July 05, 2014

GIGGS AWA DAKTARI WA SAYANSI...HESHIMA YAKO MKONGWE!

+5 Heshima: Gwiji wa Manchester United akipozi katika picha baada ya kupata digrii yake kwenye ukumbi wa  Victoria Hall mjin... thumbnail 1 summary

Honour: The Manchester United legend poses with his degree at Victoria Hall in Bolton
Heshima: Gwiji wa Manchester United akipozi katika picha baada ya kupata digrii yake kwenye ukumbi wa  Victoria Hall mjini Bolton.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

OMOTOLA ALINGA NA CHETI CHAKE CHA DARASA LA SABA

Muigizaji wa kike wa Nollywood, Omotola Jalade amezua alama za kuuliza kwa mashabiki wake baada ya kuamua kupost kwenye mtandao cheti cha... thumbnail 1 summary
Muigizaji wa kike wa Nollywood, Omotola Jalade amezua alama za kuuliza kwa mashabiki wake baada ya kuamua kupost kwenye mtandao cheti chake cha kumaliza shule

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA PICHA ZAGARI ALILOZAWADIWA MWIMBAJI LINAH

Makampuni mbalimbali nchini Tanzania sasa hivi yameanza kuamka kwa nguvu kuwatumia vizuri mastaa wa bongo kwenye kutangaza biashara zao thumbnail 1 summary
l4Makampuni mbalimbali nchini Tanzania sasa hivi yameanza kuamka kwa nguvu kuwatumia vizuri mastaa wa bongo kwenye kutangaza biashara zao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAMA YAKE WEMA KUSOMA ALBADILI KWA WOTE WALIOHUSIKA NA KUMCHAFUA NA SKENDO ILE CHAFU SOMA KISA CHOTE HAPA

SIKU  chache zimekatika tangu kusambazwa kwa picha feki inayodaiwa ni ya mama wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Mariam Sepetu, wawili hao... thumbnail 1 summary
SIKU chache zimekatika tangu kusambazwa kwa picha feki inayodaiwa ni ya mama wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Mariam Sepetu, wawili hao wako kwenye mkakati mzito wa kuwasomea kisomo cha Albadili wale wote

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MTITU AMCHANA MAKAVU WASTARA KWA KUTOHUDHURIA MAZISHI YA RECHO SOMA HAPA

BIG boss wa Kampuni ya Five Effect, William Mtitu amemtolea uvivu msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma kwa kumwambia kuwa, alimkosea sana... thumbnail 1 summary
BIG boss wa Kampuni ya Five Effect, William Mtitu amemtolea uvivu msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma kwa kumwambia kuwa, alimkosea sana marehemu Sheila Haule ‘Recho’ kwa kutomzika.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DUDU BAYA ASAKWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA UUAJI

MKONGWE  wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini ‘Dudubaya’ anasakwa na polisi kwa RB namba OB/RB/11650/2014 KUTISHIA KUUA mganga wa jadi Mery Kapa... thumbnail 1 summary
MKONGWE wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini ‘Dudubaya’ anasakwa na polisi kwa RB namba OB/RB/11650/2014 KUTISHIA KUUA mganga wa jadi Mery Kapalisya ambaye inadaiwa alikuwa akiishi naye kama mkewe.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

J Martins na Dj Arafat wamerudi tena na hii video mpya baada ya ‘touching body’ @Realjmartins

Kolabo yao ya kwanza ‘touching body’ ilifanikiwa kuyafikia mataifa mengi ya Afrika mpaka thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-07-05 at 2.08.54 AMKolabo yao ya kwanza ‘touching body’ ilifanikiwa kuyafikia mataifa mengi ya Afrika mpaka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hii ni video mpya kutoka kwa T Pain – Love Suicide

Amewai kuja Tanzania kwa ajili ya show na hivi sasa ametoa video mpya inaitwa Love Suicede. thumbnail 1 summary
t-pain-lsAmewai kuja Tanzania kwa ajili ya show na hivi sasa ametoa video mpya inaitwa Love Suicede.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha 22 za utengenezwaji wa video mpya ya @MwanaFA ft. G Nako – mfalme

Mfalme ni single ambayo ndani ya wiki nne za kuwa ndani ya chati ya CloudsFM Top20 imevunja rekodi yake kwa kufika mpaka kwenye nafasi ya... thumbnail 1 summary
1Mfalme ni single ambayo ndani ya wiki nne za kuwa ndani ya chati ya CloudsFM Top20 imevunja rekodi yake kwa kufika mpaka kwenye nafasi ya 2 baada ya kuzipita nyingine nyingi ambazo zina zaidi ya wiki tano kwenye countdown.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RODRIGUEZ AMWAGA `CHOZI` BAADA YA KUTUPWA NJE YA KOMBE LA DUNIA AKIWA NA MABAO 6

+7 Ngumu kukubali: Beki wa Brazil David Luiz akimfariji Rodriguez baada ya mechi mjini  Fortaleza thumbnail 1 summary


Hard to take: Brazil defender David Luiz consoles Rodriguez at the end of the match in Fortaleza
Ngumu kukubali: Beki wa Brazil David Luiz akimfariji Rodriguez baada ya mechi mjini  Fortaleza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAANDISHI KUNOLEWA VITA DHIDI YA UPANGAJI MATOKEO

Na Boniface Wambura, Dar es salaam Imechapishwa Julai 4, 2014, saa 10:12 jioni thumbnail 1 summary
Na Boniface Wambura, Dar es salaam

Imechapishwa Julai 4, 2014, saa 10:12 jioni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NEYMAR KUIKOSOA UJERUMANI NUSU FAINALI, AKIMBIZWA HOSPITALI, SCOLARI ATHIBITISHA!

Neymar akiwa amelala chini baada ya kupata majeruhi ya mgongo dakika tatu kabla ya mechi kumalizika. thumbnail 1 summary
Agony: Neymar lies in agony after being kneed in the back just three mintues from the end
Neymar akiwa amelala chini baada ya kupata majeruhi ya mgongo dakika tatu kabla ya mechi kumalizika.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNAYAKUMBUKA YA MARADONA NA GENTILE MWAKA 1982?, IKIWA IMEPITA MIAKA 32, FERNANDINHO VS RODRIGUEZ WAIRUDIA HISTORIA

+7 Mpira uko wapi? Fernandinho akimfanyia kitu mbaya  James Rodriguez kipindi cha kwanza katika mchezo wa leo mjini Fortaleza. thumbnail 1 summary

Where's the ball? Fernandinho clatters into James Rodriguez in the first half of the match in Fortaleza

Mpira uko wapi? Fernandinho akimfanyia kitu mbaya  James Rodriguez kipindi cha kwanza katika mchezo wa leo mjini Fortaleza.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BRAZIL WAICHACHAFYA COLOMBIA 2-1 NA KUTINGA ROBO FAINALI, LAKINI `MBUNGI` WALIYOPIGIWA NI HATARI!

+30 Beki wa Brazil,  David Luiz aliachia shuti kali la mpira wa adhabu na kufunga bao la pili na la ushindi. ULIKUWA usiku ... thumbnail 1 summary

Stunning: Brazil defender David Luiz strikes an unstoppable free-kick into the top corner of the net

Beki wa Brazil,  David Luiz aliachia shuti kali la mpira wa adhabu na kufunga bao la pili na la ushindi.
ULIKUWA usiku mkubwa kwa Wabrazil wakishuhudia vijana wao wa Samba wakicheza mechi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UJERUMANI MWENDO MDUNDO, YAITANDIKA UFARANSA 1-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA

+20 Ndosi: Beki wa Ujerumani, Mats Hummels akifunga bao la kuongeza baada ya kumzidi ujanja beki wa Ufaransa  Raphael Varane. thumbnail 1 summary

Heads up: Germany defender Mats Hummels holds off the challenge of Raphael Varane to open the scoring

Ndosi: Beki wa Ujerumani, Mats Hummels akifunga bao la kuongeza baada ya kumzidi ujanja beki wa Ufaransa 
Raphael Varane.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIGOGO WA NCHI WATEMBELEA GYM YA MAZOEZI YA WANA LAMBALAMBA AZAM FC

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakijaribu kufanya ... thumbnail 1 summary
001 (2)Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakijaribu kufanya mazoezi katika mashine zilizo ndani ya Gym ya mazoezi ya timu ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya Watu Kumponda sana Kuhusu Kujichubua, Vera Sidika Awaporomoshea Matusi....Soma HAPA

NANUKUU KUTOKA KWA PAGE YAKE YA FESIBUKU, MMMMH.....JISOMEE HAPA "Human beings always and must have a problem with everything. ... thumbnail 1 summary

NANUKUU KUTOKA KWA PAGE YAKE YA FESIBUKU, MMMMH.....JISOMEE HAPA

"Human beings always and must have a problem with everything.
Bitches be like "your legs too black. Bleach em. Oh, now your legs too white. Get a tan.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JOKATE NA HII SKENDO KUBWA ATAJISAFISHA VIPI?? SOMA HAPA

Ikiwa jina la mtangazaji maarufu wa televishen ya TV1 Jokate Mwegelo, likitajwa tena kwa mara nyingine ikiwa hivi sasa akiwa anahisiwa k... thumbnail 1 summary

Kidoti-2

Ikiwa jina la mtangazaji maarufu wa televishen ya TV1 Jokate Mwegelo, likitajwa tena kwa mara nyingine ikiwa hivi sasa akiwa anahisiwa kuwa yeye ndiye amevunja ndoa ya mtangazaji mwenzake Edzen, katika skendohii ambayo inasemekana kuwa Edzen Ndiye alikuwa ana-fall

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NAIBU WAZIRI PEREIRA SILIMA ATEMBELEA MAONYESHO SABASABA SOMA HAPA

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Silima (wapili kushoto) akiingia katika Maonyesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasa... thumbnail 1 summary
PIX 1Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Silima (wapili kushoto) akiingia katika Maonyesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Kushoto ni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANDISHI WA HABARI WA TBC FATUMA MATULANGA ALAMBA NONDO'Z YA UANDISHI WA HABARI ZA BIASHARA KIMATAIFA.SOMA HAPA

  Mwandishi wa habari wa Shirika la Utangangazi la Tanzania (TBC) Fatma Matulanga akiwa mwenye furaha baada ya kuhitimu shahada ya... thumbnail 1 summary

 
Mwandishi wa habari wa Shirika la Utangangazi la Tanzania (TBC) Fatma Matulanga akiwa mwenye furaha baada ya kuhitimu shahada ya uzamili katika uandishi wa Habari za

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: