May 28, 2016

Rashford aweka rekodi ya kuwa Mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kufunga katika mechi yake ya Kwanza katika Timu ya Taifa ya England

Mchezaji wa klabu ya Man United Marcus Rashford ameweka rekodi ya kuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kufunga katika mechi yake ya Kwan... thumbnail 1 summary
Mchezaji wa klabu ya Man United Marcus Rashford ameweka rekodi ya kuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kufunga katika mechi yake ya Kwanza katika Timu ya Taifa ya England (Ana Miaka 18 na Siku 208).



Rashford alifunga goli katika dakika 3′ baadaye katika dakika 55 Rooney alifunga goli la pili na mechi hiyo ya kilafiki iliyo chezwa usiku wa May 27 iliisha kwa England 2 – 1 Australia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments