July 06, 2014

HIKI NDICHO WALICHOKIFANYA KANGA MOKO BAADA YA WENZAO KUPIGA RISASI

DIANA Semhando na Zawia ambao ni mastaa wa kundi maarufu la minenguo Khanga Moja (ambao majuzi walipata msukosuko wa kufyatuliwa risasi mt... thumbnail 1 summary


DIANA Semhando na Zawia ambao ni mastaa wa kundi maarufu la minenguo Khanga Moja (ambao majuzi walipata msukosuko wa kufyatuliwa risasi mtaani), wamepata lebo na studio ya Fire Music ya jijini Dar es Salaam na kupakua wimbo unaokwenda kwa jina

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AFANDE NA MREMBO WAFANYA YAO MBELE ZA WATU, NI FULL LAANA

DOES IT MAKE SENSE TO THE PUBLIC? CHECK OT WHATS WRONG WITH THIS POLICE AND HIS TOWN LADY thumbnail 1 summary

DOES IT MAKE SENSE TO THE PUBLIC? CHECK OT WHATS WRONG WITH THIS POLICE AND HIS TOWN LADY

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SIMU IMEOKOA WAGONJWA WA KISUKARI NCHINI SENEGAL

Kwa mara ya kwanza wagonjwa wa kisukari nchini Senegal wameanza kupokea ujumbe wa simu ukiwataka kufunga kwa kipindi cha kabla, wakati ... thumbnail 1 summary
simu
Kwa mara ya kwanza wagonjwa wa kisukari nchini Senegal wameanza kupokea ujumbe wa simu ukiwataka kufunga kwa kipindi cha kabla, wakati na baada ya mwezi wa Ramadhan.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND ASHUSHA BONGE LA ZAWAD SIKU YA BIRTHDAY YA MAMA YAKE 7/7 CHECK ZAWAD HIYO

Mama yake Diamond amezaliwa tarehe 7/7 na siku hiyo Diamond amepanga kufanya kitu kikubwa akiwa  anasherekea. Mwaka huu anafanya kitu thumbnail 1 summary
dimo2
Mama yake Diamond amezaliwa tarehe 7/7 na siku hiyo Diamond amepanga kufanya kitu kikubwa akiwa  anasherekea. Mwaka huu anafanya kitu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUYU NDO MSANII WA BONGO MOVIE AMBAYE WATU WANASEMA ANA JINSIA MBILI, SOMA HAPA ALICHOKISEMA, SOMA ZAIDI

Zamo mwigizaji wa filamu Swahilihood. MSANII na mtayarishaji wa filamu Swahilihood Zahra Chambo Mohamed aka Zamo anasema kuwa anach... thumbnail 1 summary
Zahra Mohamed
Zamo mwigizaji wa filamu Swahilihood.
MSANII na mtayarishaji wa filamu Swahilihood Zahra Chambo Mohamed aka Zamo anasema kuwa anachukizwa sana na tabia ya baadhi ya watu ambao wamekuwa wakimuongelea bila

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII NDIYO SIRI NZITO ILIYOFICHUKA KUHUSU MWANADADA SHILOLE

SIRI imefichuka! Kwa muda mrefu mwigizaji ambaye pia ni msanii wa muziki wa mwambao, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amekuwa akinukuliwa akisem... thumbnail 1 summary

SIRI imefichuka! Kwa muda mrefu mwigizaji ambaye pia ni msanii wa muziki wa mwambao, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amekuwa akinukuliwa akisema kuwa ana mtoto mmoja lakini sasa mambo hadharani, ukweli ni kwamba ana watoto wawili.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Slaa: Rais Kikwete ana rungu la Katiba Mpya

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa.PICHA|MAKTABA Dar es Salaam.  Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amemtaka Rais ... thumbnail 1 summary


Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa.PICHA|MAKTABA
Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amemtaka Rais Jakaya Kikwete kujitokeza hadharani kutafuta suluhu ya kupata mwafaka wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Utafanya Nini Ukimfumania Mpenzi Wako Katika Hali Kama Hii?

Kila Mtu anajua Kutendwa katika Mapenzi ni Jambo Linalouma Sana kupita maelezo yahitaji moyo wa ziada kuvumilia ..Je endapo i... thumbnail 1 summary
Kila Mtu anajua Kutendwa katika Mapenzi ni Jambo Linalouma Sana kupita maelezo yahitaji moyo wa ziada kuvumilia ..Je endapo ikakutokea ukamfumania mke ama mume akiwa katika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA X RAY IKIONYESHA JINSI KIUNGO WA BRAZIL NEYMAR ALIVYOVUNJIKA ... ANAWEZA KUKOSA MECHI YA NUSU FAINALI

PICHA YA X RAY INAYOONYESHA (KWENYE MSHALE MWEKUNDU) MFUPA MDOGO WA UTI WA MGONGO WA MSHAMBULIAJI NYOTA WA BRAZIL, NEYMAR ULIVYOVUNJIKA. thumbnail 1 summary
PICHA YA X RAY INAYOONYESHA (KWENYE MSHALE MWEKUNDU) MFUPA MDOGO WA UTI WA MGONGO WA MSHAMBULIAJI NYOTA WA BRAZIL, NEYMAR ULIVYOVUNJIKA.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA PICHA CHUPI ZA KIKE ZA KUONGEZA MAKALIO ZINAZOGOMBANIWA KWA SASA NA KINA DADA MJINI

these goods are in dar,one of the dealer said there is a big demand as alot of student and thumbnail 1 summary

these goods are in dar,one of the dealer said there is a big demand as alot of student and

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JE WAJUA?

Unajua kwa nini baadhi ya timu zinazoshiriki ama zilizoshiriki Kombe la Dunia la FIFA huwa na nyota kadhaa kwenye nembo za vyama vy... thumbnail 1 summary

JEZI_af8dc.jpg

Unajua kwa nini baadhi ya timu zinazoshiriki ama zilizoshiriki Kombe la Dunia la FIFA huwa na nyota kadhaa kwenye nembo za vyama vyao vya kabumbu?
Timu hizo huweka idadi ya nyota sawasawa na idadi ya mataji ya ubingwa wa dunia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UZINDUZI WA MASHINE ZA ATM ZA SELCOM ZAFANA KATIKA VIWANJA VYA SABASABA

Meneja miradi wa kampuni ya Selcom Wireless, Gallus Runyela kulia akiwaelekeza kina mama waliotembelea kutoa pesa wakati wa uzinduzi wa m... thumbnail 1 summary
Meneja miradi wa kampuni ya Selcom Wireless, Gallus Runyela kulia akiwaelekeza kina mama waliotembelea kutoa pesa wakati wa uzinduzi wa mashine ya ATM ya kampuni hiyo ambazo zinatoa  pesa kwa kutumia mitandao mbalimbali ya simu kama M-pesa,tigo pesa,Airtel Money, walipo tembelea katika maonyesho ya 38 ya biashara

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ARGENTINA NUSU FAINALI KWA MARA YA KWANZA TANGU 1990!!

Goli la Gonzalo Higuain laipeleka Agrentina nusu fainali Kombe la Dunia thumbnail 1 summary

argentina_d445b.jpgGoli la Gonzalo Higuain laipeleka Agrentina nusu fainali Kombe la Dunia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DEREVA ASIYE NA MIKONO AKATAZWA KUENDESHA GARI

Polisi nchini China wamemkamata mtu asiyekuwa na mikono akiendesha gari. Bwana huyo Wo Guo (45) si tu kwamba hakuwa na leseni bali ... thumbnail 1 summary

nbnb_95ad9.jpg

Polisi nchini China wamemkamata mtu asiyekuwa na mikono akiendesha gari. Bwana huyo Wo Guo (45) si tu kwamba hakuwa na leseni bali alikuwa akitumia mguu wake wa kulia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

I am Jack from Kampala I need a boy from Tanzania, I am Serious..!!

My name is Jack , living in Kampala Uganda, i am now  25 year old , working with one of the big Hotels here in kampala i really need a ... thumbnail 1 summary

http://www.gossipvenue.com/
My name is Jack , living in Kampala Uganda, i am now 25 year old , working with one of the big Hotels here in kampala i really need a gentleman from tanzania,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

POLISI AMRUBUNI MWANAFUNZI AENDA KULALA NAE NYUMBANI KWAKE HUKU NYUMA NYUMBA ALIYOACHIWA MWANAFUNZI ALINDE YAUNGUA NA MTOTO KUFA

Wananchi wa Mlangali  Ludewa  wakiwa  wamekizingira  kituo cha polisi Mlangali  mara baada ya   kuipeleka maiti ya mtoto aliyeteke... thumbnail 1 summary

Wananchi wa Mlangali  Ludewa  wakiwa  wamekizingira  kituo cha polisi Mlangali  mara baada ya  kuipeleka maiti ya mtoto aliyeteketea kwa  moto katika  kituo hicho

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FAHAMU NAWAJUE MASTAA WA KIBONGO WALIO TIWA MIMBA KIZEMBE ZEMBE;

KATIKA ulimwengu wa mastaa wa Kibongo, kuna vijimambo kibao mojawapo ni wale wa kike  kujiingiza kwenye mapenzi na kudanganywa kilain... thumbnail 1 summary

KATIKA ulimwengu wa mastaa wa Kibongo, kuna vijimambo kibao mojawapo ni wale wa kike kujiingiza kwenye mapenzi na kudanganywa kilaini kisha kushiriki mchezo wa kikubwa bila usalama (kinga).

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kilichojiri kwenye mechi ya Uholanzi vs Costa Rica – matokeo na wafungaji

Historia mpya imeandikwa kwenye mechi ya mwisho ya hatua ya nane bora iliyozikutanisha Uholanzi dhidi ya timu ya Costa Rica, ambayo k... thumbnail 1 summary

20140706-031043-11443153.jpg


Historia mpya imeandikwa kwenye mechi ya mwisho ya hatua ya nane bora iliyozikutanisha Uholanzi dhidi ya timu ya Costa Rica, ambayo kwa mara ya kwanza imefanikiwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAMA AMCHOMA KISU NA KUMUUA MWALIMU MBELE YA WANAFUNZI WAKE

Mwanamke mmoja ameripotiwa kumchoma kisu na kumuua mwalimu wa kike wa shule ya msingi mbele ya wanafunzi wake katika mji wa Albi ulio ku... thumbnail 1 summary
mama

Mwanamke mmoja ameripotiwa kumchoma kisu na kumuua mwalimu wa kike wa shule ya msingi mbele ya wanafunzi wake katika mji wa Albi ulio kusini mwa Ufaransa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MSICHANA WA UINGEREZA ASHIRIKI VITENDO VYA NGONO NA WANAUME 24 HADHARANI ILI ASHINDE KINYWAJI CHA BURE, LAKINI…! SOMA HAPA

Kiu ya kushinda zawadi yenye jina lililomsafirisha kimawazo imemponza msichana mmoja Muingereza baada ya kuamua kutoa utu wake na kuku... thumbnail 1 summary

spain

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA PICHA ZA MWONEKANO WA STUDIO YA BONGO RECORD, INAYOMILIKIWA NA PRODYUZA MAJANI,

 Men when we talk about music industry trust me u can't  forget this guy Pfunk Majani, he has been in the industry since 2000, with h... thumbnail 1 summary


 Men when we talk about music industry trust me u can't  forget this guy Pfunk Majani, he has been in the industry since 2000, with his hip hop based studio by the name of BONGO RECORD

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Fulltime ya Argentina vs Belgium hii hapa! Matokeo na wafungaji

Siku ya pili ya hatua ya nane bora ya michuano ya kombe la dunia imeanza kwa mchezo uliozikutanisha Argentina vs Belgium. thumbnail 1 summary

20140705-214412-78252006.jpg


Siku ya pili ya hatua ya nane bora ya michuano ya kombe la dunia imeanza kwa mchezo uliozikutanisha Argentina vs Belgium.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mtoto aliyezaliwa na miguu mitatu anayetarajia kufanyiwa upasuaji.

Mtoto mdogo ambaye amezaliwa na miguu mitatu amesafirishwa kwenda nchini Marekani kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji kuondoa miguu miwili thumbnail 1 summary

anapaula
Mtoto mdogo ambaye amezaliwa na miguu mitatu amesafirishwa kwenda nchini Marekani kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji kuondoa miguu miwili

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Dr Jose Chameleone ametoa wimbo mpya unaitwa Walewale,usikilize hapa

Mkali huyu kutoka Uganda ambaye nyimbo zake Badilisha na Valuvalu bado zinapendwa, ametoa wimbo mpya unaitwa Walewale. Kama kawaida yake... thumbnail 1 summary
walewale
Mkali huyu kutoka Uganda ambaye nyimbo zake Badilisha na Valuvalu bado zinapendwa, ametoa wimbo mpya unaitwa Walewale. Kama kawaida yake ameimba kwa lugha ya kiswahili

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nigeria kufungiwa kwenye soka na FIFA kwa sababu hii

Baada ya kutolewa kwenye hatua ya 16 bora ya kombe la dunia mabingwa wa Afrika Nigeria wapo hatarini kukumbwa na balaa lingine. thumbnail 1 summary

20140705-103510-38110784.jpg


Baada ya kutolewa kwenye hatua ya 16 bora ya kombe la dunia mabingwa wa Afrika Nigeria wapo hatarini kukumbwa na balaa lingine.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA PICHA HUYU NDIYE SHEIKH ALIYELIPULIWA KWA BOMU ARUSHA

Sheikh wa Msikiti wa Qiblatan, Sood Ally Sood (37), uliopo Kilombero jijini Arusha amelipuliwa na bomu la kurusha kwa mkono akiwa... thumbnail 1 summary

Sheikh wa Msikiti wa Qiblatan, Sood Ally Sood (37), uliopo Kilombero jijini Arusha amelipuliwa na bomu la kurusha kwa mkono akiwa nyumbani kwake wakati wakila daku hapa akiwa amelazwa katika Hospitali ya Mt. Meru, alijeruhiwa miguuni na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: