April 01, 2015

Chris Brown Kuwahamishia Mwanae na Mama Yake Nyumbani Kwake, Anataka Kumuona Mwanae Kila Siku

Chris Brown amepanga kumchukua mwanae pamoja na mama yake na kuishi nao nyumbani kwake, mtandao wa Hollywood Life umesema. thumbnail 1 summary
Chris Brown amepanga kumchukua mwanae pamoja na mama yake na kuishi nao nyumbani kwake, mtandao wa Hollywood Life umesema.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kama Msichana Ushavuka Miaka 30 Bado Hujaolewa Jua Una Hali Mbaya

Kama wewe ni msichana na umeshavuka miaka 30 bado hujaolewa na wala huna mtu wa kueleweka ambaye amejitambulisha kwenu tambua kwamba una ... thumbnail 1 summary
Kama wewe ni msichana na umeshavuka miaka 30 bado hujaolewa na wala huna mtu wa kueleweka ambaye amejitambulisha kwenu tambua kwamba una hali mbaya.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Maaskofu Wamjibu Rais Kikwete Watoa Tamko Zito Kuhusu Mahakama ya Kadhi Wasisitiza Kuwa Wakristo Wote Wapige Kura ya HAPANA Katiba Inayopendekezwa

Siku tano baada ya Rais Jakaya Kikwete kusema kuwa tamko la Jukwaa la Wakristo (TCF) kuwataka waumini wao kupigia kura ya ‘hapana’ Katiba I... thumbnail 1 summary
Siku tano baada ya Rais Jakaya Kikwete kusema kuwa tamko la Jukwaa la Wakristo (TCF) kuwataka waumini wao kupigia kura ya ‘hapana’ Katiba Inayopendekezwa lilikuwa la hasira, viongozi hao wamejitokeza tena na kusisitiza kwamba msimamo wao huo utabaki kama ulivyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond Platnumz Amnunualia Zawadi ya Ndege (Private Jet ) Mpenzi Wake Zari ..Kuzinduliwa kesho

Habari ya Mjini ndo Hiyo leo , Baada ya Kuhamia Kwenye Bonge la Nyumba yake huko Mitaa ya Tegeta , Diamond thumbnail 1 summary
Habari ya Mjini ndo Hiyo leo , Baada ya Kuhamia Kwenye Bonge la Nyumba yake huko Mitaa ya Tegeta , Diamond

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Google Kuzima Simu za Watumiaji wa Android kwa siku 21 au Zaidi Kuanzia Leo Usiku

Android OS ni moja kati operating system iliyozidi kusambaa duniani kote huku ikiwa na mpinzani mkubwa sana ambae ni iOS mara baada ya ... thumbnail 1 summary

Android OS ni moja kati operating system iliyozidi kusambaa duniani kote huku ikiwa na mpinzani mkubwa sana ambae ni iOS mara baada ya OS nyingine kutofanya vizuri.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Siri Yafichuka Kumbe Wasanii Wengi wa Bongo Hawampendi Wame Sepetu..Wanakesha Kwa Waganga Kummaliza

Hii Siri Imetoka Kwa Page ya Instagram ya Mrekebishatabia....Jisomee Hapo chini Siri nzima: thumbnail 1 summary

Hii Siri Imetoka Kwa Page ya Instagram ya Mrekebishatabia....Jisomee Hapo chini Siri nzima:

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Huu ulikuwa mjengo wa Bondia Mike Tyson.. Ipo taarifa nyingine kuhusu mjengo huu

Miaka ya tisini bondia wa ngumi za uzito wa juu duniani Mike Tyson alikuwa akimiliki Jumba la kifahari katika eneo la Southingt... thumbnail 1 summary





Miaka ya tisini bondia wa ngumi za uzito wa juu duniani Mike Tyson alikuwa akimiliki Jumba la kifahari katika eneo la Southington, Ohio nchini Marekani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PENNY: USISTA DUU UTATUMALIZA

ALIYEKUWA mtangazaji wa kituo cha redio cha Efm, Peniel Mungilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa tabia ya baadhi ya wasichana mastaa kujiona ma... thumbnail 1 summary

ALIYEKUWA mtangazaji wa kituo cha redio cha Efm, Peniel Mungilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa tabia ya baadhi ya wasichana mastaa kujiona masista duu itawamaliza kwa sababu watajikuta uzee unawakabili bila kuwa na ndoa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nimebeba zigo ambalo sikujua hii ndio hatima yake..Kila Ninae Mfanyia Jema Anataka Kunilipa kwa Penzi

Nina mchumba wangu anasoma chuo kikuu fulani hapa mjini, nimekuwa mshauri mzuri sana katika mswala yake mbali mbali, kwa kiasi kikubwa ... thumbnail 1 summary

Nina mchumba wangu anasoma chuo kikuu fulani hapa mjini, nimekuwa mshauri mzuri sana katika mswala yake mbali mbali, kwa kiasi kikubwa nimekuwa nikimudu hili jukumu mambo mengi niliomshauri amefanikiwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VANESSA MDEE ATOBOA SIRI NZITO!!..PATA HABARI KAMILI HAPA

VANESSA Mdee ambaye ameutambulisha rasmi wimbo wake mpya wa ‘No body but me’, ameweka wazi kwamba kushindwa kumudu gharama za uandaaji ... thumbnail 1 summary

VANESSA Mdee ambaye ameutambulisha rasmi wimbo wake mpya wa ‘No body but me’, ameweka wazi kwamba kushindwa kumudu gharama za uandaaji wa video, muziki bora kumekuwa sababu kubwa kwa wasanii wa kike kujiingiza katika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lil Wayne kuhusu album mpya na mpenzi wake mpya.

Rapa Lil Wayne amesema yupo tayari kutoa album yake mpya ya “Free Weezy Album” mwezi wa nne mwaka huu 2015. thumbnail 1 summary
Rapa Lil Wayne amesema yupo tayari kutoa album yake mpya ya “Free Weezy Album” mwezi wa nne mwaka huu 2015.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAKENYA WAMPONDA DAVIDO KWA SHOW YAKE YA DAKIKA 30, APORWA SIMU ZAKE

Wakenya wamechukizwa na show fupi ya Davido iliyofanyika Jumamosi hii kwenye viwanja vya Carnivore jijini Nairobi. Inasemekana kuwa s... thumbnail 1 summary
Wakenya wamechukizwa na show fupi ya Davido iliyofanyika Jumamosi hii kwenye viwanja vya Carnivore jijini Nairobi.

Inasemekana kuwa show yake ilidumu kwa takraban dakika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya Mahojiano, Gwajima Aachiwa kwa Dhamana, Kwenye Hii Kesi Nani Mlalamikaji ?

Taarifa zimeenea kuwa baada ya Kutoka hospitalini Gwajima alikwenda moja kwa moja Kituo cha polisi Ostabey kwa ajili ya thumbnail 1 summary
Taarifa zimeenea kuwa baada ya Kutoka hospitalini Gwajima alikwenda moja kwa moja Kituo cha polisi Ostabey kwa ajili ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Faraja Kota Nyalandu 'Sio Lazima Ujue Kila Kitu Kila Wakati na Hutokaa Ujue Kila Kitu Kila Wakati'

Sio wakati wote utakuwa na majibu. Sio wakati wote utajua kama unapatia au unakosea. Sio wakati wote utakuwa na uhakika. Ninachotaka kuku... thumbnail 1 summary
Sio wakati wote utakuwa na majibu. Sio wakati wote utajua kama unapatia au unakosea. Sio wakati wote utakuwa na uhakika. Ninachotaka kukuambia ni kuwa; it is okay. Si lazima ujue kila

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: