June 04, 2016

Is Shilole More Beautiful than all female Bongo fleva artists? See her Pics as she shared on Instagram!

Bongo Movies actress and also Bongo fleva artist Shilole a.k.a Shishi baby on her Instagram account has shared several pics of herself lo... thumbnail 1 summary
Bongo Movies actress and also Bongo fleva artist Shilole a.k.a Shishi baby on her Instagram account has shared several pics of herself looking very $exy, Shilole who is now making better in her new song called 'Say My Name' always has a tendency of showing her fans that she is so beautiful as her statement she

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zari ni Mjamzito Tena ? Mama Yake Diamond Amethibitisha Kwa Maneno Haya

Muda si mrefu sana toka Zari na Diamond Platnumz wamepata mtoto wao wa kwanza kwa jina thumbnail 1 summary
Muda si mrefu sana toka Zari na Diamond Platnumz wamepata mtoto wao wa kwanza kwa jina

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya kuoa mwanamke mwingine, Isabella adai ni yeye ndiye alimpiga chini Kalama, adai ni mwanaume asiye na future

Baada ya rapper wa kundi la Gangwe Mobb, Luteni Kalama kuoa mwanamke mwingine na kumwacha mchumba wake aliyemvisha pete, Isabella ameibuka ... thumbnail 1 summary
Baada ya rapper wa kundi la Gangwe Mobb, Luteni Kalama kuoa mwanamke mwingine na kumwacha mchumba wake aliyemvisha pete, Isabella ameibuka na kudai kuwa ni yeye ndiye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

world wonders; World’s first ‘pregnant man’ marries his kids’ school teacher

With the new wife Amber Nichols Thomas Beatie who made waves as the first 'pregnant man' has remarried. He's now married to... thumbnail 1 summary
With the new wife Amber Nichols
Thomas Beatie who made waves as the first 'pregnant man' has remarried. He's now married to his kid's preschool teacher, Amber Nichols.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mbagala Zakiem check out video and photo of Chips Mayai event prepered by Clouds Media Group

Mbagala Zakiem a person is preparing chips ready for the event of Chips Mayai thumbnail 1 summary
Mbagala Zakiem a person is preparing chips ready for the event of Chips Mayai

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Babu Tale asema ni bahati kwa wasanii wa ‘WCB’ kupata wanawake wenye umri mkubwa zaidi yao (Video)

Baada ya kambi ya WCB kuonekana wasanii wake wanapenda kutoka kimapenzi na wanawake wenye umri mkubwa zaidi yao, uongozi wa kambi hiyo umel... thumbnail 1 summary
Baada ya kambi ya WCB kuonekana wasanii wake wanapenda kutoka kimapenzi na wanawake wenye umri mkubwa zaidi yao, uongozi wa kambi hiyo umelizungumzia swala hilo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lamar Odom adaiwa kurudi kwenye matumizi ya madawa ya kulevya

Mchezaji wa zamani wa kikapu, Lamar Odom amedaiwa kurudi tena kwenye matumizi ya madawa ya kulevya baada ya kukutwa kwa vifaa vya matumizi ... thumbnail 1 summary
Mchezaji wa zamani wa kikapu, Lamar Odom amedaiwa kurudi tena kwenye matumizi ya madawa ya kulevya baada ya kukutwa kwa vifaa vya matumizi hayo nyumbani kwake huko Los Angeles.
Mwezi October mwaka jana staa huyo wa zamani kwenye kikapu alilazwa hospitali baada ya kukutwa akiwa amezidiwa kutokana na kuzidisha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ronaldinho kutokea kwenye filamu mpya ya Van Damme

Staa wa soka duniani, Ronaldinho Gaucho amekubali kucheza kwenye filamu mpya ya kikckboxer ‘Retaliation’ ya Jean-Claude Van Damme. Ronald... thumbnail 1 summary
Staa wa soka duniani, Ronaldinho Gaucho amekubali kucheza kwenye filamu mpya ya kikckboxer ‘Retaliation’ ya Jean-Claude Van Damme.
Ronaldinho ambaye kwenye filamu hiyo ametumia jina la Ronaldo atakuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Forbes watoa orodha ya waburudishaji wa kike matajiri Marekani, nao ni?

Tovuti ya Forbes imetoa orodha mpya ya waburudishaji nchini Marekani ambao ni matajiri zaidi. Watazame hapo chini: thumbnail 1 summary
Tovuti ya Forbes imetoa orodha mpya ya waburudishaji nchini Marekani ambao ni matajiri zaidi. Watazame hapo chini:

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Dunia imepata msiba wa Bondia wa zamani wa Marekani Mohammad Ali

Bondia wa zamani ambaye alijiita ‘the greatest’ ambaye alikuwa ni miongoni mwa watu maarufu na wenye wapenzi wengi duniani, Mohammad Ali ... thumbnail 1 summary
Bondia wa zamani ambaye alijiita ‘the greatest’ ambaye alikuwa ni miongoni mwa watu maarufu na wenye wapenzi wengi duniani, Mohammad Ali amefariki akiwa na umri wa mika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zitto: Simjadili Dr Tulia ni Kibaraka, Mdee: Serikali ya Magufuli ni ya Kisanii Tu!

Wakihojiwa na redio moja mkoani Kagera inakosemekana wataanzia ziara hivi karibuni  Zitto amesema hawezi kumjadili naibu spika maana anaj... thumbnail 1 summary
Wakihojiwa na redio moja mkoani Kagera inakosemekana wataanzia ziara hivi karibuni 
Zitto amesema hawezi kumjadili naibu spika maana anajua anatumwa. "Huyu simjadili maana najua anatumwa na akiambiwa geuka anageuka, akiambiwa kimbia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mahakama yamuongezea kifungo Meek Mill

Rapper kutoka nchini Marekani, Meek Mill ameongezewa kifungo cha ndani cha siku nane baada ya kukiuka masharti ya kifungo cha ndani alichop... thumbnail 1 summary
Rapper kutoka nchini Marekani, Meek Mill ameongezewa kifungo cha ndani cha siku nane baada ya kukiuka masharti ya kifungo cha ndani alichopewa awali cha siku 90 baada ya kukutwa na silaha bila kibali na madawa ya kulevya.
Awali rapper huyo alipewa adhabu hiyo ya kifungo cha siku 90 ndani iliyoambatana na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hizi Hapa Aina Nne za Wanawake Michepuko..Utaipenda Hii

1.MCHEPUKO LAMI: Huu ni ule ambao hauombi pesa, katulia hana mapepe, uwe naye au usiwe naye maisha yake yanaendelea tu. 2. MCHEPUKO VUM... thumbnail 1 summary
1.MCHEPUKO LAMI: Huu ni ule ambao hauombi pesa, katulia hana mapepe, uwe naye au usiwe naye maisha yake yanaendelea tu.
2. MCHEPUKO VUMBI: Huu ni ule wa vibomu!! mara ooohhh sina pesa, naomba vocha, sijui simu imekufa, oooh mara nipo saluni nadaiwa elf thelathin, naomba nauli.....n.k! Na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kama unajiuliza Zlatan atachezea timu gani msimu ujao, Sky Sport wametaja klabu hii

Najua wewe ni mmoja kati ya watu wanaojiuliza maswali nahodha wa timu ya taifa yaSweden Zlatan Ibrahimovic atacheza klabu gani msimu ujao... thumbnail 1 summary
Najua wewe ni mmoja kati ya watu wanaojiuliza maswali nahodha wa timu ya taifa yaSweden Zlatan Ibrahimovic atacheza klabu gani msimu ujao, basi majibu yanakaribia kupatika hasa baada ya Sky Sport kuripoti kuwa staa huyo yupo njiani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo June 4, 2016 kwenye, Udaku, Hardnews na michezo

June 4 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hard... thumbnail 1 summary
June 4 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: