May 02, 2016

Raila Rubbishes Uhuru Ivory Burning

Opposition leader Raila Odinga has rubbished Saturday's burning of ivory stockpiles as a public relations gimmick by the Jubilee Admini... thumbnail 1 summary
Opposition leader Raila Odinga has rubbished Saturday's burning of ivory stockpiles as a public relations gimmick by the Jubilee Administration designed to please the international community.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Upande wa Pili wa Mkasa wa Ndoa ya Tiwa Savage Utakuacha Mdomo Wazi

Mume wa Tiwa Savage, Tee Billz alipost mfululizo wa malalamiko kwenye Instagram kuhusu kumtuhumu mke wake kuwa alimsaliti na Doj Jazzy, Dr ... thumbnail 1 summary
Mume wa Tiwa Savage, Tee Billz alipost mfululizo wa malalamiko kwenye Instagram kuhusu kumtuhumu mke wake kuwa alimsaliti na Doj Jazzy, Dr Sid na 2Face Idibia.
Jamaa huyo alionesha nia ya kutaka kujiua kutokana na masahibu hayo. Hiyo ilipelekea jamii kubwa ya Nigeria imchukie

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Davido akimpiga shabiki wake nchini Uingereza

Davido ameonekana kwenye kipande cha video kinachomuonyesha akiwa na watu wake wakimpiga mtu mmoja anayedaiwa kuwa ni shabiki nchini Uing... thumbnail 1 summary
Davido ameonekana kwenye kipande cha video kinachomuonyesha akiwa na watu wake wakimpiga mtu mmoja anayedaiwa kuwa ni shabiki nchini Uingereza.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Idris Sultan Afunguka "Aliyekuwa Meneja Wangu Ndiye Aliyefilisi Pesa Zangu"

Mshindi wa shindano la Big Brother Africa 2014, Hotshots Idris Sultan, amevunja ukimya na kuzungumzia tetesi ambazo zilikuwa zinazagaa kw... thumbnail 1 summary
Mshindi wa shindano la Big Brother Africa 2014, Hotshots Idris Sultan, amevunja ukimya na kuzungumzia tetesi ambazo zilikuwa zinazagaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba kuna

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mnajaribu Kuniachanisha na ZARI Lakini Hamtoweza – DIAMOND

Diamond anataka kuwapa ujumbe ‘haters’ wa uhusiano wake na mama wa mtoto wake, Tiffah, Zari the Bosslady, kuwa hata wafanye vipi, hawataw... thumbnail 1 summary

Diamond anataka kuwapa ujumbe ‘haters’ wa uhusiano wake na mama wa mtoto wake, Tiffah, Zari the Bosslady, kuwa hata wafanye vipi, hawataweza kuwakosanisha.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Haya Ndio Madhara Ya Matumizi Makubwa ya Mitandao ya Kijamii. Ipo Hapa

Watafiti wa University of Pittsburgh School of Medicine walifanya utafiti kuhusu madhara ya matumizi ya mitandao ya kijamii katika mood y... thumbnail 1 summary
Watafiti wa University of Pittsburgh School of Medicine walifanya utafiti kuhusu madhara ya matumizi ya mitandao ya kijamii katika mood ya watumiaji.Utafiti huo ulibaini kuwa kadri vijana wanavyotumia mitandao hiyo zaidi, ndivyo wanavyopata

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA PICHA ZA MALI ANAZO MILIKI BILIONEA DONALD TRUMP WA MAREKANI

Najua kuna watu wangu mnafuatilia mchakato wa uteuzi wa kumpata mgombea urais Marekani. Dolnad Trump ni moja ya wagombea wa Republican ... thumbnail 1 summary

Najua kuna watu wangu mnafuatilia mchakato wa uteuzi wa kumpata mgombea urais Marekani. Dolnad Trump ni moja ya wagombea wa Republican ambao wamechukua headline sana na anaonekana kama kuelekea kufanikiwa hivi, usishangae

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ubelgiji wanashindwa kutamka jina la Samatta, kutana na list ya majina 7 ya wanasoka magumu kuyatamka

Kama ambavyo wazungu wanapata tabu kutamka baadhi ya majina ya kibantu mfano jina la mwisho la mshambuliaji wa Tanzania anayecheza soka K... thumbnail 1 summary
Kama ambavyo wazungu wanapata tabu kutamka baadhi ya majina ya kibantu mfano jina la mwisho la mshambuliaji wa Tanzania anayecheza soka KRC Genk ya UbelgijiMbwana Ally Samatta na kuamua kutumia jina la Ally, ndivyo ambavyo watu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: Miaka 7 iliyopita tarehe kama ya leo Mei 2, Real Madrid walikutana na kipigo cha goli 2-6 dhidi ya FC Barcelona

Ulimwengu wa soka miaka 7 iliyopita tarehe kama ya leo Mei 2 2016 inakumbuka mchezo wa kihistoria ambapo kwa Hispania unaitwa mchezo wa E... thumbnail 1 summary
Ulimwengu wa soka miaka 7 iliyopita tarehe kama ya leo Mei 2 2016 inakumbuka mchezo wa kihistoria ambapo kwa Hispania unaitwa mchezo wa El Clasco uliokuwa unazihusisha timu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: