May 27, 2016

Wolper ni mke wangu, bado ubani tu – Harmonize

Baada ya Jacqueline Wolper kuthibitisha penzi lake kwa msanii wa WCB, Harmonize, muimbaji huyo wa ‘Bado’ ameibuka na kudai kuwa muigizaji h... thumbnail 1 summary
Baada ya Jacqueline Wolper kuthibitisha penzi lake kwa msanii wa WCB, Harmonize, muimbaji huyo wa ‘Bado’ ameibuka na kudai kuwa muigizaji huyo ni mke wake, na anachosubiri ni kuhalalisha tu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Meek Mill amchana Drake kwenye wimbo mpya, ugomvi waanza upya

Kama ulijua series ya bifu la Drake na Meek Mill limeisha baada ya ukimya wao wa muda mrefu basi amka kwenye hilo kwasababu Meek Mill amemc... thumbnail 1 summary
Kama ulijua series ya bifu la Drake na Meek Mill limeisha baada ya ukimya wao wa muda mrefu basi amka kwenye hilo kwasababu Meek Mill amemchana tena Drake kwenye ‘All The Way Up Remix’ akiwa na Fabolous.
Ndani ya wimbo huo Meek Mill amemchana Drake kwa kumwambia, “This is hip-hop,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: Mbunge Halima Bulembo katusaidia kuipata Takwimu ya Wanafunzi Tanzania

Bado tunazisogelea stori kutokea Bungeni Dodoma, siku mbili za May 26 na 27 zimetengwa kwa ajili ya kuijadili bajeti ya Wizara ya Elimu, ... thumbnail 1 summary
Bado tunazisogelea stori kutokea Bungeni Dodoma, siku mbili za May 26 na 27 zimetengwa kwa ajili ya kuijadili bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi iliyowasilisha maombi yake ya fedha kwa mwaka wa 2016/2017 kiasi cha Shilingi 1,396,929,798,625.00

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mchekeshaji Mau adai kuanza kuona mwanga

Msanii wa komedi Maulid Ali maarufu kama Maufundi amesema kwa sasa amekuwa akipata pesa kutumia mitandao ya kijamii zaidi kwa kufanya vid... thumbnail 1 summary
Msanii wa komedi Maulid Ali maarufu kama Maufundi amesema kwa sasa amekuwa akipata pesa kutumia mitandao ya kijamii zaidi kwa kufanya video za muziki za vichekesho, parody.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Korede Bello – One & Only

Msanii kutoka Nigeria Korede Bello kutoka Record Lebo ya Mavin Records ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “One & Only”. ”. thumbnail 1 summary
Msanii kutoka Nigeria Korede Bello kutoka Record Lebo ya Mavin Records ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “One & Only”.
”.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Aunty Ezekiel kaelezea siku Mose Iyobo alipohisi mtoto sio wake soma hapa

Mwigizaji Aunty Ezekiel amekaa kwenye Exclusive ya AyoTV na kuelezea vitu kadhaa kwenye mapenzi yake na Dancer wa Diamond Platnumz Mose ... thumbnail 1 summary
Mwigizaji Aunty Ezekiel amekaa kwenye Exclusive ya AyoTV na kuelezea vitu kadhaa kwenye mapenzi yake na Dancer wa Diamond Platnumz Mose Iyobo ambapo miongoni mwa alivyoongelea ni pamoja na siku ambayo Mose alihisi ujauzito aliokua nao Aunty sio wa mtoto wake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BASHE: CCM NI WAOGA, WANAFIKI NA WA KUJIPENDEKEZA, HATUNA SABABU YA KUENDELEA KUBAKI MADARAKANI

Akichangia kwenye bajeti ya mali asili na utalii amewaambia wabunge na serikali kuwa hawajawahi kuweka malengo haswa ya kutatua matatizo ... thumbnail 1 summary
Akichangia kwenye bajeti ya mali asili na utalii amewaambia wabunge na serikali kuwa hawajawahi kuweka malengo haswa ya kutatua matatizo ya wafugaji na waulima, wamekuwa waoga, wanafiki na wakujipendekeza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Gabo Zigamba Asema "Mimi Ni Zaidi Ya Ray, Naweza Kufanya Kitu Zaidi Yake"

Msanii wa filamu nchini ambaye anafahamika kwa kuigiza kwa lafudhi ya Kimakonde Gambo Zigamba amefunguka na kusema kuwa yeye ni zaidi ya ms... thumbnail 1 summary
Msanii wa filamu nchini ambaye anafahamika kwa kuigiza kwa lafudhi ya Kimakonde Gambo Zigamba amefunguka na kusema kuwa yeye ni zaidi ya msanii Ray Kigosi kwenye kazi kwani yeye anafanya zaidi ya Ray.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Show ya TV ya baba wa kambo wa Kim Kardashian aliyejibadilisha kuwa mwanamke yapigwa marufuku kuoneshwa Afrika

Imethibitishwa kuwa E! Entertainment na NBC Universal wamesitisha reality show ya Caitlyn Jenner, I Am Cait barani Afrika. thumbnail 1 summary
Imethibitishwa kuwa E! Entertainment na NBC Universal wamesitisha reality show ya Caitlyn Jenner, I Am Cait barani Afrika.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Vanessa na Shilole kumaliza ‘bifu’ yao Billz, ilipangwa au mtu kachukua fursa?

Katika badiliko kubwa la matukio, Vanessa Mdee na Shilole wanatarajia kutumbuiza pamoja Jumapili hii kwenye ukumbi wa Club Billcanas jijini... thumbnail 1 summary
Katika badiliko kubwa la matukio, Vanessa Mdee na Shilole wanatarajia kutumbuiza pamoja Jumapili hii kwenye ukumbi wa Club Billcanas jijini Dar es Salaam.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Raymond: Sina tatizo na Harmonize

Raymond amefafanua kinachoendelea kati yake na Harmonize kutokana na maneno yaliyoanza kuzungumzwa mtaani kuwa Harmonize ameanza kumkunjia ... thumbnail 1 summary
Raymond amefafanua kinachoendelea kati yake na Harmonize kutokana na maneno yaliyoanza kuzungumzwa mtaani kuwa Harmonize ameanza kumkunjia Raymond.
Raymond kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake‘Natafuta Kiki’kwenye redio na mtaani japo hauna muda

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Harmonize kuja na ngoma aliyomshirikisha Korede Bello

Hivi karibuni Harmonize ameingia kwenye kiki kubwa baada ya kuanzisha couple mpya mjini akiwa na staa wa filamu Jacqueline Wolper. thumbnail 1 summary
Hivi karibuni Harmonize ameingia kwenye kiki kubwa baada ya kuanzisha couple mpya mjini akiwa na staa wa filamu Jacqueline Wolper.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sasa Hivi Jackline Wolper Anamuita Diamond Platnumz Jina Hili Hapa

Kwa sasa headlines nyingi katika upande wa mastaa Tanzania ni stori kuhusu penzi la muigizaji Jackline Wolper na msanii wa Bongo fleva kuto... thumbnail 1 summary
Kwa sasa headlines nyingi katika upande wa mastaa Tanzania ni stori kuhusu penzi la muigizaji Jackline Wolper na msanii wa Bongo fleva kutoka Wasafi Classic Baby (WCB) Harmonize ndio Topic kubwa town.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Jose Mourinho atangazwa rasmi Meneja mpya wa Manchester United

Klabu ya Manchester United leo imemtangaza rasmi Mreno Jose Mourinho kuwa Meneja wao mpya akichukua mikoba ya Mholanzi Louis Van Gaal aliye... thumbnail 1 summary
Klabu ya Manchester United leo imemtangaza rasmi Mreno Jose Mourinho kuwa Meneja wao mpya akichukua mikoba ya Mholanzi Louis Van Gaal aliye tumuliwa hivi Karibuni.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

The Game awaacha mashabiki wake midomo wazi

Rapa kutoka nchini Marekani, The Game ameonekana kwenye kipande cha video kilichozua maswali kwa mashabiki. Kipande hiko cha video kinamu... thumbnail 1 summary
Rapa kutoka nchini Marekani, The Game ameonekana kwenye kipande cha video kilichozua maswali kwa mashabiki.
Kipande hiko cha video kinamuonyesha rapa huyo [The Game] akiwa amekaliwa juu ya kifua chake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wema adai kwa wiki anatumia Tsh milioni 1.2 kwa ajili ya nywele zake

Msanii wa filamu, Wema Sepetu, ameweka wazi kwamba hutumia shilingi milioni 1.2 kwa ajili ya kutengeneza nywele zake kwa wiki moja. thumbnail 1 summary
Msanii wa filamu, Wema Sepetu, ameweka wazi kwamba hutumia shilingi milioni 1.2 kwa ajili ya kutengeneza nywele zake kwa wiki moja.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sioni kama ninaimba na kurap kama Godzilla – Billnass (Video)

Rapper William Nicholas aka Billnass amesema haoni kama anarap na kuimba kama Godzilla na kwamba wasanii waliomuinspire ni wengine kabisa. thumbnail 1 summary
Rapper William Nicholas aka Billnass amesema haoni kama anarap na kuimba kama Godzilla na kwamba wasanii waliomuinspire ni wengine kabisa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond achukua taji la Lip Sync Africa ya MTV

Diamond Platnumz amechukua taji la kipindi cha Lip Sync Africa kinachorushwa na kituo cha MTV SA. D’Banj ambaye ni host wa show hiyo ak... thumbnail 1 summary
Diamond Platnumz amechukua taji la kipindi cha Lip Sync Africa kinachorushwa na kituo cha MTV SA.
D’Banj ambaye ni host wa show hiyo akimpongeza Diamond kwa ushindi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Utapenda uwezo wa kurap wa mtoto wa Mr Blue, Sameer

Like father like son. Mtoto wa kiume na wa kwanza wa Mr Blue, Sameer amedhihirisha kuwa anafuata nyayo za baba yake. thumbnail 1 summary


Like father like son. Mtoto wa kiume na wa kwanza wa Mr Blue, Sameer amedhihirisha kuwa anafuata nyayo za baba yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RAIS MAGUFULI ATOA MCHANGO WA MILIONI 10 KUSAIDIA MATIBABU YA MWANAFUNZI ALIYEPATA UPOFU

Rais John Magufuli ametoa mchango wa Sh. milioni 10 kwa ajili kusaidia matibabu ya mwanafunzi Bernadetha Msigwa aliyepata upofu hivi karibuni. thumbnail 1 summary
Rais John Magufuli ametoa mchango wa Sh. milioni 10 kwa ajili kusaidia matibabu ya mwanafunzi Bernadetha Msigwa aliyepata upofu hivi karibuni.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mbunge wa CHADEMA, Mr II Sugu Kuhojiwa na CloudsTV Kwa Mara ya Kwanza Toka Amalize Tofauti

Joseph Mbilinyi ameanza ku-trend kwenye mitandao ya kijamii kupitia tangazo linaloonyesha atahojiwa na CloudsTV Ijumaa May 27 2016, amean... thumbnail 1 summary
Joseph Mbilinyi ameanza ku-trend kwenye mitandao ya kijamii kupitia tangazo linaloonyesha atahojiwa na CloudsTV Ijumaa May 27 2016, ameanza kutrend hata kabla Interview yenye haijaonyeshwa na hii ni kutokana na sababu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MREMA AIBUKA NA KUMSHUTUMU MAALIM SEIF JUU YA HARAKATI ZAKE ZNZ,RIPOTI KAMILI HII HAPA..!!!

CHAMA cha Tanzania Labour Party (TLP) kimetaka wananchi wa Zanzibar kudumisha amani, umoja na kuacha kufuata kauli za baadhi ya viongozi ... thumbnail 1 summary
CHAMA cha Tanzania Labour Party (TLP) kimetaka wananchi wa Zanzibar kudumisha amani, umoja na kuacha kufuata kauli za baadhi ya viongozi wa kisiasa zinazolenga kuharibu amani na kuchochea vurugu.
Hayo yalisemwa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Agustino Mrema alipozungumza na waandishi wa habari.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TUMIA NJIA HIZI 3 ZA KIASILI KUPUNGUZA UZITO NA UNENE KWA HARAKA...!!!

Uzito mkubwa wa kupindukia ni tatizo kubwa la kiafya katika maisha yetu ya kisasa. Uzito unapozidi kiwango ambacho kinahitajika kwa mtu h... thumbnail 1 summary
Uzito mkubwa wa kupindukia ni tatizo kubwa la kiafya katika maisha yetu ya kisasa. Uzito unapozidi kiwango ambacho kinahitajika kwa mtu husika kunachangia matatizo mengi ya kiafya
. Watu wenye uzito mkubwa wamekuwa wakijaribu njia nyingi tofauti za kupunguza uzito bila ya mafanikio

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Justin Bieber afanya kitu kingine cha kushtukiza

Series ya vituko vya staa Justin Bieber bado inaendelea baada ya kutumia dola 80,000 kwa ajili ya kupanga nyumba huko Los Angeles, Marekani... thumbnail 1 summary
Series ya vituko vya staa Justin Bieber bado inaendelea baada ya kutumia dola 80,000 kwa ajili ya kupanga nyumba huko Los Angeles, Marekani.
Hivi karibuni Justin Bieber amekuwa topic kwenye media nchini Marekani kutokana na vituko alivyoanza kuvifanya kila kukicha ambavyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA WAZIRI LUKUVI KUMSHTUMU LOWASSA KUMILIKI SHAMBA BILA HATI,MAPYA YAIBUKA JUU YA SAKATA HILO..!!!

Mbunge wa Monduli Julius Laizer Kalanga (Chadema), amesema kuwa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa hana hati miliki ya shamba lolote kati... thumbnail 1 summary
Mbunge wa Monduli Julius Laizer Kalanga (Chadema), amesema kuwa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa hana hati miliki ya shamba lolote katika jimbo hilo bali ni upotoshaji wa taarifa alizopewa Waziri wa Ardhi,Wiliam Lukuvi na wasaidizi wake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BLACK CHYNA SASA KUKUBALIKA KWA THE KARDASHIANS.

Baada ya kudaiwa kuongoza ndugu kupinga kaka yao Rob Kardashian kuwa na mahusiano na Blac Chyna,Kim Kardashian sasa amenyoosha mikono juu. thumbnail 1 summary
Baada ya kudaiwa kuongoza ndugu kupinga kaka yao Rob Kardashian kuwa na mahusiano na Blac Chyna,Kim Kardashian sasa amenyoosha mikono juu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAJIMBO KUMI NA MOJA YA MAREKANI YANAUSHTAKI UTAWALA WA RAIS BARACK OBAMA.

Majimbo kumi na moja ya Marekani yanaushtaki utawala wa Rais Barack Obama, dhidi ya agizo lake kwamba shule za umma lazima wanafunzi wali... thumbnail 1 summary
Majimbo kumi na moja ya Marekani yanaushtaki utawala wa Rais Barack Obama, dhidi ya agizo lake kwamba shule za umma lazima wanafunzi waliobadili jinsia kuchagua vyoo vya kutumia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MUGABE AZIDI KUWAVIMBIA MAREKANI NA UINGEREZA,ATOA KAULI HII DHIDI YAO...!!!

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amesema kuwa yeye sio Mmarekani wala Muingereza wakati akiwahutubia karibu watu 50,000, wafuasi wake kweny... thumbnail 1 summary
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amesema kuwa yeye sio Mmarekani wala Muingereza wakati akiwahutubia karibu watu 50,000, wafuasi wake kwenye mkutano uliofanyika kwenye mji mkuu Harare kwa heshima yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Smartphone ya kwanza ya Robot Duniani imeanza kuuzwa leo, Check uwezo wake

Teknolojia inazidi kukua kwa kasi na uvumbuzi wa vifaa mbalimbali vya urahisishaji wa kazi vinatengenezwa, kwa mara ya kwanza duniani sim... thumbnail 1 summary
Teknolojia inazidi kukua kwa kasi na uvumbuzi wa vifaa mbalimbali vya urahisishaji wa kazi vinatengenezwa, kwa mara ya kwanza duniani simu iliyotengenezwa kama robotiimeanza kuuzwa rasmi leo May 26 2016, Simu hiyo imeitwa RoBoHon na imetengenezwa katika size kama simu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Risasi zapigwa katikati ya show ya T.I New York Marekani, mmoja auwawa

Rapper T.I ambaye pia aliwahi kuja bongo kwenye FIESTA, alikuwa na show New York Marekani katika show usiku wa May 25 2016 akisindikizwa ... thumbnail 1 summary
Rapper T.I ambaye pia aliwahi kuja bongo kwenye FIESTA, alikuwa na show New York Marekani katika show usiku wa May 25 2016 akisindikizwa na Maino na Uncle Murda ambapo kabla T.I hajapanda kwenye stage, ilisikika milio ya risasi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Jose Mourinho amesaini Man United, taarifa rasmi kutoka Sky Sport

Huenda huu ndio ukawa mwisho wa headlines za Jose Mourinho kuhusishwa kujiunga na klabu ya Man United, kwani taarifa kutoka mitandao ming... thumbnail 1 summary
Huenda huu ndio ukawa mwisho wa headlines za Jose Mourinho kuhusishwa kujiunga na klabu ya Man United, kwani taarifa kutoka mitandao mingi ya soka Ulaya ikiwemo Sky Sport unaripoti kocha huyo kujiunga na Man United.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Meneja wa Alikiba aelezea kwa undani faida za Alikiba kwenye mkataba na Sony

Mwimbaji wa bongofleva Tanzania Alikiba alijaa kwenye headlines baada ya kusaini mkataba mpya na kampuni kubwa ya muziki ya Sony Johannes... thumbnail 1 summary
Mwimbaji wa bongofleva Tanzania Alikiba alijaa kwenye headlines baada ya kusaini mkataba mpya na kampuni kubwa ya muziki ya Sony Johannesburg South

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo May 27, 2016 kwenye, Udaku, Hardnews na michezo

May 27 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Michezo na hardnews il... thumbnail 1 summary
May 27 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: