May 27, 2014

PICHA MBALI MBALI WAKATI WA KUREKODI VIDEO MPYA YA CHEGE NA TEMBA KUTOKA TMK WANAUME

SEHEMU YA WADAU WA MUZIKI WANAOSHIRIKI KWENYE VIDEO HIYO NI PAMOJA NA JULIO,MADEE NA JOKATE KAMA WANAVYOONEKANA PICHANI HAPA. thumbnail 1 summary


SEHEMU YA WADAU WA MUZIKI WANAOSHIRIKI KWENYE VIDEO HIYO NI PAMOJA NA JULIO,MADEE NA JOKATE KAMA WANAVYOONEKANA PICHANI HAPA.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA PICHA ZA MGOMO WA MADEREVA NA MAKONDAKTA WA DALADALA LEO ASUBUHI KUGOMA KUPELEKA ABIRIA MWENGE KUTOKA MAKUMBUSHO

 Kamanda wa Polisi Kinondoni akiongea na waandishi wa habari kuelezea ni jinsi gani watashughulikia shida ya barabara hiyo... thumbnail 1 summary







 Kamanda wa Polisi Kinondoni akiongea na waandishi wa habari kuelezea ni jinsi gani watashughulikia shida ya barabara hiyo ya kutoka kituoni makumbusho

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WANAOJIITA WATOTO WA MBWA NA PANYA ROAD 149 WANASWA NA POLISI

Hawa ndio viongozi wa panya road na mbwa mwitu ambao tayari wameshakamatwa   Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Sala... thumbnail 1 summary








Hawa ndio viongozi wa panya road na mbwa mwitu ambao tayari wameshakamatwa
 Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanya msako wa nyumba kwa nyumba,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ROSE MUHANDO ROHO MKONONI, ANUSURIKA KUTEKWA...CHEKI HAPA

MY GOD! Mwanamuziki wa Injili daraja la kwanza nchini,   Rose   Muhando anaishi roho mkononi kufuatia madai kwamba kuna watu wanaomsaka w... thumbnail 1 summary

MY GOD! Mwanamuziki wa Injili daraja la kwanza nchini, Rose Muhando anaishi roho mkononi kufuatia madai kwamba kuna watu wanaomsaka wakisemekana wametumwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha 10 za gari analotembelea H.baba kwa sasa

Maisha ya mastar wetu wa Kitanzania yanazidi kukua zaidi na kuwapelekea kumiliki baadhi ya vitu vya gharama kutokana na jitihada zao na k... thumbnail 1 summary
22wauwevdMaisha ya mastar wetu wa Kitanzania yanazidi kukua zaidi na kuwapelekea kumiliki baadhi ya vitu vya gharama kutokana na jitihada zao na kujipanga vizuri na kuepuka kulewa sifa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Liverpool imemuongezea Brendan mkataba.

Ni kocha mwenye umri wa miaka 41 ambae alianza kazi ya kuwa kocha mwaka 2008 kwenye club ya Watford na kisha kuhamia Reading mwaka 2009, ... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-05-27 at 12.42.41 AMNi kocha mwenye umri wa miaka 41 ambae alianza kazi ya kuwa kocha mwaka 2008 kwenye club ya Watford na kisha kuhamia Reading mwaka 2009, 2010 akaenda Swansea City kisha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Shindano la Big brother Africa linarudi… mabadiliko ya 2014 yako hapa

Unaambiwa shindano hili ambalo limekua likifanyika na kuhusisha Watanzania toka lilipoanza ambapo ni Mtanzania mmoja tu (Richard) ndio al... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-05-26 at 6.11.50 PMUnaambiwa shindano hili ambalo limekua likifanyika na kuhusisha Watanzania toka lilipoanza ambapo ni Mtanzania mmoja tu (Richard) ndio alichukua ushindi katika miaka yote hiyo ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nigeria yatoa “dili” ili kuachiwa wasichana waliotekwa.

Kwa mujibu wa shirika la habari la BBC, mpango kwa ajili ya kuachiliwa kwa baadhi ya wanafunzi wa kike waliotekwa nyara nchini Nigeria ... thumbnail 1 summary
Nigeria
Kwa mujibu wa shirika la habari la BBC, mpango kwa ajili ya kuachiliwa kwa baadhi ya wanafunzi wa kike waliotekwa nyara nchini Nigeria unakaribia kufikiwa wakati serikali ya Nigeria ikiitisha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Tazama wimbo ulioimbwa na wachezaji wa Real Madrid kusherehekea ubingwa wa ulaya

Baada ya kushinda taji la 10 la kihistoria la ligi ya mabingwa wa ulaya, timu nzima ya Real Madrid thumbnail 1 summary
article-2639147-1E35F0C300000578-684_634x423Baada ya kushinda taji la 10 la kihistoria la ligi ya mabingwa wa ulaya, timu nzima ya Real Madrid

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Vigodoro vimepigwa marufuku Dar es salaam.

Jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es salaam limepiga marufuku ngoma za kitamaduni ambazo zimekuwa zikifanyika  nyakati za usiku kwenye... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-05-27 at 1.51.28 AMJeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es salaam limepiga marufuku ngoma za kitamaduni ambazo zimekuwa zikifanyika  nyakati za usiku kwenye maeneo mbalimbali Dar es salaam ikiwa ni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mafuriko sio Tanzania tu, hii imetokea China na kuua zaidi ya 20 ( picha5 )

Ni dhoruba kali iliyoleta majonzi Kaskazini mwa China ambako mpaka sasa tayari watu 26 wamefariki na wengine 10 hawajulikani walipo huku ... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-05-27 at 2.30.30 AMNi dhoruba kali iliyoleta majonzi Kaskazini mwa China ambako mpaka sasa tayari watu 26 wamefariki na wengine 10 hawajulikani walipo huku vyombo vya usalama na uokoaji vikizidi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UVUMILIVU UMEWASHINDA:WAMACHINGA WAMUUA ASKARI BAADA YA MZOZO MKUBWA KUTOKEA

KATIKA  hali isiyokuwa ya kawaida vijana wanaodaiwa ni Wamachinga wamemuua askari mmoja wa Jiji la Dar es Salaam kwa kumpiga na stuli kic... thumbnail 1 summary
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida vijana wanaodaiwa ni Wamachinga wamemuua askari mmoja wa Jiji la Dar es Salaam kwa kumpiga na stuli kichwani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WANANCHI WAZIDI KURUDI KUNDINI NA KUAMINI KUPITILIZA: SASA MAJI YANAYOPONYA MAGONJWA YOTE YAPATIKANA

WANADAMU  wanazidi kuegemea kwenye imani utata! Hivi karibuni, watu mbalimbali wenye magonjwa wamekuwa wakimiminika nchini Nigeria na kuo... thumbnail 1 summary
WANADAMU wanazidi kuegemea kwenye imani utata! Hivi karibuni, watu mbalimbali wenye magonjwa wamekuwa wakimiminika nchini Nigeria na kuoga

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SIVAI TENA VIMINI...MAINDA AFUNGUKA!!

IMEKAA poa sana! Shosti anayesukuma maisha kupitia mgongo wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ ameahidi kufanya mabadiliko ya mavazi kua... thumbnail 1 summary


IMEKAA poa sana! Shosti anayesukuma maisha kupitia mgongo wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ ameahidi kufanya mabadiliko ya mavazi kuanzia kwenye filamu hadi maisha yake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Viatu vya KANUMBA vyakosa mvaaji…Wasambazaji wa Filamu walalamika Mauzo kushuka..

Wasambazaji wa filamu wanasema hakuna mauzo tena ya filamu toka kifo cha marehemu Steven Kanumba, wanalalamika kuwa mauzo yameshuka sana... thumbnail 1 summary

1

Wasambazaji wa filamu wanasema hakuna mauzo tena ya filamu toka kifo cha marehemu Steven Kanumba, wanalalamika kuwa mauzo yameshuka sana hadi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JIONEEE PANYA WANAVYOANDALIWA KWA AJILI YA KITOWEWO......!!!!

Nimesikia kwamba panya wana vitamin, huyu mama amekuwa wa kwanza kuitikia wito wa thumbnail 1 summary

Nimesikia kwamba panya wana vitamin, huyu mama amekuwa wa kwanza kuitikia wito wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Masogange tunamsingizia jamani....Kwa mara ya kwanza kutana na Matilda Hipsy

Hatari sana... leo tunatembea bara zima kutafuta MIZIGO MIZITO...Huyu ni Matilda Quaye aka Matilda Hipsy kutoka Ghana... Waghana wengi... thumbnail 1 summary


Hatari sana... leo tunatembea bara zima kutafuta MIZIGO MIZITO...Huyu ni Matilda Quaye aka Matilda Hipsy kutoka Ghana... Waghana wengi wanamfahamu vizuri...Mara

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kutana na Rita Onyemachi: Most Beautiful Face In Nigeria 2014 winner.

Wolowolo...Kubali ukate kuna warembo wenye SURA muzuri......Hili ishindano liliofanyika jana nchini Nigeria.... Rita amewashinda wes... thumbnail 1 summary


Wolowolo...Kubali ukate kuna warembo wenye SURA muzuri......Hili ishindano liliofanyika jana nchini Nigeria.... Rita amewashinda weshindani wenzake 32 na kuibuka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MTOTO WA GAVANA NCHINI NIGERIA AHUDHURIA HARUSI YA KIM NA KANYE WEST CHECK PICHA HAPA

Abisola with Khloe Kardashian's bestie, Malika, Kim Kardashian's bestie, Lala Anthony just before Kim Kardashian's wedding reh... thumbnail 1 summary
Abisola with Khloe Kardashian's bestie, Malika, Kim Kardashian's bestie, Lala Anthony just before Kim Kardashian's wedding rehearsal last night.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: