May 28, 2016

Wasanii niliowataja kwenye ‘Aje’ walikuwa hawajui – Alikiba

Baada ya kuachia wimbo wa ‘Aje’ kumbe wasanii waliotajwa kwenye wimbo huo walikuwa hawajui kwa mujibu wa Alikiba. Wimbo wa ‘Aje’ hauna mu... thumbnail 1 summary
Baada ya kuachia wimbo wa ‘Aje’ kumbe wasanii waliotajwa kwenye wimbo huo walikuwa hawajui kwa mujibu wa Alikiba.
Wimbo wa ‘Aje’ hauna muda mrefu tangu Alikiba ameuachia lakini umezidi kufanya vizuri kwenye TV na Radio huku kwenye mtandao wa Youtube video yake ikiwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nipo tayari kuchanwa na msanii yeyote – Young Killer

Wasanii hutumia mashairi yao kufikisha ujumbe kwa jamii lakini wengine hutumia hiyo hiyo mistari kumchana mwenzake kama wanavyofanya Drake ... thumbnail 1 summary
Wasanii hutumia mashairi yao kufikisha ujumbe kwa jamii lakini wengine hutumia hiyo hiyo mistari kumchana mwenzake kama wanavyofanya Drake na Meek Mill kwenye nyimbo zao.
Akiongea kwenye kipindi cha E News, kinachoruka kupitia EATV, rapper huyo kutoka Mwanza, alisema yupo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA SEPETU: MANGWAIR ALIKUWA MTU AMBAYE HAPENDI KUGOMBANA NA MTU, NAMMIS KWA MENGI.

Kuelekea kumbukumbu ya miaka 3 ya kuadhimisha kifo cha rapa Marehemu Albert Mangwair, muigizaji kiwango Wema Sepetu amemuelezea marehem... thumbnail 1 summary

Kuelekea kumbukumbu ya miaka 3 ya kuadhimisha kifo cha rapa Marehemu Albert Mangwair, muigizaji kiwango Wema Sepetu amemuelezea marehemu Mangwair kama mtu aliyehakikisha furaha na amani popote anapokuwapo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wema aweka wazi kuhusu mimba, alivyojigundua mpaka ilivyoharibika ‘nikaona donge la damu likidondoka’

Mashabiki wa malkia wa filamu, Wema Sepetu pamoja na wadau wa burudani walikuwa bado wanamaswali mengi kuhusu mimba ya Wema Sepetu huku wen... thumbnail 1 summary
Mashabiki wa malkia wa filamu, Wema Sepetu pamoja na wadau wa burudani walikuwa bado wanamaswali mengi kuhusu mimba ya Wema Sepetu huku wengine wakihisi labda zilikuwa ni kiki, lakini Jumamosi hii staa huyo amefunguka kinagaubaga kuhusu sakata hilo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Apple kuja na iPhone za vioo tupu

Kampuni ya Apple imedai kuwa inafanyia kazi toleo jipya la simu za iPhone ambazo zitakuwa za vioo tupu. Akiongea kwenye mkutano wa kila m... thumbnail 1 summary
Kampuni ya Apple imedai kuwa inafanyia kazi toleo jipya la simu za iPhone ambazo zitakuwa za vioo tupu.
Akiongea kwenye mkutano wa kila mwaka wa wana hisa wa kampuni hiyo, mwenyekiti mtendaji wa kampuni inayotengeneza umbo la nje la simu hizo, Catcher Technology, Allen

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

D’banj apanga kufungua kesi dhidi ya kampuni ya simu

Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria, D’banj amepanga kuishtaki kampuni ya mtandao wa simu kwa kosa la kutumia kazi zake bila makubaliano. ... thumbnail 1 summary
Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria, D’banj amepanga kuishtaki kampuni ya mtandao wa simu kwa kosa la kutumia kazi zake bila makubaliano.
D’Banj ambaye pia ni host wa kipindi cha Lip Sync Africa, kinachoruka kupitia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Alikiba azungumzia wimbo aliofanya na Navy Kenzo

Alikiba amezungumzia wimbo mpya aliofanya pamoja na kundi la Navy Kenzo. Akiongea Ijumaa hii kwenye Friday Night Live ya EATV, Kiba alise... thumbnail 1 summary
Alikiba amezungumzia wimbo mpya aliofanya pamoja na kundi la Navy Kenzo.
Akiongea Ijumaa hii kwenye Friday Night Live ya EATV, Kiba alisema:

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rashford aweka rekodi ya kuwa Mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kufunga katika mechi yake ya Kwanza katika Timu ya Taifa ya England

Mchezaji wa klabu ya Man United Marcus Rashford ameweka rekodi ya kuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kufunga katika mechi yake ya Kwan... thumbnail 1 summary
Mchezaji wa klabu ya Man United Marcus Rashford ameweka rekodi ya kuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kufunga katika mechi yake ya Kwanza katika Timu ya Taifa ya England (Ana Miaka 18 na Siku 208).

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wolper adai kuna filamu inakuja akiwa na Diamond

Jacqueline Wolper anaweza kuwa kimya kwenye filamu kwa kipindi kirefu lakini ana mipango mikubwa kwenye tasnia hiyo. thumbnail 1 summary
Jacqueline Wolper anaweza kuwa kimya kwenye filamu kwa kipindi kirefu lakini ana mipango mikubwa kwenye tasnia hiyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAWA NDIO WASANII WATAKAO KUWA CHINI YA LABEL YA ALI KIBA, ABDUL KIBA WAKWANZA KUTOKA

Hivi unajua kama Ali Kiba aliwahi kuwasimamia wasanii kadhaa chini ya ‘label’ yake kama tunavyoona kwa baadhi ya wasanii wa hapa nchini kwa... thumbnail 1 summary
Hivi unajua kama Ali Kiba aliwahi kuwasimamia wasanii kadhaa chini ya ‘label’ yake kama tunavyoona kwa baadhi ya wasanii wa hapa nchini kwa sasa, iliishia wapi ana mpango wa kurudi tena kusimamia wasanii.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAPENZI NA KAZI NDIO SABABU ILIYOMRUDISHA NYUMA LINAH SANGA, MWENYEWE AFUNGUKA HAYA (+Audio)

Januari 17 mwaka huu Wanafasihi hapa nchi walikumbwa na msiba wa Mwandishi Nguli wa VitabuEdwin Semzaba, aliyepata umaarufu mkubwa kupitia ... thumbnail 1 summary
Januari 17 mwaka huu Wanafasihi hapa nchi walikumbwa na msiba wa Mwandishi Nguli wa VitabuEdwin Semzaba, aliyepata umaarufu mkubwa kupitia kitabu cha Tamthilia ya Ngowe Penzi Kitovu cha Uzembe iliyokuwa ikieleza kwa undani athari za kuchanganya mapenzi na kazi kwa wakati mmoja.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Aliyevunja tamasha la T.I kwa kusababisha mauaji akamatwa na polisi

Baada ya kuvunjika kwa tamasha la T.I, Mei 25 kwenye ukumbi wa Irving Plaza, New York baada mtu mmoja kufyatua risasi na kusababisha mauaji... thumbnail 1 summary
Baada ya kuvunjika kwa tamasha la T.I, Mei 25 kwenye ukumbi wa Irving Plaza, New York baada mtu mmoja kufyatua risasi na kusababisha mauaji ya mtu mmoja [Ronald MC Phatter.] na kujeruhi watu watatu, polisi wamemkamata mtuhumiwa wa tukio hilo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Maneno ya WEMA Sepetu Kuhusu Tuzo ya BET Anayowania DIAMONDPlatnumz

Mwigizaji wa Tanzania ambaye ni mpenzi wa zamani wa mwimbaji Diamond Platnumz, Wema Sepetu ameonyesha wazi anaungana na mamilioni ya Wata... thumbnail 1 summary
Mwigizaji wa Tanzania ambaye ni mpenzi wa zamani wa mwimbaji Diamond Platnumz, Wema Sepetu ameonyesha wazi anaungana na mamilioni ya Watanzania wengine wanaomsupport mwimbaji huyo ambaye ni Mtanzania pekee

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: