April 30, 2014

INSTAGRAM WAMLAZIMISHA RIHANNA AONDOE PICHA ZAKE ZA UTUPU ALIZOPIGA KWENYE GAZETI LA LUI..AIBU HII

Tarehe 30 April, 2014 - Mtandao wa Instagram wa mlazimisha Rihanna kuondoa picha zake alizo post akiwa uchi thumbnail 1 summary

Tarehe 30 April, 2014 - Mtandao wa Instagram wa mlazimisha Rihanna kuondoa picha zake alizo post akiwa uchi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HARAFU BADO MNASEMA DIAMOND ANAPESA KAZI IPO KWA MSANII RAY ASEMA UTAJIRI WAKE HAKUNA MSANII YEYOTE ANAEMFIKIA TANZANIA ANA BILION KAHDA BANK ZIMEPUMNZIKA

Star wa filamu nchini Vicent Kigosi "Ray" amesema kuwa yeye ana pesa na mali nyingi na hakuna msanii yeyote wa Tanzania awe w... thumbnail 1 summary

Star wa filamu nchini Vicent Kigosi "Ray" amesema kuwa yeye ana pesa na mali nyingi na hakuna msanii yeyote wa Tanzania awe wa filamu au muziki  anayemfikia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WANAFUNZI WA CBE DOM WACHAFUANA KWA PICHA CHAFU NA MATUSI JUU INSTARGRAM....WAPANIA KUMSAKA MCHAWI WAO MPK KIELEWEKE

Baadhi ya wanafunzi wa CBE Dodoma  wamekerwa na kitendo cha kuchafuliwa kwenye mtandao wa Intar  na mtu ambaye hawajamfamu kwa jina ing... thumbnail 1 summary

Baadhi ya wanafunzi wa CBE Dodoma  wamekerwa na kitendo cha kuchafuliwa kwenye mtandao wa Intar  na mtu ambaye hawajamfamu kwa jina ingawa baadhi yao wanadai kuwa ni mwanafunzi mwenzao ambaye anatumia jina tofauti kabisa na lake na pia yupo miongoni mwao lkn bado hawajamfahamu....

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AUNT EZEKIEL AELEZA JINSI MAREHEMU KANUMBA ALIVYOKUWA BALAA KWENYE MAPENZI ANGALIPA HAPA ALICHOSEMA MSANII HUYO..!

Msanii Aunt Ezekiel ameibuka na kusema kuwa kipaji cha marehemu Kanumba si kwenye filamu peke yake bali alikuwa balaa hata kwenye mapen... thumbnail 1 summary


Msanii Aunt Ezekiel ameibuka na kusema kuwa kipaji cha marehemu Kanumba si kwenye filamu peke yake bali alikuwa balaa hata kwenye mapenzi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA:BABY SHOWER YA SHAMIM ZEZE AKA MRS CHONCHI

Haya ndio Yanayojiri mida hii pande za Jiji La Dar Es Salaam, ni ile baby shower ya Blogger Maarufu Shamim Zeze aka Mrs Chonchi, aka Ma... thumbnail 1 summary

Haya ndio Yanayojiri mida hii pande za Jiji La Dar Es Salaam, ni ile baby shower ya Blogger Maarufu Shamim Zeze aka Mrs Chonchi, aka Mama wa B2A, aka Mama

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AZAM WAZIDI KUIUA YANGA, WASAJILI MCHEZAJI MWINGINE TEGEMEO YANGA

Taarifa Zilizotufikia Mchana huu ni Kwamba Mchezaji Kinda wa Dar Young Africa "YANGA" Frank Domayo amesaini Mkataba wa Kuiche... thumbnail 1 summary

Taarifa Zilizotufikia Mchana huu ni Kwamba Mchezaji Kinda wa Dar Young Africa "YANGA" Frank Domayo amesaini Mkataba wa Kuichezea Azam msimu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AMAZING:DAVIDO, SAMWELI ETO'O, ADEBAYOR NA BALOTELI NAO WAPOST PICHA WAKILA NDIZI

Amazing: Davido, Samuel Eto’o, Adebayor, Balotelli Post Banana Photos In Support thumbnail 1 summary


Amazing: Davido, Samuel Eto’o, Adebayor, Balotelli Post Banana Photos In Support

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SAMWELI ETOO "SAMAHANI KUNA YOYOTE ANAYETAKA KUWA NYANI KAMA MIMI"

Unaambiwa club ya Villareal imemfungia maisha yule shabiki ambae alionyesha kitendo cha kibaguzi kwa kumrushia ndizi Dani Alves, kitend... thumbnail 1 summary

Unaambiwa club ya Villareal imemfungia maisha yule shabiki ambae alionyesha kitendo cha kibaguzi kwa kumrushia ndizi Dani Alves, kitendo ambacho

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DADA WA P-SQUARE NAYE ACHUMBIWA NA KUVALISHWA PETE NA MPENZI WAKE

Wiki mbili zilizopita kulikuwa na habari za matatizo/ugomvi mkubwa katika familia ya wasanii wa Nigeria wanaunda kundi la P-Square, Peter... thumbnail 1 summary

Wiki mbili zilizopita kulikuwa na habari za matatizo/ugomvi mkubwa katika familia ya wasanii wa Nigeria wanaunda kundi la P-Square, Peter na Paul. Lakini wiki iliyoipita ilikuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MOYES BAADA YA KUFUKUZWA KAZI AENDA KUPUMZIKA MAREKANI

Baada ya Moyes kumalizana na Man United na kuvunja mkataba, hakuna ubishi ilikuwa ni lazima aondoke na kwenda kupumzika nje ya England. thumbnail 1 summary

Baada ya Moyes kumalizana na Man United na kuvunja mkataba, hakuna ubishi ilikuwa ni lazima aondoke na kwenda kupumzika nje ya England.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

YETU MACHO: MTU MMOJA AONEKANA KATIKA SAYARI YA MARS.

Wanasayasi wanadai kuwa kitu hicho kinachoonekana kama mtu aliyekaa katika jiwe, mpaka leo haijajulikana kuwa ni kweli au uongo. thumbnail 1 summary

Wanasayasi wanadai kuwa kitu hicho kinachoonekana kama mtu aliyekaa katika jiwe, mpaka leo haijajulikana kuwa ni kweli au uongo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JINI KABULA: SIZAI TENA NJE YA NDOA.

MSANII  wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kuwa hayupo tayari kuzaa tena nje ya ndoa mpaka atakapoolewa. thumbnail 1 summary

MSANII wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kuwa hayupo tayari kuzaa tena nje ya ndoa mpaka atakapoolewa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAWA NDIO BAADHI YA FEMALE MODELS WANAOFANYA VIZURI HAPA BONGO.

Hawa Ni Baadhi Ya Female Models Wanaofanya Vizuri Kwenye Tasnia Ya Modelling Hapa Bongo Kwa Sasa. thumbnail 1 summary

Hawa Ni Baadhi Ya Female Models Wanaofanya Vizuri Kwenye Tasnia Ya Modelling Hapa Bongo Kwa Sasa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIZI NDIZO PICHA ZA SHILOLE NA DOGODOGO WAKE ZILIZOLETA GUMZO INSTAGRAM MPAKA WENGINE WAANZA KUTUKANANA

Mwanadada Shilole ambaye ni  Muigizaji, mwanamziki, socialite, nk...Anashutumiwa kuwa rekodi ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na vij... thumbnail 1 summary
Mwanadada Shilole ambaye ni  Muigizaji, mwanamziki, socialite, nk...Anashutumiwa kuwa rekodi ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na vijana ambao inasemekana amewazidi UMRI...Hivi karibuni kupitia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA KUFUNGA NDOA KWA SIRI KANISANI:MUME NA MKE WATEKWA!

KIJANA  aliyetambulika kwa jina la Dickson Mathias (35), na msichana aliyejulikana kwa jina la Mariam Kimaya wanadaiwa kutekwa kwa nyak... thumbnail 1 summary

KIJANA aliyetambulika kwa jina la Dickson Mathias (35), na msichana aliyejulikana kwa jina la Mariam Kimaya wanadaiwa kutekwa kwa nyakati tofauti

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUYU NDIYE PRODUCER WA BONGO ANAEDAIWA KUZAA MTOTO NA RIYAMA

NYUMA ya mafanikio ya wasanii wa muziki kuna  wengi wanachangia lakini mara nyingi ni kama hawajulikani. thumbnail 1 summary

NYUMA ya mafanikio ya wasanii wa muziki kuna  wengi wanachangia lakini mara nyingi ni kama hawajulikani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SAKATA LA BONGO MOVIE:BATULI ADAIWA KUITIKISA NDOA YA MTUNIS

HABARI za motomoto kutoka vyanzo vya uhakika, zinasema kuwa staa wa kike anayekuja juu kwa sasa katika tasnia ya filamu Bongo, Yobnesh ... thumbnail 1 summary

HABARI za motomoto kutoka vyanzo vya uhakika, zinasema kuwa staa wa kike anayekuja juu kwa sasa katika tasnia ya filamu Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MR BLUE: WEMA, NAJMA WALINIFILISI

NYOTA wa Bongo Fleva, Herry Samir maarufu kama Mr. Blue amesema wasichana warembo, Wema Sepetu na Najma ambao aliwahi kutoka nao kimape... thumbnail 1 summary

NYOTA wa Bongo Fleva, Herry Samir maarufu kama Mr. Blue amesema wasichana warembo, Wema Sepetu na Najma ambao aliwahi kutoka nao kimapenzi kwa nyakati tofauti miaka ya nyuma, walimfilisi kutokana na matumizi makubwa ya fedha alipotoka nao viwanja.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TURUDI CHUMBANI: HAYA NDIYO MAMBO YATAKAYOKUFANYA UONEKANE BORA KWA MPENZI WAKO MUWAPO WAWILI CHUMBANI

Wapenzi ambao wapo katika uhusiano lakini hawajui mambo ya kufanya ili wawe bora kwa wapenzi wao. Mada hii itagusia pande mbili. Upande wa... thumbnail 1 summary
Wapenzi ambao wapo katika uhusiano lakini hawajui mambo ya kufanya ili wawe bora kwa wapenzi wao. Mada hii itagusia pande mbili. Upande wa kwanza ni kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MTANZANIA ALIYEHUDHURIA HARUSI YA MWANAMZIKI MKUBWA HUKO NIGERIA ILIYOFANYIKA DUBAI NA WAGENI KUPEWA IPHONE MPYAAA..!!

Millen na Tiwa Savage Miss Tanzania, 2001, Happiness Millen Magese, alihudhuria harusi ya kifahari ya mwanamuziki wa Nigeria, Tiwa Savag... thumbnail 1 summary
Millen na Tiwa Savage
Miss Tanzania, 2001, Happiness Millen Magese, alihudhuria harusi ya kifahari ya mwanamuziki wa Nigeria, Tiwa Savage na Tunji Teebillz iliyofanyika kwenye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TUCTA WAPIGANIA PAYE ISHUKE KWA WAFANYAKAZI

  SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta), limeazimia kuendelea kupigania kushushwa kwa Kodi ya Mshahara (PAYE) kutoka asilimia 1... thumbnail 1 summary

  SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta), limeazimia kuendelea kupigania kushushwa kwa Kodi ya Mshahara (PAYE) kutoka asilimia 13 inayokatwa hivi sasa hadi asilimia tisa, ili mfanyakazi apate

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WARIOBA AWATAJA WASALITI WA MWALIMU NYERERE

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema wanasiasa wanaomtuhumu kwa kumsaliti Baba wa Taifa, M... thumbnail 1 summary

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema wanasiasa wanaomtuhumu kwa kumsaliti Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kuhusu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MCHEZAJI WA BARCELONA ARUSHIWA NDIZI UWANJANI..AIKOTA NA KUILA..WATU WAMPONGEZA

Barcelona star Dani Alves responded to a racist taunt in the most incredible way during a match yesterday Sunday April 27th thumbnail 1 summary
Barcelona star Dani Alves responded to a racist taunt in the most incredible way during a match yesterday Sunday April 27th

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUYU NDO MBOWE KAJA NA PLAN B NA DAIMA HATABIRIKI

Katika kikao kimoja tulichofanyia Mwanza mwaka jana mwishoni Mbowe aliwakuna wajumbe alipotupa siri kwamba alikataa kuwa mwenye kiti wa... thumbnail 1 summary
Katika kikao kimoja tulichofanyia Mwanza mwaka jana mwishoni Mbowe aliwakuna wajumbe alipotupa siri kwamba alikataa kuwa mwenye kiti wa Chadema mpaka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AINA SITA ZA VITAMBI...JE WEWE CHAKO NI KIPI KATI YA HIVI?

1. Kitambi Mvurugo -- hiki kitambi kimekaa kama O. thumbnail 1 summary

1. Kitambi Mvurugo -- hiki kitambi kimekaa kama O.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MKE WANGU ANANIZIDI AKILI NA MBINU..KUTWA NZIMA NA SIMU, YUPO KILA SOCIAL NETWORK

Ndugu zangu nahitaji msaada wa mawazo. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

April 29, 2014

INASIKITISHA SANA~DIAMOND ALIMWAGA MACHOZI LIVE WAKATI WA KURECORD WIMBO MPYA WA PROF. JAY, ISHU IPO HAPA

Wimbo wa Profesa Jay aliomshirikisha Diamond Platinumz ‘Kipi Sijasikia’umepokelewa kwa hisia na mashabiki wengi ambao wengi wao wameguswa n... thumbnail 1 summary
Wimbo wa Profesa Jay aliomshirikisha Diamond Platinumz ‘Kipi Sijasikia’umepokelewa kwa hisia na mashabiki wengi ambao wengi wao wameguswa na ujumbe na kuuhusisha na kile

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIVI NDIVYO MIJANAUME INAVYOZIDI KUTOLEA MACHO "WOLPER GAMBE"...TAZAMA HIKI ALICHOKIVAA HAPA

Kama wewe ni mfuatiliaji sana wa mtandao wa  Instagram, utagundua hiki ninachokisema, Mastaa wengi sasa hivi wamekuwa wakiutumia mtanda... thumbnail 1 summary

Kama wewe ni mfuatiliaji sana wa mtandao wa  Instagram, utagundua hiki ninachokisema, Mastaa wengi sasa hivi wamekuwa wakiutumia mtandao wa instagram kama sehemu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WANAFUNZI WATATU WAFARIKI DUNIA WAKATI WAKIOGELEA KWENYE "SWIMMING POOL"

Simanzi na vilio jana vilitawala katika Mtaa wa Kijitonyama Mpakani A, baada ya watoto watatu wa familia jirani kufariki dunia baada ya k... thumbnail 1 summary

Simanzi na vilio jana vilitawala katika Mtaa wa Kijitonyama Mpakani A, baada ya watoto watatu wa familia jirani kufariki dunia baada ya kuzama katika bwawa la

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAVUNJA UKIMYA:P-SQURE WAFUNGUKA JUU YA KUVUNJIKA KWA KUNDI LAO

Kupitia mtandao wa Twitter,mapacha wawili wanaosumbua kwenye anga la muziki P Square wamefunguka kuhusiana na tetesi za wao kugombana  ... thumbnail 1 summary
Kupitia mtandao wa Twitter,mapacha wawili wanaosumbua kwenye anga la muziki P Square wamefunguka kuhusiana na tetesi za wao kugombana kit kilichohatarisha muziki

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KIMENUKA:WATOTO WA MAREHEMU MZEE GURUMO WAANZA KUGOMBEA MALI ZA BABA YAO.

“Tunatoana roho yarabiii, kwa mali alizoacha baba…” hicho ni kibwagizo katika wimbo wa Tunatoana Roho uliopigwa na Msondo Music Band ‘Sik... thumbnail 1 summary

“Tunatoana roho yarabiii, kwa mali alizoacha baba…” hicho ni kibwagizo katika wimbo wa Tunatoana Roho uliopigwa na Msondo Music Band ‘Sikinde’ukiwa ni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BASI LA HOOD LATEKETEA KWA MOTO..HABIRIA WANUSURIKA

Zaidi ya Abiria 55 waliokuwa ndani ya Basi la kampuni ya Hood, wakisafiri kutoka Mbeya kwenda Arusha walinusurika kufa baada ya Basi h... thumbnail 1 summary

Zaidi ya Abiria 55 waliokuwa ndani ya Basi la kampuni ya Hood, wakisafiri kutoka Mbeya kwenda Arusha walinusurika kufa baada ya Basi hilo kushika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AMWAGIWA KINYESI NA MTUHUMIWA WAKATI AKITOKA MAHAKAMANI

Mkazi  wa Kata ya Ngara mjini wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera, Bw, Philimoni Bunziya akimwelezea mwandishi wa habari hizi jinsi alivyomw... thumbnail 1 summary

Mkazi  wa Kata ya Ngara mjini wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera, Bw, Philimoni Bunziya akimwelezea mwandishi wa habari hizi jinsi alivyomwagiwa chupa yenye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JACKLINE WOLPER AMFANYIA MBAYA MASOGANGE:AMCHUKILIA PEDESHEE WA KIHINDI ALIYETAKA KUMLIPIA MASOGANGE MAHALI YA MIL 40

Msanii Wolper akiwa na Prence Kass maarufu kama Muhindi wa Masogange

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNGA WAZIDI KUMTESA RAY C....

MSANII mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ambaye aliwahi kuathirika na utumiaji wa ‘unga’, hivi karibuni... thumbnail 1 summary
MSANII mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ambaye aliwahi kuathirika na utumiaji wa ‘unga’, hivi karibuni alitinga ofisi ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AZINYOFOA SEHEMU ZA SIRI ZA MUMEWE KWA WIVU NA UGOMVI WA KIMAPENZI

Jeshi la polisi mkoa wa Pwani linamshikilia Husna Iddi Kisoma (19) , mkazi wa Kisemvule Mkuranga mkoa wa Pwani kwa tuhuma za kumuua mum... thumbnail 1 summary

Jeshi la polisi mkoa wa Pwani linamshikilia Husna Iddi Kisoma (19) , mkazi wa Kisemvule Mkuranga mkoa wa Pwani kwa tuhuma za kumuua mumewe Jumane Mwalami (21) baada ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ASKARI MWENYE HIPS ZA KUDATISHA KENYA APIGWA MKWARA NA BOSI WAKE BAADA YA PICHA KUSAMBAA

 Yule Polisi Mwanamke Nchini Kenya kwa Jina Linda Amechimbwa mkwara na Bosi wake wa kituo cha Polisi kiambu Kenya Baada ya Picha yake K... thumbnail 1 summary

 Yule Polisi Mwanamke Nchini Kenya kwa Jina Linda Amechimbwa mkwara na Bosi wake wa kituo cha Polisi kiambu Kenya Baada ya Picha yake Kusambaa Mitandaoni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA SEPETU ALA SHAVU LA MTANDAO WA SIMU

Wema Sepetu Amepata shavu la Kutangaza promotion mpya ya Mtandao wa Airtell Ambayo unapata Facebook, Twitter na Whatsapp Bure, Wema Sepetu thumbnail 1 summary
Wema Sepetu Amepata shavu la Kutangaza promotion mpya ya Mtandao wa Airtell Ambayo unapata Facebook, Twitter na Whatsapp Bure, Wema Sepetu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHILOLE KA VITUKO..!! AJISIFIA KWA KUWAPIGA VIBUTI WANAUME NA AJAWAHI ACHWA..

STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa katika uhusiano wa kimapenzi hajawahi kuachwa bali huwa an... thumbnail 1 summary

STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa katika uhusiano wa kimapenzi hajawahi kuachwa bali huwa anaacha mwenyewe. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zaidi ya milioni 300 zimemtoka Peter wa P Square kununua gari hili jipya Bentley GT 2014.

Baada ya kumaliza matatizo yao kwenye familia na ndugu zake ambayo bado hayajajulikana kama yalikuwa ni kweli au ni stunt za biashara yao... thumbnail 1 summary
p spuareBaada ya kumaliza matatizo yao kwenye familia na ndugu zake ambayo bado hayajajulikana kama yalikuwa ni kweli au ni stunt za biashara yao kwenye muziki, Peter amewaonyesha fans wake gari lake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wengi kati yao sura zao hazijabadirika sana tangu kipindi chao cha utotoni lakini picha hizi zitakuonyesha kwamba wanamichezo hawa wamean... thumbnail 1 summary
0Wengi kati yao sura zao hazijabadirika sana tangu kipindi chao cha utotoni lakini picha hizi zitakuonyesha kwamba wanamichezo hawa wameanza kucheza michezo yao tangu wakiwa watoto.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hiki ni kitu kipya watakachofanya Jay Z na Beyonce kwa pamoja.

Mr and Mrs Carter wamefanya vitu vingi pamoja haswa kwenye ishu ya muziki ambapo wameshafanya collaboration na kupeana support kwenye sho... thumbnail 1 summary
yyMr and Mrs Carter wamefanya vitu vingi pamoja haswa kwenye ishu ya muziki ambapo wameshafanya collaboration na kupeana support kwenye show mbalimbali.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNAAMBIWA HUU NDIYO UJIO MPYA WA "CYRILL KAMIKAZE" NI SHIDAA!!

Cyrill anatarajia Kuchia Ngoma yake hivi karimbuni atakayoitambilisha kama "ALOWA" thumbnail 1 summary
Cyrill anatarajia Kuchia Ngoma yake hivi karimbuni atakayoitambilisha kama "ALOWA"

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: