October 07, 2015

Jay Z na Beyonce hawajachoshwa nyumba za kupanga? Ya kwanza imeuzwa, wanahamia humu… (+Pichaz)

Nyumba ya kwanza ambayo waliamua kuishi Jay Z na Beyonce pamoja na mtoto waoBlue Ivy, ilikuwa maeneo ya Los Angeles Marekani na walianza ... thumbnail 1 summary
Nyumba ya kwanza ambayo waliamua kuishi Jay Z na Beyonce pamoja na mtoto waoBlue Ivy, ilikuwa maeneo ya Los Angeles Marekani na walianza rasmi maisha ndani ya huo mjengo February 2015, baadae mambo yakabadilika.. nyumba iliuzwa na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha za mama Regina Lowassa Zanzibar alivyoongea na Wanawake kuusubiria uchaguzi.

Jana ilikua October 6 2015 ambapo bado sera zimeendelea kunadiwa kuisubiria siku kubwa ya kura ambayo ni October 25 2015 ambapo mmoja wa ... thumbnail 1 summary
Jana ilikua October 6 2015 ambapo bado sera zimeendelea kunadiwa kuisubiria siku kubwa ya kura ambayo ni October 25 2015 ambapo mmoja wa waliochukua headlines jana ni mke wa mgombea Urais wa UKAWA Mama Regina Lowassa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Dk. Kigoda hajafariki… Mwamunyange hajapewa sumu, haya ndio majibu ya Serikali… (Audio)

Kama utakuwa mfuatilia hivi karibuni kumekuwa na taarifa zinazoenea na kuchukua nafasi kubwa katika mitandao mbalimbali ile ya Waziri wa ... thumbnail 1 summary
Kama utakuwa mfuatilia hivi karibuni kumekuwa na taarifa zinazoenea na kuchukua nafasi kubwa katika mitandao mbalimbali ile ya Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdallah Kigoda kufariki na ile ya mkuu wa Majeshi ya ulinzi nchini Jenerali Davis Mwamunyange kuwekewa sumu ambapo taarifa hizo si za kweli.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rick Ross anaisambaza rasmi single yake mpya ‘Sorry’ feat. Chris Brown – (Audio)!

Baada ya kufanya interview na  The Breakfast Club   leo, rapper  Rick Ross   ameachia single yake mpya  ‘Sorry’  ambayo ndani msani... thumbnail 1 summary
Baada ya kufanya interview na The Breakfast Club leo, rapper Rick Ross ameachia single yake mpya ‘Sorry’ ambayo ndani msanii wa R&B Chris Brown ameshirikishwa, wimbo utakaopatikana kwenye album mpya ya Rick Ross ‘Black Market’ 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wako Wapi Wabunge Washangiliaji wa Lowassa na Wenyeviti Watiifu Kwake?

Siku Rais Jakaya Kikwete alipolihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kulitaja jina la Edward Lowassa wabunge walilipuka kw... thumbnail 1 summary
Siku Rais Jakaya Kikwete alipolihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kulitaja jina la Edward Lowassa wabunge walilipuka kwa kushangilia na Bunge kuzizima. Rais Kikwete alikuwa akihitimisha miaka ya Bunge kuelekea kufanyika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Jina la Edward

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wastara Aonesha Mahaba Niue Live Hakuna Siri Tena

Live! Hakuna siri tena kati ya staa wa Bongo Movies, Wastara Juma na Mtangazaji wa Kipindi cha Action and Cut kinachorushwa kupitia Telev... thumbnail 1 summary
Live! Hakuna siri tena kati ya staa wa Bongo Movies, Wastara Juma na Mtangazaji wa Kipindi cha Action and Cut kinachorushwa kupitia Televisheni ya Channel Ten, Bond Bin Sinan baada ya kuonesha mahaba niue kwa kulishana keki kwa staili ya njiwa kwenye ‘bethidei’ ya mwigizaji huyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Idris Sultan akanusha kuwahi kutoka kimapenzi na Wema Sepetu

Mshindi wa BBA 2014, Idris Sultan amekanusha kuwahi kutoka kimapenzi na Wema Sepetu baada ya kuonekana kuwa karibu zaidi katika miezi kadha... thumbnail 1 summary
Mshindi wa BBA 2014, Idris Sultan amekanusha kuwahi kutoka kimapenzi na Wema Sepetu baada ya kuonekana kuwa karibu zaidi katika miezi kadhaa iliyopita.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zari Hawezi Kuhamia Tanzania Moja kwa Moja – Diamond Platnumz

Diamond Platnumz na Zari The Boss Lady tayari wameziunganisha familia zao kwa kumpata mtoto wao wa kwanza Tiffah, lakini hakuna mpango wa... thumbnail 1 summary
Diamond Platnumz na Zari The Boss Lady tayari wameziunganisha familia zao kwa kumpata mtoto wao wa kwanza Tiffah, lakini hakuna mpango wa mrembo huyo Mganda kuhamia moja kwa moja Tanzania ili kutengezeza familia moja.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mafuriko ya John Pombe Magufuli Huko Arusha Haijawahi Tokea...Picha za Monduli na Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Hizi Hapa

Mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha tayari kuhutubia wakazi w... thumbnail 1 summary
Mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha tayari kuhutubia wakazi wa mji huo kwenye mkutano wa kampeni za CCM ikiwa Arusha ni mkoa wake wa 21 tangia kuanza kwa kampeni.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Huyu ndio mtoto aliyezaliwa na kuvunja rekodi ya kuwa na uzito mkubwa zaidi India..

Kwenye Kitabu cha Kumbukumbu kubwa za Dunia, Guinness World Records kumbukumbu kubwa kuwekwa na mtoto aliyezaliwa na uzito mkubwa zaidi i... thumbnail 1 summary
Kwenye Kitabu cha Kumbukumbu kubwa za Dunia, Guinness World Records kumbukumbu kubwa kuwekwa na mtoto aliyezaliwa na uzito mkubwa zaidi iliwekwa mwaka 1955 na mtoto ambaye alizaliwa akiwa na uzito wa Kilo 10 Italy.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KIMENUKA..Mchungaji Gwajima Atakiwa na Familia Kumfufua Kaka Yake...Apewa Siku 14 la Sivyo Atashtakiwa

Shamma Gwajima (kulia) akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kushoto ni Raphah Gwajima. ********* ASKOFU Mkuu ... thumbnail 1 summary
Shamma Gwajima (kulia) akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kushoto ni Raphah Gwajima.
********* ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, ametumiwa waraka mzito na wanaodai

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: