April 27, 2015

HUKU AKIDAI ANA MKATABA WA MABILIONI,JOKATE ASAKWA KWA UTAPELI!

Skendo? Wakati akiwa na mkataba wa shilingi bilioni nane na nusu wa bidhaa zenye nembo yake kutoka Kampuni ya Rainbow Shell Craft, mwan... thumbnail 1 summary

Skendo? Wakati akiwa na mkataba wa shilingi bilioni nane na nusu wa bidhaa zenye nembo yake kutoka Kampuni ya Rainbow Shell Craft, mwanamitindo maarufu Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amekwaa kashfa ya utapeli akidaiwa ‘kuchikichia’ shilingi elfu sabini za msanii wa Bongo Fleva anayefahamika kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zitto Kabwe awanyima usingizi CHADEMA, viongozi wahaha nchi nzima kuzima moto wa ACT

Wadau, hakika sasa si siri tena kwamba kitendo cha uongozi wa CHADEMA kumfukuza uanachama aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Z... thumbnail 1 summary


Wadau, hakika sasa si siri tena kwamba kitendo cha uongozi wa CHADEMA kumfukuza uanachama aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Zitto Kabwe kumekigharimu chama.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNAFIKI TUPA KULE: UNAMFUMANIA MKEO ANACHEPUKA NA JIRANI YAKO KAMA HIVI UNGELIFANYA NINI?! SOMA

Ee bwana kuna jambo limekuja automaticaly nataka wachangie akina baba au wanaume kwa jumla hata wanawake sio ili wewe uje ufunike kamavp,... thumbnail 1 summary
Ee bwana kuna jambo limekuja automaticaly nataka wachangie akina baba au wanaume kwa jumla hata wanawake sio ili wewe uje ufunike kamavp, siunajua tunavyokuaminia mwanakwetu.Issue iko hivi , wewe ni mwanaume umeoa kama miaka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIKI NDICHO KITU AMBACHO MWANAMKE ANAKIPENDA KULIKO VYOTE DUNIANI... BOFYA HAPA FASTA

Haya hii ya leo ngoja niwatobolee siri kidogo tu kwenye upande wa mapenzi. unajua wanawake bwana tupo kama mayai ukiyaminya kidogo tu... thumbnail 1 summary


Haya hii ya leo ngoja niwatobolee siri kidogo tu kwenye upande wa mapenzi. unajua wanawake bwana tupo kama mayai ukiyaminya kidogo tu huwa yanapasuka.. sasa wengi wanaume huwa wanabaki kuropoa “wanawake hawaeleweki” WANATAKA TUWEJE? Mwanamke huwa anapenda sana kuambiwa ukweli japo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mabibi na mabwana!! Joh Makini ametuletea hii video yake mpya aliyoifanya South Africa.

Ni staa wa hiphop kutoka Tanzania ambae mwaka 2015 umepewa baraka nyingi kwake ikiwemo video yake ya XO kuanza kuchezwa kwenye TV k... thumbnail 1 summary

Joh M


Ni staa wa hiphop kutoka Tanzania ambae mwaka 2015 umepewa baraka nyingi kwake ikiwemo video yake ya XO kuanza kuchezwa kwenye TV kubwa ya Nigeria

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: