December 10, 2016

Dume Suruali ya Mwana FA yajiwekea rekodi yake Youtube

Ni ukweli kuwa muziki wa Hip Hop unaanza kupata heshima yake nchini. Baada ya kuonekana utofauti wa muziki wa Mwana FA kwenye nyimbo zake za... thumbnail 1 summary
Ni ukweli kuwa muziki wa Hip Hop unaanza kupata heshima yake nchini. Baada ya kuonekana utofauti wa muziki wa Mwana FA kwenye nyimbo zake za hivi karibuni, rapper huyo anaanza kusherehekea baada ya video ya wimbo wake mpya kuanza kujitengenezea rekodi zake binafsi.



Video ya wimbo wake mpya ‘Dume Suruali’ aliomshirikisha Vanessa Mdee umefanikiwa kutazamwa zaidi ya mara milioni moja ndani ya wiki mbili kwenye mtandao wa Youtube. Nao wimbo wa Darassa ‘Muziki’ umefanya hivyo siku chache zilizopita.



Hii ni video ya kwanza ya FA kutazamwa zaidi kwenye mtandao huo.zilizopita.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lowassa, Maalim Seif wampa pole Mbatia

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, wamekwenda kumjulia hali Mwenyekiti wa NCCR–Mag... thumbnail 1 summary


Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, wamekwenda kumjulia hali Mwenyekiti wa NCCR–Mageuzi, James Mbatia baada ya kutoka kwenye matibabu nchini India, ambako alifanyiwa upasuaji wa mguu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Makamu wa Rais aitaka TAKUKURU kukaza uzi kukamata wala rushwa

MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan ameitaka Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuongeza kasi ya kuwabaini na kuchukua hatu... thumbnail 1 summary
MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan ameitaka Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuongeza kasi ya kuwabaini na kuchukua hatua za kisheria bila kuwaonea aibu na uoga wahalifu wa vitendo vya rushwa nchini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Rais Magufuli akutana na Dangote Ikulu, amhakikishia mazingira bora ya uwekezaji

Rais Magufuli amemhakikisha mfanyabiashara wa Nigeria, Aliko Dangote kuwa itamwekea mazingira mazuri ya uwekezaji ili kuhakikisha kiwan... thumbnail 1 summary

Rais Magufuli amemhakikisha mfanyabiashara wa Nigeria, Aliko Dangote kuwa itamwekea mazingira mazuri ya uwekezaji ili kuhakikisha kiwanda chake cha saruji kinaendelea kufanya kazi kwa ufanis

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Balozi za Tanzania nje zaanza kupunguza wafanyakazi

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imesema imeanza kupunguza maofisa walioko katika balozi na kuweka wa... thumbnail 1 summary





Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imesema imeanza kupunguza maofisa walioko katika balozi na kuweka wapya ili kupanua wigo wa uwakilishi na kubana matumizi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Saida Karoli: Nilikuwa natoa nyimbo lakini hazifiki mbali

Muimbaji wa muziki wa asili nchini, Saida Karoli amedai kuwa kipindi ambacho alionekana yupo kimya alikuwa akitoa nyimbo lakini h... thumbnail 1 summary




Muimbaji wa muziki wa asili nchini, Saida Karoli amedai kuwa kipindi ambacho alionekana yupo kimya alikuwa akitoa nyimbo lakini hazikuwa zikifika mbali.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwanaanga wa kwanza wa Marekani kuizunguka dunia afariki

Mwanaanga wa kwanza wa Marekani kuizunguka dunia kupitia mzingo wake, John Glenn amefariki dunia akiwa na miaka 95. thumbnail 1 summary
Mwanaanga wa kwanza wa Marekani kuizunguka dunia kupitia mzingo wake, John Glenn amefariki dunia akiwa na miaka 95.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Klabu ya Arsenal Imepost Ujumbe Kuhusu Uhuru wa Tanzania Bara.

Wakati Tanzania bara ikisherekea miaka 55 tangu ipate uhuru wake, klabu ya Arsenal inayocheza ligi kuu ya England imepost picha kwenye mtand... thumbnail 1 summary
Wakati Tanzania bara ikisherekea miaka 55 tangu ipate uhuru wake, klabu ya Arsenal inayocheza ligi kuu ya England imepost picha kwenye mtandao wa Facebook ya bendera ya Tanzania iliyoandikwa ‘Happy Independence Day Tanzania.’

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Vanessa Mdee Apata Shavu La Kuigiza MTV Base Kwenye 'Shuga'

Baada ya kumaliza mwaka na wimbo wa ‘Cashmadame’, mkali wa muziki Afrika Mashariki, Vanessa Mdee, mwakani ataanza kuonekana kwenye tamthi... thumbnail 1 summary

Baada ya kumaliza mwaka na wimbo wa ‘Cashmadame’, mkali wa muziki Afrika Mashariki, Vanessa Mdee, mwakani ataanza kuonekana kwenye tamthilia ya Shuga iliyochezwa nchini Afrika Kusini

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Salome ya Diamond Video Iliyotazamwa Zaidi Kenya Kwenye Youtube, Work ya Rihanna na Drake Ni ya 2.

Video ya wimbo wa Diamond Platnumz aliomshirikisha Raymond, Salome, ndiyo video ya muziki iliyotazamwa zaidi kwenye mtandao wa Youtube nchin... thumbnail 1 summary
Video ya wimbo wa Diamond Platnumz aliomshirikisha Raymond, Salome, ndiyo video ya muziki iliyotazamwa zaidi kwenye mtandao wa Youtube nchini Kenya,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Watora Mari ya Jah Prayzah na Diamond yazidi kutamba kwenye tuzo

Wimbo wa Watora mari ni moja kati ya collabo ambayo itabaki kuwa na heshima kwa Jah Prayzah katika maisha yake ya muziki. thumbnail 1 summary

Wimbo wa Watora mari ni moja kati ya collabo ambayo itabaki kuwa na heshima kwa Jah Prayzah katika maisha yake ya muziki.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: Miss Honduras na Miss Mexico wakiimba Hainaga Ushemeji ya Manfongo

Diana alipost video hiyo akiwa pamoja na Miss Honduras 2016 Kerelyne Campigotti na Miss Mexico 2016 Anna Girault wakiimba wimbo wa kisingel... thumbnail 1 summary
Diana alipost video hiyo akiwa pamoja na Miss Honduras 2016 Kerelyne Campigotti na Miss Mexico 2016 Anna Girault wakiimba wimbo wa kisingeli wa Hainaga Ushemeji wa Manfongo wakiwa katika kambi ya Miss World.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Label ya ‘We The Best’ ya Nigeria ipo tayari kumsaini msanii huyu kutoka Tanzania

Bongofleva inazidi kwenda kimataifa zaidi, nimeipata hii good news inayomhusu msanii kutoka Bongofelavani thumbnail 1 summary
Bongofleva inazidi kwenda kimataifa zaidi, nimeipata hii good news inayomhusu msanii kutoka Bongofelavani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hizi ndizo za sababu za Rais Magufuli kufuta sherehe za Uhuru mwaka jana

Hizi ndizo za sababu za Rais Magufuli kufuta sherehe za Uhuru mwaka janaRais Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika maadhimisho ya she... thumbnail 1 summary
Hizi ndizo za sababu za Rais Magufuli kufuta sherehe za Uhuru mwaka janaRais Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika maadhimisho ya sherehe za miaka 55 ya uhuru, Ijumaa hii aliwaeleza Watanzania sababu zilizomfanya kufuta maadhimisho ya miaka 54 ya uhuru wa Tanzania bara mwaka jana.


Rais Magufuli alifanya kitu cha tofauti na Marais waliopita, na jana aliweza kutoa sababu za kusitisha sherehe hiyo mwaka huo.

“Kwanza inabidi sherehe za mwaka jana tuziazimishe kama zilivyopangwa kwasababu hii,sababu ya kwanza sherehe zenyewe zilitakiwa zifanyike baada ya mwezi mmoja kuapishwa kwahiyo hata baraza langu na watendaji wengine nilikuwa bado sijawateua. Lakini sababu ya pili nilipoambiwa gharama za sherehe hizo mwaka jana zilikuwa bilioni nne nikawa najiuliza bilioni 4 kuna mambo yapi yatakayofanyika?” alisema Magufuli.

“Itakuwa ni kualika wageni, watakula chakula,patakuwa na posho na na kadhalika. Nilipouliza hizo posho na chakula watakula Watanzania wote, wakasema ni wale wachache tu watakaokuwa wamealikwa na ndiyo maana nikaamua hizo bilioni nne ziende kupanua barabara za Ali Hassani Mwinyi ambayo inapitiwa na Watanzania wote,” aliongeza.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Miss Tanzania 2016, Diana Edward amejikusanyia sifa nchini kwa jinsi alivyoweza kujichanganya na mamiss wengi waliopo nchini Marekani kwa... thumbnail 1 summary
15251569_361647034212127_9082072607863341056_n
Miss Tanzania 2016, Diana Edward amejikusanyia sifa nchini kwa jinsi alivyoweza kujichanganya na mamiss wengi waliopo nchini Marekani kwaajili ya shindano la Miss World. Kwa muda mfupi ameweza kupata marafiki

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Alikiba, Wema, Idris, Vanessa, Kadinda, Mobetto washinda tuzo za ASFA2016

Tuzo za Abryanz Style Fashion (ASFA2016), zimefanyika jana jijini Kampala, Uganda na kufana huku Idris Sultan akishirikiana na Vimbai Mutinh... thumbnail 1 summary
Tuzo za Abryanz Style Fashion (ASFA2016), zimefanyika jana jijini Kampala, Uganda na kufana huku Idris Sultan akishirikiana na Vimbai Mutinhiri wakisherehesha.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rais Magufuli atoa msamaha kwa wafungwa

Katika kuadhimisha miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli kwa kutumia madaraka aliy... thumbnail 1 summary
Katika kuadhimisha miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli kwa kutumia madaraka aliyopewa chini ya Ibara ya 45(1)(d) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametoa msamaha kwa wafungwa 5,678 .

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Raymond na Dj Maphorisa waingia studio kurekodi wimbo pamoja

Raymond na ameingia studio kurekodi wimbo na hitmaker wa Soweto Baby, Dj Maphorisa wa Afrika Kusini. thumbnail 1 summary

Raymond na ameingia studio kurekodi wimbo na hitmaker wa Soweto Baby, Dj Maphorisa wa Afrika Kusini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ninajuta kutoendelea na shule – Dogo Janja

. Akiongea kwenye kipindi cha Ngaz Kwa Ngaz cha EATV, Dogo Janja alisema, “Mimi kitu ambacho mpaka leo huwa najutia ni kukosa shule. Kip... thumbnail 1 summary
da749c4c-390c-447d-b17d-53855c2cfd07.

Akiongea kwenye kipindi cha Ngaz Kwa Ngaz cha EATV, Dogo Janja alisema, “Mimi kitu ambacho mpaka leo huwa najutia ni kukosa shule. Kipindi ambacho ndio nimetoka Tip Top

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Darassa: Sijaachia ‘Muziki’ kumfunika mtu

Darassa amefunguka kuwa hakuachia wimbo wa ‘Muziki’ kwa ajili ya kumfunika msanii mwingine wala wimbo wowote. thumbnail 1 summary
Darassa amefunguka kuwa hakuachia wimbo wa ‘Muziki’ kwa ajili ya kumfunika msanii mwingine wala wimbo wowote.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: