March 25, 2014

TAHADHARI: HUSICHOKE KUTAZAMA PICHA ZA MKANDA MZIMA WA HARUSI YA PAUL WA P-SQUARE NA BEAUTIFUL ONYIYE WAKE ... NI ZAIDI YA 200

“What a Beautiful Onyinye!” Port Harcourt stood up as  Paul Okoye  of  P-Square  married  Anita Isama .  BellaNaija Weddings  wa... thumbnail 1 summary

BellaNaija Weddings - Paul Okoye P-Square & Anita Isama Traditional Wedding in Port Harcourt - AkinTayoTimi - March 2014 - 079
“What a Beautiful Onyinye!”
Port Harcourt stood up as Paul Okoye of P-Square married Anita IsamaBellaNaija Weddings was on the spectacular

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

"UMRI UMEANZA KUNITUPA MKONO, MAMBO YA KITOTO SASA NINAACHA"..MSANII RACHEL AFUNGUKA

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho’, amefunguka kuwa ameona umri umeanza kumtupa mkono hivyo ameacha thumbnail 1 summary

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho’, amefunguka kuwa ameona umri umeanza kumtupa mkono hivyo ameacha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KWELI PESA BALAAA..!! JIONEE PICHA ZA MREMBO HUYU KABLA NA BAADA YA KUPATA PESA..NI SHIDAAA

Tazama picha za mwana Dada Risper Faith mwenye mvuto wa kubabaisha midume mingi…zamani na za saa hivi…then utapata jibu…. thumbnail 1 summary


Tazama picha za mwana Dada Risper Faith mwenye mvuto wa kubabaisha midume mingi…zamani na za saa hivi…then utapata jibu….

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAUAJI..!!KIJANA MMOJA ACHOMWA KISU, AFIA POLISI..KISA DENI LA ELFU TANO

Stori: Denis Mtima na Mayasa Maliwata INATISHA sana! Renard Mabula, mkazi wa Kiluvya jijini Dar es  Salaam  amekufa ndani ya Kituo ... thumbnail 1 summary


Stori: Denis Mtima na Mayasa Maliwata
INATISHA sana! Renard Mabula, mkazi wa Kiluvya jijini Dar es Salaam amekufa ndani ya Kituo cha Polisi cha Gogoni, Kinondoni jijini Dar es Salaam baada ya kukimbilia hapo kufuatia kuchomwa kisu tumboni na mtu aliyetajwa kwa jina la Moleli (22), Uwazi lina mkanda kamili.
Kwa mujibu wa habari za kipolisi, tukio hilo lilijiri Februari 11, mwaka huu, Gogoni ambako ndiko kwenye makazi ya mtuhumiwa na marehemu huyo.
Awali ilidaiwa kuwa, marehemu huyo alikuwa akidaiwa shilingi elfu tano na Moleli lakini alikuwa akimzungusha kwa muda mrefu bila kumlipa.
“Siku ya tukio, Moleli alikwenda kwa marehemu kumdai fedha zake hizo na kujibiwa kuwa, kwa muda ule hakuwa na kitu ndipo, Moleli akaamua kumchoma kwa kisu tumboni.
“Marehemu kuona vile huku akivuja damu kwa wingi alikimbilia Kituo Kidogo cha Polisi cha Gogoni Kiluvya. Alipofika alisimulia mkasa wake lakini alipomaliza tu akakata roho, mwili wake ukapelekwa Hospitali ya Tumbi, Kibaha, Pwani ambapo madaktari walithibitisha kuwa alishafariki dunia,” kilisema chanzo.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, baba mzazi wa mtuhumiwa huyo (jina tunalo) alisema analishangaa sana Jeshi la Polisi Kituo cha Mbezi ambapo mtoto wake alipelekwa kutoka kituo kidogo cha Gogoni baada ya kutuhumiwa kwa mauaji ya Mabula lakini aliachiwa huru.
Akaendelea: ‘’Mimi mwenyewe huyo mtoto wangu alishawahi kunitishia kuwa atanichoma kisu baada ya kumtaka aende shule. Tumemshauri mara nyingi na mama yake lakini hataki kusikia, sijui ni mtoto gani asiyesikia wazazi?’’ alihoji baba huyo.
Wakati hayo yakitokea, mwanamke mmoja wa eneo hilo aliyejitambulisha kwa jina la Getruda Athanas (36), yuko shakani akidai kwamba, Molel amekuwa akimtishia kumchinja kwa kisu baada ya kumtuhumu kuiba kuku wake.
Mwanamke huyo alikimbilia Kituo cha Polisi Gogoni na kufungua malalamiko kwa kumbukumbu KLV/RB/521014 KUTISHIA KUUA KWA MANENO.
Akizungumza na Uwazi, Getruda alisema: “Nilipomuuliza kama kweli aliiba kuku wangu, alikiri akidai alitaka apate fedha. Lakini akaniambia nikiendelea kumfuatilia atanichinja, akitoa mfano wa jinsi alivyomuua Mabula kwa kisu.”

Uwazi  lilimtafuta Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, ACP Camilius Wambura na kumuuliza kuhusu taarifa hizo ambapo alikiri.
Uwazi: Sasa afande ililkuwaje mtuhumiwa akakamatwa na kuachia huru?
Kamanda: Nimeshamwagiza kamanda  wa polisi wa wilaya ‘OCD’ (hakumtaja jina) kufuatilia madai ya mtuhumiwa kuachiwa huru.   

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UKATILI..!! KIGOGO GEREZA LA UKONGA AUAWA KIKATILI NA MWILI WAKE KUTUPWA CHOONI,MKE WAKE AHUSISHWA NA TUKIO HILO...SOMA HAPA

KIGOGO wa cheo cha juu katika Jeshi la Magereza Tanzania, SP Barnabas Nkuba (56) ameuawa kikatili kisha mwili wake kuburuzwa na thumbnail 1 summary


KIGOGO wa cheo cha juu katika Jeshi la Magereza Tanzania, SP Barnabas Nkuba (56) ameuawa kikatili kisha mwili wake kuburuzwa na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUVAA CHENI ZA MGUUNI (KI KUKU), INA MAANISHA NINI, NA JE NI SAWA

Kumekuwa na tetesi nyingi kuhusu urembo huu wa kuvaa cheni za miguuni. Wengi wamekuwa wakisema kuwa cheni hizo zinamaanisha kwamba mvaaji thumbnail 1 summary


Kumekuwa na tetesi nyingi kuhusu urembo huu wa kuvaa cheni za miguuni. Wengi wamekuwa wakisema kuwa cheni hizo zinamaanisha kwamba mvaaji

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SONGSBIRD RAY C SHARES DISTURBING PICTURE OF HERSELF AS A DRUG ADDICT (PHOTO)

Songbird Ray C Shares Disturbing Picture Of Herself As a Drug Addict (PHOTO) thumbnail 1 summary


Songbird Ray C Shares Disturbing Picture Of Herself As a Drug Addict (PHOTO)

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SANAA HAILIPI, WENGI WANAISHI MAISHA YA KUIGIZA!

SOKO la filamu limekua, maisha ya vijana wengi yamebadilika kutokana na sanaa hiyo. Hata hivyo bado kuna changamoto kadhaa; malipo ya w... thumbnail 1 summary


SOKO la filamu limekua, maisha ya vijana wengi yamebadilika kutokana na sanaa hiyo. Hata hivyo bado kuna changamoto kadhaa; malipo ya wasanii

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WANASOKA WA AFRIKA WASAMBAA KILA KONA DUNIANI

Ni hali ambayo imekuwa kama kawaida kwa wachezaji wa Afrika kutafuta kwenye klabu mbalimbali barani Ulaya. thumbnail 1 summary


Ni hali ambayo imekuwa kama kawaida kwa wachezaji wa Afrika kutafuta kwenye klabu mbalimbali barani Ulaya.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BUNGE LA KATIBA NA WANANCHI WAKO NJIA PANDA

Kwa neno moja unaweza kusema kwamba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba na wananchi kwa ujumla wako “njiapanda”. thumbnail 1 summary


Kwa neno moja unaweza kusema kwamba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba na wananchi kwa ujumla wako “njiapanda”.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA KUTEMANA NA MCHUMBA WAKE, SASA WOLPER AINGIA KATIKA UGOMVI WA KUGOMBEA PEDESHEE WA KIKONGO. SOMA HAPA

KUCHAMBANA, kutoleana lugha chafu ndiyo ishu iliyopo kwa sasa kati ya nyota wa filamu za Bongo, thumbnail 1 summary


KUCHAMBANA, kutoleana lugha chafu ndiyo ishu iliyopo kwa sasa kati ya nyota wa filamu za Bongo,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RAPPER WA KENYA AFUNGUKA JUU YA DIAMOND PLATNUM..SOMA ZAID

Imeshawahi kuandikwa baada ya stori kusambaa kwamba mwimbaji mtanzania Diamond Platnumz ana uhusiano wa kimapenzi na mwimbaji Mkenya Vict... thumbnail 1 summary

Screen Shot 2014-03-24 at 3.25.58 PM


Imeshawahi kuandikwa baada ya stori kusambaa kwamba mwimbaji mtanzania Diamond Platnumz ana uhusiano wa kimapenzi na mwimbaji Mkenya Victoria Kimani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NANI KATI YA WANAUME NA WANAWAKE WANAOSABABISHA AJALI NYINGI BARABARANI?

Swali litakaloleta utata kwenye majibu ni kwamba kati ya wanawake na wanaume ni jinsia gani huwa wanaendesha magari yao vibaya na kusabab... thumbnail 1 summary

xsd

Swali litakaloleta utata kwenye majibu ni kwamba kati ya wanawake na wanaume ni jinsia gani huwa wanaendesha magari yao vibaya na kusababisha ajali?

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JIONEE REKODI ALIYOWEKA MESS KWENYE SOKA..

Huyu ni mshambuliaji wa FC Barcelona ambae jana aliweka rekodi nyingine kubwa kwenye mechi nchini Hispania. thumbnail 1 summary

1975091_10152095569533598_606019277_n

Huyu ni mshambuliaji wa FC Barcelona ambae jana aliweka rekodi nyingine kubwa kwenye mechi nchini Hispania.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUZUNI KWA DIVA LOVENESS LOVE, MIMBA YA WATOTO MAPACHA ALIYOPEWA NA GK YAMPA WAKATI MGUMU NA SIMANZI ... SOMA HAPA KUJUA

  Kupitia akaunt yake ya Instagram Diva Loveness Love mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho kinachorushwa na Clouds FM ametupia picha i... thumbnail 1 summary


 
Kupitia akaunt yake ya Instagram Diva Loveness Love mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho kinachorushwa na Clouds FM ametupia picha ikionyesha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UTABIRI WA TB JOSHUA WATIMIA-NI KWELI AIR MALAYSIA ILIANGUKA INDIAN OCEAN NA HAKUNA ALIYE PONA

Baada ya ndege ya Air Malaysia kupotea Mtabiri TB Joshua Alisema Kuwa Ndege hiyo itakuwa imeanguka Kwenye Bahari ya Hindi na Hakuna thumbnail 1 summary


Baada ya ndege ya Air Malaysia kupotea Mtabiri TB Joshua Alisema Kuwa Ndege hiyo itakuwa imeanguka Kwenye Bahari ya Hindi na Hakuna

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHOPRITE IMEUZWA WAFANYA KAZI WAGOMA NA KUANDAMANA MLIMANI CITY

Leo mida ya Jioni pale mlimani City nimeshuhudia wafanya kazi wa Duka Kubwa la Shoprite wakiwa wamegoma wakizua watu wasiingie thumbnail 1 summary


Leo mida ya Jioni pale mlimani City nimeshuhudia wafanya kazi wa Duka Kubwa la Shoprite wakiwa wamegoma wakizua watu wasiingie

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: