April 07, 2016

Picha ya Diamond Platnumz inayo-trend sana mitandaoni, Nay wa Mitego hakutaka impite

Staa mwenye jina zito kutoka kiwanda cha Bongo Fleva Diamond Platnumz bado jina lake limekuwa gumu kukauka midomoni mwa watu, hii inatoka... thumbnail 1 summary
Staa mwenye jina zito kutoka kiwanda cha Bongo Fleva Diamond Platnumz bado jina lake limekuwa gumu kukauka midomoni mwa watu, hii inatokana na uwezo wake mkubwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wolfsburg wameikatisha furaha ya Ronaldo iliyomfanya ashangilie akiwa kavaa nguo ya ndani

Michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imeendelea tena usiku wa April 6 2016 kwa michezo miwili kupigwa, klabu ya  Real ... thumbnail 1 summary

Michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imeendelea tena usiku wa April 6 2016 kwa michezo miwili kupigwa, klabu ya Real Madrid ya Hispania ililazimika kusafiri kutokaHispania hadi Ujerumani kucheza dhidi ya wenyeji wao Wolfsburg.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 7 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo

April 7 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews... thumbnail 1 summary
April 7 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu..

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NIKKI MBISHI AJITOA KWENYE MTANDAO WA KUUZIA NYIMBO WA MKITO.

Rapa Nikki Mbishi ametoa taarifa rasmi ya kujitoa kwenye mtandao maarufu wa kuuzia nyimbo Mkito, na kudai hata kazi zake hazitapatikana t... thumbnail 1 summary
Rapa Nikki Mbishi ametoa taarifa rasmi ya kujitoa kwenye mtandao maarufu wa kuuzia nyimbo Mkito, na kudai hata kazi zake hazitapatikana tena kwenye mtandao huo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TONI KROOS ACHOSHWA NA MFUMO WA ZIDANE

Kaka wa kiungo kutoka nchini Ujerumani na klabu ya Real Madrid, Toni Kroos, amefichua siri ya ndugu yake kutarajia kucheza soka nchini En... thumbnail 1 summary
Kaka wa kiungo kutoka nchini Ujerumani na klabu ya Real Madrid, Toni Kroos, amefichua siri ya ndugu yake kutarajia kucheza soka nchini England msimu wa 2016-17.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MOURINHO AMTAMBUA ANAYEZUIA AJIRA YAKE MAN UTD

Aliyekua meneja wa klabu Chelsea, Jose Mourinho amedhamiria kuandika ujumbe kwa mashabiki wa soka duniani kote, ili kuwaaminisha atakuwa ... thumbnail 1 summary
Aliyekua meneja wa klabu Chelsea, Jose Mourinho amedhamiria kuandika ujumbe kwa mashabiki wa soka duniani kote, ili kuwaaminisha atakuwa mkuu wa benchi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: