January 17, 2014

HIZO NDIZO HASARA NA FAIDA ZA MWANAMKE ALIYEZOEA KUPIGA PUNYETO...!! SOMA HAPA KUZIFAHAMU..

Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako huru ku... thumbnail 1 summary


Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako huru kulizungumzia au kukili kuwa wakizidiwa huwa wanajisaidia…….

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ALINIPIGA PICHA NIKIWA UCHI KUMBE ALIKUWA NA MALENGO YAKE...!FUATILIA ZAIDI HAPA...!

Kwakuwa aliona kuwa kuna dalili za mimi na yeye kuachana, kwakuwa tayari mapenzi na yeye nilikuwa sina tena kutoka na yeye kunisalit... thumbnail 1 summary

Kwakuwa aliona kuwa kuna dalili za mimi na yeye kuachana, kwakuwa tayari mapenzi na yeye nilikuwa sina tena kutoka na yeye kunisaliti kila mara, alifanya kila njia ili baadae aje kunidhalilisha, alinipiga picha na kuisave kwenye computer

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUUMWA KWA NISHA KUMBE ALITOA MIMBA.... MWENYEWE AFUNGUKA NA KUELEZEA

MTAYARISHAJI na mwigizaji wa Bongo Movie, Salma Jabu ‘Nisha’ amefunguka akidai kuwa maendeleo yake katika filamu yamemtengenezea m... thumbnail 1 summary

MTAYARISHAJI na mwigizaji wa Bongo Movie, Salma Jabu ‘Nisha’ amefunguka akidai kuwa maendeleo yake katika filamu yamemtengenezea maadui.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAJUA HOSTELI ZA VYUO ZINAVYOGEUZWA MADANGURO YA KUPIGIA PICHA ZA NGONO! TAZAMA HAPA UJIONEEE!!!

AMA KWA HAKIKA HAYA NIA MAJANGA...WAZAZI POPOTE MLIPO JITAHIDINI KUWAPA ELIMU YA MAISHA WATOTO WENU WALIOPO MASHULENI NA VYUONI,... thumbnail 1 summary

AMA KWA HAKIKA HAYA NIA MAJANGA...WAZAZI POPOTE MLIPO JITAHIDINI KUWAPA ELIMU YA MAISHA WATOTO WENU WALIOPO MASHULENI NA VYUONI, MAANA ELIMU YA DARASANI

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kikwete awatia hofu kubwa wabunge wa CCM

Dk Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Januari 16,2014-Alhamisi WAKATI Rais Jakaya Kikwete akitarajiwa ... thumbnail 1 summary
Dk Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Januari 16,2014-Alhamisi
WAKATI Rais Jakaya Kikwete akitarajiwa kutangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri muda wowote kuanzia sasa, baadhi ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanadaiwa kuishi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NAMKUMBUKA SANA MPENZI WANGU WA ZAMANI, NAJUTA KUACHANA NAE !! SOMA HAPA ZAIDI

Nilichukua uamuzi wa kuachana na boyfriend wangu eti kwasababu nilikuwa nikikuta sms za wanawake kwenye simu yake pia muda mwingi ... thumbnail 1 summary

https://www.facebook.com/theclicktz
Nilichukua uamuzi wa kuachana na boyfriend wangu eti kwasababu nilikuwa nikikuta sms za wanawake kwenye simu yake pia muda mwingi alikuwa hapatikani yani mpaka yeye anipigie, ilifika wakati nikachoka nikaamua bora mapenzi yetu yaishe

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA KUSHINDWA KULIPA KODI YA NYUMBA MJINI WAKIMBIA, MSANII JACK PENTEZEL NA MUMEWE

Muigizaji wa filamu za kibongo nchini Jacqueline Pentezel na mumuwe, Gadner Dibibi  wamedaiwa kuukimbia mji  kufuatia kukutwa na  u... thumbnail 1 summary


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjltBuhDdvhgrhCx3eYHzU3UaJJPhkyql4Qq_-PPQasF14PUWsaNQ00nOrJwLyZSxEST7igDeb2LxEuzowWjOYxVH-oQTx85lOR3FSoy0B_ugC36_El0rPWy-mJdTWTHwrbpVnUQtnzGV4/s640/IMG-20130324-WA0001.jpgMuigizaji wa filamu za kibongo nchini Jacqueline Pentezel na mumuwe, Gadner Dibibi  wamedaiwa kuukimbia mji  kufuatia kukutwa na  ukata uliowafanya washindwe kumudu gharama za kuishi Mwananyamala

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ONGEZEKO LA MASHOGA WA KIUME BONGO! TATIZO NI NINI?

Nimetembea baa nyingi kinondoni na sinza siku za karibuni, nimeshangazwa na ongezeko kubwa sana la mashoga tena siku hiz... thumbnail 1 summary


Nimetembea baa nyingi kinondoni na sinza siku za karibuni, nimeshangazwa na ongezeko kubwa sana la mashoga tena siku hizi hawajifichi kama zamani!! Juzi nilikuwa baa moja pale kinondoni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA TETESI KUWA KAFUKUZWA CLOUDS FM DIVA AMETANGAZA KUGOMBANIA UBUNGE 2015

Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho kutoka Clouds Fm ‘The people’s Station’ leo kwenye akaunti yake ya Instagram amepost pi... thumbnail 1 summary

Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho kutoka Clouds Fm ‘The people’s Station’ leo kwenye akaunti yake ya Instagram amepost picha ikiwa na maneno haya chini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KANYE WEST AANZISHA DINI YAKE ... SOMA HAPA

Attention! Dini mpya kabisa duniani inaitwa Yeezianity .  Jina hili linafanana na album mpya ya kanye inayoitwa Yeezus ambayo ... thumbnail 1 summary

Attention! Dini mpya kabisa duniani inaitwa Yeezianity .  Jina hili linafanana na album mpya ya kanye inayoitwa Yeezus ambayo ni combination ya  nickname yake ya Ye na jina la  Jesus. Tayari kuna website kwa ajili ya waumini inayoitwa Yeezanity.com .

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MUME WANGU HANIFIKISHI KABISAAA....KILA SIKU HAISHI VIJISABABU...NAOMBENI USHAURI JAMANI....!

Mpenzi wangu ni mfanya biashara sikatai kwakweli anashughuli nyingi zinazomfanya achoke sana, lakini mi napata wasiwasi sas... thumbnail 1 summary

Mpenzi wangu ni mfanya biashara sikatai kwakweli anashughuli nyingi zinazomfanya achoke sana, lakini mi napata wasiwasi sasa hivi kila siku akirudi yeye amechoka tu, kila siku tunalala mzungu wanne tu yani hata anigusi,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UKITAKA USIMEGEWE HAKIKISHA UNAMPA MPENZI WAKO MAHABA NIUE YENYEWE MAGAWATI ZA KUTOSHA...!

Ukitaka Usimegewe hakikisha unampa Mpenzi wako Mahaba-Niue Niteketeze Kabisa yenye Megawati za kumtosha kuendesha Mitambo ya Fura... thumbnail 1 summary


Ukitaka Usimegewe hakikisha unampa Mpenzi wako Mahaba-Niue Niteketeze Kabisa yenye Megawati za kumtosha kuendesha Mitambo ya Furaha kwenye Moyo wake...Ukishindwa kumpatia lazima atakutafutia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WANACHAMA 35 WA CCM KISALA WAHAMIA CHADEMA ... SOMA ZAIDI

KATIKA hali inayoonesha Umakini wa Chama cha Chadema kusimamia maamuzi yake ya kuachana na ajenda za Wasaliti ili kisitoke kwenye hoja ... thumbnail 1 summary
KATIKA hali inayoonesha Umakini wa Chama cha Chadema kusimamia maamuzi yake ya kuachana na ajenda za Wasaliti ili kisitoke kwenye hoja muhimu, sasa kimejikita kwenye mikakati mizito ya 2014, ambapo jana wanachama 35 wa Chama Tawala (CCM) wamejiunga na CHADEMA.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WANANDOA/WAPENZI ... MAUMIVU WAKATI WA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA (DYSPAREU) ... SOMA ZAIDI HAPA...

TAFITI za kitabibu zinaonyesha kuwa mwanamke asikiapo maumivu haya anatakiwa kuchukua hatua za haraka bila kuchelewa kabla afya... thumbnail 1 summary

TAFITI za kitabibu zinaonyesha kuwa mwanamke asikiapo maumivu haya anatakiwa kuchukua hatua za haraka bila kuchelewa kabla afya yake ya uzazi haijazorota na kumletea ugumba.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WATOTO WADOGO WAENDELEA KUAKWA DAR...MMOJA ANYWESHWA BIA NA...SOMA ZAIDI MIKASA YAO HAPO

  WIMBI la ubakaji wa watoto wadogo limeendelea, baada ya watu wawili kuripotiwa kuwabaka wasichana wadogo wa kike katika matukio mawi... thumbnail 1 summary

WIMBI la ubakaji wa watoto wadogo limeendelea, baada ya watu wawili kuripotiwa kuwabaka wasichana wadogo wa kike katika matukio mawili tofauti wiki iliyopita.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DUUUH ... MAMA ATELEKEZA WATOTO JIJINI DAR ..... KWANINI SOMA HAPA

KATIKA hali ya kusikitisha kamera yetu mchana huu imenasa picha za watoto waliosemekana kuwa mama yao aliwaacha na kwenda kuombaomba... thumbnail 1 summary

KATIKA hali ya kusikitisha kamera yetu mchana huu imenasa picha za watoto waliosemekana kuwa mama yao aliwaacha na kwenda kuombaomba katikati ya jiji la Dar es Salaam. Watoto hao walioonekana kuwa na njaa kali walikutwa katika eneo la makutano

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NI NOMAA (+18) ... POMBE ZAMWAIBISHA BI-MDADA AVUA NGUO HADHARANI .... SOMA HAPA

MWANAMKE huyu mkaazi wa kahama wiki iliyopita alitoa kali ya mwaka alipofakamia pombe kali almaarufu kwa jina la kiroba, ... thumbnail 1 summary



MWANAMKE huyu mkaazi wa kahama wiki iliyopita alitoa kali ya mwaka alipofakamia pombe kali almaarufu kwa jina la kiroba,

Chanzo cha habari kiliieleza kwamba dada huyu alifakamia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NIMEKUNYWA POMBE ZIMESHUKA CHINI .... NISAIDIE NIFANYAJE???

Yapata mwezi wa tatu sasa toka kaka yangu amesafiri kwenda masomoni nchini Uganda.muda si mrefu shemeji yangu kanipigi... thumbnail 1 summary

Yapata mwezi wa tatu sasa toka kaka yangu amesafiri kwenda masomoni nchini Uganda.muda si mrefu shemeji yangu kanipigia simu nyumbani kuna matatizo nimeenda nilipofika kwake nimemkuta shemeji yangu yupo sebuleni kavaa nusu uchi nikamuuliza kuna nini?!! Akaniambia samahani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

GARI JIPYAAA LA DIAMOND LENYE THAMANI YA ZAIDI YA MILLION 100 ZA KITANZANIA...SOMA ZAIDI HAPA

 Hahaaaa kweli diamond noma sana, wanaosema ana hela kibao hawajakosea kabisa kwani kwa mafanikio aliyonayo na ... thumbnail 1 summary


 Hahaaaa kweli diamond noma sana, wanaosema ana hela kibao hawajakosea kabisa kwani kwa mafanikio aliyonayo na anaendelea kupata sidhani kama atafilisika leo. Najua kuna wengi mnaweza bisha na kusema kwani Mr Nice alikua

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JACK PATRICK KAACHIWA HURU?

Stori: IMELDA MTEMA UTATA umeibuka kufuatia kuwepo kwa taarifa kuwa huenda modo maarufu ... thumbnail 1 summary


Stori: IMELDA MTEMA
UTATA umeibuka kufuatia kuwepo kwa taarifa kuwa huenda modo maarufu aliyedaiwa kushikiliwa nyuma ya ndondo kwa msala wa madawa ya kulevya nchini China, Jacqueline Patrick ameachiwa huru.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TATIZO LA KUTOPATA UJAUZITO ..SOMA HAPA KUJUA

Kama ilivyo kwa mwanaume, mwanamke pia anahitaji uchunguzi wa kina, kwani tatizo linaweza kusabab... thumbnail 1 summary



Kama ilivyo kwa mwanaume, mwanamke pia anahitaji uchunguzi wa kina, kwani tatizo linaweza kusababishwa na mambo mengi.
Matatizo yanaweza kuanzia ukeni yakapanda ndani au yakaanzia humohumo ndani.
Matatizo ya uzazi kwa mwanamke yamegawanyika katika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

"NAZIPENDA PESA ZAKE LAKINI SIMUHITAJI KIMAPENZI KWASABABU SIO HANDSOME, NIFANYEJE...??"...MDAU ANOMBA USHAURI....!!

    Naitwa clara nina mchumba wangu ambaye ananigaramia kwa mambo yote hapa chuoni ila tatizo sio handsom... thumbnail 1 summary

  naitwa clara nina mcumba wangu ambaye ananigaramia kwa mambo yote hapa chuoni ila tatizo sio handsome alafu ni mzee ananizidi miaka kama 10 hivi!Lakini sa hivi nimepata serengeti boy handsome lakini hela hana kama yule mbaba! mi ningependa kuwa na mpenzi mmoja ambaye ndo huyu handsome lakini nahofia sitapata hela za matanuzi tena na siku yule mzee akindua kuwa nawachanganya ataniacha! nimeshindwa nifanyeje sababu hela napenda na huyu handsome nampenda vilevile! naombeni ushauri wenu jamani 


Naitwa clara nina mchumba wangu ambaye ananigaramia kwa mambo yote hapa chuoni ila tatizo sio handsome alafu ni mzee ananizidi miaka kama 10

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KILA MWANAUME NINAYE MVULIA CHUPI SIKU YA KWANZA HARUDI TENA...NIFANYEJE...??

    Mimi  ni  mwanamke.Naomba msaada wa  mawazo  maana  sijui nina nini mimi... Umri unanitupa mkono maana nakaribia miaka 35 lakini ... thumbnail 1 summary

  
Mimi  ni  mwanamke.Naomba msaada wa  mawazo  maana  sijui nina nini mimi...
Umri unanitupa mkono maana nakaribia miaka 35 lakini sijampata aliyewahi kunitangazia ndoa.Cha ajabu kila anayelala na mimi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VUNJA MBAVU .... OYAAA BONGE NJOO TUBONGE!

SHWARI kitaa hiyooo…ama nini? Aisee arifu kipande hii ni mzuksi kinomanoma. Ebana eeh... thumbnail 1 summary
SHWARI kitaa hiyooo…ama nini? Aisee arifu kipande hii ni mzuksi kinomanoma. Ebana eeh…lasti wikiendi ilikuwa longi ileile baada ya kuunganishwa na kitu cha holidei mbili za fastafasta chaliiangu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WACHINA WATENGENEZA MELI YA TITANIC UPYA .... SOMA ZAIDI

Nchi ya China ni Nchi inayoonekana kuwa na Wakazi wanaopendela ujenzi wa majengo makubwa ya kihistoria ... thumbnail 1 summary

titanics
Nchi ya China ni Nchi inayoonekana kuwa na Wakazi wanaopendela ujenzi wa majengo makubwa ya kihistoria na magari kadhaa yenye muonekano wa alama ya uchina kama ishara ya kuonyesha ufanisi wao katika uvumbuzi wa vitu mbalimbali hapa duniani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

hadithi .... UTAJIRI WA DAMU - 11

ILIPOISHIA “Anasemaje huyo Mmakonde?” aliniuliza. “Anazungumzia dawa aliyokupa.” “Achananaye. Nitakupa zawadi kubwa sana kwa kunific... thumbnail 1 summary

ILIPOISHIA
“Anasemaje huyo Mmakonde?” aliniuliza.
“Anazungumzia dawa aliyokupa.”
“Achananaye. Nitakupa zawadi kubwa sana kwa kunifichia siri kwa polisi…kuhusu mbwa na mkono wa mtu kwenye friji,” alisema akiniangalia.
SONGA NAYO...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RAYUU ASEMA MANENO MAZITO YA KWAMBA, "KINGWENDU ANAKILA SIFA YA KUWA MUME WANGU "

MSANII wa kike wa filamu Bongo Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amefunguka kwa kusema kuwa mwanaume sahihi kwake na anayestahili kumuoa n... thumbnail 1 summary

MSANII wa kike wa filamu Bongo Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amefunguka kwa kusema kuwa mwanaume sahihi kwake na anayestahili kumuoa ni Rashid Mizengwe ‘Kingwendu’ kwa kusema anaamini ndiye anaweza kuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hadithi .... Mimba ya Jini- 13

ILIPOISHIA: “Mustafa mimi mtu wa kawaida najua uzuri wangu utakubabaisha, nione kama nyama yoyote isiyo na mfupa kwenye kisu kikali.” ... thumbnail 1 summary

ILIPOISHIA:
“Mustafa mimi mtu wa kawaida najua uzuri wangu utakubabaisha, nione kama nyama yoyote isiyo na mfupa kwenye kisu kikali.”
“Unatu..tumia kinywaji gani?” Mustafa alijikaza na kumuuliza.
“Kwa leo sihitaji kitu nataka tuzungumze kitu ili niondoke zangu.”
“Kitu gani?”
“Mustafa unakumbuka nilikuahidi nini?”
SASA ENDELEA...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: