August 22, 2014

FAMILIA YA KICHINA YAKOSOLEWA KWA KUMGEUZA MTOTO MAFANO WA ‘MSOSI’

Familia ya kichina imekosolewa vikali na watu mbalimbali wanaopigania haki za watoto baada ya kuonesha picha ya mtoto wao mchang... thumbnail 1 summary

Familia ya kichina imekosolewa vikali na watu mbalimbali wanaopigania haki za watoto baada ya kuonesha picha ya mtoto wao mchanga akiwa katikati ya misosi huku akiwekewa mboga kama sehemu ya salad.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUU NDIO MKWANJA (PESA) ANAYOLIPWA DIAMOND KWA SASA KWENYE SHOW MOJA

Tangu mwaka juzi tulifahamu kuwa Diamond Platinumz ndiye msanii wa Tanzania anaelipwa kiasi kikubwa cha pesa, na mwaka jana ikaelezwa kuw... thumbnail 1 summary
Tangu mwaka juzi tulifahamu kuwa Diamond Platinumz ndiye msanii wa Tanzania anaelipwa kiasi kikubwa cha pesa, na mwaka jana ikaelezwa kuwa bila milioni 10 au 8 za Kitanzania humpati kwenye show yako. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HATIMAYE MJUMBE WA CCM AJIUNGA NA UKAWA RSMI

Jana ilikuwa kama sinema pale viongozi wa Kamati Namba Moja ya Bunge Maalumu walipojikuta wakibishana na mjumbe wao mbele ya waandishi wa... thumbnail 1 summary
mjumbe
Jana ilikuwa kama sinema pale viongozi wa Kamati Namba Moja ya Bunge Maalumu walipojikuta wakibishana na mjumbe wao mbele ya waandishi wa habari, huku siri za mambo ya ndani ya vikao zikianikwa hadharani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kutana na vichekesho vya Peter Msechu na Baba Levo baada ya kukosa show.

Peter Msechu na Baba Levo ni wasanii kutoka mkoa wa Kigoma na wote wawili wana sifa thumbnail 1 summary
12
Peter Msechu na Baba Levo ni wasanii kutoka mkoa wa Kigoma na wote wawili wana sifa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ANTI EZEKIEL AFUNGUKA NA KUDAI WEMA SIO MTOTO MDOGO WA KUFUNDISHWA JINSI YA KUISHI.. AMPA MAKAVU DIAMOND

Aunt Ezekiel ambaye ni rafiki wa karibu wa Wema Sepetu, amejibu kauli ya Diamond Platinumz kuwa Wema ana marafiki wanaomfundisha tabia... thumbnail 1 summary
Aunt Ezekiel ambaye ni rafiki wa karibu wa Wema
Sepetu, amejibu kauli ya Diamond Platinumz kuwa
Wema ana marafiki wanaomfundisha tabia mbaya
na kwamba kama anataka kuendelea aachane nao.
Akiongea na Bongo5, Aunt Ezekiele ameeleza kuwa
anachofahamu Diamond aliongea kwa niaba ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIPI ULISHAWAHI KUFIKIRI KUWA KUNA MTU MWENYE AKILI KULIKO WOTE DUNIANI? HUYU HAPA SASA SOMA ZAIDI

Terrence Tao, He is a mathematician of Australian and American roots. If you think that math is hard enough, just take a peek into the s... thumbnail 1 summary
Terrence Tao, He is a mathematician of Australian and American roots. If you think that math is hard enough, just take a peek into the subfields that Tao is involved with

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RAIS KIKWETE AFUNGUA KITUO CHA AFYA KIBAONI, MOROGORO VIJIJINI‏

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria kufungua kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini Agosti 22, 2014. thumbnail 1 summary
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria kufungua kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini Agosti 22, 2014.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHRISTIAN BELLA KUTOA BURUDANI KATIKA FAINALI YA TMT TAREHE 30 AUGUST 2014

Msanii wa Muziki wa Dansi, Christian Bella. Msanii wa Muziki wa Dansi anayejulikana kama Christian Bella anayetamba na kibao chake cha Na... thumbnail 1 summary
Msanii wa Muziki wa Dansi, Christian Bella.
Msanii wa Muziki wa Dansi anayejulikana kama Christian Bella anayetamba na kibao chake cha Nani Kama Mama ni Mmoja wa Wasanii watakaotoa Burudani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AIRTEL MONEY YAZINDUA RASMI HUDUMA YA KUTUMA, KUPOKEA PESA MOJA KWA MOJA KWENYE AKAUNTI YA TIGO PESA

Mkurugenzi mtendaji wa Airtel Bwana Sunil Colasa akiongea na waandishi wa habari leo hii (hawapo pichani) akiwatangazia kuanza kutumika r... thumbnail 1 summary
Mkurugenzi mtendaji wa Airtel Bwana Sunil Colasa akiongea na waandishi wa habari leo hii (hawapo pichani) akiwatangazia kuanza kutumika rasmi kwa huduma mpya ya kutuma na kupokea pesa kutoka kwenye mitandao mingine

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Q-CHILLAH ALAMBA MKATABA MNONO

Mbongo Fleva , Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’  akipokea mkataba kutoka 'QS Mhonda J Company'. thumbnail 1 summary

Mbongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’ akipokea mkataba kutoka 'QS Mhonda J Company'.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Boko Haram wamefikia kuteka chuo cha Polisi

Kundi la wapiganaji  la Boko Haram wamevamia shule moja ya mafunzo ya kipolisi iliyopo kwenye kitongoji cha Gwoza  karibu na mpaka wa n... thumbnail 1 summary
8
Kundi la wapiganaji  la Boko Haram wamevamia shule moja ya mafunzo ya kipolisi iliyopo kwenye kitongoji cha Gwoza  karibu na mpaka wa nchi ya Cameroon ambacho hufundisha maofisa wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUWA, WIZARA YAFUTILIA MBALI AJIRA UHAMIAJI, SASA INTERVIEW KUPIGWA UPYAAA

Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani, Mbarak Abdulwakil akizungumza jana kuhusu kufutwa kwa ajira 200 Uhamiaji. Kulia ni Mkurugenzi wa ... thumbnail 1 summary
Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani, Mbarak Abdulwakil akizungumza jana kuhusu kufutwa kwa ajira 200 Uhamiaji. Kulia ni Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya jinai nchini (DCI), Isaya Mngulu. Picha na Venance Nestory 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ANGALIA PICHA MWANAMKE ALIYEMCHINJA MPENZI WAKE KAMA KUKU NA KUBAKI NA KICHWA. NOMA HII

Mwanamume aliyemuua kwa kumkata kichwa mpenzi wake amepatikana na hatia ya mauaji nchini Uingereza Aras Hussein alimkata kichwa mwa... thumbnail 1 summary

Mwanamume aliyemuua kwa kumkata kichwa mpenzi wake amepatikana na hatia ya mauaji nchini Uingereza
Aras Hussein alimkata kichwa mwanafunzi mwenye umri wa miaka 18 Reema Ramzan

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SKENDO YA MASTAA KUHONGWA MAGARI: LULU AANDIKA HISTORIA

Limekuwa ni jambo la kawaida kwa baadhi ya mastaa wa Kibongo kuonesha au kupiga picha anaponunua gari jipya huku suala la kuonesha kadi ya ... thumbnail 1 summary
Limekuwa ni jambo la kawaida kwa baadhi ya mastaa wa Kibongo kuonesha au kupiga picha anaponunua gari jipya huku suala la kuonesha kadi ya gari likiwa gumu na ahadi zisizokwisha lakini mwigizaji ‘sexy’ mwenye mvuto kwenye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASANJA AWABOMOA WEMA, DIAMOND

COMEDIAN  mwenye kofia ya uchungaji kwa sasa, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ hivi karibuni aliwabomoa mastaa wapenzi Nasibu Abdul ... thumbnail 1 summary
COMEDIAN mwenye kofia ya uchungaji kwa sasa, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ hivi karibuni aliwabomoa mastaa wapenzi Nasibu Abdul ‘Diamond’  na ubavu wake Wema Sepetu kwa kuwaandikia waraka mzito

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ratiba ya movie kuanzia August 22 hadi 23

Sex Tape ni movie mpya itakayoanza kuonyeshwa weekend hii na ndani yake amehusika thumbnail 1 summary
ssd]Sex Tape ni movie mpya itakayoanza kuonyeshwa weekend hii na ndani yake amehusika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Huu ndio mwisho wa ndoa ya Mariah Carey na Nick Cannon

Nick Cannon na Mariah Carey walifunga ndoa mwaka 2008 na katika maisha yao wamefanikiwa kupata watoto wawili Monroe Cannon na Moroccan ... thumbnail 1 summary
1
Nick Cannon na Mariah Carey walifunga ndoa mwaka 2008 na katika maisha yao wamefanikiwa kupata watoto wawili Monroe Cannon na Moroccan Scott Cannon. Story mpya hivi sasa kuhusu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video mpya kutoka G Unit – ”Come Up”

Dakika 3 na sekunde 36 zinatosha kuangalia video mpya kutoka kundi la G Unit. thumbnail 1 summary
2Dakika 3 na sekunde 36 zinatosha kuangalia video mpya kutoka kundi la G Unit.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mama yake Beyonce aweka wazi ukweli kuhusu tetesi za Beyonce na Jay Z kutaka kuachana

Hivi karibuni kumekuwa na tetesi nyingi kuhusu uhusiano kati ya Beyonce na Jay Z kutaka kuvunjika. Story hizo zinapata nguvu kutokana na ... thumbnail 1 summary
4Hivi karibuni kumekuwa na tetesi nyingi kuhusu uhusiano kati ya Beyonce na Jay Z kutaka kuvunjika. Story hizo zinapata nguvu kutokana na historia ya ugomvi uliotokea kati Jay Z

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Shakira atuhumiwa ku-copy na ku-paste wimbo

Sehemu kidogo ya wimbo wa Loca (Spanish version) kutoka kwa mwimbaji Shakira ilikuwa ni kazi ya mtungaji mwingine wa nyimbo anaitwa Ram... thumbnail 1 summary
6
Sehemu kidogo ya wimbo wa Loca (Spanish version) kutoka kwa mwimbaji Shakira ilikuwa ni kazi ya mtungaji mwingine wa nyimbo anaitwa Ramon Arias Vazquez.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MPENZI WANGU ANANILAZIMISHA ANIPIGE PICHA NIKIWA UTUPU JAMANI

Naitwa Jack nina miaka 22, ni mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo kimoja hapa dar. Nina mpenzi wangu ambae nimekuwa nae kwa muda wa miez... thumbnail 1 summary

Naitwa Jack nina miaka 22, ni mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo kimoja hapa dar. Nina mpenzi wangu ambae nimekuwa nae kwa muda wa miezi 6 sasa, hapo mwanzoni mpenzi wangu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WANAWAKE WA-IRAN WAFUNGISHWA NDOA NA IMAM SHOGA SWEDEN

Maryam Iranfar (kushoto) akimbusu mkewake, Sahar Mosleh. thumbnail 1 summary

Maryam Iranfar (kushoto) akimbusu mkewake, Sahar Mosleh.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SABABU ZA CHID BENZI KUDONDOSHA MACHOZI ETI KISA DIAMOND HIZI HAPA

Chidi Benz alitabiri mbele ya Diamond Platnumz (wakati bado underground) kuwa angekuja kuwa msanii mkubwa. thumbnail 1 summary

Chidi Benz alitabiri mbele ya Diamond Platnumz (wakati bado underground) kuwa angekuja kuwa msanii mkubwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

OFFICIAL : ROJO ATAMBULISHWA RASMI MAN UTD SOMA HAPA

Rojo is red: Manchester United have finally confirmed the signing of Marcos Rojo from Sporting Lisbon thumbnail 1 summary

Rojo is red: Manchester United have finally confirmed the signing of Marcos Rojo from Sporting Lisbon

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BONGO MUVI WACHAFUKA, SOMA ZIADI HAPA

JAMBO  limezua jambo! Baada ya hivi karibuni wasanii wa Bongo Muvi (Movie) kufanya dua kwa ajili ya wenzao waliofariki dunia, baadhi ya ... thumbnail 1 summary

JAMBO limezua jambo! Baada ya hivi karibuni wasanii wa Bongo Muvi (Movie) kufanya dua kwa ajili ya wenzao waliofariki dunia, baadhi ya ndugu wa marehemu wamecharuka na kudai kuwa waandaaji wa kisomo hicho

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WACHEZAJI WA LIGI KUU TANZANIA WAKIPATA MENU KILA MMOJA HAPO ANA NDOTO ZA KUCHEZA ULAYA.

Wachezaji wa timu ya Mbeya City, wakipata chakula kwenye moja ya mgahawa katika mji wa Majimoto Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi, waka... thumbnail 1 summary


Wachezaji wa timu ya Mbeya City, wakipata chakula kwenye moja ya mgahawa katika mji wa Majimoto Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi, wakati timu hiyo ilipokwenda kucheza mechi ya kirafiki ya dhidi ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: