March 21, 2014

WATCH RIHANNA'S PHOTO....AND ASK TO YOURSELF: WHAT KIND OF WEARING IS THIS? WHAT WE LEARN FROM HER FOR OUR NEW GENERATION?

She's a rude girl instagram She is a busy lady, what with designing a clothes range, being on a world tour and keeping up with what... thumbnail 1 summary




She's a rude girl instagram
She is a busy lady, what with designing a clothes range, being on a world tour and keeping up with what we imagine is a rather gruelling beauty regime. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BINTI ALAZIMISHA UMAARUFU KWA KUJIPIGA PICHA AKIKISS NA MSANII DAVIDO NA KUZISAMBAZA MTANDAONI

Umaarufu mwengine wa ajabu sana binti huyu inasemekana alifanya kila mbinu apate nafasi hata ya kumbusu tu davido , na alipoipata thumbnail 1 summary


Umaarufu mwengine wa ajabu sana binti huyu inasemekana alifanya kila mbinu apate nafasi hata ya kumbusu tu davido , na alipoipata

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TANZANIA INAWEZA KUZIPIKU NA KUONGOZA KIUCHUMI KATIKA NJE ZA AFRICA MASHARIKI

Licha ya nchi hizo kuwa chini ya mtawala mmoja wa kikoloni (mbali na Rwanda na Burundi)... thumbnail 1 summary


























Licha ya nchi hizo kuwa chini ya mtawala mmoja wa kikoloni (mbali na Rwanda na Burundi), bado inaelezwa kuwa Tanzania ina nafasi kubwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHERIA YA AJABU SAUDI ARABIA MARUFUKU MTOTO YOYOTE ATAKAEZALIWA SAUDI ARABIA KUPEWA HAYA MAJINA KUANZIA SASA

. Wizara ya mambo ya ndani ya Saudi Arabia imepiga marufuku majina hamsini ambayo yapo kinyume na tamaduni pamoja na dini ambapo kuanzi... thumbnail 1 summary


.
Wizara ya mambo ya ndani ya Saudi Arabia imepiga marufuku majina hamsini ambayo yapo kinyume na tamaduni pamoja na dini ambapo kuanzia sasa,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAUNGO YANGU YA MWILI YANANIPA TABU...NATONGOZWA KILA KUKICHA...!!

Ninakutana na vishawishi vingi kila siku, yani sina amani kila mwanaume anatamani anione nilivyo nikiwa mtupu, tena wanakuja kwa njia za thumbnail 1 summary


























Ninakutana na vishawishi vingi kila siku, yani sina amani kila mwanaume anatamani anione nilivyo nikiwa mtupu, tena wanakuja kwa njia za

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KWA MUJIBU WA TOVUTI HII YA KENYA, HAWA NDIYO WASANII WENYE PESA NYINGI ZAIDI HAPA TANZANIA...!!

When it comes to money, Bongo music is one of the most lucrative but you’d never tell that listening to the artistes pour their hearts o... thumbnail 1 summary

When it comes to money, Bongo music is one of the most lucrative but you’d never tell that listening to the artistes pour their hearts out for their

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAYA AFUNGUKA NA KUSEMA HAJAONA WA KUZAA NAE ... KISA KAMILI HAPA

Msanii mahiri wa filamu za hapa Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa katika pitapita zake zote bado hajaona thumbnail 1 summary

Msanii mahiri wa filamu za hapa Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa katika pitapita zake zote bado hajaona

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KIJANA MMOJA AFUNGUKA NA KUSEMA HIKI "KUNA KIGOGO MZITO NI SHOGA" MFAHAMU HAPA NA SOMA STORI KAMILI

WAKATI masuala ya ushoga yakipingwa kwa nguvu zote hapa nchini, skendo ya aina yake imeikumba serikali baada ya siri kuvuja thumbnail 1 summary

WAKATI masuala ya ushoga yakipingwa kwa nguvu zote hapa nchini, skendo ya aina yake imeikumba serikali baada ya siri kuvuja

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BATULI AIBUKA NA SKENDO YA KUJIWEKA KWA CHIFU KIUMBE

Staa wa filamu Yobunesh Yusuph ‘Batuli’ amedaiwa kujiweka kwa Pedeshee Chifu Kiumbe baada ya siku kadhaa zilizopita kumfuata thumbnail 1 summary


Staa wa filamu Yobunesh Yusuph ‘Batuli’ amedaiwa kujiweka kwa Pedeshee Chifu Kiumbe baada ya siku kadhaa zilizopita kumfuata

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BIASHARA YA MASTAA KUJIUZA NJE YA NCHI IMEFICHUKA ... SHUMILETA, LINGI WANASWA

Huku kukiwepo na madai ya baadhi ya mastaa wa Bongo kwenda nchi za nje kufanya biashara ya kujiuza, siri imevuja kuwa, staa wa filamu al... thumbnail 1 summary

Huku kukiwepo na madai ya baadhi ya mastaa wa Bongo kwenda nchi za nje kufanya biashara ya kujiuza, siri imevuja kuwa, staa wa filamu aliyepotea kwenye soko la filamu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BONGO KIMENUKA MADAME WEMA NA SHOST YAKE KAJALA NI HATARI TUPU .,.. SOMA UJUE KISA HIKI

Kimenuka upyaaa! Wale mashostito wawili katika kiwanda cha filamu za Kibongo, Wema Sepetu na Kajala Masanja ambao walikuwa marafiki wa thumbnail 1 summary

http://api.ning.com/files/D7OtuoxqP96Ie2CpOEMa26JChvSpjMbvCLdqbDauoujND4ZjSnKnoreWn2q1Akwr01dD9qV7a04IWu0d0i2qVgSjuwGf5msX/wemanakajala.JPG
Kimenuka upyaaa! Wale mashostito wawili katika kiwanda cha filamu za Kibongo, Wema Sepetu na Kajala Masanja ambao walikuwa marafiki wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MA-DJ NAO NI BALAA: DJ WA MAISHA CLUB DODOMA ANASWA AKIFANYA YAKE NA BINTI FULANI .... KWA HABARI ZAIDI SOMA HAPA

Dj maarufu wa New Maisha Club Dodoma ajikuta kwenye wakati mgumu baada  ya kunaswa na Paparazi wetu katika hali ambayo si ya kawa... thumbnail 1 summary

Dj maarufu wa New Maisha Club Dodoma ajikuta kwenye wakati mgumu baada ya kunaswa na Paparazi wetu katika hali ambayo si ya kawaida, Ilikuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUTOKA DODOMA MACHANGU WAAMUA KUFUNGUKA NA KUSEMA "WABUNGE WA KATIBA WANALIPA VIZURI" KWENYE SEKTA GANI ?? SOMA HAPA

Wasichana wanaofanya biashara ya kujiuza katika maeneo mbalimbali mjini hapa wameelezea neema iliyowafikia kufuatia thumbnail 1 summary


Wasichana wanaofanya biashara ya kujiuza katika maeneo mbalimbali mjini hapa wameelezea neema iliyowafikia kufuatia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SASA IMEKUWA TOO MUCH LINAH AANIKA OAJA LAKE NJE NJE ... SWALI ANALIPENDA PAJA LAKE AU NDO MATANGAZO???

Staa wa Bongo Fleva, Estelina Sanga. KUNA  mambo mengine yanafanywa na wasanii wetu yanachanganya sana akili, kiasi cha kukufany... thumbnail 1 summary


Staa wa Bongo Fleva, Estelina Sanga.
KUNA mambo mengine yanafanywa na wasanii wetu yanachanganya sana akili, kiasi cha kukufanya ufikiri mara mbili kama huwa wanafanya tafakuri kabla ya kusema au wanafanya makusudi kwa malengo maalum?
Wakati mwingine unadata zaidi unaposikia kauli kama hizo zimetolewa na mtoto aliyelelewa katika aina ya maisha unayoamini yana maadili na vitu kama hivyo.
Estelina Sanga, maarufu kama Linah, ni binti mdogo, ambaye ndiyo kwanza anaanza kuogelea katika umaarufu wa muziki wa kizazi kipya baada ya kuibuliwa pale Tanzania House of Talent (THT).
Hana kazi nyingi sana alizofanya vizuri zinazoweza kukushawishi kuwa namzungumzia staa wa levo za kina Mwasiti kwa mfano. Kuna chache alizofanya mwenyewe kama Atatamani, Janjaruka, Nia yangu na baadhi alizoshirikishwa kama ile ya Barnaba, Wrong Number na ule alioshirikiana na kijana aliyewahi
kutoka naye kimapenzi, ambaye pia ni zao lingine la THT, Amini wa Mtima wangu.
Haonekani kuwa na ‘jihad’ katika kazi, kwani katika siku za hivi karibuni, amekuwa akiripotiwa zaidi katika matukio.
Siku chache zilizopita alifika ofisini kwetu na kufanya mahojiano na kituo chetu cha televisheni, kinachorusha matangazo yake kupitia mtandao, yaani Global TV Online.
Alizungumza mambo mengi yanayohusu kazi zake za kimuziki, malengo yake, changamoto bila kusahau jinsi anavyoishi na jamii inayomzunguka.
Katika mahojiano hayo, hakuondoka bila kuwaachia ‘kitu’ baadhi ya watazamaji wa televisheni hiyo, nikiwemo mimi. Alisema anapenda kuvaa nguo fupi (vimini) na zile za mpasuo kwa sababu anapenda kuliona paja lake na kwamba analipenda!
Sijui, labda wapo walioona jambo hilo la kawaida tu, tofauti na mimi. Kwangu niliitilia mashaka kauli ile, kwa sababu ina ukakasi. Kwamba analipenda paja lake, Wazungu wanasema hiyo ni obviously, yaani lazima, kwa sababu itakuwa ni kituko cha mwaka kumkuta binadamu anayechukia kiungo chake, kiwe vyovyote kilivyo.
Lakini kama mtu analipenda paja lake, kitu ambacho ni kizuri sana, ndiyo ulianike nje lionwe na kila mtu? Halafu paja ni kiungo ambacho katika mazingira na utamaduni wetu, ni nyeti. Sasa inapotokea binti mmoja, ambaye niliwahi kusikia kwamba ni mtoto wa kasisi, anasema kwamba anahusudu kuonyesha ‘live’ kiungo chake nyeti hadharani, ni lazima utilie shaka akili yake.
Akili yangu ya kawaida inaniambia kwamba mtu mwenye kukipenda kiungo chake, hasa kile nyeti, angekihifadhi, watu wasije wakakiona na kukiharibu! Kwa mtoto wa kike kama Linah, ningeamini kama analipenda paja lake kama lisingekuwa linaonekana ovyo, angelihifadhi hata kwenye baibui!
Msichana, tena aliyezaliwa mwaka 1990, anayelipenda paja lake angelificha, ili kulinusuru na wanaume wakware, wenye uchu wa wanawake wanaojianika kama Linah.
Tafsiri nyepesi kwa maneno ya nyota huyu wa Bongo Fleva ni kwamba halipendi paja lake, analionyesha kwa watu ili waliharibu.
Kama Linah anakwenda Club akiwa paja nje na pale tunajua kuna watu wenye hela zao wanaokosa watu wa kuwasaidia matumizi, unaweza kupata hisia kitu gani kitatokea?
Ni wazi kuwa analianika ili watu walione, wavutiwe nalo na baadaye ashirikiane nao kuliharibu.
Ningemshauri kama mdogo wangu kwamba wakati mwingine ni bora kukaa kimya na kuwaacha watu wakujadili wenyewe pasipo kutoa kauli zinazoweza kuwaongoza kukujadili.
Na labda, uvaaji wa nguo fupi na mipasuo tata, haiwezi kumsaidia kupandisha mauzo au uwezo wa kazi zake. Kama msanii, anaweza kuvaa mavazi hayo katika maeneo yenye kuruhusu, ambayo mara zote huwa ni usiku, lakini kuachia paja lako mbele ya kadamnasi, kwa madai kuwa unalipenda, nadhani siyo sawa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUMBE HUIKI NDICHO KILICHOMKIMBIZA PEP GUARDIAOLA BARCELONA SOMA ZAIDI HAPA...

Kocha wa klabu bingwa ya ulaya Bayern Munich, Pep Guardiola, amefunguka kwamba kipigo kutoka kwa Chelsea kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya m... thumbnail 1 summary

Kocha wa klabu bingwa ya ulaya Bayern Munich, Pep Guardiola, amefunguka kwamba kipigo kutoka kwa Chelsea kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya miaka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: