January 21, 2016

Chilling ... Join the Form of Freemanson to Riches Making Quick Quick sold

Ona hawa! Huku Serikali ya Rais John Magufuli ‘JPM’ ikidhibiti kila aina ya upigaji fedha serikalini, kuna watu wanaojiita ‘wajanja wa m... thumbnail 1 summary
Ona hawa! Huku Serikali ya Rais John Magufuli ‘JPM’ ikidhibiti kila aina ya upigaji fedha serikalini, kuna watu wanaojiita ‘wajanja wa mjini’ wanajipatia mkwanja bila kutoka jasho kwa kuuza fomu wanazoziita za utajiri. Ishu hiyo inafanyika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

News:Siri Kuvunjika Mazungumzo ya Mwafaka Zanzibar Zavuja

Wakati hatua ya aliyekuwa mgombea urais wa CUF, Maalim Seif Sharif, ya kujitoa kwenye mazungumzo ya maridhiano yaliyokuwa yakiendelea vis... thumbnail 1 summary
Wakati hatua ya aliyekuwa mgombea urais wa CUF, Maalim Seif Sharif, ya kujitoa kwenye mazungumzo ya maridhiano yaliyokuwa yakiendelea visiwani Zanzibar ikiwa imeacha mshangao kwa wananchi, Nipashe imebaini siri ya kujiondoa kwake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mkata Vichwa wa Kundi la kigaidi la Dola ya Kiislam (IS) Naye Kauawa

MKATAJI vichwa vya raia kutoka mataifa ya magharibi katika kundi la kigaidi la Dola ya Kiislam (IS), Mohammed Emwazi, ametangazwa kuuawa. thumbnail 1 summary
MKATAJI vichwa vya raia kutoka mataifa ya magharibi katika kundi la kigaidi la Dola ya Kiislam (IS), Mohammed Emwazi, ametangazwa kuuawa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ameeleza kuwa tayari majibu ya maswali yaliyoulizwa kuhusu E... thumbnail 1 summary
Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ameeleza kuwa tayari majibu ya maswali yaliyoulizwa kuhusu Edward Lowassa kuwa mali au mzigo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHILOLE NA NUH MZIWANDA WALIVYOKUTANISHWA KWENYE KIPINDI CHA CLOUDS TV BILA KUJIJUA

Weekend iliyopita kipindi cha D’Weekend Chat Show cha Clouds TV kilijaribu kuwakutanisha Shilole na aliyekuwa boyfriend wake, Nuh Mziwan... thumbnail 1 summary

Weekend iliyopita kipindi cha D’Weekend Chat Show cha Clouds TV kilijaribu kuwakutanisha Shilole na aliyekuwa boyfriend wake, Nuh Mziwanda kwa lengo la kutaka kuwapatanisha.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magufuli IS NOMA , AMKAMATA logs TROPICAL DAR RESPONSIBILITY FOR CHARGES OF FLOUR

Nyumba aliyomjengea mtumishi wake. DAR ES SALAAM: Mfanyabiashara maarufu jijini Dar ‘kigogo’, Daudi Yakubu Kanyau (pichani) anashikiliwa ... thumbnail 1 summary
Nyumba aliyomjengea mtumishi wake.
DAR ES SALAAM: Mfanyabiashara maarufu jijini Dar ‘kigogo’, Daudi Yakubu Kanyau (pichani) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kikosi cha Kupambana na Kudhibiti Madawa ya Kulevya,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ZARI AMTUPIA bomb GOOD shovels, AMUONYA HE IS NOT HIS LEVEL

Bomu jipya kutoka kwa mama T, amuonya mrembo wema sepetu aache kuulizia DNA ya mtoto wake badala yake akapime ultra sound ya mtoto ambao ... thumbnail 1 summary
Bomu jipya kutoka kwa mama T, amuonya mrembo wema sepetu aache kuulizia DNA ya mtoto wake badala yake akapime ultra sound ya mtoto ambao anadai amembeba

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Master SAIF commit ZANZIBAR .... Makes REVIEW MEETING OF MYSTERY AND Ogunlanya KIZITO DAR

Aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania, Edward Lowassa wakati ... thumbnail 1 summary
Aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania, Edward Lowassa wakati viongozi wa UKAWA

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rather than wear a suit to get married at kavaa relative Arsenal shirt , the story ... (+ Pichaz ) B

Watu na mapenzi na timu zao mtu wangu, hii inaweza ikakushangaza kidogo kwa sababu najua tumezoea kuona watu wanapofunga ndoa wanavaa sut... thumbnail 1 summary
Watu na mapenzi na timu zao mtu wangu, hii inaweza ikakushangaza kidogo kwa sababu najua tumezoea kuona watu wanapofunga ndoa wanavaa suti na tai, lakini shabiki

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mtanzania mmoja pekee amebaki kwenye Urban Hit Top 10 ya Trace TV

Tayari nimekukusanyia ngoma kali zilizochezwa kwenye kituo cha kimataifa  Trace Tv kama  Urban Top 10 , katika list hii ni Mtanzani... thumbnail 1 summary

Tayari nimekukusanyia ngoma kali zilizochezwa kwenye kituo cha kimataifa Trace Tvkama Urban Top 10, katika list hii ni Mtanzania Vanessa Mdee ndio pekee katokelezea.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ommy Dimpoz kuhusu post alizozifuta Instagram na aliowaunfollow

Ommy Dimpoz  ni mwimbaji wa bongofleva ambaye yuko kwenye headlines sasa hivi na single yake mpya ya ‘ achia body ‘ ambayo imeshato... thumbnail 1 summary

Ommy Dimpoz ni mwimbaji wa bongofleva ambaye yuko kwenye headlines sasa hivi na single yake mpya ya ‘achia body‘ ambayo imeshatoka kwenye audio na video

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: