October 13, 2016

Jay Z Ajitangaza Kuachana rasmi na Biashara ya Madawa ya Kulevya

Mfalme wa muziki wa Hip Hop nchini Marekani, Jay Z, picha yake imeanza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii huku akiwa amevaa kofia ya mchez... thumbnail 1 summary
Mfalme wa muziki wa Hip Hop nchini Marekani, Jay Z, picha yake imeanza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii huku akiwa amevaa kofia ya mchezo wa Baseball ikiwa na maneno ya kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Beyonce na Jay Z Mahaba Niue, Waliosema Kuwa Wameachana Wanyamazishwa, Jionee Hapa

Tetesi kuwa Beyonce na Jay Z huenda wakawa katika hatua ya mwisho kuachana, hazioneshi kuwa na maana yoyote baada ya kuona picha hizi. thumbnail 1 summary
Tetesi kuwa Beyonce na Jay Z huenda wakawa katika hatua ya mwisho kuachana, hazioneshi kuwa na maana yoyote baada ya kuona picha hizi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tyson Fury: Apewa siku 10 na WBO kueleza ni kwa nini asipokonywe mkatanda huo

Bingwa wa ngumi uzani mzito wa duniani, Mwingereza Tyson Fury amepewa siku 10 na WBO kueleza ni kwa nini hafai kupokonywa mkanda wake wa ub... thumbnail 1 summary
Bingwa wa ngumi uzani mzito wa duniani, Mwingereza Tyson Fury amepewa siku 10 na WBO kueleza ni kwa nini hafai kupokonywa mkanda wake wa ubingwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Sallam afunguka tuhuma za kumfanyia ‘figisu’ Alikiba kwenye tamasha la Mombasa Rocks

Baada ya Alikiba kudai alifanyiwa ‘figisu’ kwenye tamasha la Mombasa Rocks Music [Festival] lililofanyika weekend iliyopita huku akimtuhumu... thumbnail 1 summary
Baada ya Alikiba kudai alifanyiwa ‘figisu’ kwenye tamasha la Mombasa Rocks Music [Festival] lililofanyika weekend iliyopita huku akimtuhumu meneja wa Diamond, Sallam kuhusika, Sallam amefunguka na kuzungumzia tuhuma hizo pamoja na kilichompeleka katika tamasha hilo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Facebook yaanzisha mfumo mpya wa njia ya barua pepe

Mtandao wa Facebook umeanzisha mfumo mpya wa mtandao mpya uliopewa jina la ‘Work Place’ ambao utasaidia makampuni kurahisisha mawasiliano... thumbnail 1 summary
Mtandao wa Facebook umeanzisha mfumo mpya wa mtandao mpya uliopewa jina la ‘Work Place’ ambao utasaidia makampuni kurahisisha mawasiliano kwa njia ya ujumbe wa video ya moja kwa moja.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha: Muonekano wa Uwanja mpya wa Santiago Bernabeu ifikapo 2020

Picha za uwanja wa Santiago Bernabeu kuja na muonekano mpya ifikapo mwaka 2020 klabu ya Real Madrid, imeamua kufanya Marekebisho ya uwa... thumbnail 1 summary

Picha za uwanja wa Santiago Bernabeu kuja na muonekano mpya ifikapo mwaka 2020 klabu ya Real Madrid, imeamua kufanya Marekebisho ya uwanja wao ambao utagharimu Pauni Milioni 360 hadi kukamilika, marekebisho hayo yataufanya uwanja huo kuwa katika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Bakhresa kuiunga mkono serikali katika sekta ya viwanda

Kampuni ya Bakhresa Foods imedhamiria kuongeza viwanda vingine vya usindikaji hapa nchini ili kuongeza thamani kwa mazao ya wakulimu. Aha... thumbnail 1 summary
Kampuni ya Bakhresa Foods imedhamiria kuongeza viwanda vingine vya usindikaji hapa nchini ili kuongeza thamani kwa mazao ya wakulimu. Ahadi hiyo imetolewa na mkurugenzi mkuu wa kampuni hiyo, Said Salim Bakhresa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mtengeni Trump – Obama awaasa viongozi wa juu wa chama cha Republican

Rais wa Marekani, Barack Obama amewaasa viongozi wa juu wa chama cha Republican, wajiondoe kumuunga mkono Donald Trump kama mgombea urais... thumbnail 1 summary
Rais wa Marekani, Barack Obama amewaasa viongozi wa juu wa chama cha Republican, wajiondoe kumuunga mkono Donald Trump kama mgombea urais wa chama chao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Barnaba aeleza kilichomkwamisha kuachia albamu mpya kama alivyoahidi

Msanii wa muziki anayefanya vizuri na wimbo ‘Lover Boy’ Barnaba Classic amesema amelazimika kusitisha kuachia albamu yake mpya na kujipa ... thumbnail 1 summary
Msanii wa muziki anayefanya vizuri na wimbo ‘Lover Boy’ Barnaba Classic amesema amelazimika kusitisha kuachia albamu yake mpya na kujipa muda zaidi wa kujipanga.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wasanii wa filamu Tanzania watakufa maskini – Faiza Ally

Msanii wa filamu Tanzania, Faiza Ally amefunguka kuhusiana na mwenendo wa tasnia ya Bongo Movie inayoendelea kwa sasa. thumbnail 1 summary
Msanii wa filamu Tanzania, Faiza Ally amefunguka kuhusiana na mwenendo wa tasnia ya Bongo Movie inayoendelea kwa sasa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rais Magufuli ‘awapiga stop’ viongozi kuhudhuria sherehe za kilele cha Mwenge wa Uhuru

Taarifa iliyotolewa Jumatano hii na Ikulu ya Dar es Salaam, imeeleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Maguful... thumbnail 1 summary
Taarifa iliyotolewa Jumatano hii na Ikulu ya Dar es Salaam, imeeleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, ameagiza viongozi wote wa Serikali walioalikwa kuhudhuria sherehe za Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Yusuf Manji mguu ndani, mguu nje Yanga

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amesema atakwenda kwenye mkutano wa wanachama wa klabu hiyo Oktoba 23 na kumalizana nao. thumbnail 1 summary
Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amesema atakwenda kwenye mkutano wa wanachama wa klabu hiyo Oktoba 23 na kumalizana nao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha: Nicki Minaj akava jarida la Marie Claire la mwezi Novemba

Rapper wa kike wa Marekani, Nicki Minaj amefanikiwa kukava jarida la Marie Claire la mwezi Novemba, mwaka huu. thumbnail 1 summary
Rapper wa kike wa Marekani, Nicki Minaj amefanikiwa kukava jarida la Marie Claire la mwezi Novemba, mwaka huu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zitto Kabwe ampiga dongo Makonda kuhusu uchafu uliokithiri Coco Beach

Zitto Kabwe ameitupia lawama manispaa ya Kinondoni pamoja na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa kushindwa kudhibiti tatizo l... thumbnail 1 summary
Zitto Kabwe ameitupia lawama manispaa ya Kinondoni pamoja na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa kushindwa kudhibiti tatizo la uchafu katika fukwe za Coco Beach.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Raymond azungumzia mpango wa kuanzisha label yake ‘WCB haimzuii mtu’

Msanii wa muziki kutoka WCB, Raymond ‘Rayvanny’ amefunguka kwa kusema kuwa msanii akiwa chini ya label ya WCB hakatazwi kuanzisha label y... thumbnail 1 summary
Msanii wa muziki kutoka WCB, Raymond ‘Rayvanny’ amefunguka kwa kusema kuwa msanii akiwa chini ya label ya WCB hakatazwi kuanzisha label yake na kusimamia wasanii.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Waziri awapa haueni walimu 4 waliotoa kipigo kwa mwanafunzi Mbeya

Baada ya uamuzi wa kuwafukuza vyuo walimu wanne waliokuwa kwenye mafunzo ya vitendo katika Shule ya Sekondari ya Kutwa ya Mbeya (Mbeya Da... thumbnail 1 summary
Baada ya uamuzi wa kuwafukuza vyuo walimu wanne waliokuwa kwenye mafunzo ya vitendo katika Shule ya Sekondari ya Kutwa ya Mbeya (Mbeya Day), serikali imesema vyuo husika vinaweza kushauri adhabu mbadala iwapo vitajiridhisha kuwepo kwa mazingira tofauti

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AMBER LULU YOUNG DEE SIO SIRI TENA,SASA KILA KITU HADHARANI

Ukimwaga mboga wenzio wanamwaga ugali. Ukweli wafahamika baada ya mara kadhaa rapper Young Dee kukanusha kuwahi kuwa na mahusiano na video ... thumbnail 1 summary
Ukimwaga mboga wenzio wanamwaga ugali. Ukweli wafahamika baada ya mara kadhaa rapper Young Dee kukanusha kuwahi kuwa na mahusiano na video vixen kutoka kwenye kiwanda cha Bongo Fleva, Amber Lulu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VANESSA MDEE AFUNGUKA MAZITO KUHUSU CHRISS BROWN,AFICHUA MENGI BAADA YA SHOW YA MOMBASA

Mara nyingi wasanii wa nje wanapokuja kwenye show Afrika, hupenda kujichanganya na wasanii wanaotangulia kwenye show yake na kuchukua selfi... thumbnail 1 summary
Mara nyingi wasanii wa nje wanapokuja kwenye show Afrika, hupenda kujichanganya na wasanii wanaotangulia kwenye show yake na kuchukua selfie na vitu kama hivyo. Lakini kwenye tamasha la Mombasa Rocks lililofanyika Oktaba 8 mjini Mombasa ambalo Chris

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUU NDIO USHAURI WA NICKI MINAJ KWA WANAWAKE WOTE

Nicki Minaj ameamua kuweka wazi kwamba kuwa mwanamke katika maisha haikuzuii kutokuwa na mafanikio. thumbnail 1 summary
Nicki Minaj ameamua kuweka wazi kwamba kuwa mwanamke katika maisha haikuzuii kutokuwa na mafanikio.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DRAKE KWENYE REKODI NYINGINE YA TUZO ZA SOUL TRAIN 2016

Hii tunaita kupatwa kwa Drake kwa kuwa mwaka huu umekuwa ni wamafanikio makubwa sana kwake. Baada ya kutajwa kuvunja rekodi iliyowekwa ... thumbnail 1 summary
Hii tunaita kupatwa kwa Drake kwa kuwa mwaka huu umekuwa ni wamafanikio makubwa sana kwake.
Baada ya kutajwa kuvunja rekodi iliyowekwa na Michael Jackson katika vipengele vya tuzo za AMA, Tuzo za Soul Train nazo Drake ametajwa kuwa ndio msanii pekee ametajwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ALI KIBA ANA MZIKI MZURI LAKINI KUNA WALAKINI MAHALI

Ule usemi wa kwenye miti hakuna wajenzi nimeliona kwenye hiyo Show ya Mombasa hasa baada ya Ali Kiba kuhojiwa na kipindi cha Mseto... kwa k... thumbnail 1 summary
Ule usemi wa kwenye miti hakuna wajenzi nimeliona kwenye hiyo Show ya Mombasa hasa baada ya Ali Kiba kuhojiwa na kipindi cha Mseto... kwa kweli huyu msanii anahitaji Management. Anajisikia sana anategemea mashabiki sana anasahau hata mitume walisalitiwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KIM KARDASHIAN AISHTAKI TOVUTI HII KWA KUANDIKA TAARIFA ZA UONGO..

Staa wa TV show na Babymama wa Kanye West Kim Kardashian ameishitaki Website ya “Media TakeOut” pamoja na Bosi wa mtandao huo kwa kile al... thumbnail 1 summary
Staa wa TV show na Babymama wa Kanye West Kim Kardashian ameishitaki Website ya “Media TakeOut” pamoja na Bosi wa mtandao huo kwa kile alichokidai ni uchafuliwaji wa jina baada ya mtandao huo kuripoti kama Kim alidanganya tukio lake la kuvamiwa mjini Paris.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MH. JANUARY MAKAMBA ALIVYOTEMBELEA OFISI ZA WCB WASAFI(+VIDEO)

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Raisi, muungano na mazingira Muheshimiwa January Makamba hivi karibuni aletembelea ofisi za lebo ya muz... thumbnail 1 summary
Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Raisi, muungano na mazingira Muheshimiwa January Makamba hivi karibuni aletembelea ofisi za lebo ya muziki ya WCB Wasafi zilizopo pande za Sinza Dar es Salaam ili kushuhudia ufanyaji kazi wa vijana wa lebo hiyo ambayo iko chini ya msanii Diamond

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ZARI THE BOSS LADY AFUNGUKA HAYA KUHUSU MIMBA YAKE,AFICHUUA MENGINE LIVE

Am officially pregnant... swollen face,nose, eyes and lips and he says he doesn't notice anything. Like seriously Boo. Nice try for m... thumbnail 1 summary
Am officially pregnant... swollen face,nose, eyes and lips and he says he doesn't notice anything. Like seriously Boo. Nice try for making me feel better..but nope it didn't work

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND PLATINUMS AFICHUA MWIMBAJI WA BONGO AMBAYE ALIKUWA AKIMUIGA KABLA HAJATOKA

Diamond amesema wakati anaanza muziki, alikuwa anamuigiza Barnaba lakini baadaye akaja kupata njia yake mwenyewe.Alisema hivyo kujibu swa... thumbnail 1 summary
Diamond amesema wakati anaanza muziki, alikuwa anamuigiza Barnaba lakini baadaye akaja kupata njia yake mwenyewe.Alisema hivyo kujibu swali la anaonaje pale anapomsikia Harmonize akiimba kama yeye.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wizkid Fights With Tanzanian Singer Ali Kiba During Chris Brown Concert In Kenya!

New reports have confirmed that Wizkid got into a fight with Tanzania’s top star, Ali Kiba, over who would perform first over the weeke... thumbnail 1 summary

New reports have confirmed that Wizkid got into a fight with Tanzania’s top star, Ali Kiba, over who would perform first over the weekend during the Mombasa Rocks concert headlined by Chris Brown.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: