December 30, 2013

MPENZI WANGU AMENIAMBUKIZA GONJWA LA AJABU

Baada ya kutoka Chuoni anakosomea Alikuja siku mbili kabla ya krsimass vile nilikuwa nimemisi tulishinda tukiduu! Alivo ondoka tangu siku... thumbnail 1 summary
Baada ya kutoka Chuoni anakosomea Alikuja siku mbili kabla ya krsimass vile nilikuwa nimemisi tulishinda tukiduu! Alivo ondoka tangu siku ya boxing day, nimeanza kuugua nahisi maumivu makali sana wakati wa kukojoa kuanzia jana mpaka sasa nakojoa usaha kabisa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA, DIAMOND WAMTESA PENNY

ISHU ya wapenzi zilipendwa, Wema Isaac Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kudaiwa kurudiana inadaiwa kumtesa mpenzi wa s... thumbnail 1 summary

ISHU ya wapenzi zilipendwa, Wema Isaac Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kudaiwa kurudiana inadaiwa kumtesa mpenzi wa sasa wa Diamond ambaye ni mtangazaji wa DTV, VJ Penniel Mungilwa ‘Penny’ hivyo kulazimika kukiri kuwa hajawahi kupitia wakati mgumu kama anaopitia sasa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND ATAJA SABABU 5 ZILIZOMFANYA ARUDIANE NA WEMA

    Baada ya kimya kirefu juu ya tetesi za kurudiana kwa mwanadada Wema Sepetu na Diamond kuzagaa kwenye mitandao hasa baad... thumbnail 1 summary



  
Baada ya kimya kirefu juu ya tetesi za kurudiana kwa mwanadada Wema Sepetu na Diamond kuzagaa kwenye mitandao hasa baada ya picha za wawili hao waliokuwa wamechana kuonekana wakila “bata” pamoja maeneo ya Hong Kong huko kwenye bara la Asia, sababu na ukweli wa namna wawili hao walivyorudiana umewekwa waza baada ya hivi karibuni msanii diamond platnumz kuzungumza na mtandao wa paparazi na kuelezea jinsi tukio hilo zima lilivyokuwa.Katika mazungumzo hayo Diamond alitaja mambo haya makuu matano yaliyosababisha mpaka aamue kurudisha vikosi kwa mwanadada Sepetu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANZA YAPAMBA MOTO ... MAANDAMANO YA WAFANYABIASHARA KUPINGA UWEPO WA MASHINE ZA TRA

  Hali  si  nzuri  sana  jijini  Mwanza  kutokana  na  mgomo  wa  wafanyabiashara  wa  jiji  la  mwanza  ulionza  leo  asubuhi....... thumbnail 1 summary


 
Hali  si  nzuri  sana  jijini  Mwanza  kutokana  na  mgomo  wa  wafanyabiashara  wa  jiji  la  mwanza  ulionza  leo  asubuhi....Kwa  mujibu  wa  paparazi wetu  aliyeko  jijini  Mwanza  muda  huu, maduka  yote  yamefungwa  na  wafanyabiashara  hao  wako  barabarani  muda  huu  na  mabango  yao  wakielekea  viwanja  vya  Tanganyika....

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JAJI WARIOBA KUILIZA AU KUIPA KICHEKO CCM LEO

Jaji Joseph Warioba. Ni rasimu ya pili mfumo wa Muungano. Nape: Tusubiri tuone kitakachotokea. Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo itakabidh... thumbnail 1 summary


Jaji Joseph Warioba.Ni rasimu ya pili mfumo wa Muungano.
Nape: Tusubiri tuone kitakachotokea.
Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo itakabidhi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, rasimu ya pili na ya mwisho ya katiba mpya, huku

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KATIKA KUELEKEA KUMALIZA MWAKA ,,HAYA NDIO MATUKIO 10 YALIYO SHIKA VICHWA VYA HABARI 2013 KWENYE TASNIA YA MUZIKI...

10. Kala Jeremiah Kusaini Mkataba na pepsi Kala Jeremiah msanii mwenye tunzo 3 za hip hop kut... thumbnail 1 summary



10. Kala Jeremiah Kusaini Mkataba na pepsi
Kala Jeremiah msanii mwenye tunzo 3 za hip hop kutoka Kili Music Award 2013alisaini mkataba wa miezi 6 kutoka kampuni ya PEPSI kama balozi wa soda hiyo. Kala alisema mkataba huo umempa furaha sana na amejisikia faraja sana. Sasa kala anaonekana kwenye matangazo ya pepsi na ni kitu cha kufurahisha kwenye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAMA BADO BASI SOMA HAPA MKASA MZIMA WA JACK CLIFF KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA NCHINI CHINA

MADAI ya kukamatwa kwa tuhuma za kumeza madawa ya kulevya aina ya Heroin nchini China kwa msanii, Video Queen na mwanamiti... thumbnail 1 summary
MADAI ya kukamatwa kwa tuhuma za kumeza madawa ya kulevya aina ya Heroin nchini China kwa msanii, Video Queen na mwanamitindo maarufu Bongo, Jacqueline Patrick, kumeibua maswali ya kila aina,  mengi yamesemwa, uvumi umeenea, lakini Ijumaa Wikienda linadondosha hatua kwa hatua.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SNURA AZUNGUMZA MAZITO KUHUSU MADAME WEMA NA MUZIKI WAKE...SOMA HAPA KUJUA

Snura Mushi ‘Mama Majanga’. MSANII wa muziki na filamu Bongo, Snura Mushi ‘Mama Majanga’ ametoa ya moyoni na kumshuk... thumbnail 1 summary

Snura Mushi ‘Mama Majanga’.
MSANII wa muziki na filamu Bongo, Snura Mushi ‘Mama Majanga’ ametoa ya moyoni na kumshukuru aliyekuwa rafiki yake wa damu, Wema Sepetu kwa kuwa ndiye aliyembunia vazi la muziki na fedha ya kurekodi wimbo wake wa kwanza.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WASICHANA 20 WAREMBO ZAIDI AFRICA KWA MWAKA 2013...MTANZANIA MMOJA PIA YUMO..SOMA ZAIDI KUWAJUA

Jarida la Glitz Africa limetoa orodha ya wasichana 20 warembo zaidi barani Afrika (20 Most Beautiful Women in Africa) ambapo... thumbnail 1 summary
Jarida la Glitz Africa limetoa orodha ya wasichana 20 warembo zaidi barani Afrika (20 Most Beautiful Women in Africa) ambapo hata hivyo imetawaliwa na wanawake wa Nigeria na Ghana.
Millen-Magese-x-Joice-Jacobs_1-2

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MARTIN KADINDA ANENA MAZITO BAADA YA ULE UJUMBE WA JACK CLIFF WA WOSIA KUSAMBAA MTANDAONI,,, NA HIKI NDICHO ALICHOKISEMA..

Mbunifu wa mavazi nchini, Martin Kadinda anayedaiwa kuwa meneja wa zamani wa Jackie Cliff amesema hajapok... thumbnail 1 summary

Mbunifu wa mavazi nchini, Martin Kadinda anayedaiwa kuwa meneja wa zamani wa Jackie Cliff amesema hajapokea ujumbe wowote kutoka kwa mwanadada huyo anayeshikiliwa kwa tuhuma za madawa ya kulevya huko Macao, China alipokuwa akitokea nchini Thailand.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAAJABU YA MWAKA...MWANADADA HUYU ATOA MACHOZI NA JASHO LA DAMU...SOMA ZAIDI HAPA

Miaka minne iliyopita msichana huyu mwenye umri wa miaka 19, Delfina Cedeno, alianza kupata tatizo hili la ajabu, lililokuwa liki... thumbnail 1 summary



Miaka minne iliyopita msichana huyu mwenye umri wa miaka 19, Delfina Cedeno, alianza kupata tatizo hili la ajabu, lililokuwa likimfanya alie na kutoka jasho la damu. Kwa kuongeza zaidi, wakati mwengine damu zimekuwa zikitoka hata kwenye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: