, la kumtaka akihame Chama Cha Mapinduzi (CCM) linazidi kuongezeka na katika timu yake ya ndani ni watu wawili tu wanaonekana kumtaka abakie ndani ya chama hicho.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwigizaji Lulu Michael Amwambia Wema Sepetu Haya Baada ya Jina Lake Kukatwa Ubunge viti Maalum

Baada ya matokeo ya Ubunge viti maalamu Singida kutoka na Wema Kupigwa chini, Lulu Michael amemtia moyo Wema Sepetu kwa Kuandik... thumbnail 1 summary
Baada ya matokeo ya Ubunge viti maalamu Singida kutoka na Wema Kupigwa chini, Lulu Michael amemtia moyo Wema Sepetu kwa Kuandika ujumbe huu;

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wema Sepetu Apigwa CHINI kwenye Kura za Maoni Ubunge wa viti Maalum Singida

Msanii wa Filamu za kibongo anayeongoza kwa urembo ndani ya tasnia hiyo, Wema Abraham Sepetu, aliyekuwa anagombea Ubunge wa thumbnail 1 summary
Msanii wa Filamu za kibongo anayeongoza kwa urembo ndani ya tasnia hiyo, Wema Abraham Sepetu, aliyekuwa anagombea Ubunge wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wimbo Mpya wa Allykiba Uliovuja, Wageuka Kuwa Hit Song...Usikilize Hapa

Wakuu wimbo huu ambao upo in form of demo, umeendelea kupata downloaders wengi kwenye web na blogs mbalimbali East Africa, na blogs mbali... thumbnail 1 summary
Wakuu wimbo huu ambao upo in form of demo, umeendelea kupata downloaders wengi kwenye web na blogs mbalimbali East Africa, na blogs mbalimbali za Nigeria. Wimbo huu unakwenda kwa jina la "School baby" japokuwa hakuwa umekamilika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lowassa kutangaza kuhamia CHADEMA Julai 26, Mwembe Yanga ambako Dr Slaa alimtangaza kuwa Fisadi Papa

Zipo tetesi kwamba Edward Lowasa, Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi wa Richmond anatarajia kuzungumza na waandishi wa habari J... thumbnail 1 summary
Zipo tetesi kwamba Edward Lowasa, Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi wa Richmond anatarajia kuzungumza na waandishi wa habari Jumapili tarehe 26 Julai 2015 Jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huo, Lowasa anatarajiwa kueleza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: