January 18, 2014

OYAAA MKALI WA KUKOPI NA KUPESTI UMETISHAAA…

INAKUWA nini wakubwa? Wakuu vipi kitaa hiyo? Kipande hii haina kwikwi wanyama wangu. ... thumbnail 1 summary
INAKUWA nini wakubwa? Wakuu vipi kitaa hiyo? Kipande hii haina kwikwi wanyama wangu. Kama vipi jipange kozi zimebaki deizi chache

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KATUNI YA LEO

kp16012014_6688a.jpg

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hadithi .... UTAJIRI WA DAMU - 12

ILIPOISHIA “Hapana mzee Mitimingi, kama ni mateso umemtesa sana. Naomba chondechonde msamehe na mrejeshee ubinadamu wake.” “Naweza kum... thumbnail 1 summary

ILIPOISHIA
“Hapana mzee Mitimingi, kama ni mateso umemtesa sana. Naomba chondechonde msamehe na mrejeshee ubinadamu wake.”
“Naweza kumrejeshea lakini hadithi ya jambo hili ni ndefu na nzito siyo kama unavyofikiri. Kwanza ni lazima nimpige viboko vitano kila siku . Ndiyo masharti yenyewe la sivyo mimi nitakuwa kama yeye.”
SONGA NAYO...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWASITI AELEZA KUHUSU MAISHA YAKE...JUA UMRI WAKE,,MAHUSIANO YAKE NA MENGINEYO...

MKONGWE katika gemu la muziki wa Bongo Fleva, Mwasiti Almas amefunguka ‘exclusive’ kuhusiana na maisha yake kwa jumla ambapo kwenye m... thumbnail 1 summary

MKONGWE katika gemu la muziki wa Bongo Fleva, Mwasiti Almas amefunguka ‘exclusive’ kuhusiana na maisha yake kwa jumla ambapo kwenye masuala ya uhusiano amebainisha kuwa alimjua mwanaume mara baada ya kumaliza kidato cha nne.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hadithi .... Mimba ya Jini- 13

ILIPOISHIA: Aliushangaa uwezo wa Shehna wa kuelewa vitu vingi vinavyoonekana na vilivyojificha. Alikuwa amefanya siri ambayo hata mke... thumbnail 1 summary

ILIPOISHIA:
Aliushangaa uwezo wa Shehna wa kuelewa vitu vingi vinavyoonekana na vilivyojificha. Alikuwa amefanya siri ambayo hata mkewe na watu wengi hawakuijua kama ana nyumba ndogo. Lakini yeye aliijua bila kumwambia, alijiuliza ni nani kwenye uganga hayupo kwa vile alionekana mwanamke mrembo tena mwenye kujipenda.
SASA ENDELEA...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: