May 29, 2014

Leo ni BirthDay ya Mzee Mengi...K-Lyinn Amtumia Salamu

Leo ni siku ya kuzalia ya Mzee wetu, Reginard Mengi kama ilivyo kwawida kwa marafiki, wapenzi, ndugu na jamaa, kupitia akaunti yake ya... thumbnail 1 summary

Leo ni siku ya kuzalia ya Mzee wetu, Reginard Mengi kama ilivyo kwawida kwa marafiki, wapenzi, ndugu na jamaa, kupitia akaunti yake ya INSTAGRAM, mwanamama Jacqueline Ntuyabaliwe aka K-Lyin amemtumia  salamu mzazi mwenzie  kwa kuweka picha hii:

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha za Ray C Akiwa Mtaani Leo, Kuhamasisha Mateja Kuacha Unga

Leo Ray C Foundation tuliwatembelea waathirika wa madawa ya kulevya Kinondoni!!!nimeongea nao sana na kuwahamasisha waje kupata Tiba y... thumbnail 1 summary

Leo Ray C Foundation tuliwatembelea waathirika wa madawa ya kulevya Kinondoni!!!nimeongea nao sana na kuwahamasisha waje kupata Tiba ya Methadone Mwananyamala....nimefurahisana kuskia kutoka Kwao kwamba na wao wamechoka na Maisha ya utumwa......Tuko pamoja nao kuhakikisha tunawasaidia.......Ray C Foundation Pamoja inawezekana...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rafiki yake Corazon Achafua Hali ya Hewa Mitandaoni

Rafiki yake mwanadada Corazon, ajulikanae kwajin la  Beverly Masilla ameingia kwa kasi kwenye Modelling na fufanya wadua tupagawezaidi.... thumbnail 1 summary


Rafiki yake mwanadada Corazon, ajulikanae kwajin la  Beverly Masilla ameingia kwa kasi kwenye Modelling na fufanya wadua tupagawezaidi.....na wshindani wake wajipange zaidi......Heeee yaani bahari imechafuka...Tazama picha zake....

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mtindo Mpya wa Nywele za Beyonce..Tafadhari dada zetu!!

Jana kupitia akauti yake ya INSTAGRAM mwana mama Beyonce aliweka picha kuonyesha mtingo mpya wa nywele zake...Nywele hizo ni ndefu san... thumbnail 1 summary

Jana kupitia akauti yake ya INSTAGRAM mwana mama Beyonce aliweka picha kuonyesha mtingo mpya wa nywele zake...Nywele hizo ni ndefu sana  na zinarangi rangi kama unavyoziona pichani kiufupi inaonekani ni Gharama sana kuzitengeneza (ndio kweli wenyewe)..Kwahiyo basi kwaniaba ya jamaa zangu wote ambao TUNAHUDUMIA ninaomba STYLE HII isifike bongo na kama ikifika mamlaka husika ziipige marufuku....Tumechoka!!!!..Ni mimi mdau wa BONGO PUBLISHA

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wema Sepetu ni nani? Kuwa na ushawishi namna hii?

Leo hii nataka kukuja hivi huyu Wema Sepetu ni nani? kwamaana kuwa anafanyanini hapa nchini hadi kuwa mtu maarufu kihivyooooo na hadi ... thumbnail 1 summary

Leo hii nataka kukuja hivi huyu Wema Sepetu ni nani? kwamaana kuwa anafanyanini hapa nchini hadi kuwa mtu maarufu kihivyooooo na hadi kuwa na mashabiki ambao wameapa kumpenda na kusapoti kila anachokifanya hata kama ni Negative (mara nyingi huwa -)......Mbali ya wale wanamfuatilia kupitia magazeti ya UDAKU (uswazi ndio wengi hawa)..kwenye mitandao ya kijamii kama FESIBUKU, TWITA na INSTAGRAMU kuna vikundi na watu mmoja mmoja wanao simama upande wawema  kwamajiana tofauti tofauti...Kwapamoja wanajiita TEAM WEMA (Naamini wanaisoma hii)

Huyu ndio wema ninaye mjua mimi!!


Kwakifupi mimi binafsi nilimsikia Wema Sepetu  kwa mara ya kwanza ilikuwa mwaka 2006 akiwa  mshindi wa taji la MISS TANZANIA 2006....(Kama unakumbuka ushindi wake uliandamwa na kashfa za rushwa za ngono, na fitina kibao)..Baada ya hapo hakufanya vizuri kwenye mashindaono ya MISS WORLD ya mwaka huo akiwa kama mshiriki kutoka TANZANIA. (Enzi hizo  nahisi Diamond
alikuwa hana hata Simu ya mkononi)
Baada ya hapo zikafuata kashfa mbalimbali za Ku-DATE na mstaa Kadhaa kuanzia  wa muziki, maigizo, Madingi nk  (List  ya majina ni ndefu sana itatujazia page)

Miaka ya hivi karibuni akaibukia Bongo Movie na kuwa muigizaji, na kacheza filamu kadhaa (Enzi za kila demu mzuri au miss anaingia kwenye tasnia). Enzi ya ZE GRETI KANUMBA (R I P, bro wewe ndio MUINZIGA HUKU)....Kama kawa huku nako alifanya vizuri kidogo (kibongo bongo)
FOMEKINGI LONGI STORY SHOTI 
Hatimaye akatua kwenye mikono ya Diamond baada ya kuwa na mastaa kadhaa (Daah hapa kuna ka -list tena kabla ya Diamond)

Kwasasa ni C E O wa kampuni yake ya ENDLESS FAME (kua yake au sio yake hapa sio Ishu) inayojishughulisha ya maswala ya MOVIES PRODUCTION, NK..Ambayo aliifungua siku za hivi karibuni. Mwisho kabisa nimeambiwa anakipindi kwenye TV, sijajua kinaitwaje BUT nasikia anajizungumzia mwenyewe na maisha yake....akiwa na wale jamaa zake (and of coz bila kumsahau Meneja wake......hehehehe)

And business as usually, Kila siku yupo kwenye Media na skendo tofauti tofauti mara kagombana na huyu kisa BWANA, mara Ndugu wa Diamond hawamtaki...basi ilimladi watu wamsikie tu (Diamond alishaeleza mara kadhaa kuwa Wema huwa anazipeleka mwenyewe skendo kwa magazeti ya UDAKU-Nanasikia mwaka huu wamempa na TUZO).

Sasa kwanini nimeuliza:


Kwanza kabisa  ni kweli Story za Wema ndio zinazoongoza kwa kusomwa na wapenda Udaku watu wa Blogu (Kama mimi), Magazeti ya Udaku, majarida na Radio,TV watakubaliana namimi kuwa story za huyu MDADA siauza sana (Kwahiyo zinapendwa)

Kwenye mitandao ya kijamii Wema Sepetu ana watuwengi zaidi wanao mfuatilia kuzidi mastaa wote wa hapa BONGO:  Tuanze na FESIBUKU ana LIKES zaidi ya LAKI MOJA, TWITA na Followers zaidi ya ELFU THEMANINI, INSTAGRAM ana Followers zaidi ya LAKI NA ISHILINI...Hatari Sana...hakuna staa yoyote anamkaribia kwanye hili.





Akounti za TEAM Wema nazo zina watu wakutosha  (Kazi yao kubwa ni kusifia na kusafisha hali ya hewa kama Wema amaichafua)
Kwamfano ipo hii inajiita WEMA REPLIES wapo INSTAGRAM  (Hawa kutwa wao wema tu)


Sasa facts zipo hivi:

Kwenye U-MISS; Hivi Wema anamfikia kweli Nancy Sumari ambaye alitwaa taji la Afrika?
Kwenye Kuigiza; Hivi  Wema anauwezo gani wakumzidi Johari au Monalisa?
Kwenye TV: Hivi kipindichake kina ubunifu na mvuto gani? unawza kufananisha na kipindi kama wanawake LIVE,au Mkasi?
 
Nikweli kwamba Wema hana chakumfanya awe hivi alivyo....Naomba wadau mnisaidie kuniambia

HUYU WEMA NI NANI KUWA USHAWISHI KIASI HICHI?......

Ni mtazamo tu!!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA VIDEO MPYA YA BABY MADAHA - NAWAPONDA

First lady wa Candy n Candy, Baby Madaha ameachia video ya wimbo wake Nawaponda. Itazame hapa na utoe maoni yako. Ni kali ama kamiss?  thumbnail 1 summary
First lady wa Candy n Candy, Baby Madaha ameachia video ya wimbo wake Nawaponda. Itazame hapa na utoe maoni yako. Ni kali ama kamiss? 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA PICHA MAZISHI YA SHUJAA WA KAMERA MAXMILIAN NGOBE,ALIYEKUWA MPIGA PICHA MLIMANI TV

Picha ya marehemu Max iliyopambwa kwa maua msibani, katika viwanjwa vya leaders hii leo. thumbnail 1 summary
Picha ya marehemu Max iliyopambwa kwa maua msibani, katika viwanjwa vya leaders hii leo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUYU NDO YULE BWANA MPYA WA IRENE UWOYA CHEKI HAPA FULL MCHAPO

Wiki chache tangu kutoka kwa taaarifa za uhusiano wa kimapenzi kati ya Ney wa Mutego na Irene Uwoya ingawa Ney alikataa,leo kuna zingin... thumbnail 1 summary


irene
Wiki chache tangu kutoka kwa taaarifa za uhusiano wa kimapenzi kati ya Ney wa Mutego na Irene Uwoya ingawa Ney alikataa,leo kuna zingine ambazo pia zinamhusu Irene Uwoya na msanii anaesemekana waliingia kwenye makubaliano ya kuwa mtu na meneja wake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MMILIKI WA KLABU YA MANCHESTER UNITED AFARIKI

Malcolm Glazer aliyefariki akiwa na miaka 85. MMILIKI wa timu ya Manchester United, Malcolm Glazer, amefariki dunia akiwa na... thumbnail 1 summary



Malcolm Glazer aliyefariki akiwa na miaka 85.
MMILIKI wa timu ya Manchester United, Malcolm Glazer, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85. Amefariki akiwa nyumbani kwake Marekani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANAUME FAHAM WANAWAKE WANAPENDA NINI KUTOKA KWA WANAUME

Kama mwanaume lazima upate wakati  wa kujua unatakiwa kufanya nini kwa ajili  ya kulifanya penzi lako lizidi kuchanua.  USAFI BINAFS... thumbnail 1 summary


Kama mwanaume lazima upate wakati 
wa kujua unatakiwa kufanya nini kwa ajili 
ya kulifanya penzi lako lizidi kuchanua. 
USAFI BINAFSI 
Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda 
sana usafi. Ni aghalabu sana kukutana na 
mwanamke asiyejipenda. Ndiyo maana 
wanaitwa mapambo ya nyumba au la 
nyumba! Ni kwa sababu ya hulka yao ya 
kupenda sana usafi. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

YABAINIKA: KUMBE MCHUMBA WA VICKY KAMATA NI KIWEMBE, AMESHATEMBEA NA MADUU KIBAO

Haya ndo manejo ya Le Mutuz mara baada ya kukutana na Mhe. Vicky Kamata, nanukuu: thumbnail 1 summary


Haya ndo manejo ya Le Mutuz mara baada ya kukutana na Mhe. Vicky Kamata, nanukuu:

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mkuu wa jeshi aponea chupu chupu ya kifo huko Somalia.

Mkuu wa jeshi la Somalia ameponea chupuchupu kuuawa mjini Mogadishu. thumbnail 1 summary



Mkuu wa jeshi la Somalia ameponea chupuchupu kuuawa mjini Mogadishu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha ya Jason Derulo na Mpenzi Jordin Sparks Wakiwa Kwenye KWICH-KWICH-INSTAGRAM

#KWICH-KWICH: Picha ya Jason Derulo ambaye ni msanii mkubwa wa R&B nchini Marekani akiwa kitandani na mpenzi wake Jordin Sparks am... thumbnail 1 summary

#KWICH-KWICH: Picha ya Jason Derulo ambaye ni msanii mkubwa wa R&B nchini Marekani akiwa kitandani na mpenzi wake Jordin Sparks ambaye pia ni mwanamziki mkubwa..imekuwa HABARI YA MJINI:

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kutana na Flavian Matata -A True Tanzanian beauty queen and fashion model

Sina mengi, huyu ameshafanya mengi kwa jamii, amevutia wengi kufuata nyayo zake, hana SKENDO za kutengeneza au kuwa na  makusundi ya... thumbnail 1 summary


Sina mengi, huyu ameshafanya mengi kwa jamii, amevutia wengi kufuata nyayo zake, hana SKENDO za kutengeneza au kuwa na  makusundi ya Udaku... sijui TEAM nani...Nyota yake ilianzakung'ara tangu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Uwii:MTangazaji wa KISS 100 FM Amchana Vera Sidika LIVE!! Kwa Kujichumbua!-Mpoki cha Mtoto

Vera  (Kushoto)- Caroline (Kulia) Mtangazaji wa  KISS 100 MF, Kenya Caroline Mutoko jana ameibuka na kumchana mwandada  VERA SIDIK... thumbnail 1 summary

Vera  (Kushoto)- Caroline (Kulia)
Mtangazaji wa  KISS 100 MF, Kenya Caroline Mutoko jana ameibuka na kumchana mwandada VERA SIDIKA (Huyu ni moja kati ya MODELS wanaosumbua Afrika Mashariki) kwakujibadilisha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

#PICHA: Muonekako mpya wa LULU...unamuonaje?!

Huyu si mwingine bali ni mdogo wetu aliekulia kwenye TV (kwasisi wa miaka ya 80)...yaaani ana  TV personality toka LONG , kwa hapa Bong... thumbnail 1 summary

Huyu si mwingine bali ni mdogo wetu aliekulia kwenye TV (kwasisi wa miaka ya 80)...yaaani ana  TV personality toka LONG , kwa hapa Bongo ni staa wetu tumependwa na wengi (pamoja na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

EXCLUSIVE:Orodha ya Wanawake 100 Wenye Nguvu Zaidi Duniani 2014

Forbes ni jarida maarufu sana duniani ambalo limekuwa lifanya na kutoa tafiti mabimbali.  Exclusively   sasa wametoa orodha ya wanawak... thumbnail 1 summary

Forbes ni jarida maarufu sana duniani ambalo limekuwa lifanya na kutoa tafiti mabimbali. Exclusively sasa wametoa orodha ya wanawake wenge nguvu zaidi duniani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: