October 14, 2014

RAY C AFUNGUKA MAKUBWA KUHUSU WEMA NA KAJALA .. ...! AMUOMBA MSAMAHA ZAMARADI MKETEMA

Ray Ameamua kufunguka na Kusema Haya: “Kiukweli huwa naumia sana ninapoona mastaa tunatumia muda mwingi kulumbana na kugombana kwa mam... thumbnail 1 summary

Ray Ameamua kufunguka na Kusema Haya: “Kiukweli huwa naumia sana ninapoona mastaa tunatumia muda mwingi kulumbana na kugombana kwa mambo ya kipuuzi sana,mastaa wenzetu wa Nigeria wanatushinda kwa mambo mengi sana sababu wao wanashirikiana na kusapotiana katika mambo mengi sana na hata ukiskia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAMA HUJUI BASI HUYU NDIYE ALIYECHUKUA NAFASI YA GADNER KWA LADY JAY DEE!

Rapper Wakazi ndiye meneja mpya wa mwanamuziki superstar wa kik Tanzania Lady Jaydee. Akizungumza na Mtanzania Wakazi amesema ni kweli ye... thumbnail 1 summary
Rapper Wakazi ndiye meneja mpya wa mwanamuziki superstar wa kik Tanzania Lady Jaydee.
Akizungumza na Mtanzania Wakazi amesema ni kweli yeye ndiye meneja wa msanii huyo ambaye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNAAMBIWA AUNTY EZEKIEL AITIKISA NDOA YA MH.LAZARO NYALANDU NA FARAJA KOTA, NYALANDU AFUNGUKA

Juzi gazeti moja la habari za mastaa nchini liliandika kuwa ndoa ya Mh. Lazaro Nyalandu ambaye ni mbunge na waziri wa maliasili na ut... thumbnail 1 summary


anti ezekiel

Juzi gazeti moja la habari za mastaa nchini liliandika kuwa ndoa ya Mh. Lazaro Nyalandu ambaye ni mbunge na waziri wa maliasili na utalii nchini na Faraja Kota ambaye ni mshindi wa taji la Miss Tanzania 2004 inatikisika kisa kikidaiwa ni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUMBUKUMBU YA MIAKA 15 TANGU KIFO CHA MWALIMU NYERERE

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. thumbnail 1 summary

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UTEKAJI WA WATOTO DAR, HALI SASA NI TETE!

LICHA  ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni kupitia kwa kamanda wake, Camillius Wambura kutumia nguvu kubwa kukanusha kwamba, hakuna matuki... thumbnail 1 summary
LICHA ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni kupitia kwa kamanda wake, Camillius Wambura kutumia nguvu kubwa kukanusha kwamba, hakuna matukio ya utekaji wa watoto wadogo, hasa wanafunzi, lakini matukio hayo YAPO!!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HALIMA MDEE ASIMULIA MAMBO 5 MAZITO YA SEGEREA

MBUNGE  wa Jimbo la Kawe jijini Dar na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Halima James Mdee thumbnail 1 summary
MBUNGE wa Jimbo la Kawe jijini Dar na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Halima James Mdee

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: