October 20, 2014

Eti The King is Back ! Kwani Alikuwa Ameenda Wapi na Kutuwakilisha Katika Jukwaa Gani Tangu Amekuwa King?

Kuna watu mnakera kwakweli..na nimeanza kuamini hizi team team hizi zinaua mziki..hivi unaambiwa eti king iz back cjui izi rudi..wat ???... thumbnail 1 summary
Kuna watu mnakera kwakweli..na nimeanza kuamini hizi team team hizi zinaua mziki..hivi unaambiwa eti king iz back cjui izi rudi..wat ???????alikua ameenda wapi??huyu king mziki wetu kaupeleka wapi?? huyu king katuwakilisha kwenye jukwaa gani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MADHARA YA KUBANA MKOJO KWA MUDA MREFU.

Si kila mwanamke yuko huru kusema kuwa aliwahi kupata tatizo sehemu za siri. Karibu nusu ya wanawake wote walishapatwa UTI na wengi hu... thumbnail 1 summary

Si kila mwanamke yuko huru kusema kuwa aliwahi kupata tatizo sehemu za siri. Karibu nusu ya wanawake wote walishapatwa UTI na wengi huwarudiarudia kiasi kwamba inakuwa kero. Nikianza na UTI, napenda tufahamu maana yake kwanza, UTI ni kifupi cha maneno ya kiingereza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TATIZO LA KUPASUKA VISIGINO AU GAGA.

Kuwa na miguu au visigino vilivyopasuka (gaga au machacha) ni moja ya sababu inayoweza kuonyesha kuwa katika mwili kuna upungufu wa vi... thumbnail 1 summary

Kuwa na miguu au visigino vilivyopasuka (gaga au machacha) ni moja ya sababu inayoweza kuonyesha kuwa katika mwili kuna upungufu wa virutubisho kadhaa, vitamini au madini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADHI YA MAMBO YANAYOSABABISHABA TATIZO LA KUKOSA CHOO.

Epuka mambo yafuatayo ambayo ili uweze kuepuka tatizo la kukosa choo. thumbnail 1 summary

Epuka mambo yafuatayo ambayo ili uweze kuepuka tatizo la kukosa choo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sentensi 4 za Uongozi wa Diamond Platnumz kuhusu kilichotokea kwenye Serengeti Fiesta 2014 Dar es salaam.

October 18 ilikua ni siku maalum ya Wakazi wa Dar es salaam kula bata kwenye msimu wa mafanikio ambao unapita mara moja kila mwaka kwenye... thumbnail 1 summary
dmnOctober 18 ilikua ni siku maalum ya Wakazi wa Dar es salaam kula bata kwenye msimu wa mafanikio ambao unapita mara moja kila mwaka kwenye mikoa mbalimbali ya Tanzania.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HOFU YA EBOLA YATANDA JIJINI MWANZA: TAARIFA KAMILI HII HAPA INAYOSEMEKANA MMOJA APOTEZA UHAU

  Watu sita wakiwamo wahudumu watatu wa afya wa hospitali teule ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, wamewekwa chini ya uangalizi maalu... thumbnail 1 summary

 
Watu sita wakiwamo wahudumu watatu wa afya wa hospitali teule ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, wamewekwa chini ya uangalizi maalum baada ya kumhudumia mgonjwa aliyefariki akiwa na dalili za ugonjwa wa ebola.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAYA SASA WA NOKU NOKU WAUMBUKA,SHILOLE ATUNDIKWA MIMBA NA NUH MZIWANDA

MMmm Kiukweli Nuh Mziwanda anafaidi kinoma, tazama mtoto alivyo laini, yani nyoro inapwita, hakiyamungu shilole kaumbika kinoma, Na kwa k... thumbnail 1 summary

MMmm Kiukweli Nuh Mziwanda anafaidi kinoma, tazama mtoto alivyo laini, yani nyoro inapwita, hakiyamungu shilole kaumbika kinoma, Na kwa kweli wale wote

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND NA NAYE WA MTEGO KUKIONA CHA MOTO... NI BAADA YA KUVAA SARE ZA JESHI NA KUKATA NAZO MAUNO

Kama wiki mbili zimepita toka jeshi letu pendwa litupige mkwara juu ya matumizi ya sare zake au zinazofanana na hizo kwa mtu ambae si as... thumbnail 1 summary

Nay-wa-Mitego-na-Diamond-wakifanya-yao

Kama wiki mbili zimepita toka jeshi letu pendwa litupige mkwara juu ya matumizi ya sare zake au zinazofanana na hizo kwa mtu ambae si askari.. Kwamba ukivaa tu basi umevunja sheria na inapaswa uadhibiwe mara moja,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

STEVE NYERERE AFUTWA UANACHAMA

Mshtuko!  Siku chache baada ya kujiengua kwenye nafasi ya uenyekiti katika Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ ana... thumbnail 1 summary
Mshtuko! Siku chache baada ya kujiengua kwenye nafasi ya uenyekiti katika Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ anadaiwa kufutwa uanachama wa klabu hiyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SINTAH - LUNDENGA WATANZANIA WA SASA SIO WA ZAMANI WAKUBURUZWA BURUZWA TUU...ONA SASA ULIVYOAIBIKA

kutungiwa sms zinazosambaa mitandaoni yote hii ni kwasababu ya fitna iliyoendelea.... kwakweli hii Miss haijawahi kutokea Tanzania, wa T... thumbnail 1 summary

kutungiwa sms zinazosambaa mitandaoni yote
hii ni kwasababu ya fitna iliyoendelea....
kwakweli hii Miss haijawahi kutokea Tanzania,
wa Tanzania wa sasa sio wa zamani wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LINAH, MCHUMBA’KE WATIBUANA!

MCHELE ulionyooka!  Staa wa Bongo Fleva, mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni, Estelina Sanga ‘Linah’ na mchumba’ke, Nangari Kombo wanadaiw... thumbnail 1 summary
MCHELE ulionyooka! Staa wa Bongo Fleva, mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni, Estelina Sanga ‘Linah’ na mchumba’ke, Nangari Kombo wanadaiwa kutibuana, kisa kikidaiwa ni maneno ya wanafiki yasiyokuwa na ukweli.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LICHA YA MAHAKAMA KUMZUIA DAVIDO,CLOUDS WAJITOA FAHAMU ,KAMA NOMA NA IWE NOMA, DAVIDO APANDISHWA KINGUVU STEJINI,MASHABIKI WAMSUSIA,AZOMEWA

DAVIDO KAMA NONA NA IWE NOMA! Licha ya mahakama kumzuia Davido kufanya shoo kutokana na matatizo ya kimkataba, waandaaji wa shoo hiyo, C... thumbnail 1 summary
DAVIDO KAMA NONA NA IWE NOMA!
Licha ya mahakama kumzuia Davido kufanya shoo kutokana na matatizo ya kimkataba, waandaaji wa shoo hiyo, Clouds Media Group walimpandisha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND, ALI KIBA KAMA SIMBA NA YANGA,MASHABIKI WAMKOMOA DIAMOND,ALI KIBA ATAWALA NA KIBAGIZO CHA RETURN OF THE KING

Mkali wa ngoma ya Mwana, Ali Kiba na Mdogo wake Abdu Kiba wakikonga nyoyo za mashabiki stejini. Muda uliwadia ambapo watangazaji mayanki ... thumbnail 1 summary

Mkali wa ngoma ya Mwana, Ali Kiba na Mdogo wake Abdu Kiba wakikonga nyoyo za mashabiki stejini.


Muda uliwadia ambapo watangazaji mayanki wa Clouds FM, Hamis Mandi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FLORA, H-BABA WAMFUNIKA WEMA KWA MJENGO

HESHIMA!  Wanandoa, muigizaji Flora Mvungi ‘H.Mama’ na mwanamuziki Hamis Ramadhan ‘H.Baba’ wamemfunika mwigizaji Wema Sepetu kwa kupanga ... thumbnail 1 summary
HESHIMA! Wanandoa, muigizaji Flora Mvungi ‘H.Mama’ na mwanamuziki Hamis Ramadhan ‘H.Baba’ wamemfunika mwigizaji Wema Sepetu kwa kupanga ghorofa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIZI HAPA PICHA ZA BACKSTAGE YA SERENGETI FIESTA 2014 DAR ILIYOFANYIKA WEEKEND HII

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma 'Diamond' akifanya yake. thumbnail 1 summary


Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma 'Diamond' akifanya yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kama ulikosa kilichojiri jana kati ya Simba vs Yanga – hizi hapa picha za matukio yote

Vilabu vya Simba na Yanga jana vilitoka sare ya 0-0 katika mchezo wao wa kwanza wa Vodacom Premier League. thumbnail 1 summary
Vilabu vya Simba na Yanga jana vilitoka sare ya 0-0 katika mchezo wao wa kwanza wa Vodacom Premier League.
Vilabu vya Simba na Yanga jana vilitoka sare ya 0-0 katika mchezo wao wa kwanza wa Vodacom Premier League.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FIESTA 2014: KAMA NOMA NA IWE NOMA!

Kama noma na iwe noma!  Tamasha la Serengeti Fiesta 2014, wikiendi iliyopita lilifunga mitaa ya Jiji la Dar na viunga vyake ambapo buruda... thumbnail 1 summary
Kama noma na iwe noma! Tamasha la Serengeti Fiesta 2014, wikiendi iliyopita lilifunga mitaa ya Jiji la Dar na viunga vyake ambapo burudani ya kufa mtu ilidondoshwa kwenye Viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar na kugubikwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: