January 26, 2016

ESTER Bulaya Amgaragaza Tena Wasira...Ashinda Kesi ya Uchaguzi iliyofunguliwa Kupinga Ushindi Wake

Ester Bulaya Ameandika Maneno haya Baada ya Ushindi wa Mahakamani; thumbnail 1 summary

Ester Bulaya Ameandika Maneno haya Baada ya Ushindi wa Mahakamani;

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond Platnumz: Baada Ya Nape Nnauye Mimi Ndo Waziri wa Habari Na Michezo Mtarajiwa

Diamond Platnumz amesema akiachana na muziki anataka kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ili kuweka vitu sawa na ku... thumbnail 1 summary

Diamond Platnumz amesema akiachana na muziki anataka kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ili kuweka vitu sawa na kutoa fursa zaidi kwa vijana.

Akizungumza katika kipindi cha Papaso cha TBC FM, Diamond alisema kama akiingia kwenye siasa basi nia yake ni kuwa Waziri wa Michezo.

“Kwa sasa hivi siasa bado ila nikiingia kwenye siasa baadaye akimaliza mheshimiwa Nape nachukua mimi kile cheo cha Waziri wa Michezo,” alisema na kuongeza;

“Kile nakiweza kabisa kwa sababu mimi ukinimbia sijui kuhusu mpira, movie mimi naweza kabisa nikiwa Waziri, nikavifanya na vikawa na maendeleo.

"Ni kitu ambacho naweza siyo nasema nataka kuwa mbunge ila mimi nataka ile siku nimeacha kufanya muziki naingia kwenye siasa basi nakuwa Waziri  wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na kuboresha vitu”

Diamond ambaye hakuweka wazi kwamba ataingia kwenye siasa kupitia chama gani, mwaka jana katika kampeni za uchaguzi mkuu uliomuingiza rais Magufuli madarakani, alishiriki kikamilifu kwenye kampeni za CCM na kutengeneza wimbo pamoja na video.

Baaada ya Home Shopping Center, UDA Nayo Yatangaza Kufilisika..Wadau Wadai ni Ujanja

Baada ya Home Shopping Center, sasa Robert Kisena naye atangaza thumbnail 1 summary

Baada ya Home Shopping Center, sasa Robert Kisena naye atangaza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Breaking News:Rais Magufuli Atumbua Majipu NIDA....Amsimamisha Kazi Mkurugenzi Mkuu na Maofisa Wengine Wanne Kwa Tuhuma za Ubadhirifu wa Fedha

1.0            Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) 1.1  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe... thumbnail 1 summary

1.0           Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)
1.1 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, ametengua uteuzi waBwana Dickson E. MAIMU, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwanasheria Mkuu Amtaka Shein Kujiuzulu Urais

Mwanasheria Mkuu (AG) wa zamani Zanzibar, Othman Masoud Othman, amesema thumbnail 1 summary

Mwanasheria Mkuu (AG) wa zamani Zanzibar, Othman Masoud Othman, amesema

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Shilole Ametua kwa Kidume Mpya

Baada ya kumwagana na aliyekuwa mwandani wake thumbnail 1 summary

Baada ya kumwagana na aliyekuwa mwandani wake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Marudio ya Uchaguzi Zanzibar Yaivuruga CUF

Uchaguzi wa marudio wa Zanzibar ambao umepangwa kufanyika Machi 20, mwaka huu, thumbnail 1 summary

Uchaguzi wa marudio wa Zanzibar ambao umepangwa kufanyika Machi 20, mwaka huu,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Penzi Moto Moto la Nisha na Baraka de Prince..Nisha Atia Neno

Staa wa Bongo Muvi, Salma Jabu ‘Nisha’ ambaye kwa sasa yupo thumbnail 1 summary

Staa wa Bongo Muvi, Salma Jabu ‘Nisha’ ambaye kwa sasa yupo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zari Hassan wa Diamond Aukacha Ukristo ! Atoa Tamko la Kuifuata Dini ya Baby Wake BAADA ya sintofahamu nyingi kuibuka katika mitandao ya kijamii kuhusiana na picha za mpenzi wa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zari the boss Lady, kusambazwa katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha akibatizwa mtoni, mwenyewe ameibuka na kuweka sawa sintofahamu hizo. Akizungumza na mtangazaji, Millard Ayo kupitia kipindi cha Top Twenty, Zari alikubali kuwa picha hizo ni kweli zinaonyesha tukio la kweli la kubatizwa kwake lakini ilikuwa mwaka 2013 huku akishangazwa na usambazaji wa picha hizo kwa mwaka huu wa 2016. “Nikweli nilibatizwa na kuwa Mkristu ilikuwa mwaka 2013, lakini sasa nina maisha mengine nimefuata dini ya mpenzi wangu, Diamond, nashangaa kwa nini picha hizo za mwaka huo ziwe stori leo wakati ni muda mrefu na sasa nina maisha yangu mengine,” alisisitiza Zari. Aliongeza kwamba, licha ya kuwa na maisha yake mapya anaendelea na mambo yake mengine kwa kuwa yupo na maisha mapya hivyo anafuata dini ya mpenzi wake huyo ambaye ni maarufu na nyota katika muziki wa Bongo Fleva nchini huku akiwa na idadi kubwa ya tuzo zinazotokana na umahiri wa muziki wake.

BAADA ya sintofahamu nyingi kuibuka katika mitandao ya kijamii kuhusiana na picha za mpenzi wa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Na... thumbnail 1 summary

BAADA ya sintofahamu nyingi kuibuka katika mitandao ya kijamii kuhusiana na picha za mpenzi wa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zari the boss Lady, kusambazwa katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha akibatizwa mtoni, mwenyewe ameibuka na kuweka sawa sintofahamu hizo.
Akizungumza na mtangazaji, Millard Ayo kupitia kipindi cha Top Twenty, Zari alikubali kuwa picha hizo ni kweli zinaonyesha tukio la kweli la kubatizwa kwake lakini ilikuwa mwaka 2013 huku akishangazwa na usambazaji wa picha hizo kwa mwaka huu wa 2016.
“Nikweli nilibatizwa na kuwa Mkristu ilikuwa mwaka 2013, lakini sasa nina maisha mengine nimefuata dini ya mpenzi wangu, Diamond, nashangaa kwa nini picha hizo za mwaka huo ziwe stori leo wakati ni muda mrefu na sasa nina maisha yangu mengine,” alisisitiza Zari.
Aliongeza kwamba, licha ya kuwa na maisha yake mapya anaendelea na mambo yake mengine kwa kuwa yupo na maisha mapya hivyo anafuata dini ya mpenzi wake huyo ambaye ni maarufu na nyota katika muziki wa Bongo Fleva nchini huku akiwa na idadi kubwa ya tuzo zinazotokana na umahiri wa muziki wake.

BAADA ya sintofahamu nyingi kuibuka katika mitandao ya kijamii kuhusiana na picha za mpenzi wa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zari the boss Lady, kusambazwa katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha akibatizwa mtoni, mwenyewe ameibuka na kuweka sawa sintofahamu hizo.
Akizungumza na mtangazaji, Millard Ayo kupitia kipindi cha Top Twenty

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sakata la IPTL na ESCROW Laibuka Upya..Watetea Rasilimali Wamtaka Rais Magufuli Amkamate Seth wa IPTL

JUMUIA ya Wanazuoni Watetezi wa Rasilimali nchini (JUWARA), imewataka wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania linalot... thumbnail 1 summary

JUMUIA ya Wanazuoni Watetezi wa Rasilimali nchini (JUWARA), imewataka wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania linalotarajia kuanza rasmi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Uamuzi wa Kufuta Uchaguzi Zanzibar Wazidi Kukosolewa..Mwanasiasa Mwingine Mkongwe Atoa ya Moyoni

Waziri Mkuu mstaafu, Dk. Salim Ahmed Salim, ameshangazwa na uamuzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), kufuta uchaguzi visiwani hu... thumbnail 1 summary

Waziri Mkuu mstaafu, Dk. Salim Ahmed Salim, ameshangazwa na uamuzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), kufuta uchaguzi visiwani humo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: