June 26, 2014

Hatimaye Wema Sepetu Amvulia kofia Vanessa Mdee...Tazama hapa

  Vanessa Mdee akiwa anatikisa media mbali mbali east africa kwa kuanza na video yake mpya ya “Come Over” iliyokuwa gumzo mtaani, Na hiv... thumbnail 1 summary

 


Vanessa Mdee akiwa anatikisa media mbali mbali east africa kwa kuanza na video yakempya ya “Come Over” iliyokuwa gumzo mtaani, Na hivi sasa kama ilikuwa haitoshi kuachia tena Single yake mpya inayoitwa “Hawajui”, 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Movie mpya ya Transfomers inatoka weekend hii, cheki ratiba yake na nyingine pia.

Wapenzi wa movie za Transfomers weekend hii ni yenu kwasababu Transformers Age of Extinction inaanza kuonekana kwenye theater za hapa Tan... thumbnail 1 summary
0Wapenzi wa movie za Transfomers weekend hii ni yenu kwasababu Transformers Age of Extinction inaanza kuonekana kwenye theater za hapa Tanzania. Kama bado haujacheki trailer

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII HAPA VIDEO MUPYA KALI TOKA KWA DIAMOND PLATINUMZ NA MASTAA KIBAO WA AFRICA

MultiChoice Africa has launched it’s biggest campaign yet, to celebrate Africa’s positivity , thumbnail 1 summary

davido na diamond

MultiChoice Africa has launched it’s biggest campaign yet, to celebrate Africa’s positivity,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JE NI HALALI KWA MTANGAZAJI WA TV KUFANYA HIVI WAKATI WA KIPINDI CHAKE?

…it was to prove that she is a GOOD KISSER  ……hhehehehe….during her love based TV program ....PROVED OR NOT? thumbnail 1 summary


…it was to prove that she is a GOOD KISSER ……hhehehehe….during her love based TV program ....PROVED OR NOT?

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIVA TENA AACHIA PICHA AKIWA AMEVAA NGUO YA KULALIA NA KUWATEGA MASHABIKI HUKO INSTAR

Huyu ni mtangazaji maarufu sana, Anaitwa Loveness Malinzi aka Divathebawse kama anavojiita. Haishi vituko na mara nyingi  amekuwa ... thumbnail 1 summary



Huyu ni mtangazaji maarufu sana, Anaitwa Loveness Malinzi aka Divathebawse kama anavojiita. Haishi vituko na mara nyingi amekuwa akijianika uchi kwenye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NANDO ATANGAZA KUACHA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA... KUMBE NAYE ALIKUWA TEJA KAMA RAY C

Mshiriki wa shindano la Big Brother Africa ‘The Chase’, Ammy Nando ameweka wazi kuwa alikuwa mmoja kati ya waathirika wa dawa za kulev... thumbnail 1 summary


Mshiriki wa shindano la Big Brother Africa ‘The Chase’, Ammy Nando ameweka wazi kuwa alikuwa mmoja kati ya waathirika wa dawa za kulevya.

Akiongea katika kipindi cha Hatua Tatu ha 100.5 Times Fm, Nando

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Suarez receives four-month ban from all football

FIFA have handed Uruguay forward Luis Suarez a nine- match suspension and a four-month ban from all football-related activity. The L... thumbnail 1 summary

FIFA have handed Uruguay
forward Luis Suarez a nine-
match suspension and a
four-month ban from all
football-related activity.
The Liverpool star found himself in the all-
too-familiar position of being under
disciplinary scrutiny after appearing to
bite Italy defender Giorgio Chiellini as
Uruguay beat Italy 1-0 on Tuesday.
Uruguay's triumph secured their place in
the last 16 of the FIFA World Cup.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Imeripotiwa Beyonce na Will Smith watakua ndani ya movie moja – Hancock 2

Wale waliowahi kuona Hancock ya kwanza ni superhero movie ambayo ilifanya vizuri sana na baada ya miaka 6 sasa wanakuja na story nyingine... thumbnail 1 summary
hankokWale waliowahi kuona Hancock ya kwanza ni superhero movie ambayo ilifanya vizuri sana na baada ya miaka 6 sasa wanakuja na story nyingine ya movie hiyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hii ndiyo nguo atakayovaa Diamond kwenye red carpet ya BET Awards

BET Awards zinakaribia kufanyika na Diamond Platinumz anaelekea huko kwasababu amekuwa nominated kwenye kipengele cha Best African Act. D... thumbnail 1 summary
dimondBET Awards zinakaribia kufanyika na Diamond Platinumz anaelekea huko kwasababu amekuwa nominated kwenye kipengele cha Best African Act. Diamond atapita kwenye red carpet itakayo tumiwa na wasanii mbalimbali siku ya tukio.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

YADAIWA RICK ROSS AMECHOKA KUWA BONGE ...APUNGUZA KILO 45,TAZAMA HAPA AKIWA GYM

Rick Ross kila mtu anamjua kuwa na mwili mkubwa lakini hivi sasa ameamua kupugua kabisa. Mwenyewe anasema kwamba ameamua kujiweka fit n... thumbnail 1 summary


rozay2
Rick Ross kila mtu anamjua kuwa na mwili mkubwa lakini hivi sasa ameamua kupugua kabisa. Mwenyewe anasema kwamba ameamua kujiweka fit na bado

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JWTZ kuanika tena zana zake za Kivita jijini Dar katika kongamano kubwa la kijeshi....

JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatarajiwa kufanya maonesho ya zana zake za kivita zinazotumiwa na askari wa nchi kav... thumbnail 1 summary

JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania
(JWTZ) linatarajiwa kufanya maonesho ya
zana zake za kivita zinazotumiwa na askari
wa nchi kavu kuanzia Julai 14 hadi 16,
mwaka huu wakati wa kongamano kubwa
la kijeshi ambapo ni sehemu ya
maadhimisho ya miaka 50 tangu
kuanzishwa kwa jeshi hilo nchini.
Kampuni zaidi ya 30 zinazotengeneza silaha
na vifaa vya kijeshi kutoka ndani na nje ya
nchi zitaonyesha bidhaa zao katika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Team Wema, Team Kajala Kuvunjwa.....Yadaiwa ndo chanzo cha Ugomvi wa Wema Sepetu na Kajala.

Makundi mawili hasim ya wasanii wa filamu Bongo, Wema Sepetu na Kajala Masanja yajulikanayo kama 'Wema Team' na 'Kajala ... thumbnail 1 summary

Makundi mawili hasim ya wasanii wa
filamu Bongo, Wema Sepetu na Kajala
Masanja yajulikanayo kama 'Wema Team'
na 'Kajala Team' yanatarajiwa kuvunjwa
kwani ndio yameonekana kuchochea
bifu la wawili hao ambalo limekuwa
likionekana kuisha na kuibuka tena....
Akizungumza na mwanahabari wetu,
Kajala amesema kuwa tatizo lao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Uchaguzi Mkuu CUF: Profesa Lipumba na Maalim Seif WAPETA katika nafasi zao za Mwenyekiti Taifa na Katibu mkuu

Mkutano Mkuu wa CUF Taifa umemchagua tena Katibu Mkuu wa Chama hicho kuendelea na wadhifa huo kwa kupata kura 675, sawa na asilimia ... thumbnail 1 summary

Mkutano Mkuu wa CUF Taifa umemchagua
tena Katibu Mkuu wa Chama hicho
kuendelea na wadhifa huo kwa kupata
kura 675, sawa na asilimia 99.5 ya kura
zilizopigwa.
Mkutano huo pia umemchagua Prof.
Ibrahim Lipumba kuwa Mwenyekiti wa CUF
Taifa kwa kupata kura 659 sawa na asilimia
95.5 na kumshinda mpinzani wake Chifu
Lutalosa Yemba aliyepata kura 30 sawa na
asilimia 4 nukta 3.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lulu Michael, Tumuamini nani?

Alisema  eti  aachwe  kwanza, eti  baada  ya  ule  mkasa  hataki  kabisa  kusikia  habari  za  mapenzi.Amini  usiamini , haukupita  muda... thumbnail 1 summary

Alisema  eti  aachwe  kwanza, eti  baada  ya  ule  mkasa  hataki  kabisa  kusikia  habari  za  mapenzi.Amini  usiamini , haukupita  muda  mrefu  skendo  za  mapenzi  zikaanza  kuvuma  tena.

Tukaanza  kusikia  habari  za  kina  fulani  zikihusishwa  na  yeye.Alianza  yule  jamaa  handsome  asiyekuwa  na  jina  kubwa.Bila  kujulikana  alipotokea  akaibuka  na 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MTUHUMIWA WA WIZI WA PIKIPIKI AOKOLEWA NA ASKARI POLISI BAADA YA KUNUSURIKA KUUWAWA

Askari polisi wa kituo kikuu cha Polisi cha kati akiwa amemshikilia kijana mmoja baada ya kumuokoa toka mikononi mwa madereva bodaboda amba... thumbnail 1 summary

Askari polisi wa kituo kikuu cha Polisi cha kati akiwa amemshikilia kijana mmoja baada ya kumuokoa toka mikononi mwa madereva bodaboda ambao walikwishaanza kujichukulia sheria mkononi kwa kumuadhibu baada ya kutaka kuiba pikipiki.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA ZINATISHA PLIZ: MWANACHUO WA RUCO ACHOMWA MOTO AKIDHANIWA NI MWIZI...!

Imagine guys, kuna this guy mtanashati anasoma chuo kikuu cha Ruaha a.k.a RUCO huku Iringa. Alikuwa anasomea sheria mwaka wa nne. thumbnail 1 summary

Imagine guys, kuna this guy mtanashati anasoma chuo kikuu cha Ruaha a.k.a RUCO huku Iringa. Alikuwa anasomea sheria mwaka wa nne.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JAJI WEREMA AMFANANISHA MBUNGE KAFULILA NA TUMBILI.....TAFRANI YAIBUKA, MAWAZIRI WAOKOA JAHAZI

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, ameteleza ulimi tena na mara hii amejikuta akimuita Mbunge wa Kigoma Kusini, Davi... thumbnail 1 summary


Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, ameteleza ulimi tena na mara hii amejikuta akimuita Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) tumbili.
Kabla ya kutoa kauli hiyo, Werema alikuwa akitoa ufafanuzi wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NISHA AJICHANGANYA KUPITA KITAA KIMOJA HIVI NA KUKIMBIZWA KISA NA MKASA SOMA HAPA

MWIGIZAJI  wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amefunguka kuwa kuna wakati aliwahi kujikuta katika wakati mgumu baada ya umati wa wa... thumbnail 1 summary
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amefunguka kuwa kuna wakati aliwahi kujikuta katika wakati mgumu baada ya umati wa watoto kumkimbiza mtaani huku wakimwimbia nyimbo baada kumuona kwa mara ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AUNT AWAASA WATU KUMRUDIA MUNGU MWEZI HUU MTUKUFU WA RAMADHANI, YEYE ATAFUNGA NUSU BONGO NUSU DUBAI... STORI NZIMA HAPA

STAA  wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amewaasa Waislamu wote kumrudia Mungu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kama atakavyofanya yeye am... thumbnail 1 summary
STAA wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amewaasa Waislamu wote kumrudia Mungu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kama atakavyofanya yeye ambapo atauanzia mfungo Bongo na kumalizia Dubai.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA VIFO VYAWASANII NA WATU MBALIMBALI KUONGEZEKA BABY MADAHA APATA SOMO

Kufuatia vifo vya wasanii vilivyotokea mfululizo, mwigizaji Baby Joseph Madaha amelazimika kubadili mtindo wake wa maisha na kuishi kitak... thumbnail 1 summary
Kufuatia vifo vya wasanii vilivyotokea mfululizo, mwigizaji Baby Joseph Madaha amelazimika kubadili mtindo wake wa maisha na kuishi kitakatifu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JACK PATRICK AFYA TETE GEREZANI HUKO CHINA STORI NZIMA HAPA

UNAWEZA  kusema ni majanga juu ya majanga yanazidi kumkumba modo wa Bongo, Jacqueline Patrick ‘Jack’ baada ya wiki iliyopita kushindwa ku... thumbnail 1 summary
UNAWEZA kusema ni majanga juu ya majanga yanazidi kumkumba modo wa Bongo, Jacqueline Patrick ‘Jack’ baada ya wiki iliyopita kushindwa kupanda kortini kufuatia kutetereka kwa afya yake bila kufafanuliwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WATOTO WAWILI WALIPULIWA KWA PETROLI

WATOTO  wawili wa familia moja, Nuru (3) na Dora  Kaitaba (2), wamefariki dunia kwa kuungua moto hadi kubaki majivu baada ya moto mkubwa ... thumbnail 1 summary
WATOTO wawili wa familia moja, Nuru (3) na Dora  Kaitaba (2), wamefariki dunia kwa kuungua moto hadi kubaki majivu baada ya moto mkubwa uliotokana na petroli kulipuka nyumbani kwao, Mapinga, Bagamoyo mkoani Pwani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FLORA AKOMBA KILA KITU AACHA NYUMBA EMPTY

MACHOZI  upya! Habari halali kwa ubongo wako zinaeleza kwamba wakati mumewe, Emmanuel Mbasha (32) alipokuwa mahabusu, Dar kati ya Juni 15... thumbnail 1 summary
MACHOZI upya! Habari halali kwa ubongo wako zinaeleza kwamba wakati mumewe, Emmanuel Mbasha (32) alipokuwa mahabusu, Dar kati ya Juni 15 hadi 17, mwaka huu, staa wa Gospo Bongo, Flora Mbasha (31) anadaiwa kwenda

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA UVUMI JUU YA KIFO CHA WAZIRI WA ELIMU NDG. SHUKURU KAWAMBWA HILI NDILO TAMKO RASMI JUU YA UVUMI HUO

Ndg Watanzania,WanaBagamoyo na wapenda maendeleo, kwa niaba ya CCM-Bagamoyo na Ofisi ya Mbunge-Jimbo la Bagamoyo napenda kuleta kwen... thumbnail 1 summary

Ndg Watanzania,WanaBagamoyo na wapenda maendeleo, kwa niaba ya CCM-Bagamoyo na Ofisi ya Mbunge-Jimbo la Bagamoyo napenda kuleta kwenu Masikitiko yetu kwa niaba ya Chama na Familia ya Mheshimiwa Mbunge

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNAAMBIWA FEROOZ HAWEZI KUSAHAU SIKU ALIPOMWAGIWA MAUNO NA WEMA NA ANTI EZEKIEL FIESTA MOSHI

katika vitu ambavyo mkali wa bongo flava ambaye anasauti ya pekee, Ferooz, anadai katu hawezi kuvisahau ni siku ambayo alikatiwa mauno na... thumbnail 1 summary
katika vitu ambavyo mkali wa bongo flava ambaye anasauti ya pekee, Ferooz, anadai katu hawezi kuvisahau ni siku ambayo alikatiwa mauno na wakali wa bongo movie, wema na ant ezekiwl kipindi hicho fiesta ambayo ilifanyika moshi, 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAMA ULIKUA HUJUI,HII NDIYO NYUMBA YA KIFAHARI ANAKOISHI LADY JAY DEE, VITU NDANI NI SHIDAAAA, TAZAMA MWENYEWE HAPA

lady jay dee ni msanii mkongwe sana na mwenye maendeleo makubwa pia ameweza kulinda heshima yake tangu kipindi anaanza mpaka hii leo , mz... thumbnail 1 summary

lady jay dee ni msanii mkongwe sana na mwenye maendeleo makubwa pia ameweza kulinda heshima yake tangu kipindi anaanza mpaka hii leo , mziki umeweza kumpatia mafanikio makubwa ikiwemo kupata tuzo kibao kimataifa na kimataifa, mbali na hilo pia jay dee anamiliki band

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KANISA LAFICHUA SIRI KIFO CHA SISTA

mwili wa marehemu Kanisa Katoliki Parokia ya Makoka limefichua siri kuhusu mauaji ya Sista Cresensia Kapuli (50), aliyeuawa na majam... thumbnail 1 summary

mwili wa marehemu

Kanisa Katoliki Parokia ya Makoka limefichua siri kuhusu mauaji ya Sista Cresensia Kapuli (50), aliyeuawa na majambazi kwa kupigwa risasi kwamba alifikwa na mauti hayo wakati akitoka benki

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAARIFA ZINADAI WAZIRI WA ELIMU SHUKURU KAWAMBWA AMEFARIKI DUNIA

 Habari iliyotufikia hivi punde ni kuwa waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi wa Tanzania mh. Shukuru Kawambwa amefariki dunia.... Bado t... thumbnail 1 summary
 Habari iliyotufikia hivi punde ni kuwa waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi wa Tanzania mh. Shukuru Kawambwa amefariki dunia.... Bado tupo katika mchakato wa kuthibitisha hili... tumempigia simu ila haipokelewi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: