May 05, 2015

Kuhonga Sio Tiket ya Kupendwa..Wanaume Acheni KujipaMoyo

Jamani tuongee ukweli,kuhonga hakuongezi kupendwa palipo penzi la dhati.Penzi la muda mfupi au la sku moja kuhonga kutaweza kukusaidi... thumbnail 1 summary


Jamani tuongee ukweli,kuhonga hakuongezi kupendwa palipo penzi la dhati.Penzi la muda mfupi au la sku moja kuhonga kutaweza kukusaidia lakini kwa mwanamke au mwanaume anayekupendahaihitaji kuhonga. hii sio kwa awanaume

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kizazi cha Wanaume Wahongaji Chapotea Taratibu, Kizazi cha Wanaume Bahili Chashika Chati kwaKasi!

Mwenzangu IS IT JUST ME AU NDO GAMELIMECHANGE SIKU HIZI? Au ndo nimeshakuwa mbuzi mzee bila taarifa? Naaaaaaah! Wanaume mnakoelekea s... thumbnail 1 summary


Mwenzangu IS IT JUST ME AU NDO GAMELIMECHANGE SIKU HIZI? Au ndo nimeshakuwa mbuzi mzee bila taarifa? Naaaaaaah! Wanaume mnakoelekea siko. SIKO SIKO KABISAAAAA! Whats up with the NEO COLONIALISM? Msisahau nyie ni Waafrica, mambo ya kuiga iga uzungu unaweza jikuta unaunga mkono harakati za Cameroon

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Utata Mpya Mkubwa Waibuka Mshindi wa Pambano la Ngumi Kati ya Mayweather na Manny Pacquiao, Karatasi za Matokeo zaonyesha Manny Pac Ndio Mshindi

UTATA umeibuka kutoka Pambano la Karne baina ya Floyd Mayweather na Manny Pacquiao lililofanyika juzi ukumbi wa MGM Grand, Las Vegas, Mar... thumbnail 1 summary
UTATA umeibuka kutoka Pambano la Karne baina ya Floyd Mayweather na Manny Pacquiao lililofanyika juzi ukumbi wa MGM Grand, Las Vegas, Marekani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Waziri Mkuu Pinda na Samweli Sitta wanamhujumu Rais Kikwete

Waziri Sitta akiwa anatambua kabisa kwamba nchi ipo katika hali ya dharura, kutokana na mgomo wa mabasi, hajachukua hata hatua moja ya ku... thumbnail 1 summary
Waziri Sitta akiwa anatambua kabisa kwamba nchi ipo katika hali ya dharura, kutokana na mgomo wa mabasi, hajachukua hata hatua moja ya kushughulikia hali hii. Tulitegemea katika hali hii ya dharura, waziri mwenye dhamana ya uchukuzi angechukua

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HATIMAYE MGOMO UMEISHA NA MADEREVA WAMETANGAZA KUMALIZA MGOMO MCHANA HUU

Madereva wametangaza kumaliza mgomo uliodumu tangu jana jumatatu baada ya kufikia muafaka na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Paul M... thumbnail 1 summary


Madereva wametangaza kumaliza mgomo uliodumu tangu jana jumatatu baada ya kufikia muafaka na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Paul Makonda na kuundwa kwa kamati itakayosimamia matatizo ya madereva kwa na kutoa taarifa baada ya siku saba.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: